Mh. Lisu ana mchango mkubwa sana katika Taifa letu ccm wakubali wakatae. Mabadiliko haya tuliyo nayo yanachangiwa na upinzani asilimia kubwa. Mungu akulinde na akufikishe mahali pa juu zaidi.
Ndugu mwanahabari jifunze kutulia na kusikiliza kwa makini acha kuuliza maswali ambayo unajua hata kisheria mtu hawezi kukujibu kwenye media...focus kijana
Hapana odemba mjanaja sana akijifanya kua msikilizaji jamaa wataonekana wanakandamwizwa upande wa pili na kipindi watakifanya KAMA kipo upande wa upinzan so ni nzuri anavyo fanya kikubwa anaeleweka sana😅😅😅
huyu tundu lisu tumlinde sana watanzania, ni mtanzania mwenzetu pekee anaye elimisha mambo ya mazuri bila uoga, ameonyesha uthubuu, alinusurika kuuawa na magufuli amepona bado ameendlea kuamsha akili zilizo lala z watanzania wengi, tuamke nchi hii ni yetu sote, tuunge mkono mambo mazuri kama haya ya akina lisu na chadema kwa ujumla
Mtangazaji kajifunze kwa wale wa hard talk kutoka bbc. Usichukuwe upande, huku unauliza Maswali magumu. Mbona maswali yako rahisi kabisa. Unamtengezea Njia ya kujibu. #Tubadilike
Odemba ukiwa unahoji na mhojiwa akaanza kujibu mpe muda wa kuongea hadi amalize. Una tatizo la kuingilia maongezi kabla hajamaliza. Hilo ndo tatizo lako
Kwan abduli ananafasi gan serikalin??au ndy mtoto wa raisi sasa anatuwakilisha kimataifa....daaah....alafu kunamichawa ipo kumpgia debe mama anaupga mwingi huku akiwaleta watoto wake watuwakilishe au sio😅😅😅😅😂mbn tutashtuka pashakucha???
StarTV mnafeli sana kwenye interview zenu mnapenda sana kukatisha katisha watu mnao wahoji jambo ambalo watazamaji linatukera ebu jaribuni kuiga interview za ITV kwenye kipindi cha KIPIMA JOTO au kipindi cha DAKIKA 45 wenzenu wana weledi wa kuuliza maswali na kuacha nafasi ya wageni wanao hojiwa
Sio kweli....actually hiki ndio kipindi bora zaid cha mahojiano ya siasa Tanzania kwa sasa.....na station hizi nyingine e.g itv ndio wanapaswa kujifunza maswali ya MSINGI na yenye TIJA kutoka kwa startv
@@dannysommy4118 hujanielewa mimi na watazamaji wengine tunasema watangazaji wa StarTV wawapo kwenye kipindi cha interview na wageni huwa anaingilia ingilia sana mazungumzo ya wanao wahoji jambo ambalo linatukera baadhi ya sisi watazamaji kawaida ya mahojiano huwa inatakiwa mtangazaji aulize swali ajibiwe na sio kukatisha mtu kabla haja maliza swali liliko ulizwa haitakiwi mtangazaji awe muongeaji zaidi kuliko mgeni mpk kunatokea mabishano kati ya mtangazaji na mhojiwa... mimi binafsi huwa navutiwa na mijadala ya watangazaji wa ITV kama vile vipindi vya kipima joto na dakika 45 mtangazaji wa ITV akiuliza swali kwa mgeni huwa anaacha nafasi kubwa kwa mhojiwa kujieleza na akimaliza ndipo anauliza swali lingine mpa mtazamaji unafurahishwa na mijadala. siyo kama watangazaji wa StarTV kwenye vipindi vya the big ajenda au medani za siasa huwa wanabebanisha maswali kabla mgeni hajamaliza swali la kwanza anaulizwa swali lingine kifupi ni kwamba watangazaji wa star TV wanapenda nao wazungumze badala ya kuwaacha wageni wawe wazungumzaji
Huyu jamaa odemba hamna kitu,nikama kaja na tayari kusikia majibu anayotaka yeye,mpe mtu nafasi ajielezee we umeuliza swali na bado unachomekea majibu ndani,linakera sana
Mimi swali langu anayetaka kujua hela za matumizi ya Chama labda awe meanachama ila Kila mtu kuuliza matumizi ya Chama inakuwa ngumu sana pia ifahamike CHADEMA ni Chama kikubwa kuhifadhi Kila kumbukimbu ya pesa ni ngumu sana labda kuwe na Malaika wanaohifadhi pesa vinginevyo hapa duniani makosa yatatokea .
Odemba jifunze kuwa na utulivu! Just let a person make his/her point. Hii kuingilia ingilia watu wakati wanaongea is crap! Hata ladha ya kusikiliza mjadala inapotea!
