Tundu Lissu aikosoa vikali serekali mgogoro wa Palestina,Hajaacha kitu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 8 місяців тому +21

    Huyu ndugu anasoma sana kiasi cha kumfanya kujua mambo mengi sana duniani. Sikuwa najua kama anaijua historia ya mashariki ya kati na mgogoro wa Israel & kiasi hiki. Very good Tundu Lissu. Wewe ndiye Rais wangu

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 7 місяців тому +2

      Yaani tukimpata mtu kama Tundu Lissu kama rais wetu tutapiga hatua kubwa kimaendeleo, he's a genius.

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 місяців тому +1

      @@godfreydavid6996 Hama uko uliko tukuchague uwe rais wetu...Mungu akufanyie wepesi

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 7 місяців тому

      @@mamboshepea8888 nihamie wapi ndugu yangu?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 місяців тому

      @@godfreydavid6996 kwani wewe ndo lisu??!! Namwambia lisu!!! Mwenyewe akiisoma hii comment ataelewa...!!!

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 6 місяців тому

      @@godfreydavid6996 akihamia kwenye choo cha umma lazima atanuka kinyesi

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 8 місяців тому +17

    Wasemaji wa mgogoro wa middle east wamekua wengi na wamekua wanakela sana,wanachambua history ya mgogoro bila kua na uelewa zaidi ,Sasa kama Tundu Lisu anatuelimisha mpaka tunaelewa vzr historia nzima,mmefanya jambo zuri sana sana kumpata mueleweshaji mzur asiegemea upande wa kidini,Bravo Tundu Lisu🤝💪

    • @btcministries7260
      @btcministries7260 8 місяців тому +1

      Lakini hajatuambia chimbuko la wayahudi ni nchi gani

    • @justifylugendo2470
      @justifylugendo2470 7 місяців тому

      ​@@btcministries7260umeuliza ninachokiwaza

    • @johnkilongo-cy8zt
      @johnkilongo-cy8zt 6 місяців тому +1

      Ukisema Israel imeanzishwa 1946-47 biblia imeandkwa miaka elfu mbili iliopita na Hilo taifa lipo kwny maandko nitashndwa kukuelewa Babu yangu....!

    • @khamisihamadi629
      @khamisihamadi629 4 місяці тому +1

      Arudi darasani

    • @user-jj6gv2ow6j
      @user-jj6gv2ow6j 3 місяці тому

      ❤❤ Hatuwezi kutenganisha history ya Dunia na Mwanzo wa umbo la wazo la Mungu kwa Israel na si tu mambo ya kidini au tawala za Dunia za hivi karibuni

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 8 місяців тому +40

    Hongera Dada Interviewer kwa kazi nzuri. Hongera Dr Lissu kwa historia na uelewa mzuri wa masuauala ya Kimataifa

    • @athmanmzee7144
      @athmanmzee7144 8 місяців тому +1

      This was a lecture not interview...he did it well

    • @fredynjige5663
      @fredynjige5663 6 місяців тому

      Documentary nzuri sana

    • @olelaizer2012
      @olelaizer2012 5 місяців тому

      Q

    • @elvasmbogo5311
      @elvasmbogo5311 3 місяці тому

      Hi is not Dr. But for his brain you can call him professor but not by professional

  • @abulhakim2294
    @abulhakim2294 8 місяців тому +5

    I have read the history of Israel and Palestine for different times lakini Leader of the opposition in Tanzania. Bwana tundu lissu ww umeni fngua zaidi macho you are a teacher in history.

  • @ramadhanahmed8898
    @ramadhanahmed8898 8 місяців тому +7

    Good analysis, no bias .Thanx Mr Lissu.

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 8 місяців тому +8

    Congratulations 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 T. Lissu Masha Allah you talking about true history from Israel and Palestine conflict..

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 7 місяців тому +1

    Tundu Antipas Lissu, the living legend.Asante sana,i stand with Palestine not because i am Muslim or Christian but because i am a sane human being.

  • @mnganga41
    @mnganga41 8 місяців тому +4

    Dr Tundu,ni tundu la historia sahihi,mkenya karidhika❤

  • @yusuphkibacha3063
    @yusuphkibacha3063 8 місяців тому +3

    Nashukuru Mwalimu umetoa ukweli na uhalisia. Mwenyezi Mungu akubariki .

