Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 546

  • @abdul-qadirkhamis2518
    @abdul-qadirkhamis2518 9 місяців тому +27

    MA shaa Allah.. I wish nionane na wewe one day in shaa Allah.... You are genius, again and again, and more than again....

  • @abdullahiramadhan5779
    @abdullahiramadhan5779 3 місяці тому +1

    MashaAllah Taba'araka Allah...shukran kaka Kwa ufafanuzi huu ....Allah akuafikie kheri...nlikuwa nafuatilia Sana hii show ....shukran naitwa Abdallah kutoka Kenya

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 9 місяців тому +72

    Ebwana umetafsiri vizuri sn istoria nzuri kweli kumbe iran inanguvu ivyo nawasapoti iran mungu awalinde kilasiku mungu ukaha kwamwenye haki ❤❤❤❤ iran

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 9 місяців тому +7

      Ulikuwa hujuwi ilo, kwa waarabu huyo ndie kidume anaeogopewa na nchi za kimagharibi.

    • @YehudabanYerushailēm
      @YehudabanYerushailēm 9 місяців тому +4

      Iran sio waarabu

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 9 місяців тому +2

      @@YehudabanYerushailēm Upertia ni kabila tu, lkn ndio haohao.
      Au kwsbb wanazungumza Kifursi.

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 9 місяців тому +1

      Uko na mchezo,angalia ni nchi ngapi ziko na mabomu ya nuclear uone kama Iran ni Moja wao.Nchi ni 9 na Iran haipo kwenye hiyo orodha

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 9 місяців тому

      ​@@NathanielNathan-m4oiweke ww iwepo mgawaji wa technology 😅😅

  • @allynassor1119
    @allynassor1119 9 місяців тому +12

    Nimekuelewa pongez kwako mungu akuongoze ktk kazi na maisha yk

  • @MsomaliOmary
    @MsomaliOmary 5 місяців тому +2

    Shukran mwalim nimevutiwa na uchambuz wako makin na unautulivu wa hali ya juu zaidi mungu akupe akuongenzee afya zaid ili tupate faid zaid kutok kwako, jina langu msomali omar nipo mwanza mjin.

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 9 місяців тому +24

    Mtenda akitendewa!! Yani hii Israel na America ndio chanzo cha balaa kubwa duniani hilo linajulikana!!

    • @HajiJuma-xw7vh
      @HajiJuma-xw7vh 3 місяці тому +1

      Kabisa

    • @mwalimulee2493
      @mwalimulee2493 3 місяці тому

      A isa

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Lakini bado wewe mwenyewe ukiambiwa uchague kwenda kuishi Iran au Marekeni bado utachagua kwenda kuishi Marekani. Kwanini ni kwasababu Marekani unajua kumeendelea na kuna uhuru wa watu kutoa maoni yao kuliko hao unaowatetea. Sasa sijui unafiki huu wa kuichukia Marekani tutauacha lini.

  • @lukmanalmazrui2565
    @lukmanalmazrui2565 3 місяці тому +2

    Nice finalization,Good message to Gov't .
    May Allah bless you

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 9 місяців тому +7

    Maelezo mazuri sana pamoja na ushauri juu ya kuwekeza kwenye elimu ya ujuzi

  • @Ibrahim-d3q
    @Ibrahim-d3q 9 місяців тому +9

    Mashallah unajua history keep it up bro, hizi nchi za kiarabu ni vibaraka tu kukiongozwa na Saudi ile siku watashtuka itakua too late, nawaombea tu Iran mungu awasimamie nawakubali sana hawa

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 9 місяців тому +4

    Umeongea vitu Vizuri vya Mwanga Nimejifunza kitu kizuri sana Uendelee na Uchambuzi 🙏🏾

  • @somoeomar4861
    @somoeomar4861 9 місяців тому +4

    Shukraan sana leo ndo nimeelewa kila kitu umetueleza vizuri sana thanx alot

  • @snuramushi9612
    @snuramushi9612 9 місяців тому +6

    Mashallah umeisimulia vizuri sana tunategemea kukuona kwenye historia nyingine Inshaallah,,,kuhusu Iran kufanikiwa kujitengenezea vitu vyao wenyewe hii imesababishwa na ujasiri wao na utayari toka pale walipo uondoa utawala wa kifalme na kuweka utawala wakiislam walishakubali kupambana na lolote mbele yao sasa hawa wenzao bado waoga

