MWANAJESHI WA JWTZ ALIETOROKA NA SARE NA SILAHA KAMBINI NA KUAMUA KUWA JAMBAZI ALIETIKISA AFRICA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 89

  • @vitabuvyashuhudazamungu
    @vitabuvyashuhudazamungu 9 місяців тому +3

    Huyo power iyebaaa! Alikujaga shuleni kwetu enzi hizo 😂😂

  • @user-ps1ph9iv5b
    @user-ps1ph9iv5b 9 місяців тому +2

    Poti muha mwenzang safi sana endelea kuiwakilisha kigoma yetu
    Japo rafudhi imesha badilika imekua kama ya mpemba

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 місяців тому +1

      Hakunaga vya hivyo😂😂😂😂

  • @bobman2237
    @bobman2237 9 місяців тому +6

    Rudisheni mahojiano ya CHOGO hewani

  • @FlorenceNachipyangu
    @FlorenceNachipyangu 9 місяців тому +4

    Unikumbuka Mimi mwl wako shule ya msingi Uvinza 1979

  • @sia1net614
    @sia1net614 9 місяців тому +1

    Duu huyu jamaa alikuwa akali sana zamani. Jina Lake nilikuwa nadhani ni Paul(Po) mangwana! Kumbe ni power! Udogo mzuri😂

  • @jumaS2tv
    @jumaS2tv 9 місяців тому +1

    P1 sana

  • @franciskobelo
    @franciskobelo 8 місяців тому

    Bro davista mjomba yuko vizuri anaweza kuhadisia kuna mambo ya kujifunza

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 9 місяців тому +7

    Ni Kwa Nini watu wengi wanafanya mambo mengi ya kishetani na ht mambo ya hivyo. Baada ya yote hayo wanakwenda kua manabii. Kwa Nini wasiwe watu wa Ibada tu kawaida

    • @agnesjohn3125
      @agnesjohn3125 9 місяців тому +5

      Shetani Huwa anacheza ma maisha ya watu wenye ukuu ndani yao mana anajua walikua watamletea madhara,,ila watu ambao Wana future ya zawaida Wala Hana shida nao ,,kabisa

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 9 місяців тому +4

    Umenikumbusha Sama Ng'wana Mwanamuziki ❤️

  • @Jumamabela
    @Jumamabela 6 місяців тому +1

    Poti.safi.sana

  • @afterx3172
    @afterx3172 8 місяців тому

    power mangwana

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 9 місяців тому +1

    Karibu power mangwana

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 9 місяців тому +1

    Karibu sana

  • @sulemanmuyomba3524
    @sulemanmuyomba3524 8 місяців тому

    Power mangwana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 9 місяців тому +1

    😂😂Nikajua tumeletewa Supa Mangwana kumbe ni Power Mangwana

  • @idrisanarri149
    @idrisanarri149 8 місяців тому

    Power mwangwanaa angola

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 9 місяців тому +2

    Baba una story nzuri❤😂

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 9 місяців тому +2

    Jamaa inaonekana anaishi zanzibar kwa sasa ,hiyo rafudhi na katamka neno skuli yaani shule

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 7 місяців тому

    Senior

  • @user-gn7ke1og4m
    @user-gn7ke1og4m 9 місяців тому

  • @babaalex5062
    @babaalex5062 9 місяців тому +1

    Huyu mzee Alisha kujaga tarime tena shulen alikua mchawi kweli kweli anazuia piki piki mbili kwa mdomo

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 8 місяців тому

    Huyu jamaa aliwahi kuwa power ...tulikua tukimuita power mangwana..

  • @frederickokumu2276
    @frederickokumu2276 8 місяців тому

    Tumsifu Yesu kristo

  • @user-uc7eo3wp9o
    @user-uc7eo3wp9o 8 місяців тому

    Nimpolee.......

