HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 137

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 11 місяців тому +22

    Leo shekh rashid umenikosha sana ,,umemleta mtu ambaye nampenda sana kwa ajili ya Allah,,allah akubariki sana

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 11 місяців тому +16

    Huyu sheikh mselem nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 11 місяців тому +13

    Mashallah Asante sheikh Rashid Allah akulipe kher kwa kutuletea Shekh mselem 😢Dah kwakwel mim siwez kusahau nipo Mdog nasikia tu mama angu kila siku akilia Bas akiwekwa mawaidhsa yake shekh msellem uone askitika jaman Siku izi wanatukosesha darsa za sheikh msellem Yaan Mpaka amenifanya na mimi Nimpende Allah akupe umr mrefu sheikh Msellem akuepushe na shar za binaadam na majini😢🤲🤲

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 10 місяців тому +5

    Huyu mja wa Allah nampenda snaaaaaaaa , juzi nilienda kupiga picha nikakutana nae harusini anatoa mawaidha kuhusu ndoa Wallah maneno yanakuingia , nilitaman asimalize kuongea , anaongea kwa utulivu , bashasha , Allah amempenda sna ,Allah amdumishe yeye na sisi katika imani thabit. Ya Allah hakika unasikia na unaona chochote kile mwanadamu anachokifnya na hata kile asichokifanya kilichomo tu kwenye nafsi yake , nakuomba mola wangu unipe ucha Mungu mimi na waislamu wengine , na utufufue hali ya kuwa nyuso zetu zina nuru yako Mola wetu mtukufu, Amiin. 10:14

  • @hamadsuleimaan802
    @hamadsuleimaan802 11 місяців тому +5

    Ktk mashekh nnaowakubali huyu ni namba moja Nampenda sana shekh Msellem Aliy

  • @muhidinsuleiman4315
    @muhidinsuleiman4315 11 місяців тому +2

    Asante sana sh Rashind.
    Sheikh Msellem nampenda sana na Allah amueke tuzid kusoma kupitia yy inshaallah.

  • @mirajimohamed7606
    @mirajimohamed7606 11 місяців тому +2

    Masha Allah alhamdulillah nakupenda shk Mselem bin Ally kwa aajiri ya Allah napenda ambavyo una present mada zako na hauna upande kama mashekh wengine

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 11 місяців тому +5

    Mashaallah sheikh mselem Allah akuhifadhi, akupe umri mrefu wenyew kher naww.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 11 місяців тому +12

    Mashaallah huyu Sh, Msellem ni mtu muhimu kwenye jamii ana tawadhui kubwa

  • @stevenmichaelmaganga4828
    @stevenmichaelmaganga4828 11 місяців тому +4

    My favorite shekh watch him everyday

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 11 місяців тому +13

    Huyu mtu namkubali Sana Allah ampe afya njema

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 11 місяців тому +2

    Masha Allah. Sheikh Mselem ni fundi wa kuongea na Fasaha san hatoki nje ya mada ni mtulivu mno. Allah amhifadhia na husda za mahasidi.

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 11 місяців тому +6

    Mashaallah Allah akupe pepo ya juu sheikh mselem

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 11 місяців тому +8

    MASHAALLAH, JAZZAKALLAH kher.wallah sura yake na bashasha zake anapocheka unajua huyu sheikh yuko vizur Allah akuzidishie ELMU YENYE manufaa. Bega kwa bega mpaka Firdaus

    • @twahaabrahman-ev8co
      @twahaabrahman-ev8co 11 місяців тому

      Bega kwa bega Mpaka firdaus Pole Sana Ndugu

    • @ibugharib389
      @ibugharib389 11 місяців тому +1

      @@twahaabrahman-ev8co POLE ya nini

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 11 місяців тому +3

    Alhamdulillah tunashkuru sana Sheikh Rashid hakika tumefarajika sana kupa history ya Sheikh Mselem wengi tulikuwa tunabambanyana juu ya historia yake Allah amzidishie umri mrefu aweze kutuelimisha zaid na pia Tunamuomba Allah aizidishie muangaza alfatah tv iweze kutuletea mazuri zaidi

  • @selemanimlahagwa6942
    @selemanimlahagwa6942 5 місяців тому +1

    Shekhe wng mselem ally nakupenda sana kwaajir ya Allah . Allah hakupe maisha marefu insha'Allah

    • @user-wy7jl3do3c
      @user-wy7jl3do3c 3 місяці тому

      Sheikh Allah akupe afya njema uzidi kutuonesha nuru ya Allah

  • @user-ns2br3me2n
    @user-ns2br3me2n 10 місяців тому +1

    Allah akuweke sheikh mselem nakupenda sna kama mtu hakufahamu uyo haelewi popote

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 11 місяців тому +3

    mashallah mwalim wetu shekh mselem bin ally allah akujalie umri mrefu wenye kheri ili tuzidi kunufaika na elimu yako.allah akulinde na kila shari.