  • @MacedoniaCall3
    @MacedoniaCall3 8 місяців тому +8

    Asante sana kwa lecture yako. That was excellent!

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 2 місяці тому

    Ahsante sana kiongozi kweli unastahili kuwa kiongozi wa watu kwani kwenye hili Ndipo wengi hukwama.

  • @user-pc8wo1hh9l
    @user-pc8wo1hh9l 7 місяців тому +11

    Mwenyeezi Mungu akubariki wewe na familia yako kwa ukweli. Kwa ukweli Umeijua Historia vizuri sana. Ukweli huu nahitajika duniani kwani wengi bado hawaijui vizuri.. Alhamdulilah. Allahu Akbar

    • @mchomejoseph3907
      @mchomejoseph3907 6 місяців тому +1

      Ukiianzia Historia hapo maelezo yalipoanzia, Wayahudi wanahatia. Inapasa Historia ianzie tangu Ibrahimu au basi ianzie wakati wa Yesu.
      Hapi ilipoanzia inamalengo na makududi hatujayakua, huenda tutayajua baadae.
      Siamini kuwa mtoa historia ameyajua hayo yote kwa usahihi kabisa, halafu asiyajue yaliyotangulia kabla ya hapo.

  • @godifalsafa
    @godifalsafa 8 місяців тому +8

    Hii lecture kubwa sana kwa Siasa za ulimwengu 🙌🏾🙌🏾

  • @davidmwaipopo5171
    @davidmwaipopo5171 8 місяців тому +26

    Natamani uje kuwa rais wa nchi hii coz unaakili Sana lisu mungu akutunze Sana hazina ya Tanzania❤❤❤

  • @jonasnzemya7700
    @jonasnzemya7700 8 місяців тому +3

    Haya bwana mungu aemdelee kukulimda siku zote,uko vizuri mno, asante

  • @athmanmzee7144
    @athmanmzee7144 8 місяців тому +20

    Lovely
    For the first time i have enjoy swahili lecture...well done,you did ur home work.
    #Freepalastine

  • @Heroes122
    @Heroes122 8 місяців тому +10

    Bravo Lisu 🎉. Elimisha watu makanisani. Watu wengi hawakuuona historia wanaunga mkono Israel bila kuelewa tofauti ya injeel na azimio la umoja wa mataifa. Umefanya kazi nzuri sana Baba. Unarikiwe 🙏🏾

  • @user-ku6eg9ti1g
    @user-ku6eg9ti1g 8 місяців тому +4

    Something added in my mind,Thank you very much Honorable Lissu

  • @libeberu
    @libeberu 8 місяців тому +29

    Wow, I must commend Tundu Antipas Lisu for conducting such a comprehensive and educative interview on the history of Palestine and Israel. It's so refreshing to see someone delve into the complexities of this conflict and present the facts in such a clear manner.
    I especially appreciate how he shed light on the true position of the USA in relation to this ongoing conflict. It's crucial to know the truth, and Tundu did a fantastic job in bringing that to light. This interview has definitely broadened my understanding and awareness of the situation.
    Kudos to Tundu Antipas Lisu for his outstanding work in addressing such an important and sensitive topic. I hope to see more interviews like this in the future, as educating ourselves on the truth can pave the way for a better and more peaceful world.

  • @HurumaMwalyaje-hw1yk
    @HurumaMwalyaje-hw1yk 7 місяців тому +1

    Nimeipenda Hii Sana, ' Gaidi Kwako Kwa Mwezako ni mpigania Uhuru!!!'

  • @user-en2gp3fb7m
    @user-en2gp3fb7m 7 місяців тому +3

    Kichwa hicho Rais wetu huyo ❤❤❤❤ gombea kura nakupa kama utaendelea hivyo hivyo

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 8 місяців тому +7

    Good lissu tunajivunia kuwa na lissu mwamba imala Mungu azidi kukamilsha ndani yako.