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 9 місяців тому +1

    Power mangwana seniour

  • @rerisamba
    @rerisamba 9 місяців тому +2

    Mmm mamako alipata shida kweli yani mimi na imagine angekua mtoto wangu zile fimbo ningekucharaza

  • @Magodoro_mix
    @Magodoro_mix 8 місяців тому +1

    Nilikuwa naitafuta sana simulizi ya huyu jamaa.

  • @Waziri77
    @Waziri77 8 місяців тому

    Jamaa wetu kafanana JPM BANA, JOHN POMBE MAGUFULI

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 8 місяців тому

    Uyu mwamba kama Dj Mack 😂😂😂😂

  • @user-dx9vl7uv5u
    @user-dx9vl7uv5u 8 місяців тому

    So fun😂😂😂

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 9 місяців тому +1

    Muha gani anaongea Kiswahili cha Zanzibar... Hii simulizi inaweza kuwa poa

  • @salummwakinyuke4301
    @salummwakinyuke4301 8 місяців тому

    Dah huyu mwamba mara ya kwanza nilimuonaga shinynga mwaka 2010 wakati anahubiri na kutoa shuhuda yake hii ya ujambazi , na mwaka 2014 nilikuja kukutana nae dar es salaam maeneo ya gongo la mboto karibu na chuo Cha Kampla

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 9 місяців тому +1

    ilo jina yebaa🤣🤣🤣

  • @tututz100
    @tututz100 9 місяців тому +2

    JBOYS 1999

    • @karimreldalaal1387
      @karimreldalaal1387 9 місяців тому +2

      Tombwa mbwa wewe..ni vitu gani hizi unaandika kwa kila video..

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 9 місяців тому

      ​@@karimreldalaal1387usitukane bwana. Pengine anakusudia jang'ombe boys iko zanzibar hiyo shule. Pengine Sina uhakika lakini. Ila kutukana sio vizuri. Sie binaadam wajibu wetu kukumbushana tukiteleza. Sisemi kwa ubaya . Jina Karim, Jina zito haina haja ya matusi. Si sifa ya kiislam. ❤

  • @nolascochaule9342
    @nolascochaule9342 9 місяців тому +2

    Hii story ukiona maneno mengi msimuliaji anambwembwe na mapozi bac jua haina mvuto

  • @user-ff2vz2dy4k
    @user-ff2vz2dy4k 8 місяців тому

    Mzee vip za myaka naitwa Mathias John mwanza tumepotezana Sana mzee uko wapi?

  • @user-gu1zv2wr3r
    @user-gu1zv2wr3r 9 місяців тому +1

    Hiyo bwana story zake zinafanana na za kwangu isipokuwa kupelekwa na mto ila mi nilizama kwenye kisima

  • @johnkiimbila6799
    @johnkiimbila6799 9 місяців тому +1

    Huyu anaogea kiswahili muafaka.

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 9 місяців тому +1

    Mhhh

  • @user-ej4qi4fj5z
    @user-ej4qi4fj5z 8 місяців тому

    Namkuumbuka nilikuwa nae shinyanga Baptist katunda

  • @husseinchea5524
    @husseinchea5524 9 місяців тому

    Kiswahili kama cha Zanzibar na Mombasa

  • @elishajoseph8291
    @elishajoseph8291 7 місяців тому

    alikuja ngudu kwimba miaka fulani iv 2008/2009 akahubiri injili kanisa la pag alikuwa na utisho sana😂

  • @mensiyamacha961
    @mensiyamacha961 9 місяців тому +1

    😂

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 8 місяців тому

    Anaonekana alikuwa Mbogo

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 8 місяців тому +1

    Namfahamu sana story yako ni ya kweli kabisa

  • @ranayuhase1405
    @ranayuhase1405 8 місяців тому

    Huyu ni mchungaji magwana alitakaga kumuoa dada yangu aiseee alishatangulia mbele za haki my sister alitufundisha kuomba huyu mahali ni bwiru enzi bado niko mdogomdogo nyieee

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 8 місяців тому

    Huyu Magwana hana cha utumishi tapeli

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 9 місяців тому +1

    Mpuuzi huyu

    • @kigomamaranathagospelchoir2642
      @kigomamaranathagospelchoir2642 8 місяців тому

      Acha dharau wewe kijana maisha hako hivyo

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 8 місяців тому

      Wew utakuwa mtoto wa juzi, mbona huyu jamaa ni maarufu sana kanda ya ziwa, we google tu utapata habari zake

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 7 місяців тому

    Unamjua SULEIMAN KUMCHA ?

