JAMBAZI SUGU LAFUNGUKA/ TULIFUNGWA NA TUNDU LISSU/ALINIKATAA/ BABU SEYA NA WANAWE!/ UKATILI GEREZANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #ukonga #jela #mahakamani

КОМЕНТАРІ • 106

  • @dar24media
    @dar24media  Рік тому +7

    kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na jumatano saa nne kamili asubuhi, kama una mkasa au simulizi wasiliana nasi kupitia simu namba..#0653127761

  • @milnertv8079
    @milnertv8079 Рік тому +1

    Huyo anayejiita mwana kondoo kama hayo ndiyo aliyoyafanya basi atubie sana kwa mungu

  • @biblicalchristianassemblies
    @biblicalchristianassemblies Рік тому +1

    Huyu mpuuzi kweli kweli, yaani hajutii aliuowafanyia wengine, ila anajutia aliuofanyiwa. Mpuuziiiiiiii

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 Рік тому

    Hatari sana maisha ya ujambazi sio tuishi kwa utaratibu na kumuomba mungu aepushe mambo haya.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Dupa mdupange nikiaza kukusikiliza huwa najipanga mdogo wangu chechemua Salut kwako story mbona kama hunailushalusha bregedia 🇹🇿🇬🇷😁👍🙋‍♂️✊✊✊✊

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 Рік тому +7

    Mtangazaji unaongea Sana, una maswali ya kijinga unamkatisha katisha Sana unaboaaaaaaa

  • @ukhtyzainab7254
    @ukhtyzainab7254 Рік тому

    Thanks

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому +4

    Only in Tanzania, Nchi Nyingine Ujigambe Ulipiga M2 Mapanga Ukafanya Nyanganyiwa wa silaha LEO wafuatilie Wakute ni Kweli Hilo tukio lilitokea, Utakamatwa. Na Hiyo itachukuliwa kama Comfession to a Crime

  • @ayoubmwanawima1820
    @ayoubmwanawima1820 Рік тому +2

    Brigedia analia

  • @justinkihongo-ou1up
    @justinkihongo-ou1up Рік тому +2

    Inchiiiii ihiiiii bwanaaa

  • @Yussuf1996-ew5gj
    @Yussuf1996-ew5gj Рік тому +2

    Hiiii nilikuwa naisubr kwa hamu dupaaaaah

  • @nikyhassan9394
    @nikyhassan9394 Рік тому +1

    Congratulations bro Dumpa

  • @christopherrobert1948
    @christopherrobert1948 Рік тому +1

    11:53 miaka ya 90 alikua anakaba wahindi anawachukulia simu na ela. 😂😂😂😂 muda mchache mbele anakwambia simu amna simu amna.

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 Рік тому +1

    Huyu Jamaa ana siri nzito sana sana.

  • @FunnyZVideos
    @FunnyZVideos Рік тому

    Hiyo mbanga mbanga... iondoeni au mpunguze sauti kidogo bana.. inashtua aisee. Kuna mzee niponae hapa hadi kaamua kuondoka.😁😁😁

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +1

    Ndani ya mbanga mpya

  • @user-vi3xx5ew5i
    @user-vi3xx5ew5i Рік тому +1

    Kwani huko mbongo hakuna machine ya X ray. ? Inaonekana bodo tupo ktk karne ya 18

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Рік тому

    Mtangazaji hajui kuhoji

  • @abdulswamdenyambuka1902
    @abdulswamdenyambuka1902 Рік тому +1

    Jamaa sio mzuri kwenye kusimulia... anarukaruka sana na kuchanganya matukio... ila story yake ni nzuri sana... ila baharia balozi alitisha sana ktk kusimulia

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 Рік тому

      Story ya kukata watu mapanga ndio unaiona ni nzuri, hii ni story ya kusikitisha hivi ingekuwa wewe umepigwa mapanga au ndugu yako ungeona hiyo story ni nzuri

  • @silvesterrichardhelenya1319

    Mbona humpi nafasi ya kueleza ulimuuliza shule aliyosoma ukarukia ukamwambia alifikaje kwa hiyo hatujui alisoma wapi na ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kama ulivyikuwa umemuuliza awali

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 Рік тому

    Wanaiga wicked ya Kenya lakini haibambi ki viile

  • @hansmsangi9828
    @hansmsangi9828 Рік тому +1

    Tulikuwa tunawachukulia simu hela kwenye dakika 11 46 mpk 11 47 alafu mbele tena unasema mlikuwa hamchukuwi simu kipindi hicho simu hakuna kwenye dakia 12 35 ss tunashindwa kuelewa hizi story za kutunga au mtuweke sawa hapo tunatumia MB zenye hela ndani

