OSCAR RICHARD vs TONY RASHID WALIVYOPIMA UZITO, NACCOZ Hawana DOGO, WAINGIA kama WAFUNGWA..
Вставка
- Опубліковано 27 чер 2024
- OSCAR RICHARD vs TONY RASHID WALIVYOPIMA UZITO, NACCOZ Hawana DOGO, WAINGIA kama WAFUNGWA..
MABONDIA wote watakaopigana kesho Juni 29, 2024 kwenye pambano la 'DAR BOXING DERBY' wamepima uzito na afya leo.
Pambano hilo litachezwa kwenye uwanja wa Posta jijini Dar. - Спорт
Patachimbika kinoma
Watoto wa nacozi Awana mpinzani big up nacozi
Nomaa sana yaani
Hii Inamaana Oscar Richard ni mfungwa mwenye kosa kubwa sana kama anastahili kunyongwa halafu yuko mtaani
kweli oscar umeua
Ni kunogesha pambano, inavuta mashabiki, nimeipenda sanaaa.....mwali mwali mwaliii😂❤
Tunamaanisha kuwa Oscar Ni Mfungwa mwenye hasira zilizo pitiriza kiasi kwamba akifunguliwa tu kauwaaa😂(hii ndio naccoz team tunapiga tunaburudisha nan anakataa)
Nzr sana hii
hii sio powa
Safi....!! 🥊
Oscar 😂😂😂❤❤
SAFI SANA TEAM NACCOZ UBUNIFU MZURI HII NDIO MAANA YA KAMBI KUBWA TEAM NACCOZ MMESHASHINDA NNJE YA UWANJA NA TUNAIMANI PIA NA NDANI YA ULINGO TONY ATAPIGWA KAMA BEGI
Kuuliza sio upumbavu
Ni kutaka kujua tu
Kwa mfano
Hii inaongeza nini au inahamasisha nini
Au ina faida gani
Haya twende pale wadau😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😅
Ni hamasa tu kwa mashabiki hakuna kingine .
Tony rashid anashinda kirahisi tu hao Nacoz saiv zimebaki mbwembwe tu.
Kuna Naccoz alafu kuna Oscar Richard huo ni moto hatari sana💪💪💪
@@AziziAlly-xc6nm Ikawaje na uo moto😂