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 9 місяців тому +3

    "Is the above video a good recommendation for you? Help us improve youtube"
    UA-cam wamenitumia hii survey,😁 nahisi ni kulingana na title ya ushuhuda wa leo ulivyo kaa.
    (hasa hapo kwenye silaha na ujambazi)🤔
    Anyways nimeipa 5*😅

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 9 місяців тому +1

      utakuwa umedislike baadhi ya clip na ndio maana lazima wakuletee huyo survey..uki like hawakuletei.🤔

    • @LoFi_120
      @LoFi_120 9 місяців тому

      @@sweetlisious uko na point 🙄hapo, ila sikuhizi dislike button hai oneshi. kusema kweli kuna clip niki recommendiwa huwa na click 'not interested' 🤭.

  • @jessicaesthermakungu1693
    @jessicaesthermakungu1693 9 місяців тому +1

    Maradhi ya akili bado yapo

  • @allyahmadimbukuli8681
    @allyahmadimbukuli8681 9 місяців тому +3

    raiti kama huwo uharifu ungefanywa na muislamu na akaamuwa kacha na kuwa shekhe wa msikiti fulani,sizani kama ange pata nafasi hiyo ya kuwa huru na ww ukamuhoji.angeitwa gahid na kuisaidia polisi kwa tuhuma mbalimbali,kumbe uharari wa kuwamuharifu na kukimbilia uchungaji ndio kunakufanya usamehewe licha kuwa nimuhalifu!

    • @dianangethe7839
      @dianangethe7839 9 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 9 місяців тому +2

      Mbona wapo waislam wengi tuu wametoa shuhuda zao na wakaokoka mbona hawajaitwa Magaidi? na wanaendelea na maisha kama kawaida

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 9 місяців тому +1

      Tutajie mmoja alie wahii kuhojiwa hapa na mpaka sasa yupo kwa mikono ya polisi

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 9 місяців тому +1

      Ni kwasababu hana tabia za ujihadi wa kiislamu.

    • @user-ps1ph9iv5b
      @user-ps1ph9iv5b 9 місяців тому +1

      Udini na roho mbaya vinakutesa sana poleee

  • @ndenengokimaro4502
    @ndenengokimaro4502 9 місяців тому

    Mwongo wewe toka hapo

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 8 місяців тому

      Wew utakuwa mtoto wa juzi, mbona huyu jamaa ni maarufu sana kanda ya ziwa, we google tu utapata habari zake

    • @clementmahiya409
      @clementmahiya409 7 місяців тому

      Una pepo lakurithi,

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 7 місяців тому

    Muongo....miaka hiyo darasa la kwanza walikuwa wanasoma kuanzia miaka 10 kwenda juu , sasa hiyo 9 au 8 ulijianzishia shule yako ?
    Yaani kuna vitu vingi vinavyoashiria mzee anastory za kubumba , mfano hiyo ya kutukanwa na mwqnamke kijijini miaka hiyo 😅😅😅 sio kweli , wasichana wa enzi hizo hawakuwa na akili hizo za kutukana mtu matusi .....😮😮😮😮 . yaan bro nikuache tu nifanye shughuli zangu nikiendelea kukusikiliza nitakutafuta bure maana huwa ninahasira sana na watu waongo waongo .😊😊😊

  • @johnkiimbila6799
    @johnkiimbila6799 9 місяців тому +1

    Usitudanganye Waha sio watanzania halisi.

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 9 місяців тому +1

    Mpuuzi huyu