Labda benki zile fake ndio utazima closed circuit cameras..otherwise hixo siku huyu mtumishi alifanya hio kazi na technologia ya sasa aisee pesa zinahidhathiwa na code za umeme!
Usituelezee tunataka meneja afanye ivi kwanza uvamizi unapoanza no tuelezee tulipofika pale tukaingia benk tukafanya hivi na vile... sasa hapa unatupa maelezo sio history yako
NAMKUBALI SANA HUYU MWAMBA....ANATUPA REAL SCENARIO HAMNA UTOTO KABISA !
Kaburi wazi maana yke muda wowote anakufa kaburi lake lishachimbwa muda wowote anakufa kwa kaz zke za uhalifu
Huyu jamaa ako vizuri, anasimulia tukio utafikiri unatizama movie flani👏👏
Kweli kabisa Mkuu!! inakuwa kama unaangalia Movie kabisa
L
Ndingi yuo vizuri sana!
Mtumishi unatupea mpka mfano tuelewe😅 Asante Sana tunakupata vizuri makini
Huyu baba hanajua kuadisia jmn😂😂 na enjoy
davistar is enjoying this testimony🤣🤣
Hii story nzr sana
Kiukweli kabisa mtumisha unahadithia uliyo yapitia, MUNGU akubaliki sana
Huyu. Mzee bora ameokoka!! Daah yuko vizuri kwenye matukio na kuelezea pia.
Huyu si mzee , umri wa kati.
Sichezi mziki hapa, ride ngumi namba mbili imenyooka kama ruler😂
😂😂😂
😂😂😂
BONGE LA INTERVIEW ..BIG UP DAVISTAR
Yaan mtumishi ningekua napesa hiyo history Yako ya maisha ya kijambanz ningeitumia kutengeneza movie moja Kali sana
Kwenzi unalia kwa mkeoi😂😂
naam naam
Mwamba uyu hapa
Davistar unatupa Raha sana
Kabisa yani Dav anainjoy 😂😂😂
Davistar unafurahia sana story 😂😂😂😂
Davista 😂😂😂 utakufa kwakicheko 😂😂😂😂😂😂😂😂stori 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu ni mwema😂 huyu jama ingekwa hajabalika watu wangepata taabu kwa mashine
Mashine gani
Pamoja Sana Kaka Mkubwa🙏
Waa hii ni movie safi hapa nilipo mimi nacheka
Hiiyoo suraa nikiiaangalii ni yazii kweli kwelii😂😂😂 sema anajuaa snaa kusimuliaa
Majambazi wana moyo duuh mm tu hapa naogopa
😅😅😅😅
Du hatari
Davistar ankol umepata msumiliaje leo 💯 huyu Jamaa ni Noma
Davista badilisha uchekaji bana
🎥🎥🛌🔥🔥🔥
Davista Mata 🎉🎉weka ingine please
Mbona anaeleza ,halafu anapotea njia ,
Hatari sana😅😅
Hatari sana
Unauliza mswal ya makusudi sana mpaka anarudia stori
Kaburi wazi majina zingine bana😂😂😂😂😂😂😂😂
Nashauri ucheze move ya Jambazi sugu
Time is most imprtant spices in life
Atari Sana 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaaaah
Davista unawatu wengi sana😅
Babu ana mizuka kichiz 😂😂😂😂😂
HUYU JAMAA MJESHI HUYU STORI YAKE TAMU SANA
Uyu jamaa angekuwa U S A angesha pewa kitengo
Niko makini mno kufatilia story hii
davsta uwe makin na huyu bwana maana ninavyo muona anaweza akafanya jambo lofoten kwa mda wowote
Kweli Enock anaweza kubadilika kwa ghafla😂
Huyo ni mtumishi wa bwana asilimia 100 isipokuwa anasimulia kwa kuvaa uhusika moja kwa moja na ndio nzuri maana inakuwa na feeling fulani ndani yake
Ukapimwe akili 😂😂 ndugu enock huyu baba hanavaa huusika kwasababu sio stroy ya kutunga na kapitiq
😂😂
😂
😂😂😂
Uyu jamaa anaipenda kazi yake😂
Labda benki zile fake ndio utazima closed circuit cameras..otherwise hixo siku huyu mtumishi alifanya hio kazi na technologia ya sasa aisee pesa zinahidhathiwa na code za umeme!
Sasa si unasikia anasema ilikuwa miaka ya 80's technology ilikuwa bado sio advanced sio kama miaka hii
Usituelezee tunataka meneja afanye ivi kwanza uvamizi unapoanza no tuelezee tulipofika pale tukaingia benk tukafanya hivi na vile... sasa hapa unatupa maelezo sio history yako
Tulia wewee upate udambwi udambwi 😂😂😂😂😂😂🤣
we naye hembu tulia hapa tunatamani story isiishe we unataka afupishe ,,,subiri episode ya mwisho, tutakustua
akisimulia km unavotaka ww hautaelewa
😂😂😂😂😂