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 5 місяців тому +1

    Ongereni sana sana Kwa hiki kitaishi na kuwaelemisha watu wengi juu ya hii migogoro lissu ni kichwa aisee

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 8 місяців тому +8

    Aiseeee ila nampedaga lissu jamani yaan ana ubongo mkali sana tuna jivunia lissu kuzaliwa Tanzania

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 місяців тому +1

      Na ndomana Magofuli alitaka kuzipoteza akili zake jamaaa mind kubwa sn Mashaa Allah

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 8 місяців тому +8

    Well spoken my leader Tundu lieu 🙏

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 8 місяців тому +9

    Alright, though Lissu sio muislam lakini anapenda haki. Namuombea kwa Allah ampe uongofu.

    • @user-nn6zq1ok7i
      @user-nn6zq1ok7i 8 місяців тому +1

      Unadhani huko parestina hakuna WAKRISTO? Kabila sio Imani

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 8 місяців тому

      Anajua angeongea tofauti tu mngeandamana ninyi na kuanza kusakama Chama chake na kuingiza udini. Lissu anajua kuwasoma vizuri mawazo yenu.

  • @jeromeseria2487
    @jeromeseria2487 3 місяці тому

    Kwa kweli Lisu anaielewa na kuieleza historia vizuri

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi 6 місяців тому +2

    Tundulisu uko vizuri kuuchambua ugaidi wengi wengi husema ugaid ni uisilam

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b 8 місяців тому +13

    Hii storia umeisema kwa haki kabisa bila ya ubaguzi wa kidini, hongera sana

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 6 місяців тому

      Kwanini umetaja dini au kwa sababu dini yako ipo upande wa hii story?

  • @barick
    @barick 8 місяців тому +4

    Lissu nakupenda sana kwani wewe umebeba dhana halisi ya ukombozi❤❤❤❤❤

  • @josiahbineguro6393
    @josiahbineguro6393 8 місяців тому +2

    Siku zote nampenda Mhe lisu kwa Sababu ni muumini wa haki hajawahi kuegemea upande pale unapotaka kujua kweli basi msikilize Mhe lissu

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 8 місяців тому +3

    Huyu ndiye wasiojuiikana walitaka kumpoteza. Tungeyapataje haya? Mungu asiyeshindwa akagoma kumchukua. Asante Mungu wetu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @user-zt3sd2nk7d
    @user-zt3sd2nk7d 8 місяців тому +18

    Thank you Tundulisu for educating most of us!!

  • @mkoteaziz5238
    @mkoteaziz5238 8 місяців тому +3

    Very well elaborated. Bravo TAL👏👏👏👏👏. Hii iingizwe kwenye historia ya Kimataifa kwenye Shule zetu uli kuondoa propaganda zinazoidhinisha mauaji ya wasio na hatia.

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 7 місяців тому +1

    Congratulations Mr Tundulisu you doing well,God bless you

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 8 місяців тому +2

    Tundu Lissu your brilliant person because you speaks the thruth of Israel History, that is, Big up.

  • @user-ku6eg9ti1g
    @user-ku6eg9ti1g 8 місяців тому +4

    Enjoyable story, Thanks Mr Lisu for Lecturing us.

  • @user-iv7to8um3t
    @user-iv7to8um3t 8 місяців тому +9

    This guy is very bright. Have listened keenly from Kenya

  • @eliamkamba6899
    @eliamkamba6899 6 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana Kwa kuongea ukweli. Mungu awatangulie sana ndugu zetu wapalestine na wengine wote wanaonewa

  • @user-fs7nb2xi3v
    @user-fs7nb2xi3v 6 місяців тому +1

    Uko vizuri lissu wewe ni mkweli hongera Kwa elimu yako hakika wazazi wako hawakupoteza ada.

  • @munirmaulid8155
    @munirmaulid8155 8 місяців тому +26

    My History teacher... Mr. Lissu

  • @user-tn1bn5ou2i
    @user-tn1bn5ou2i 8 місяців тому +6

    Hongera maana nimetulia nakusikiliza kwa umakini Sana ili nikuelewe zaidi naamini hayo yote wengi hawajui

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 8 місяців тому +2

    Lisu ww msomi mzr wa history ❤na hiyo unayoyaongea tupopa1! 💯 Kwa 💯💪 kz iendelee

  • @nkudwanabakejohn7505
    @nkudwanabakejohn7505 8 місяців тому +2

    Tundulisu ni super genius

  • @MexiTanix
    @MexiTanix 8 місяців тому +3

    Very nice Interview, one of a kind, and different from what we're used to.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 місяців тому +8

