“NILIKUA JAMBAZI, NILIVISHWA TAIRI NICHOMWE MOTO, NIKAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA”- MCHUNGAJI ASIMULIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 кві 2022
  • “NILIKUA JAMBAZI, NILIVISHWA TAIRI NICHOMWE MOTO, NIKAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA”- MCHUNGAJI ASIMULIA
    Unaweza ukakaa na kufikiri kuwa wewe una shida nyingi na kwamba Mungu amekusahau mpaka siku utakapo kutana na mtu aliyepitia shida nzito KULIKO wewe!
    Kutana na PASTOR DEOGRATIUS MASAWE akipiga stori na @lillianmwasha kuhusu kifungo chake cha miaka 30 jela kwa kosa la UJAMBAZI!
    Safari yake ya jela ilikuwaje? Maisha ya jela yakoje?
    Tazama mahojiano haya ya KIPEKEE kupitia GLOBAL TV ONLINE.....
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 300

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 роки тому +7

    ​SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @meganewztv6542
    @meganewztv6542 2 роки тому +10

    HUYU NI MCHUNGAJ WANGU AISEE PASTOR DEO MASSAWE HUKU MBEZI (TEGETA A, GOBA) gonga like Kwa mchungaj

    • @awalimunishi
      @awalimunishi Рік тому

      Massaweeeeee basi

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 29 днів тому

      Nafahamu ni urafiki yangu sana nilikuwa nae Gereza la ukonga kama itawezekana Nije kuabudu kwenu naomba nifahamu Jina la kanisa na lipo wapi.Asante

  • @saida4258
    @saida4258 2 роки тому +7

    Pole sana ndugu Mimi ni raiya wa oman nimekifatilixiya kipindi chako hard tork nigiba raisi mama suluh Hassan awape msamaha wafungwa wengine watakuwa wameisha tubu na wamemrudiya mungu magereza siyo mahala pakuwomba hata kama ni aduwi yako usimuwombe mtu au kufunga huko na special majela ya huko tanzaniya nnavyo ya sikiya

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 роки тому +19

    Mungu akubariki Dada yetu kwa kazi njema unayofanya. Nampongeza na Ndugu yetu Deogratius kwa fungu jema alilochagua kuokoka na kumtumikia Mungu. Kumtumikia Mungu kuna faida. Tutafurahi sana kama utatuletea wengine wenye mikasa tofauti na ambao walimwona Mungu wakiwa Gerezani au hata uraiani.

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 2 роки тому +5

    Itoshe tu kusema Utukufu wote apewe Bwana Yesu.

  • @clydeblaise
    @clydeblaise 2 роки тому +9

    Hongera sana Lilian kwa kutuletea kaka Deo, hongera kwake pia kwa kutoka gerezani na ametoa ushuhuda mzuri sana juu ya jinsi gani Mungu ametenda maishani mwake. Hakika nimejifunsa mengi.

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 2 роки тому +16

    Mungu ni mwema....jmn kuna umuhimu wa kwenda kuwatembelea ndugu zetu gerezani....its real hard talk.

    • @emanuelyrichard2181
      @emanuelyrichard2181 2 роки тому +1

      Kwakweli nimebarikiwa Sana inshaaaalah mwenyez mungu atutangulie maisha yetu

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 роки тому +7

    Amen umenipa nguvu Sana huu ushuhuda kwa nnayopitia ..

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому +20

    Huyu Kaka anasir nzito kwenye maisha yake nahis hata kuua aliua sema ndo kaamua kuokoka 😭🙏

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 2 роки тому +4

    Haleluyaaa Mungu wetu ni mwaminifu sana hawaachi amuombae ndugu zangu maombi yananguvu

  • @mariakilasile8792
    @mariakilasile8792 2 роки тому +2

    Nimekuona my brother endelea kuipeperusha hii bendera ya Yesu. Nimefurahi kukuona ukisonga mbele.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +7

    Ameen Yarabb, naamini hata haya ninayopitia Allah atanipitisha sehemu sahihi 🙏

  • @angelinamwakilufi8881
    @angelinamwakilufi8881 2 роки тому +4

    Naliaa Mungu anaweza kufanya mambo katika njia ya Ajabu😭

  • @safina5013
    @safina5013 2 роки тому +1

    Ubarikiwe Lilian pia ubarikiwe Mchungaji kwa ushuhuda wako kweli hakuna gumu kwa Bwana Yesu.