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 9 місяців тому

      MUNGU NDIYE ALIYE IBARIKI ISRAEL NA NDIYE ATAKAE ITETEA ISRAEL MUNGU LINDA MIPAKA YA ISRAEL ADUI WA ISRAEL NI ADUI WA MUNGU TUTAONA MUNGU WAO NA MUNGU WA ISRAEL NANI ZAIDI MUNGU IBARIKI ISRAEL NA MIPAKA YAKE HAKUNA ALIYE NA NGUVU KAMA MUNGU WA ISRAEL

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 9 місяців тому

      ​@@StellaKaluwa😂😂😂😂 mtajpa puresha bure kwaiyo mungu ndo Alie waambia wawe wanachokoza watu😂😂😂😂

    • @Alkaburu
      @Alkaburu 9 місяців тому

      ​@@StellaKaluwakwa hiyo wewe ni mpagani huna Mungu kama Mungu ni waisraeli?

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 9 місяців тому

      ​@@StellaKaluwawewe ni myahudi au 😮😮 ? wayahudi waliasi amri za Mungu ndio maana Yesu hana baba myahudi bali alizaliwa kwa njia tofauti bila manii ya mhuni mwizraeli . waizraeli ni watu washenzi wewe unawa entertain 😢😢 safari hii Izraeli itang'olewa na hata kama watatumia Atomiki bomu au haidrojeni bomu la Amerika au msaada wa urusi hautaleta manufaa yoyote kwa waizraeli

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 5 місяців тому

      ​@@StellaKaluwaWewe broo ni Chizi sana,hawa Waisraili kiitikadi hawamtambui YESU,wao wanavyomtambua YESU ni kwamba; YESU ni Mtoto wa Zinaa hivyo hafai kua MUNGU wala mwana wa MUNGU na hata kua Mtume pia hafai,je wewe na wao mpo sawa? Pamoja na kwamba nyote mmepotea kiitikadi lakini mmetofautiana pakubwa,wewe unajifanya unamkubali YESU lakini wao hawamkubali kabisaaa,kwa taarifa yako pale Israel Wakristo ni asilimia 5 tuu,

  • @IJUMAABOI
    @IJUMAABOI 9 місяців тому +6

    Very good mr for this story and i believe that one day you will be a big man in this world in term of revolutionilist

    • @0diraWilson
      @0diraWilson 8 місяців тому

      Unazungumzia Ujinga usio ujua. ISRAEL ni Taifa ambalo MUNGU wa IBRAHIM alimpa. Sasa hizo ni historia za kijinga haisaidii kitu ni porojo za mchana, hujui lolote.

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 7 місяців тому +1

      ​@@0diraWilsonMungu wa Israel ni marekan na ndio mungu wako pia

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 3 місяці тому

      ​@@0diraWilson Huna Unachojua Subiri Mume Uolewe Ufirwe Kama Papa Alivyowaambia Muoane Subiri Mume Uolewe Ufirwe

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Hicho kiingereza chako nakushauri tumia kiswahili tu lugha yetu mama.

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      @@sultanbakary4292 hata wewe mwenyewe hapa unamuabudu Marekani bila kujua. Unadhani hii UA-cam amegundua huyo bwana wako IRAN?

  • @rk-rp2un
    @rk-rp2un 9 місяців тому +7

    Hongera sana brother,nimeipenda ushauri ulioutoa,Mungu akubariki sana

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 9 місяців тому +3

    Asante sana kaka ❤❤
    Wewe nimwana histor mzur sn,,anavitu vingi vya kutufundisha,,ukiashilia wachambuz uchwara,,binafsi nataman ungekuwa na jukwa maarum,,Ili tujifunze kutoka kwako,,Mungu akujalie afya njema ulichokipata nasisi tunufaike nacho❤❤❤💪💪,,