    Wakristo wasiojua dini yao wakisikia haya wananuna lisu kamaliza

  • @BraunMlungu
    @BraunMlungu 3 місяці тому

    Lisu unatufaa sanaa kuwa raisi wetu wa nchi hii kwa elimu ulionayo na hisitolia ulionayo wewe so wakawaida wewe nimpango wa mungu watanzania wote wafunguke kujuwa kwamba wewe nimpango wamungu kuitunukia tanzani mutu kamawewe nakuombea kwa mungu akuweke kwenye kiti cha tanzania uiongoze nchihii,

  • @leriongamollel2
    @leriongamollel2 8 місяців тому +4

    Bless this man mr mollel❤

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 8 місяців тому +3

    Lissu umesimama kwenye haki Ahsante sana

  • @user-kk5vu4nv1p
    @user-kk5vu4nv1p 8 місяців тому +3

    It good tundu lissu we ni shujaa.

  • @ebrahimmohamedali4344
    @ebrahimmohamedali4344 8 місяців тому +1

    Very well informed talk thanks mweshimiwa

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 8 місяців тому +2

    Historia hii huwezi kuipata darasani hata siku moja. darasani huwa tunafundishwa utopolo ambao wazungu wanataka tuufaham na sio historia ya kweli. Kwa hili Mh Tundu Lisu nakupongeza sana.

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 8 місяців тому +20

    I would love to see this magnificent knowledge is transferred into English so that mass population can gain the knowledge. Well done Muheshimiwa.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 місяців тому

      Google translation itawasaidia

    • @aminielkombe66
      @aminielkombe66 8 місяців тому +3

      They can add English subtitle

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому +1

      ​@@aminielkombe66Yes. Please add English Subtitles to reach international audince

    • @SIMBAofSIMBA
      @SIMBAofSIMBA 7 місяців тому

      Brother I think more of this history should be translated to kiswahili as majority of educated east Africans do not have a clue and all hiptonised by the west and media

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 8 місяців тому +15

    There are 3 very old Churches in Gazza. One Orthodox, one Baptist, and one Catholic. All three were attcked by Izrael over the years.
    The Gaza Baptist Church was attcked in 2008.
    The Catholic Church of the Holy Family was attcked twice, once in 2014 and another time in 2021.
    And then the Greek Orthodox Church of Saint Porphyrius which was attcked in 19
    October 2023.
    The Christian community in Gazza is treated fairly well by Hamas but they are not safe from the attcks of the xionists.

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 8 місяців тому

      Stop spreading hate
      Stop being biased
      Why do you say nothing about a TANZANIA🤌 boy who has been killed by Muslims from Hamas
      The video has been trending all around some days before Christmas
      If you are against evil what do you have to say about this
      Stop being a hypocrite
      Christians are not driven by the mind of violence
      Stop spreading hate

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 8 місяців тому +1

      ​@@fredducauntthose were the soldiers period

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 4 місяці тому +1

    Lisu mungu akubali kwakutupa histoliya yahawa jamaa

  • @saidasmi7686
    @saidasmi7686 8 місяців тому +1

    Well done Dr. Tundulisu well explained A to Z nakupongeza kwa kutufahamisha na kutoa solutions

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 8 місяців тому

      Since whe n did he became a Dr? Tusianze kuwapa watu degrees bila ya wao kuzifanyia kazi! Akasome ili aipate, anao uwezo huo wa kufanya vizuri. Tusiwafanye wote madaktari wa kupeana kama kicks kwenye vyama, naona hiyo haitatufikisha mbali. Hizi degree za kupeana sidhani kama zinatusaidia nchini kwetu, wengine wanazinunua! It is a shame!

    • @hamzaallymgaza4069
      @hamzaallymgaza4069 5 місяців тому

      Barikiwa mh Lisu

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu4819 8 місяців тому +9

    Hata rais wa zamani wa kenya, kenyatta alifungwa jela wakisena ni gaidi...ila huku alikua mpigania uhuru. Mugabe vile vile...

  • @robertkilunda4017
    @robertkilunda4017 8 місяців тому +14

    I never knew this man was a such brain. Tanzania need to elect these kinds of brains.

