Nakupata vzr mchungaji. Nilikuona ushirombo mwaka 2006 uliitwa kuja kuhubili kati hubili zidi yawachungaji wenzio ushiromba mjini pale stendi. Dah😂😂😂 nakuoenda baba
Bajeti ya muvi uliotaja haitoshi hata epsd 1 ni ndogo sana tafuta wadau mfanye kazi stori imaa vizuri, na mtu mwenyewe Yuko vizuri maboss milango iko wazi karibuni mangwana yupo
Hehehe 24:58 ila kumbuka it's a two way thing maana jambazi pianhaqana huruma. Wanaua, wanabaka, wanapiga hadi watoto wasio kuwa na hatia, hii ndio maana Uma wa watu huwa na hasira wakimkamata mmoja na kujmpa kipigo cha maisha yake. Kwanza majambazi wa kuua ovyo siwezi wahurumia
Elewa hapa anaeleza matukio mchanganyiko yaliyowahi kuwatokea au kufanya enzi zake na wenzake kwa wakati tofauti tofauti. Siyo mtiririko wa story kama ilivyo huko mwanzo
Wa Kwanzaa tena, naipenda hii story ya mchungaji
Sawa shehe wan
Namjua Power mangwana Ni hatari Sana ndugu mtanzania
Nakupata vzr mchungaji. Nilikuona ushirombo mwaka 2006 uliitwa kuja kuhubili kati hubili zidi yawachungaji wenzio ushiromba mjini pale stendi. Dah😂😂😂 nakuoenda baba
Bajeti ya muvi uliotaja haitoshi hata epsd 1 ni ndogo sana tafuta wadau mfanye kazi stori imaa vizuri, na mtu mwenyewe Yuko vizuri maboss milango iko wazi karibuni mangwana yupo
Bageti ya hiyo Movie ni milion.200 hadi mia.300
Sheby jaribu kuwa professional, unampoteza huyu jamaa kwenye mstari. Unamaswali mengi sana ambayo kesha yaelaza huko nyuma.
Black September Jina lake zuri😂😂 kulitaja
Liston sambarita, Bob Niger
Sema hili jina black September linavutia mpaka bajaji yngu nimeiandka black September
Hehehe 24:58 ila kumbuka it's a two way thing maana jambazi pianhaqana huruma. Wanaua, wanabaka, wanapiga hadi watoto wasio kuwa na hatia, hii ndio maana Uma wa watu huwa na hasira wakimkamata mmoja na kujmpa kipigo cha maisha yake.
Kwanza majambazi wa kuua ovyo siwezi wahurumia
Wazo la hiyo movie ni zuri sana ila kwa budget ya milion7 nahisi ni ndogo sana kuna haja ya kushirikisha wadau
Shebby achaga kuongea sana mwache jamaa atitirike....
Sheby bado sana anatakiwa ajifunze zaidi jins ya kufanya interview.
Stor nzr sana
Huyu mtangazaji anaboa bora davistar
sheby ushapata list za majambazi hao wengine tunataka ndondo juu ya ndondo tupumzike na wachawii story zao
Hii move itampa utajiri aminini ninachowambia
Amina
Tuwekee PART 23 kuendelea
Davista Mata 🎉🎉🎉🎉
Acha maswali dingi
Huyu black September yupo wapi kwa sasa
Dah story haitaisha
Sikuhizi police pia hua wana waua wame choka nahakuna kitu hukasirisha raia kama jambaxi kuokolewa na police
Story tamuuuuuu
Tukio lako la mwixo ili kufikia kuokoka
Mbn anaongea kama salim kikeke ni mwandishi wa hbr nin
Pengine walikua ni wamishinari na malaika wa Bwana aliwapigania
J.B.B.1999
Papa lufungulo ulisema mlipotena kule Zambia lupulu kipindi mnaiba mafuta sasa mbona unamtaja tena hapa😢
Alisema alipigwa risasi.....ila hakuwa na hakika kama alikufa ila Ana more percentage sure that he died
The story is not in the dated flow ni matukio tu...listen keenly
Elewa hapa anaeleza matukio mchanganyiko yaliyowahi kuwatokea au kufanya enzi zake na wenzake kwa wakati tofauti tofauti. Siyo mtiririko wa story kama ilivyo huko mwanzo
Katikati ya Karagwe na Ngara ni Kimisi
SHEBY UNAHARIBU HII STORY
Mbona kama unateteya kuwawa kwa manjambazi
Wakwanza
Uku amna wizi watu tupo na aman mngekuja mnge uliwa tu
huko wapi?!
@@clementmahiya409 oman
Hujaongelea sehemu muhimu sana jinsi ulivyookoka, na ilikuwaje hata ukaamua kuokoka?
Story ya Maswa haina mwendelezo!!
Ni kweli pointi ya muhimu uliokokaje