  • @dulax2457
    @dulax2457 9 місяців тому +15

    Broo uko vizur from mombasa twakupata 100%wewe ni professer

    • @revocatusjilala2441
      @revocatusjilala2441 9 місяців тому +1

      Tanzania tumebobea kwa Tafukuri, kuelezea mambo kwa kina, watanzania wengi ni great thinker kuliko wakenya!! Wakenya kazi Yao ni kubwabwaja

    • @SuperMtani
      @SuperMtani 9 місяців тому

      Asante

    • @AllyKelemba
      @AllyKelemba 5 місяців тому

      😅

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q 9 місяців тому +13

    Kaka umeeleza vizur sana nimegain kitu kikubwa sana na allah anifanyie wepes inshallah ,Allah akupe maisha marefu na yenye mafanikio

  • @alibinali_
    @alibinali_ 9 місяців тому +3

    Thanks kwa uchambuzi mzuri sana kuna watu wanaongea mambo tofauti ila wewe umechambua vizuri na bila ubaguzi na vyombo vingi vyahabari hawaongie ukweli

  • @ONESMODOMIMICUS
    @ONESMODOMIMICUS 3 місяці тому +1

    Hongera san nmejifunza sana niliyokuwa siyajui

  • @SeuriMollel-im5yw
    @SeuriMollel-im5yw 4 місяці тому

    Tunawapata sana ndugu zetu kwa kutupasha habari za ulimwenguni kwa ujumla mungu awabariki wote

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 9 місяців тому +4

    Irani ni mfano mzuri wa afrika kufata tujifunze technically skills sio kusifiya tu Israel na marekani

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 4 місяці тому +1

      Huo uwezo wa kufikiri haya mawazo yako wengi hawana walishazama kwenye utumwa wa kifikra

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Kwenye Sayansi huwezi kuibua kitu chako bila kuwa na reference na watu waliokutangulia. Hata hao IRAN unaowasema wao wanachofanya ni kutumia teknolojia tu ambazo hao Marekani, Nchi za Magharibi na Israel wameshafanya siku nyingi. Rejea kulipuka kwa zile Device za Pager ambazo Iran walizinunua kutoka Korea Kusini na kuzipeleka Hezbollah bila kujua kuwa Israel tayari wanazijua siku nyingi.
      Halafu kitu kingine ni kwamba ukija kwenye uvumbuzi Teknolojia ya Kisasa huwezi kumtoa Myahudi ndani. Na hapo ndipo shida ilipo. Unapozungumzia hiyo Urusi ambayo ndio inayompa Irani Teknolojia bado wengi wa Wanasayansi wao ni Wayahudi.
      Hivyo kuongea ni rahisi lakini huwezi kuwatoa Marekani na Waisrael kwenye teknolojia yako wewe unayotegemea kuianzisha.

  • @yussufmiraji9408
    @yussufmiraji9408 9 місяців тому +7

    Toka nianze kufatia siasa za mashariki ya kati ndiyo kwanza nitapate taluma mm nilikuwa najuwa iran ni nchi ya kawaida tu kumbe wana technology kubwa sana kiasi wazungu wamuogope iran irani is the best country in Islam in the world

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 9 місяців тому

      Lakini Iran ndio Audi mkubwa WA waislamu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      ​@@osmaniidrisa6290ALAA SIO MUISRAEL ADUWI WA WAISLAMU???

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 9 місяців тому

      @@salimmalaka256 wote ni maadui WA uislamu lakini harari zaidi ni Yule anaejifanya sio Audi kumbe ni adui

    • @jumaali4893
      @jumaali4893 9 місяців тому

      Unaushahidi wowote wa kuthibitisha ulichokiandika? au huna​@@osmaniidrisa6290

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 9 місяців тому +1

      ​@@osmaniidrisa6290Naona bora Iran inaisapoti palestina kuliko Saudia ?!!! Sasa yupi aduwi zaidi ya waislam u ?