  • @sunset8001
    @sunset8001 2 роки тому +18

    Lilian please guide this guy to write a book in Swahili to be translated into English French and Spanish it will be a true masterpiece best seller. Hollywood will do a movie from that book. Watching from Kenya with 💗❤️💖🌹

  • @lucykebacho3446
    @lucykebacho3446 2 роки тому +2

    Nimejifunza mengi kwa kupitia shuhuda ya Mr Deogratus. Ubarikiwe sana na tena Sana deo

  • @nyakaimafwele3812
    @nyakaimafwele3812 2 роки тому +1

    lilian toka nimezaliwa nafikiri sijawahi kuguswa kwa namna ya interview hii....moyo wangu una mengi sana kusema na Mungu juu yako ila kwamachache nitasema kwamba Namuomba ssna Mungu baba kupitia mwanae YESU CRISTO akubariki kwa kila kitu na akugunze kama mboni ya macho daima na kukujibu kila ombi na haja njema ya moyo wako .hakika kipindi hiki cha hard tolk mikono ya YESU inakuongoza kuendesha kipindi hiki....

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 роки тому +3

    Kwenye hii Dunia tusikate Tamaa mungu yumwema

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 2 роки тому +3

    Mungu wetu ana Njia nyingi za kukufikisha kwenye baraka!

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому +5

    Kwakweli mrudishe strory nzuri na inafundisha aje atupe pia aidia ya biashara iliyomfanya kwa kipindi kifupi kupata nyumba na gari na kuwa na maisha mazuri tafadhali 😉❤

    • @japhetnnko7398
      @japhetnnko7398 2 роки тому

      Kutoka kwake gerzan Mungu alishamwamdalia mtu watu wa kumtoa at bila y biashara angetoka kimaisha Kamaukikutan na watu sahih Hy ankubia nakupa gar nimependa ushuhuda wako wengne at myumba wanakuchangia unashangaa antushinda at baadh y sis tuliokuw huru mtaan.

  • @mwanaindimkwizu7238
    @mwanaindimkwizu7238 2 роки тому +2

    Tafadhali mrudishe Deo,mtu wa Mungu

  • @zuhuramustafa3204
    @zuhuramustafa3204 2 роки тому +8

    Naomba arudi tena kwa kweli kumtegemea MUNGU kuna faida kubwa barikiwa kaka

  • @ramadhanirashidkigoto8445
    @ramadhanirashidkigoto8445 2 роки тому +1

    Maombi hayaozi,Mungu muweza ndie kila kitu katika maisha ya mwanadamu,hongera kaka Deo na mwendesha kipindi

  • @elinazakalia7253
    @elinazakalia7253 2 роки тому +2

    mungu akubariki dada nimejifunza mengi sana kupitia huyo baba mungu awatowe na wengine amina barikiwa dada lilian

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 роки тому +2

    Apo kwenye chakula saa nane mchana mpaka kesho Tena duh! Mungu tunusuru namabalaa sisi navizazi vyetu

  • @nickjuma3937
    @nickjuma3937 2 роки тому +15

    Mwandishi usioneshe kushangaa sana siyo weredi!!

    • @benmbughi4955
      @benmbughi4955 2 роки тому

      Una YAKO tu

    • @stephen3614
      @stephen3614 2 роки тому

      Mwandishi ni mwanadamu,kuna wakati ubinadamu(i.e hisia na mapokeo mengine) vinashinda taaluma..

    • @mwanajuma4743
      @mwanajuma4743 2 роки тому +4

      Anashangaa sana na yeye hadi anaboa

    • @Future-ul4vi
      @Future-ul4vi 2 роки тому

      Nyie ambao mnaona hayashangazi mtakuwa mna roho ngumu sana

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 2 роки тому

      @@Future-ul4vi kwakweli stori kama hii ukashindwa kushangaa mmmh

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 роки тому

    Asante sana Dada yetu LILIAN MWASHA MTANDAO WA HARD TALK. UMEJIKITA KUINJILISHA IPASAVYO. MUNGU AKUBARIKI MNOMNO..

  • @jannethjohn5879
    @jannethjohn5879 2 роки тому +5

    Ameeen maombi sio takataka ubarikiwe sana.