    • @ahz6907
      @ahz6907 8 місяців тому

      My friend...the ruling party CCM will do everything in their power not to allow these brains to lead.
      Bcoz CCM is led by fools.
      A couple of years ago this guy was shot multiple times in the area where a number of member of parliament live...its full of security and cameras.
      Up to date govt havent done anything to apprehend the shooters.
      It seems govt was behind the shooting.
      Welcome to Tanzania.😊

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому

      Obviously you are not well versed with Tanzania political and social affairs

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 7 місяців тому

      He is pro western ,at least on this I can see he came to his senses and choose the truth

  • @aminieljames3315
    @aminieljames3315 7 місяців тому

    Nilitamani sana siku moja kupata mazungumzo ya kisomi kuliko dini..Asante Tundu Lisu nimejifunza kitu

  • @ppemperweringpeople7183
    @ppemperweringpeople7183 8 місяців тому

    Thanks Mr Tundu Lissu For Your Estry We No That you have More Estry

  • @mpelinsekela3598
    @mpelinsekela3598 8 місяців тому +27

    Just brilliant.I wonder how many 🇹🇿n politicians or 🇹🇿ns understand the Israeli Palestinian conflict as well as this gentleman.Probably some scholars-like Prof.Shivji-do.This so well summarised in simple Swahili.This man's knowledge is so impressive- such ought to guide 🌍n foreign policies,which often looks confused on this issue.

    • @salimalmahrizi395
      @salimalmahrizi395 8 місяців тому +1

      listern to profesor Hamza NJozi

    • @mavulasetebe7141
      @mavulasetebe7141 8 місяців тому +1

      This guy is so brilliant in such a way that I gain a lot when he elaborates a certain topic. Although He did not touch religious route of the conflict. He masterly be able to expose the political landscape of the Middle East conflict

    • @syridionrutta5053
      @syridionrutta5053 8 місяців тому +1

      A very good and critical discussion.Well done Tundu Lissu

    • @user-tt9ks7fb8z
      @user-tt9ks7fb8z 6 місяців тому

      ​@@syridionrutta5053Kamanda hongela sana

  • @ihangacons-7471
    @ihangacons-7471 8 місяців тому +4

    Jamaa anajua. Hili SoMo limeeleweka

  • @user-cl7kd1pf6l
    @user-cl7kd1pf6l 6 місяців тому

    Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu katika ubora wake.

  • @leonarddimdoy6237
    @leonarddimdoy6237 7 місяців тому

    Asante sana rais wangu kwa historia nzuri

  • @josephkithama9739
    @josephkithama9739 8 місяців тому +5

    You're so brilliant.please,make a repeat of the same in English

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 8 місяців тому +34

    Tatizo la watanzania elimu ni sifuli ndio maana hatujui mambo mwenzio kasoma anaelezea mambo kwa kina nyie mnaishia kumuangalia Diamond na familia yake misingi ya elimu ni tatizo kubwa ktk nchi hii 😢ndio maana watawala wetu wanatudanganya tu kilasiku😢😢😢...,

    • @user-ry1pe3tu5s
      @user-ry1pe3tu5s 8 місяців тому +3

      NI kweli kabisa halafu watanzania kutwa kazi yao ni yanga na simba, ndio maana viongozi wa ccm wanaendelea kutuibia na wala hawaguswi na sheria

    • @kennedymmbando
      @kennedymmbando 8 місяців тому +1

      Bora umeona .Sisi tukimkemea wanasema tunamchukia .Hivi watanzania wamesahau mwanaume hawezi kujiita msafi ? Tumeacha kupiga kura UN kupinga ukayili ktk mataifa 153 sisi hatujapiga kura ?

    • @habibuluyangi2702
      @habibuluyangi2702 8 місяців тому +1

      Duh hii nimeipenda sana, unajua kwani wakoloni walituletea dini ili kutupotosha/tukose kujua ya mbele, na wakaona haitoshi wakatuletea hanasa kama vile miziki na ngono huku wao wakipora mali zetu sisi wakitulipa kidogo tu huku tukijituliza na hanasa zetu tulizo barikiwa na wao, Mfano kongo inamali nyingi lkn mzungu ndie ananufaikanayo huku akiwaachia miziki mapombe ya kila aina ngono kwa sana, malekani kule wafrica walitupwa frolida na hanaza zote ili wasijue ya mbele, ndio kuna kila aina ya starehe kule, hivyo sisi tukakubari yaliyoandikwa akupigae shavu la kushoto mgeuzie na kulia, mungu atanilipia mara ukiomba unapewa na sisi watoto tunapowafundisha kuomba wakwao wapo darasani sisi tukiwa kwenye starehe zetu wao wpo wanakuwepo kwenye mali, shuleni sisi tunajifunza kununua wao wanajifunza kutengeneza, tunakomaa na digree ili kutaka siasa wachina hwana hajanazo ila ni ufundi kwenda mbele