  • @kokubukoba7510
    @kokubukoba7510 8 місяців тому

    Great analysis, asante

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 9 місяців тому +16

    Mashallah tabaraqah. Huyu mtaalamu umlete tenna kwa uchambuzi zaid

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 8 місяців тому

      Kwasababu anasema iran inaogopwa na marekani na israel😂😂😂😂😂et nawe unaamni et

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 3 місяці тому +1

      ​@@JoalAlma-ci1hiHakuna la kuchekesha hapo😮

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      @@JoalAlma-ci1hi Yaani Marekani amuogope Iran ikiwa Israel tu amtoa jasho hahahahahhahahahhah

  • @jafariHabibu-jc9zf
    @jafariHabibu-jc9zf 9 місяців тому +1

    Nakushukuru sana bro nimekupata vyema

    • @jumamohammed2748
      @jumamohammed2748 9 місяців тому

      Mashallah mwalimu wangu Mr Mtani, nimekuelewa sana.

  • @fadhilimnyanga6400
    @fadhilimnyanga6400 9 місяців тому

    Wapi mr Sebo..mmmh. nice historical facts.

  • @AziziSalimini
    @AziziSalimini 2 місяці тому

    🎉🎉excellent

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 9 місяців тому +2

    Uchambuzi mzuri sana

  • @hajimrisholukamba602
    @hajimrisholukamba602 9 місяців тому

    very knowledgeable, context analysis yako makes a lot of sense

  • @GapsonRevoson-bn7nt
    @GapsonRevoson-bn7nt 9 місяців тому +1

    Nikili wazi napenda history lakin Kwa maelezo yako uliyoyatoa naona ninakazi kubwa kijifunza kutoka kwako ww umesimulia na kutatua Kwa maelezo yaliyonyooka na fact congratulations sana chief

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 9 місяців тому +30

    Huyu Iran anatisha sanaa Allah aendelee kuwapa ufaham zaidi

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 9 місяців тому +2

    Much respect kakamkubwa technical school ndo msingi

  • @saidngumbi6222
    @saidngumbi6222 9 місяців тому +2

    @simulizi na sauti

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 9 місяців тому +3

    Mhh nimefumbuka mambo mengi Hsante Kaka

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 9 місяців тому +3

    Mkuu, umejitahidi lakini pia irani wako vizur hata katika matibabu, ukweli irani ni taifa pekee lililobaki duniani kuwa ni huru kutokana na Mataifa ya magharib Iran imebaki kuwa ni kikwazo pekee kwa nchi za magharib na marekani kuitawala mashariki ya kati, nia ya Israel ni kuiburuza marekani iingie katika vita ili wao wa Israel wawe mabwana wa mashariki ya kati

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Mpaka sasa mbona Israel tayari ni Mabwana wa Mashariki ya Kati. Kwanza unafahamu kwamba asilimia kubwa ya Wairani wenyewe hawakubaliani na utawala dhalimu uliopo?

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 9 місяців тому +3

    Duh kumbe Iran mbabe

  • @MwamadiRajabu
    @MwamadiRajabu 9 місяців тому +1

    Kweli kaka niwakati wa technology bro! 🎉

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 9 місяців тому +6

    Nimekkubali bro mambo unayo yasema yapo na maono makubwa sana.

  • @abdulmalikhajji9615
    @abdulmalikhajji9615 3 місяці тому

    Shukran sana kwa ushauri wako juu ya serikali yetu kuitaka iendane na halii halisi ya dunia katika kukuza teknoloji ya kileo katika uimara wa taifa kama ambavyo mataifa makubwa yalivyo fanya haswa Iran na China na Korea ya kusini na Urusi

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 9 місяців тому +6

    Ni vigumu sana ku gundua Marekani na Esraeli ni Nchi moja lakini uki chunguza na kufatilia matukio kwa akili tangu azimio laku anzishwa Taifa hilo na matukio yaliyo fuata hadi leo uta gundua

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 3 місяці тому

      Sahihi Kabisa Ili Liko Wazi . Marekani Anajificha Kwenye Kivuli Cha Uyahudi. Ila Kiundani Kulikua Na Siri Kubwa Sana Kuanzisha Taifa Juu Ya Taifa Jengine. Na Imeanzishwa Kwa Maslahi Ya Kiuchumi na Ndomana Wanawekeza Pesa Nyingi Sana Na Silaha Pale Yote Kwa Yote Wanataka Kui Control Middle East

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 9 місяців тому +2

    Jordan mfalme wake mama ni mzungu so wale ni wajomba zake

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      TENA UFALME ALIKIWA APEWE HAMZA SIO YEYE MAMA MZUNGU WAKAMWEKA KIBARAKA HUYO KIBARAKA.