    • @mwaka43
      @mwaka43 Рік тому

      Nafikiri alikuwa anaelezea matukio yote aliyoyafanya kuanzia kabla na hata baada ya Simu kuingia miaka ya 2000 mwanzoni, Mara ya Pili alizungumzia matukio yake Specific kabla ya simu kuingia....Huyu bwana amefanya matukio kabla na baada ya simu kuingia

    • @martinmuthii1900
      @martinmuthii1900 Рік тому

      @@mwaka43 hapo umetafakali vizuri

  • @ManaseJubilate-kk2gz
    @ManaseJubilate-kk2gz Рік тому +1

    Kwani huyu alifikiri ataotesha mahindi avune maharage?huo ni mshahara wa maasi yake

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Huyu Mpumbavu labda Ukute stori za Uwongo, Lakini kama Ni Kweli anazungumzia Kumpiga Mtu mapanga Bila hata Kuonyesha Majuitio, He need to Be Arrested!

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema Рік тому

      This is a confession but without strong evidence it's his words against state and that's period

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    Mtangazaji usiongee sana tumsikilize huyu muhusika

  • @josephkavindi3666
    @josephkavindi3666 Рік тому

    Msela wakizamani 😂😂😂Wengi wamekufa keko mwanga na jangwani 😂😂

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Рік тому

    Huyu anaonekana na anavyoongea hajatubu...yaani aliokuwa anafanya kwa wengine kwake ni sawa tu,,,,,pumbavu zake,,,angefungwa life

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Рік тому +1

    Huyu ni kichaa kabisa

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 Рік тому

    Mkishazeeka nguvu zimeisha ndo mnajifanya watakatifu..

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 Рік тому

    Mtangazaji unaongea sana humpi muda wa kutosha kila neno unatia neno lako ulisomea wapi

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Рік тому +1

    Mtangazaji fara anataka kuongea linamzuia iri tuje tuangalie 2

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 Рік тому

    yaaan jamaa analalamika kama alikua mtu...halafu ana bahati hajauliwa sabab enzi zake walikua wanaua balaaa

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому

    Sasa nini kama mlifungwa? Upumbavu wenu uliwaponza na utazidi kuwaponza kama hamkujifunza gerezani.!

  • @muokiones2761
    @muokiones2761 Рік тому

    huyu mjinga bado analia eti alifungwa bure. ye haoni maisha ya watu alivyoyadhuru.

  • @user-mv1vn7oj4w
    @user-mv1vn7oj4w Рік тому

    1991 SIMU GANI ULIKUA UNAIBA WEEWE,ACHA UONGO

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 Рік тому

    Balozi bado ni msimuliaji bora kwa 2023 labda atokee mwengine

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +1

    HAYO NDO MAMBO,,TULISHAMCHOKA YULE MWANENU

    • @ibnmoses979
      @ibnmoses979 Рік тому

      We acha bwana Balozi ni next Level

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    NAWASHAURU TU POLISI LABDA HUYU MJINGA AWE ANATUNGA, KAMA HAYA MATUKIO KWELI YALITOKEA. MKAMATENI HARAKA!

    • @panafricanmawesa2555
      @panafricanmawesa2555 Рік тому

      Heri yako mwenye Akili ombea wenzako mema ,maisha ni siri hujui kesho yako

  • @ramadhanmido3679
    @ramadhanmido3679 Рік тому

    Punguza maelezo kaka unakula mda wa watu kujifunza kipindi ni kizuri ongera

  • @eliasrobert6255
    @eliasrobert6255 7 місяців тому

    Bado sana huyo jamaa

  • @innocentrichard9316
    @innocentrichard9316 Рік тому +2

    pamoja saana dupa mdupange

  • @chezariboy
    @chezariboy Рік тому

    Huyu,, jamaa mwonekano tu inaonyesha bado hatabiriki,, tundu lisu anaangaliaga haki yako imekaa kwenye mstari vinginevyo Mungu alihusika jamaa apate mafunzo gerezan maana uluonea watu sana.