    • @kennedymmbando
      @kennedymmbando 8 місяців тому

      @@habibuluyangi2702 Serikali ipo bize kuomba 🤣🤣🤣

    • @user-fm5md9xn5g
      @user-fm5md9xn5g 8 місяців тому +1

      Wengi wenu mmejaza picha za kwenye simu sasa historia kama hii mtaijua wapi

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 8 місяців тому +2

    respect tindu lissu, game is over kwa wasiojifaham

  • @kassimnyuni4340
    @kassimnyuni4340 8 місяців тому +19

    Well said lisu tell them the truth will have no fence

  • @edwardlenga7961
    @edwardlenga7961 8 місяців тому +5

    Thank you for this very teaching history

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 місяців тому +6

    Tusomeshe watoto ndugu zangu

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 3 місяці тому

    Mm nimkrsto kabisa ila najua kabisa parestina wamedhulumiwa ila mungu yupo

  • @MrModtech
    @MrModtech 6 місяців тому +1

    i really hope you win this time.... We need the change now...

  • @BubuallyMwakipesile-br8dc
    @BubuallyMwakipesile-br8dc 8 місяців тому +2

    Mungu akupe maisha marefu kiongozi wetu

  • @omaryminzi7715
    @omaryminzi7715 8 місяців тому +6

    This is an excellent survey of the real situation in Middle East. Very educative and well elaborated. Well done Lissu uko vizuri sana

    • @erasmobenardsangu-1854
      @erasmobenardsangu-1854 7 місяців тому

      swari waripatawapi uchumi kamawariku. wawakimbizi. wari patawapi pesa najiurinzasana 😅😅😅

  • @anawa4326
    @anawa4326 8 місяців тому +2

    Well spoken Muheshimiwa 👊🏼👊🏼👊🏼

  • @muscato50
    @muscato50 2 місяці тому

    Halafu tunadanganywa eti ni taifa teule la Mungu.. ninachujua Mimi Mungu hana upendeleo.

  • @chenodigganyika297
    @chenodigganyika297 8 місяців тому +7

    Shule nzuri ya Fikra!

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 8 місяців тому +3

    Asante kwa elimu Mhe Lissu.

  • @user-zj4ib6lw2i
    @user-zj4ib6lw2i 8 місяців тому +1

    Asante sana mr Lisu huenda ningeondoka duniani bila kujua kwanini hawa watu wanauana.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 7 місяців тому

    Mimi Tangu Nikiwa Mtoto in the 1980s Nimekuwa nasoma Vitabu Kama Breakfast, Lunch and Dinner, Nimesoma None Fictions na Audio books na Episodes Mbalimbali (NONE FICTIONS) Over 8000.Nikiri sijawahi Kujifunza Kiwango Kikubwa Juu ya Swala fulani zadi ya Mazungumzo haya na Tundu Lissu, Plse Share na Kila Mtu anayezungumza Kiswahili.

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 8 місяців тому +3

    Very good lissu kwa historia na uchambuz w kisomi

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu4819 8 місяців тому +3

    Good information....