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 9 місяців тому +2

    Aisee umeongea vzr sana ndg mchambuzi nimekusikiliza kwa umakin sana unaongea kwa utaratibu kabisa ongera bas pokea maua yako na pongezi sana kwa Iran

  • @hashimhashim1756
    @hashimhashim1756 3 місяці тому

    Uko sahihi. Mwalimu. Hongera Sana. Serikali na vijana wapate Mia ko Hugo wa kuingia kwenye eliminated Za ufundi zaidi. Kumiko Kusaka. PHD Za vyuo Na Kumekawa vyeti nyumbani tu. Tukiwekeza Tutankhamen Na sis I ni jamboree la Kumekawa malengo. Mazda ya Miaka michache. Tutafika watu Sana staajabu. Tumewezaje.

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 9 місяців тому +5

    Mchambuzi uko vizuri sana

  • @Mbmaster-os5oi
    @Mbmaster-os5oi 9 місяців тому +2

    Hongera ndugu

  • @onelinelyrics200
    @onelinelyrics200 9 місяців тому +4

    Umetema facts! Ukweli Mchungu japo Mataifa ya kiarabu yanasaliti Ummah ikiwemo Suudia - kwa mfumo wa Petro-dolla kwa maslahi binafsi

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 місяців тому +4

    Ubarikiwe saaana Kiongozi, haya unayosema karb wachambuzi wote wa kivita wametilia mkazo , hasa wanajeshi wastaafu wa Marekani karb wengi wamesisitiza israel awe mpole

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 9 місяців тому +1

      Nyie endeleeni kudanganyana na kufarijiana badae tutakuja mezani hapa Kwa kauli za kutia huruma

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 9 місяців тому

      ​@@georgekimasaofficial1629endelea kua mini ivyo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      ​@@georgekimasaofficial1629MSENGE MWENZAKO KAPIGWA HASARA 1.49 BILION DOLA KITUWO CHA NDEGE ZA ISRAEL KIMEANGAMIZWA CHOTE NA NCHI WANAIKIMBIA NENDA KAWASAIDIE MKUNDU WEWE.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 9 місяців тому

      ​​@@salimmalaka256unafirwa kweli wewe, kuma kibuyu. Waliungana mabasha wako wote, inchi zote za warabu mwaka 67, kumpiga simba wa yuda! Walitepeta, na enzi hizo warabu ndio walikua wanaongoza kwa utajiri dunia mzima, ataweza leo iran na vi inchi vake, yemen, lebanoni, Syria. Israel ni simba wa yuda! Mkataba wao na MUNGU hauvunjwi na YESU wala muhamadi, MUNGU alisha mwahidi Israel, hata akibaki mmoja vitani, atashinda vita, na hata dunia yote tuungane tukaipige Israel! Hatutashinda vita hiyo.

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 9 місяців тому +1

      @@salimmalaka256 Axa matusi yanini ndugu afu mnataka Allah wenu awasaidie kwenye vita vya ndugu zenu ktk Iman duh au ndiyo allah anaruhusu Waislam kutukana watu? Au matusi ndiyo ushindi wenu? 🙄🙄🙄 mtaendelea kuteseka sana, sisi Wakristo Mungu wetu haturuhusu kutukana mtu.
      Afu pia tu nikukumbushe Israel wakipiga adui yao akafa wanatoa na lipoti kuwa wamemuua nani na kazi yake ilikuwa ni nini yaani wanajuwa kupiga Kwa tageti na panapo uma.😅😅😅😅

  • @selemanshemea4093
    @selemanshemea4093 9 місяців тому +9

    Lakini mbona tukio la Iran ndio linazungumzwa Sana?Israel kushambulia ubalozi wa Irani na kuua hilo sitatizo ,kweli dunia SASA IPO mikononi mwa waovu.