Odemba this style of interviewing is unprofessional, disrespectful and really pathetic. You don't have to constantly interrupt someone answering your question with more questions especially when the person is making an important point. Hiyo hufanya mazungumzo kuwa boring and uninteresting. Unapomhoji mtu yeyote mwenye hadhi ya Tundu Lissu, unahitaji umpe heshima yake kwa kumpatia muda kujieleza na sio kumsaili kana kwamba unamhoji kijana fulani. Inabidi ujifunze namna ya kusikiliza na kusubiri kwa utulivu mtu amaliza maelezo ama mawazo yake kaba ya kurusha maswali mengine. Hiyo kuingilia ingilia doesn't make you look like a smart interviewer, balu ni kinyume chake tu. Please do better next time. 58:27
GONGA LIKE KAMA UNAMKUBALI TUNDULISU
Tundu Lissu for President 2025
Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu ✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖💖🙏🙏🙏
Mioyo ya watanzania wapi....mhhh sisi tutoe
😮 chief Odemba congratulations 🎊 👏 💐. Tundu Lissu the genius 👏
❤😂 nafurahi mpka nalia uyu jamaa nimtu nusu
Naonaga Odemba yupo vizuri sana ila TAL is the best
Mr lissu ❤
Lisu nakuombea mema na Mungu akulinde na akushike mkono katika kutimiza ndoto zako
ukiwa unamuhoji Lisu unatakiwa ujipange sana
MOJA KATI YA MWANASIASA ALIYENICOMVISI KUISHABIKIA CHADEMA TUNDULISSU NAKUKUBALI SANA
Lissu kiboko aiseee
Pole sana kiongozi wangu tundu lisu
Tundu Lissu for President 2025
Lissu mwamba sana iseeh
Mwamba kwelikweli Mr TAL
Chief Odemba, Ubarikiwe sana
Penda sana raisi wa moyo wangu lisu
Mh. Lisu ana mchango mkubwa sana katika Taifa letu ccm wakubali wakatae. Mabadiliko haya tuliyo nayo yanachangiwa na upinzani asilimia kubwa. Mungu akulinde na akufikishe mahali pa juu zaidi.
Lissu ni kichwa na urithi wa Taifa ❤❤❤
LISSU 4REVER
Ndugu mwanahabari jifunze kutulia na kusikiliza kwa makini acha kuuliza maswali ambayo unajua hata kisheria mtu hawezi kukujibu kwenye media...focus kijana
TUNDU LISSU THE IDOL✊
Ndugu Odemba ujifunze kuwa msikilizaji mzuri kabla ya kuwa muulizaji maswali mzuri
Umeona kama mimi
Jamaa ni kama anataka kushindana, anakua kama anauliza maswali ambayo ana majibu
Ni beseni sana huyu jamaa,utazani huwa anatumwa
Hapana odemba mjanaja sana akijifanya kua msikilizaji jamaa wataonekana wanakandamwizwa upande wa pili na kipindi watakifanya KAMA kipo upande wa upinzan so ni nzuri anavyo fanya kikubwa anaeleweka sana😅😅😅
Hongera sana lisu kwa kujibu maswali vzr safi
Mimi huwa nasema mh. Lisu huwa anahoja nzito na zenye mashiko, huyu anafaa kuwa kiongozi wa hii nchi.
Very technique question?and suparb answers good
ODEMBA UWE UNAWAACHA WAGENI WAONGEE NA KUJIBU UNACHOWAULIZA USIWAWEKEE MANENO MDOMONI
Ni kweli… kuna namna anaudhi
Noma sana
A speech to remember.✌️
huyu tundu lisu tumlinde sana watanzania, ni mtanzania mwenzetu pekee anaye elimisha mambo ya mazuri bila uoga, ameonyesha uthubuu, alinusurika kuuawa na magufuli amepona bado ameendlea kuamsha akili zilizo lala z watanzania wengi, tuamke nchi hii ni yetu sote, tuunge mkono mambo mazuri kama haya ya akina lisu na chadema kwa ujumla
Tunakupenda mh lissu
Huyu odemba anamaswali ya kimtego mtego san usipokua smart kichwan unaweza kujikuta unavulunda vulunda
❤❤❤✌️✌️ 4 life
Kichwa Cha Sheria hichi namwelewa sana uyu baba ,upcoming president
Pamoja sana❤
Mtangazaji kajifunze kwa wale wa hard talk kutoka bbc. Usichukuwe upande, huku unauliza Maswali magumu. Mbona maswali yako rahisi kabisa. Unamtengezea Njia ya kujibu. #Tubadilike
Wewe unajua kuhoji?