  • @pilimasala4492
    @pilimasala4492 2 роки тому +2

    Mungu akubariki dada lilian,hii interview nilikikua naisubiri,cjui kwann huwa nasukumwa kutembelea wafungwa na cjawah,I need to do this

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 2 роки тому +15

    Ameen naamin ninayopitia ktk maisha Yang yatapita🙏🙏amenities moyo dada Lilian God bless you ❤️

  • @agnesndemanyisho5291
    @agnesndemanyisho5291 Рік тому +1

    Lilian nimelia kwa kweli. Mwache Mungu aitwe Mungu

  • @leonardndabila2446
    @leonardndabila2446 2 роки тому +14

    Dada wewe ni mtumishi wa MUNGU Vaa nguo ndefu ili usiwape nafas ya kukuhukumu kwa mavazi

  • @nasmamsomari5613
    @nasmamsomari5613 2 роки тому +2

    Jamanii arudii tenaa ... Hukumuuliza kuhusuu nyumba na garii anazomilikii alizipata pata vipii ndanii ya kipindii hichii kifupii ama alikuwaa na nyumba before kuwa gerezaniiii

  • @salmaomar8612
    @salmaomar8612 2 роки тому

    Ahsante sana Dada Lilian Mwasha. Kupitia Wewe nimeipata fursa ya kumjua Bw. Deograsia na hadithi ya maisha yake. Hongera kwa kazi yako nzuri. Mwenyezi Mungu akubariki.
    Bw. Deo pole na Hongera sana. Mwenyezi Mungu ni mwema. Ningependa nipate mawasiliano na Wewe.

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 роки тому +1

    Mungu anatisha Bwana Yesu asifiwe saana

  • @robertkwene1716
    @robertkwene1716 2 роки тому +2

    Hii ni shule kabisa mliotupa leo..Mungu awabariki sana

  • @bediabahati7700
    @bediabahati7700 2 роки тому

    Kwakweli .Mungu ni jibu kwa kila jambo asante kwa kazi nzuri .Dada Liliane Mwasha I love ❤️ you so much👏🏽na Kaka hapo ame tu jenga sana kwa story yake ambayo ame pitiya kwenye jail mubarikiwe sana .God be the Glory 🙏🏽🙏🏽

  • @feisalissa3009
    @feisalissa3009 2 роки тому +2

    Nimependa hiki kipindi hongera niko Mozambique 🇲🇿🇲🇿👍💯

  • @janenyangu6356
    @janenyangu6356 2 роки тому +1

    Mungu azidi kumbariki naomba arudi afanye tena mahojiano

  • @user-hw9rd1fd4j
    @user-hw9rd1fd4j 5 місяців тому

    Hongera sana.Nimefurahi kusikia umepita kwenye tanuri la moto ili uje kuokoa wengi kupitia neno la Mungu na shuhuda zako za kusisimua. Ubarikiwe sana

  • @williamkiravu1048
    @williamkiravu1048 2 роки тому +2

    Mungu anawajua walio wake....

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 2 роки тому +2

    Ubarikiwe Sana Kaka Deo kwa kumpokea Yesu Kristo nakumtumikia Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo kuwa Mchungaji kutii sauti yake

  • @stellaoguma9018
    @stellaoguma9018 2 роки тому +3

    Mungu afananishwi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @bahatinakey3392
    @bahatinakey3392 2 роки тому +1

    Ukiwa na imani ni kweli mungu yuko kubwa ni kumrudia yeye mungu wetu,kwani hakuna mungu aliyeshindwa yuko mungu aliyetushindia.

  • @angelinamwakilufi8881
    @angelinamwakilufi8881 2 роки тому

    Nakupenda Lilian Mwasha , you're an inspiration to many!

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 2 роки тому +3

    Lilian hilo seals la kurudi siyo la kuuliza ni la lazima, aje atuambie hiyo nyumba biashara na gari amevimirikije tangu mwaka 2019 Hadi 2022!