    • @suleim505
      @suleim505 9 місяців тому +3

      Dunia imeshaharibiwa na waharibifu, na ndio wanaounga mkono uharibufu unaofanyika kwa mataifa ya wanyonge

    • @muhamadharun9432
      @muhamadharun9432 9 місяців тому

      Propaganda za kusahaulisha uovu wa Israel

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Unahisi kwanini Israel iliuvamia ubalozi wa IRAN? Ni kwamba kuna uovu waliuona mapema unakuja na huwa silaha yao kubwa ya kujilinda ya ISRAEL ni uwezo wao wa kujua wabaya wao mapema kabla hawajaleta madhara. Hiyo kazi inafanya na Shirika lao la Ujasusi matata sana lijulikanalo kama MOSAD.

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 8 місяців тому +1

    Duu safiii broooo

  • @ShadrackMwikoni
    @ShadrackMwikoni 8 місяців тому

    Teacher big up Sana natamani niwe kama wewe, wewe ni msomi mkubwa Allah akuzidishie ila niombee na mm mwanafunzi wako wa first year

  • @benhamza5649
    @benhamza5649 9 місяців тому +2

    What is your name brother?

  • @ShabaniBaibai
    @ShabaniBaibai 3 місяці тому

    Mungu aijalie ilani izidi kuwa tetea mashaliki yakati

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 9 місяців тому +1

    Hongera broo

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 9 місяців тому +6

    MashaAllah kumbe bado Tz tunawanahistoria wazuri hivi endelea kutupa elimu

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 9 місяців тому +6

    اللهم صل على محمد وال محمد

    • @IssaRwechungura
      @IssaRwechungura 9 місяців тому

      I am the National Chairman of Indiginous Shia Community: Tanzania lthna'ashariyyah Community (T.l.C)

  • @radjabusuleiman6486
    @radjabusuleiman6486 9 місяців тому +4

    WA SHIA ni watu hatari Sana, sio kama sisi wa SUNI waoga ule imam wawo khomein akitangaza tuu vita hapatokalika mashariki yakati wanamuamini ule mzee wawo kuliko Ata Wazazi wao akitowa amri hakuna wa kupinga amri yake.

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Hahahahahhahahahhahahhahahahh hivi wewe unamsikiliza huyo jamaa. Anaiweka Hezbollah kweli kama mtetezi wa IRAN ilhali Hezbollah yenyewe ni kikundi tu?
      Huyo jamaa anaongea kwa minajili ya Siasa za Kiislamu tu hana jipya. IRAN ambayo inashindwa kumlinda hta kiongozi wa HAMAS anauawa ndani ya Nchi yake ndio itaiweza ISRAEL.

  • @fadhilimnyanga6400
    @fadhilimnyanga6400 9 місяців тому

    Nice work broo..nakusoma mjomba

  • @abdulkasukari5481
    @abdulkasukari5481 9 місяців тому

    Good Presentation

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 9 місяців тому +1

    Silaha wanazopewa waarabu hazitakiwi kuzidi uwezo wa Israel

  • @MishoAdeMahanyu
    @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

    Huyu jamaa ni mwongo sana. IRAN inategemea teknolojia hasa kutoka URUSI na uwezo wa kutengeneza silaha kali wenyewe bado sana. Labda assembling tu.

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 9 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu ibaliki iran

  • @KajunaMathayo
    @KajunaMathayo 6 місяців тому

    Naomba sana mungu vita ivi visifike Africa

  • @RamadhanmwidiniUdulele
    @RamadhanmwidiniUdulele 8 місяців тому

    My love teacher % fact

  • @rajabungomile3307
    @rajabungomile3307 9 місяців тому +1

    Kaka acha tu watufundishe kuwa mtu wa kwanza alikua nyani, Awana mpango na technology Wala nn alafu tunajicfu kuwa nchi yetu ni ya kwanza kupgana vita ya ardhini wakat wao waktaka pgana awaleti watu Bali ndege zsizokua na rubani ksha znawaua wote, daaaah😂😂😂😂😂 technology kwanza jaman

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 9 місяців тому +1

    Nchi zenye kufanya maajabu makubwa kama hayo zilijikita na ku invest ktk masomo ya Sayansi
    Sisi Nchi zetu kufikia hizo level sio leo wala kesho kwani tumejikita zaidi kuwaandaa vijana wetu Kuja kua Wana sheria tuna wanasheria wengi mno kazi kujisifia
    WAKILI MSOMI 😂

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Sasa kama wakibwabwaja ndio wanaonekana ndio wana akili unategemea nini? Nchi zetu hizi mtu unapoongea sana hata kama hakuna chochote unachofanya unaonekana ndio unajua.