Kaanzishe yako, uhoji
salim kikeke mbn ashamhoji mara kadhaa na bado hakuna swali lilkuwa gumu
Nakubali jembe langu hapo hamna cha no comment
🎉🎉🎉
ODEMBA umepuyanga sn hii interview mno a good leader must be a good listener why?? Bro mtaongea kwa kila mtu hutaki kutoa nafasi kwa mzungumzaji.
Lissu yupo vizur anajibu maswali ipasavyo
TLA ni kichwa kingine. Hii ni hazina na mgodi unaotembea
MWANDISHI UNATUCHOSHA.
MWACHE TUNDU AMALIZE KUONGEA NDIPO UULIZE NEXT QUESTION
Mwandishi mpuuzi sana
Nimekupa big up Sana kugusia mabaya ya Nyerere japo mwandishi alikua hataki,
Tuletee abduli kwenye mahojiano.
Tazama pia waandishi wenzako kama skins Richard Quest, unifunze namna nzuri yakuuliza maswali
Odemba ametumia style ya kumpanikisha Tundu Lissu likin jamaa Bado yupo kwenye reli. Hajichanganyi Wala nn. Nikipata mwanangu namwita Tundulissu
Mtangazaji hujui skills za mawasiliano?
umesomea wapi uandishi?
kuna sometimes anazingua sana!! anakuwekea majibu mdomoni
km zipi?
Edwin katafute hao watu unaoambiwa ukawaulize. Usilazimishe mtu mmoja akujibu kila kitu Chama siyo cha mtu mmoja. Weka balance kwenye mahojiano yako
Hongera sana mheshimiwa lissu kiongozi wetu tunayemuamini
Naomba namba ya kuchangia Kwa lissu
Ninakupenda sana tudu
ODEMBA UWE unaelewa MAPEMA
Odemba ukiwa unahoji na mhojiwa akaanza kujibu mpe muda wa kuongea hadi amalize. Una tatizo la kuingilia maongezi kabla hajamaliza. Hilo ndo tatizo lako
Kama Salim Kikeke
Kipindi kina mda maalum
Bora uyu mwandishi anahoji bila kuogopa yule salim kikeke ni mwandishi mzuri ila ana woga kwenye interview zake hasa anapohoji upinzani
❤
Mtangazaji mjuaji sana hampi mtu nafasi ya kuelezea jambo
❤❤❤
Jamaa naongilia mazungumzo mpk anaboa na kuweka assumptions zake
Sana kaka tu.ndu
Dunia Nzima ukibishana na serikari lazima uumie tumeona urusi na nchi zingine hujui tu
Lissu amenyooka Sana, huyu anaaminika upande wa upinzani
Big brained lisu👊
Mama samia hayupo wa kukupa kura hata tone tanganyika, yaani jiuzulu mwenyewe. Aibu tupu
This man Tundu lissu is Gineus
Two noun 5:10 😊
Afu uyo mtangazaji ana ongeaje ivyo , embu ongeq vzr bhn
TAL for President 2025
Kwa haya mahojiano mwandishi umenikera kwa kutompa m2 nafasi ya kumaliza kuongea
Mtangazaji kaa kimya usikilize, VInginevyo Ji-interview mwenyewe. UNAONGEA SAAANA. UNAHARIBU NTERVIEW
Kwan abduli ananafasi gan serikalin??au ndy mtoto wa raisi sasa anatuwakilisha kimataifa....daaah....alafu kunamichawa ipo kumpgia debe mama anaupga mwingi huku akiwaleta watoto wake watuwakilishe au sio😅😅😅😅😂mbn tutashtuka pashakucha???
Huyu kilemba cjui odembavni host wa wapi? Mbona anamuingilia tundulisu
Nakuunga mkono tundulisu usiache kugombea uraisi mama anakuogopa Kwa ilo mheshimiwa
👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
Mtangazaji nimekunyooshea mikono juu, unajua kuuliza na umeitendea haki interview hii 😮
Ni moja kati ya mwanasiasa mweredi kuwah kutokea nchini
Mtangazaji siku hizi ameshapotoka. Anaingilia mazungumzo.