  • @silvesterrichardhelenya1319

    Nazima data mtangazaji unaboa

  • @user-im9ly7vt6b
    @user-im9ly7vt6b Рік тому

    Mwaka 1991 alichukua simu baada ya muda mfupi anasema simu zilikua hamna mwongo

  • @hamismahamdu2334
    @hamismahamdu2334 Рік тому

    Mtangazaji unaongea sana, punguza maneno

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 Рік тому

    Duu hii ya leo kali

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 Рік тому +1

    Ndugu mtangaj utangulizi t nusu saa 😅

  • @jumahalifamkindi2175
    @jumahalifamkindi2175 Рік тому

    Host jitahidi ufupishe maelezo unakera

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 Рік тому

    Wanarudiaga hao

  • @bensonmwita-vv7pb
    @bensonmwita-vv7pb Рік тому

    Punguzeni basi music basi Daaaahhh

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Рік тому

    Maelezo meng

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Рік тому

    Stor za kiwak

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 Рік тому +1

    Mbaga huwezi kuhoji vizuri na story zingine zinarukwa rukwa tu hivyo story hainogi kabisa. Ni kama vile umbea fulani hivi

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 Рік тому

    Umekwepesha vitu vingi sana hi story ina ukweli asilimia ndogo mno umekua muongo kwa kifupi.

  • @simbabbq4427
    @simbabbq4427 Рік тому

    Jambazi huyo angefungwa maisha alimpiga babayake mdogo kisu sema kama katubu niborayake a anisjfu kua jambazinamtakia maishayake mapya...

    • @ThobiasMarandu
      @ThobiasMarandu Рік тому

      Hakuna Kutubu, Kutubu Kwa Mungu, ANATAKIWA AKAMATWE, WAFUATILIE KAMA KWELI HAYO MATUKIO YALITOKEA, ICHUKULIWE KUWA AMEKIRI UHALIFU. NITAISHANGAA SANA SERIKALI KAMA HUYU MBWA HATAKAMATWA

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Рік тому

      sasa unadhan angekuwa anaendelea na hayo matukio angejitokeza kushare mapito yake kwetu au angeendelea kujificha?

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 Рік тому

    Mtangazaji acha mtu aflow too much interuption

  • @SudiKama-ok9eh
    @SudiKama-ok9eh Рік тому

    😂😂😂

  • @joshuajacksonbatholomeo3408

    H!

  • @masanjamasaga5498
    @masanjamasaga5498 Рік тому

    dhuruma haidum

  • @user-mf7tz4go2x
    @user-mf7tz4go2x Рік тому +1

    Kaka story hii inaendelea lini tena

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 Рік тому

    Ww mwandishi unaongea Sana

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Рік тому

    Alitakiwa avuliwe nguo zote hadharani kisha aingizwe kitu mkunduni

    • @panafricanmawesa2555
      @panafricanmawesa2555 Рік тому

      We ni mkamilifu sana au sio

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 Рік тому

      @@panafricanmawesa2555 wewe huwajuwi hao, jambazi ninkama nyoka hata ukimtoa meno bado ana madhara, huyo jamaa na shetani tofauti yao shetani haonekani yeye anaonekana.
      Anajisifu kukata watu mapanga alafu unaniuliza eti mimi kaka ni mkamilifu au jambazi mwenzio.

  • @dennymkumbala5748
    @dennymkumbala5748 Рік тому

    Mwongo uyo

  • @zenanassor7118
    @zenanassor7118 Рік тому

    😅kaa nae mbari atakupiga ndosi huyo bado fuz imekata

  • @ajantstudios2
    @ajantstudios2 Рік тому

    Huyu Jamaa Kama Muongo Hivi🎃🎃

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema Рік тому

      Hata wewe jina tu lako ni uwongo na confused haujui ni mnaija aw mbongo

  • @dennymkumbala5748
    @dennymkumbala5748 Рік тому +1

    Mwongo jamaa aeleweki

  • @allymoshi2053
    @allymoshi2053 Рік тому

    Hujatenda kosa mpumbavu ww wakat ulkuwa unakaba watu yani watu wa HV ningekuwa askar ukiletwa kituoni n kpigwa t sindano ya sumu

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 Рік тому

      Usihukum kabla hujahukumiwa 🙏🙏

    • @allymoshi2053
      @allymoshi2053 Рік тому

      @@jovintosssi3287 yy mwnyw s kasema alikuwa anakaba watu anawakata mapanga sasa unataka tuseme nn pita HV mzeee

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 Рік тому +1

    Story ya uongo hiyo

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 Рік тому

    Bado muhuni tu

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Рік тому

    unajipa jina brigedia ushukuru Mungu wenzako wote wako kaburini

  • @nobilityofmind4784
    @nobilityofmind4784 Рік тому

    Unaongea sana jifunze kumpa mtu muda aseme

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Рік тому +2

    Huja fungwa bure bwege we...
    Umetesa watu sana ndo umelipa mungu alikuwa amekuwekea time yako ya kulipa ulivo watesa watu na kuiba mali zao pumbavu usilalamike umeonewa