  • @saiddarrus6400
    @saiddarrus6400 9 місяців тому

    Hats off brother

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 4 місяці тому

    Bro you can't say I will not give you bread time you know I can make myself Iran is power full country 😊

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 9 місяців тому +1

    Ufafanuzi mzuri sana, ila mhadhiri ameacha maswali mengi kwa TZ lkn na Afrika kwa ujumla. Yaani, ni kwa namna gani nchi za Afrika zimeshindwa kuwekeza katika teknolojia?? Shida ni nini hapa! Lakini nini kifanyike...

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 9 місяців тому +3

    Kweli aisee kama iran ingekua inasubir kupewa hakika ingekua imeisha anguka

  • @francofabian6159
    @francofabian6159 3 місяці тому

    Aisee nimekuelewa sana mkuu naomba uishauri serikali

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 9 місяців тому +1

    Maashaallah umetufunza

  • @omysule7118
    @omysule7118 3 місяці тому

    Saf san brother Mtani

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 9 місяців тому +3

    Nakuunga mkono sasa hivi serikali inatakiwa kuwekeza kwenye Teknolojia

  • @jumasaidswaiguti4190
    @jumasaidswaiguti4190 9 місяців тому

    Hongera kwa presentation nzuri na kwa ushauri uliotoa kwa serikali na jamii kuwekeze kwenye technologia badala ya vyuo vikuu.

  • @salimali-rf9er
    @salimali-rf9er 9 місяців тому +1

    Sadakta maneno yako👍🏻

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 9 місяців тому +2

    Labbayka Yaa Imam

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 місяців тому

      Taqiya 😢😢

    • @abdilahmohamed6679
      @abdilahmohamed6679 9 місяців тому

      Hawa watu me nashangaa hata waislam kuwafurahia Iran ila hawa ni wabaya kuliko hata waisrael na niwatalaam wa propaganda nataman umgewajua kwanza hawa Shia na mipango yao then ndo tuje tuongee wameua watoto Syria,Iraq na yemen na kila wakiua wanaweka vikundi kama hizbullah,IS na hamas ili waweke ushia kama yemen na kuua SUNNI 😢

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 місяців тому

      @@abdilahmohamed6679 kweli ni movie ya KIHINDI

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama 9 місяців тому +1

    Tuache ushabiki sikiliza point pamoja na vikwazo Iran imejweza ki uchumi na tecnolog tujifunze halafu jitu linaleta ushabiki hongera mchambuzi

  • @elishandalaShandala
    @elishandalaShandala 9 місяців тому +1

    Anaejua anajua tu
    Hongera umetufumbua macho

  • @PatrickBarnabas-fs4ow
    @PatrickBarnabas-fs4ow 8 місяців тому

    Umetisha

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph 9 місяців тому +2

    Hivyo Vikundo Vimezuia Miaka Kumi Na mbili Marekani Kumuangusha Rais wa Siria

  • @ZiadaAmeir
    @ZiadaAmeir 8 місяців тому +1

    Wallah umenifunz mingi sana amby siikuw nayajua
    Kaka Allah akubarik

  • @SaidiChinduli
    @SaidiChinduli 9 місяців тому +3

    Elimu sahihi wakati sahihi pokea🎉🎉🎉🎉🎉 yako.

  • @Inbrajabtv
    @Inbrajabtv 9 місяців тому

    Ebanaeeh we uk vzr ahsant saana

  • @HizaSebarua
    @HizaSebarua 3 місяці тому

    Nakubali sana nakupata nikiwa Moro town hapa

  • @SalimKaporo
    @SalimKaporo 9 місяців тому +4

    Basi mtu anaeongea vitu vya maana kama huyu huwezi kusikia media zina muhoji hatasikumoja innalilah wainailaih rajiun

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Anaongea vitu gani vya maana zaidi ya Udini tu kumjaaa sana. Toka lini Uislamu ukaendana na teknolojia. Ulisikia wapi?