Nimeondoka na neno Madalali
StarTV mnafeli sana kwenye interview zenu mnapenda sana kukatisha katisha watu mnao wahoji jambo ambalo watazamaji linatukera ebu jaribuni kuiga interview za ITV kwenye kipindi cha KIPIMA JOTO au kipindi cha DAKIKA 45 wenzenu wana weledi wa kuuliza maswali na kuacha nafasi ya wageni wanao hojiwa
Sio kweli....actually hiki ndio kipindi bora zaid cha mahojiano ya siasa Tanzania kwa sasa.....na station hizi nyingine e.g itv ndio wanapaswa kujifunza maswali ya MSINGI na yenye TIJA kutoka kwa startv
@@dannysommy4118 hujanielewa mimi na watazamaji wengine tunasema watangazaji wa StarTV wawapo kwenye kipindi cha interview na wageni huwa anaingilia ingilia sana mazungumzo ya wanao wahoji jambo ambalo linatukera baadhi ya sisi watazamaji kawaida ya mahojiano huwa inatakiwa mtangazaji aulize swali ajibiwe na sio kukatisha mtu kabla haja maliza swali liliko ulizwa haitakiwi mtangazaji awe muongeaji zaidi kuliko mgeni mpk kunatokea mabishano kati ya mtangazaji na mhojiwa... mimi binafsi huwa navutiwa na mijadala ya watangazaji wa ITV kama vile vipindi vya kipima joto na dakika 45 mtangazaji wa ITV akiuliza swali kwa mgeni huwa anaacha nafasi kubwa kwa mhojiwa kujieleza na akimaliza ndipo anauliza swali lingine mpa mtazamaji unafurahishwa na mijadala. siyo kama watangazaji wa StarTV kwenye vipindi vya the big ajenda au medani za siasa huwa wanabebanisha maswali kabla mgeni hajamaliza swali la kwanza anaulizwa swali lingine kifupi ni kwamba watangazaji wa star TV wanapenda nao wazungumze badala ya kuwaacha wageni wawe wazungumzaji
kiukweli Lissu ni bidhaa fulani hivi yapaswa kulindwa na kuangaliwa sana kwa ajili ya manufaa ya taifa hili.
Natamani huyu Odemba aache kumkatiza anavyoongea. Lissu anatiririka vizuri yeye anamkatiza na kuharibu utamu wa interview
Mwambye mama yako anipe ela yangu 😅😅😅😅😅😅😅
Mwandishi muscle mgeni aonge
Huyu jamaa odemba hamna kitu,nikama kaja na tayari kusikia majibu anayotaka yeye,mpe mtu nafasi ajielezee we umeuliza swali na bado unachomekea majibu ndani,linakera sana
Jeshi la polisi liko kama mali ya sisiemu .....it is the fact
Mtoto wa Rais ana Maguvu na Hayuko kwa Gavoo. Shtuka 2025 Hatutaki Tricks.
Kamanda
Mwamba Tundu Lissu nataman uwe rais na makamo awe Boniface Mwabukuzi hiyo combination ni hatar
Sema hii nchi inachezewa jamani uwiiiii!!
Mwandishi Odemba bado sana, ni mwandishi maandazi kabisa. Ajitahidi kufanya mentorship bado ni kichaa
Kinachonishangaza ni kuw lisu ana imani ccm itakuja iondoke madarakani😢
Odemba uko vizur ila uwe unampa mtu nafasi ya kuzungumza mpaka amalise pale anakupatia majibu unayokuwa unamuuliza
Mimi swali langu anayetaka kujua hela za matumizi ya Chama labda awe meanachama ila Kila mtu kuuliza matumizi ya Chama inakuwa ngumu sana pia ifahamike CHADEMA ni Chama kikubwa kuhifadhi Kila kumbukimbu ya pesa ni ngumu sana labda kuwe na Malaika wanaohifadhi pesa vinginevyo hapa duniani makosa yatatokea .
Msigwa alikosa hoja tu, vp huko CCm Je atataka kujua matumizi ya pesa za ccm
Bila utafiti Huna haki ya kusema tupe data za watu waliowekwa kizuizini
Wengi wangapi.Na ni akina nani?
Nenda kagombee marekani huku unapoteza Muda wako
We unapoteza Nini ndugu kuandika hii sms. Au unapoteza mapumbu yako!
😂😂😂😂@@yosephatMasanyiwa-oh1rl
Rais ni wa vyama vyote, sawa kabisa ina Tija.
Ccm wamefeli tanzania na wanajivunia dora
Odemba jifunze kuwa na utulivu! Just let a person make his/her point. Hii kuingilia ingilia watu wakati wanaongea is crap! Hata ladha ya kusikiliza mjadala inapotea!
Hivi yule aliyeanza kumkaribisha Lisu ccm anasemaje?!!
Kama watanzania tunaitaji katba mpya sio hiii ya ccm
Odemba this style of interviewing is unprofessional, disrespectful and really pathetic. You don't have to constantly interrupt someone answering your question with more questions especially when the person is making an important point.
Hiyo hufanya mazungumzo kuwa boring and uninteresting. Unapomhoji mtu yeyote mwenye hadhi ya Tundu Lissu, unahitaji umpe heshima yake kwa kumpatia muda kujieleza na sio kumsaili kana kwamba unamhoji kijana fulani.
Inabidi ujifunze namna ya kusikiliza na kusubiri kwa utulivu mtu amaliza maelezo ama mawazo yake kaba ya kurusha maswali mengine.
Hiyo kuingilia ingilia doesn't make you look like a smart interviewer, balu ni kinyume chake tu.
Please do better next time. 58:27