🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 23 дні тому

    Kwa haya mahojiano mwandishi umenikera kwa kutompa m2 nafasi kumaliza kuongea sentensi

  • @louiskayange-kz7ec
    @louiskayange-kz7ec 24 дні тому +1

    Mwandishi kehelehele mno

  • @safi6133
    @safi6133 24 дні тому

    Safi sana Kamanda Tundu Lissu. Wewe ni akili kubwa sana. Huyo Ondemba aneonekana kama kifaranga cha kunguru mbele ya jogoo la mbuni. Ni maswali ya kitoto mno.

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 24 дні тому

    Odemba leo umenufelisha sana leo

  • @kapeaskapea8146
    @kapeaskapea8146 24 дні тому

    Mwandishi jitahidi kupunguza kurukia kabila unaemhoji hajamaliza, uko vzur kuhoji but unaboa hapo tuu.

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 24 дні тому +3

    NDUGU MTANGAZAJI KUWA MAKINI NA HUYO TUNDULISSU NI MUONGO NI SHETANI WAKUTUNGA UONGO SANA

    • @beatrice4780
      @beatrice4780 24 дні тому

      😂😂😂

    • @gtvonlinemdee7001
      @gtvonlinemdee7001 24 дні тому

      Baba yake shetani habari yk

    • @linashayo2068
      @linashayo2068 24 дні тому

      @HamzaHeri, Kumuita binadamu mwenzako shetani ni kosa hata wewe si mkamilifu. Ndio maana dini zote duniani wanasema mtakatifu bi Mungu tuu. Kwa kifupi kama wanadamu sio watakatifu ina maana watu woote duniani ni mashetani pamoja na wewe.

    • @user-lm3lt7xx6l
      @user-lm3lt7xx6l 24 дні тому

      Hata na tundu awe makini na wewe kwasababu una roho mbaya

  • @user-hs7vq1jo2q
    @user-hs7vq1jo2q 24 дні тому

    Mwandishi mbona unauliza maswali na kujibu wewe mwenyewe. Na kufosi mazungumzo mdomoni?

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 24 дні тому

      Mwandishi boya sana huyu, Kuna vitu anauliza anaonesha kabisa yeye yupo upande gan

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 24 дні тому +1

    NISISI WENYEWE WA TANZANIA NDIYO TUNA CHIMBA MADINI YETU MIMI NIKO MIRERENI AACHE UONGO TUNDULISU HULKA YAKE NIMUONGO SANA NA MSALITI HANAL LELOTE