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 роки тому +1

    Umenitia moyo sana kumbe namm nitafikia ndoto zangu,namaisha yachangamoto yataisha kwangu nitamuona Mungu

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 2 роки тому +2

    Sister Nimesubirii Sanaa Umuulizee Swali la Rafiki Yake Waliefungwanae Alitoka Jela na Yeyee au Alibaki Jela na Kama Alitoka Walitokaa Muda Tofauti au Nani Alianza Kutokaaaa
    Plz Naomba umuulize na uje kutupa jibu hata wewee🙏

  • @samwelhhaway1145
    @samwelhhaway1145 2 роки тому +5

    Fanyeni iwe kila wiki, kipindi hiki kina mambo mazuri sana

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 роки тому +4

    ALLAHU AKBAR
    MUNGU MKUBWA
    Kuhusu yule rafiki yake pia alitoka nae ama ?
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 2 роки тому +2

    Mungu ni mwema pole sana kaka

  • @treasurerussel3422
    @treasurerussel3422 10 місяців тому

    Mungu amekupaaaaa sauti Mungu aibarikiiiisautiii yako mpendwa wa Mungu

  • @kinaratamasha5498
    @kinaratamasha5498 2 роки тому +3

    Muendelezo alipataje mke,alipataje nyumba au gari na etc....

  • @janethpaul1553
    @janethpaul1553 2 роки тому

    DEO amenibariki sana🙏 mrudishe tena naamini Kuna mengi zaidi ya kutufunza

  • @oldavidasemu2420
    @oldavidasemu2420 2 роки тому +3

    Ameeeen ahsante nimejifunza👏👏

  • @SophiaAlly-yh5ks
    @SophiaAlly-yh5ks 14 днів тому

    Rafik yake alitoka au imekuaje,history ya kaka imenitoa machoz lakin yote tuseme mungu ni mwema 🙏

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому +3

    Kweli akuna kukata tamaa kwenye hii dunia

  • @user-bk7de1jv3w
    @user-bk7de1jv3w 8 місяців тому

    Bro deo pole sana ,,.mpaka sasa utatambuwa ndugu mwema ni yupi kwako ,,

  • @adelinatate9704
    @adelinatate9704 2 роки тому +3

    Hard Talk indeed! Lilian 👏

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 2 роки тому +1

    Mungu akubariki sana my Lilian nakupenda mnoo

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому +3

    Walikuwa wanaiba bila kuua kweelii????Mungu amekubadilisha sanaaa hoongeraa na usiwevuguvugu tenaa.Mtumikie Mungu vyema asikupungukie hata tone.Mungu akubariki sana.

  • @transmadale
    @transmadale 2 роки тому +2

    Duh,hapo kwenye maendeleo mbona unatuvhanganya sana,miaka mwili tayari una nyumba, gari,Biashara,mhhhh,,

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому

      usikute anapiga mishe izo izo😜

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 2 роки тому +1

    Dada msifu aliyemuumba Yesu

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +13

    Huyu na wenzie wameuwa wengi Kwa uwizi wao wa magari' ila hasemi tu kama walikua wanaua

  • @Watema23
    @Watema23 2 роки тому +6

    Ikiwa jamuhuri ili kufunga kimakosa…una haki ya kufungua staka zidi ya jamuhuri kwakupotezea mdaa huu gerezani.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому

      Umesikiliza au

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 2 роки тому

      @@hadijamandanje6189 😂🤣🤣🤣

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому

      @@konshazikonsha6180 maana amekilri alikuwa jambazi Ila wanasema amefungwa kimakosa aishitaki jamhuri,hivyo nimejifunza tukiona kichwa Cha habari tunatoa hukumu bila hata kusikiliza

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 роки тому +2

    Mungu Mkali

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 2 роки тому +4

    Hili kwa ninavyoona ni tangazo la dini tu hakuna kupigwa bila hata kovu!

    • @alfayorgodfrey6089
      @alfayorgodfrey6089 2 роки тому +5

      SASA HILO TANGAZO KIVIPI SASA? KAMA KWAKO HAIINGII AKILINI TULIA, MAANA VITU VINGINE VYA ROHONI SIO RAHISI MBUGILA MBUGILA KAMA WEWE KUELEWA. SHUBAMIIIIIIIIIIT

  • @rithameinrad4289
    @rithameinrad4289 2 роки тому +1

    Nimegundua shetani anashughulika Sana na watu wenye kitu ndani lakini walio wake Mungu aliwajua toka tumboni mwa Mama zao na aliwatakasa hawafi hao mpaka washuhudie matendo makuu ya

  • @kaikochiteji9306
    @kaikochiteji9306 2 роки тому +5

    Maisha ni fumbo kuu hakuna haja ya kukata tamaa HONGERA MCH. DEO kama bado ana muendelezo wa hadithi mlete tena