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi 8 місяців тому +1

    Hongera msomi unaeleza vizuli Kweli unafaa kuishi miaka mingi❤❤❤❤

  • @ambakisyejohn6710
    @ambakisyejohn6710 8 місяців тому +1

    Nimekuelewa vizuri Comrade

  • @bonifacecredo3287
    @bonifacecredo3287 8 місяців тому +14

    Yes mpigania uhuru kwa wazungu na marekani ni gaidi kwa sababu hawataki watu wawe huru na ndiyo maana wazalendo wetu wameuwawa kma samora masheli wa msimbiji na patrice Lumumba. The same to hamasi, hamasi ni wapgania haki za wapalestina siyo magaidi ila watu wanaangalia udini. Kitu kinachofanyika parestina hakitofautian na Afrika kusini chama cha mandela na chama chake cha ANC walivyoitwa magaidi wakati wa kupambania uhuru wa Afrika kusini

    • @MelkizedeckKiraucha-qx9zy
      @MelkizedeckKiraucha-qx9zy 8 місяців тому +1

      Andika lugha ya kinyooka Nani mpigania uhuru wa wazungu kwa kifupi hueleweki si lazima kucomment

    • @allyiasachogogwe3753
      @allyiasachogogwe3753 8 місяців тому +1

      ​@@MelkizedeckKiraucha-qx9zywee utakuwa umevimbiwa maarage ya kwenu,usichoelewa ni nin apo na bichwa lako kama nazi mbovu

    • @abdullkhamis5406
      @abdullkhamis5406 8 місяців тому

      I had discussions with some one the other day about African leaders being associated not really by its people because the main perpetrators are outsiders.

    • @Leo-kg2lt
      @Leo-kg2lt 8 місяців тому

      ​@@allyiasachogogwe3753😂😂😂

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 8 місяців тому +7

    Lisu wewe nimpango wa MUNGU safi nimeelewa

  • @MsatiOne
    @MsatiOne 7 днів тому

    Umeisoma vzr historia

  • @zakiahassan273
    @zakiahassan273 3 місяці тому

    Nimefaidika sana asante bwana Tundu Lise Mungu akuweke uzidi kutuelimish

  • @Greatamir
    @Greatamir 8 місяців тому +5

    Jamaa anaongea fact haongei fact ,hayupo kimhimko km wat wengne wasojua historia.

  • @EmanuelBlassy-uz4gm
    @EmanuelBlassy-uz4gm 8 місяців тому +5

    Msema kweli Lissu

  • @francissomusula-vx7wl
    @francissomusula-vx7wl 8 місяців тому +1

    Asante Mzee kwa kutuelimisha.

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 8 місяців тому +1

    Tundu Lissu is a very well educated man and has wealth of knowledge in many aspects. Hii ilikuwa ni ufumbuzi mkubwa wa macho na kuelewa historia ya chanzo cha migogoro. Asante sana Mr Lissu 👍🏾

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 8 місяців тому +4

    Excellent analysis

  • @user-cp1pu4ev8h
    @user-cp1pu4ev8h 3 місяці тому

    Lisu uko vizuri ilA mnayaona ta ulaya mbona ya hapa Tanganyika hamyaoni kwa mfano hapa Tanganyika bagamoyo kuna sehemu sehemu makurunge eti ni sehemu ya Zanzibar imekaaje hapo kuna tofauti gani na palestin acheni ujinga mnayaona ya mbali wakati hata kwenu ipo

  • @FravianusNtahonjunje
    @FravianusNtahonjunje 7 місяців тому

    Mwamba unajua historian ya Palestina na Israeli Sana.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 місяців тому +4

    Wise Men,👊👍✌️.

  • @allyiasachogogwe3753
    @allyiasachogogwe3753 8 місяців тому +5

    I have penned down, two important statements from tundu lissu ,first "popote penye ukandamizaji lazima pawe na uasi, second "gaidi kwako,lkn kwa mwenzyo ni mpigania uhuru"

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 7 місяців тому

    Historia ya kielimu😊Mola akubariki Tundu Lissu

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 7 місяців тому

    HUYU JAMAA SIELEWI KWA NINI ALIINGIA KTK SIASA,HUYU JAMAA NI MWALIMU MZURI SANA NA ANGETOA WANAFUNZI BORA SANA KTK UNIVERSITIES ZA NCHI HII.

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu4819 8 місяців тому +6

    Haji ita baki kuwa haki.. Mheshimiwa lissau asante kwa mawazo yako...kwa sasa China.russia.africa union ichukue hatua ya kutafuta amani..ulaya na marekani ime shindwa.
    Wana pendelea upende moja... two state solution ama one state itakuwa sawa.

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k 8 місяців тому

      Hapa umeongea jambo la maana kabisa. Binafsi wangekuwa na one state solution with two authorities. Waheshimiane na kujua mipaka yao na wote waishi pamoja.