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 9 місяців тому +2

    SIO NCHI ZA KIISLAM , NI NCHI ZA KIARABU, HAKUNA NCHI YA KIISLAM

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 9 місяців тому

      irani sio warabu

    • @jaffarichimbuvu9409
      @jaffarichimbuvu9409 8 місяців тому

      Kama akuna nnchi ya kihislamu irani ina itwaje makanisa yenywe amna ujui kitu

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      @@jaffarichimbuvu9409 unachanganya mambo Iran ni nchi ya Kiislamu ndio lakini sio Waarabu bali ni Waajemi. Kuhusu Makanisa ndani ya Iran yapo na kuna Wakristo (wengi wakiwa ni Waarmenia) pia pamoja na kwamba ni nchi ya Kiislamu. Hata hivyo kama Waislamu walivyo na tabia ya kunyanyasa dini nyingine wanapokuwa wengi mahali kwa IRAN ni hivyo hivyo Wakristo wananyanyaswa sana na ukionekana na Biblia hadharani unauawa au kufungwa maisha.
      Duniani nchi ambazo hazina Makanisa ni mbili tu ambazo ni Saudi Arabia na Somalia.

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 9 місяців тому +1

    Mashallah

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 9 місяців тому

    Lets wait

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 9 місяців тому +2

    Tanzania inadaiwa deni kubwa sana na iran.Tumekopa tangu wakati wa Marehemu Ali hassan mwinyi akiwa Rais halafu tumeuchuna kama hatujui hatuna kamwe huo mpango wala hata hatujui tutalipa lini.Tunalipa madeni ya dhulma ya Riba ya wazungu na tumeacha kulipa deni lisilo na Riba yoyote.

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Wacha uongo wako wewe. IRAN mwenyewe ana njaa ndio aikopeshe Tanzania. Achana na akili za mitaaani. IRAN ni nchi masikini sana bado.

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 5 місяців тому

    Umeelezea kwa uzuri zaidi 👏

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 9 місяців тому +4

    Muingeleza na Mmarekani Ndiyo Israel

  • @amrannjiwa
    @amrannjiwa 8 місяців тому

    big up

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 8 місяців тому +1

    Hapa mshenzi ni mmarekani

  • @YassinAwami-yi8jd
    @YassinAwami-yi8jd 9 місяців тому

    Tuwekeze kwenye TECHNICAL KNOWLEDGE... That is a point

  • @fidelismasaka2735
    @fidelismasaka2735 4 місяці тому +2

    MIMI NASAPORT IRAN 🇮🇷. KWASABABU ISRAELI...WANAUWA SANA WATU...😢

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 9 місяців тому

    mashallah akhy umetuelewesha vzr sana, hao ndio wairan hao ndio mashia tunaowasema vibaya misikitini

  • @ayubunyota5673
    @ayubunyota5673 3 місяці тому

    Waafrika tumepigwa cheni Mobile 📲 chain..Siku tukijitambua Kama Iran hakutakuwa na Umasikini

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 9 місяців тому

    Iran ni Noma 🔥 ana makombora kyasi kwamba hao majamaa hawanaidadi au ufahamu ndo mana wamemnangania tokea 1979

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 3 місяці тому

    Wewe ni mchambuzi mzuri sana! Ni kwamba Iran tayari wameshatengeneza mabomu ya nyukilia. Wana vichwa vichache kama 20 au 30 hivi. Na ndio maana wanajiamini sana!

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 9 місяців тому +1

    iran kafanikisha kwenye shambulio kwa asilimia 100
    Sababu zake kwanza kajua silaha gani za kuzuia makombora zilizotumika pale israil pia hawakutumia silaha zao zile za siri wametumia silaha ambazo zinajulikana lakini israil walizuia mashambulizi kwa kutumia kila walichonacho

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 2 місяці тому

      Inaonekana kumbe uko ndani ya Jeshi la Israel. Yaani unajua kila silaha waliyonayo jeshi la Israel 🤣🤣🤣.
      Ama kweli kila mtu anaweza kuandika tu anachofikiri kichwani.