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 роки тому +1

    Tunajifunza kutokana namakosa thanks Lilian

  • @stevenrutamu2263
    @stevenrutamu2263 2 роки тому +1

    Nimefulahia kipindi hiki (hard talk) na nafuatilia nikiwa Rwanda. Big up sister

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому +1

    Hamna linaloshindikana kwa Mungu Yani mpaka mwili unanisisimka hii stori

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 роки тому +1

    Mungu asifiwe sanaaaa

  • @mashakamagembe1188
    @mashakamagembe1188 2 роки тому

    Mungu ni mshindi Mungu mwema popote Mungu yupo

  • @johnjorichi4388
    @johnjorichi4388 2 роки тому +1

    Namkumbuka sana huyo jamaa nikuwa namkutaga kipindi naenda kumtembelea kaka angu Emmanuel Humbe nayeye kashinda rufaa yake mwaka jana kwa mazingira kama hayo ya kaka Deo natamani nionane naye asee kaka Deo japo ata nipige naye stori

  • @gatie_lightness02
    @gatie_lightness02 2 роки тому +16

    God exist in difficult situations

    • @jamil1547
      @jamil1547 2 роки тому

      Lilian naomba uniombee na mie nakupenda sana

  • @janeawino7798
    @janeawino7798 2 роки тому

    Jamani nimebarikiwa sana na story ya Deogracious very inspiring Asante Mungu nami na amini atanibadilishia maisha yangu🙏🏿

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 роки тому +3

    Amen pole sana kaka

  • @josephpetro2968
    @josephpetro2968 2 роки тому +4

    Audi atuambie miaka3tu amempata nyumba gari na biashara hii imekaaje arupata ufadhiri au vipi.

  • @suzanakesmil
    @suzanakesmil 2 роки тому +1

    Dada Lilian nakukubali sana mungu ukubariki

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 роки тому +2

    Ubarikiwe dada

  • @annagipson6528
    @annagipson6528 2 роки тому

    amen Mungu nimwema siku zote

  • @alfredymjema5834
    @alfredymjema5834 Рік тому

    Mungu huwajua wake tañgu kuzaliwa kwao.

  • @IsaackMwambojoke
    @IsaackMwambojoke Місяць тому

    Msawe arudi maana amenibariki sana isaack mwambojoke

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 2 роки тому +4

    Good lesson please bring him back🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 2 роки тому +3

    I have watched this more than 10 times

  • @treasurerussel3422
    @treasurerussel3422 10 місяців тому

    Haleluyaaaaa Mungu yupo na anaishiii

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 2 роки тому +4

    Kwa nini hakumzungumza tena yule DEREVA Jee aliwahi kuja kutoa ushahidi Mahakamani na jee alimuomba Msamaha , na wewe mtangazaji hukumuhoji hatiuma ya yule Dereva walikutana tena>>>???

  • @camillasiwa6506
    @camillasiwa6506 2 роки тому +1

    Tafadhari mrudishe tena 🙏🏽

  • @expert5898
    @expert5898 2 роки тому

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 роки тому +3

    Lilian kweli nimelia. Unastahili kuwa mchungaji

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 роки тому

    Alhamdulillah kwayote big up Lilian❤👌👌👌

  • @nadiakabamba7373
    @nadiakabamba7373 Рік тому

    Asante dada Lili uyu baba arudi kweli

  • @joycefelix9047
    @joycefelix9047 2 роки тому

    Dada Lilian. Naomba arudi. Swali la Rafiki ake aliishia wapi, amtembelee na kumshauri amrudie Mungu

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 2 роки тому +1

    In God we trust😘

  • @mwaget0815
    @mwaget0815 2 роки тому +1

    Umemkatisha pale aliposema kuingia mahabusu ndio ilikuwa hatari kuliko alivyopigwa ungemuacha akaelezea kilichomkuta alipokuwa akiingia mahabusu

  • @FridaChami-yi6cv
    @FridaChami-yi6cv Рік тому

    Njia za Mungu hazichunguziki...Glory to God

  • @Chapesatv
    @Chapesatv 2 роки тому +1

    Mkasa umepitia ila sasa hapo kwaiyo sauti baba pole baki napo sema allhamdulillah upo hai

  • @ericaanu6538
    @ericaanu6538 2 роки тому +4

    Arudi atwambie baada ya kutoka alianzia wapi hadi kufikia kumiliki nyumba na kazi zote

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 2 роки тому +1

    Lilian hayo makope hujapendeza kabisaaaa