  • @is-hakaame
    @is-hakaame 11 місяців тому +2

    Mashaallah Allah amjaalie husnil lhatma sheikh Mselem yeye pamoja na sisi🙏

  • @binloufy454
    @binloufy454 11 місяців тому +2

    Ma sha allah hii ni hazina ytu katka ulimwengu wetu allah atuekee na azidi kutuekea ktika elimu ya kubwa ya dunia na akhera Tunakupenda sana kipenzi chetu sheikh mselem bin allay

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 11 місяців тому +1

    SHEIKH MSELEM ,ALLA AKUWEKE PEMA IMANI YANGU WEWE UNARADHI NA UNA KHERI KATIKA UCHAMUNGUWAKO ,WAZAZI WAKO ALLAH AWAVIKE TAJI DUNIANI NA AKHERA ,ULI PATA RADHI ZA MTUME ,SIO KAMA HAWA WANAJIVUNIA VYETI VYAKUJITOA KINYESI WAKOSEFU WA ADABU .

  • @ustadhisimbula8622
    @ustadhisimbula8622 11 місяців тому +2

    Maa shaa allah shekh langu hili nampenda sana kwaajil ya allah allah aendelee kumlinda na kumuhifadhi

  • @khamishaji-fw1km
    @khamishaji-fw1km 11 місяців тому +1

    Namkubal sana maalim nashukuru sana shehe MUNGU azid kukulinda sana

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd 11 місяців тому +1

    Mashaa allah sheh mselem allah azid kukuhifadh

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 11 місяців тому +4

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu A¿huyu Mzee Allah amemjaalia akili za elimu he's very wise Sheikh I really really love him..💯👌

  • @fatumahussein6399
    @fatumahussein6399 11 місяців тому +1

    Masha Allah!!! Shk Mselemu Allah amhifadhi. Ni miongoni mwa mashk nnao wakubali Sana.

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 11 місяців тому +1

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Ma sha allah
    Sheikh msel
    Allah akuhifadhi

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 4 місяці тому

    MashaAllahu al imaam Sheikh Mselem ❤

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 11 місяців тому +2

    Mash Allah Shekhe Mselemo Allah akupe umri wenye wenye manufaa kwetu sote Amiin Rabbil Alaamin.

  • @JemzMaalim
    @JemzMaalim 11 місяців тому

    Maaashllh ALLH SW amhifadhi shekhe wetu

  • @user-yl1mx8cu1x
    @user-yl1mx8cu1x 11 місяців тому +1

    Mashallah shekh wetu,mungu akupe upeo zaidi wa kuyuongoza

  • @floramateru
    @floramateru 11 місяців тому +1

    Masha ALLAH maalim yuko vizuri ALLAH SW AMUHIFADHI

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 11 місяців тому +3

    Mashallah Yani shekh elimu alionayo anasema hajasoma sijui engesoma ingekuaje leo Mt anapitia kitabu kimoja anaaza kuandaa mijadala duh

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 10 місяців тому

    Mashallah shekh wetu yaan maneno yako huwa matamu ya hekma na huachi kitu kwenye ukwel unasema hufumbii jicho chochote nikwel semen ukwel japo wapo wtu watakasrka kulingana na ukweli huo lkn unakuwa ushaufikisha ALLAH akupe afya njema shekh wetu

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 11 місяців тому +1

    Namkubali Sana Allahu Akuhifadhi wewe ni Mzanzibari Hasa umechanganya Damu kwa kila Kisiwa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 11 місяців тому +1

    MashaAllah Tabaraka Allah

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 11 місяців тому +1

    Mashallah Allah akulinde na kila shari na atukutanishe sote peponi. Najua umejishusha kuhusu elimu lkn mm na jamii ya wengi naamini tunakuchukulia kuwa ni mwenye elimu na muono mpana. Allah akuhifadhi.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 11 місяців тому +1

    Allah atuwekee viongozi wetu Hawa wazidi kutuelimisha

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 11 місяців тому +1

    Mashaallh wewe ni wangu hasa ❤❤❤ mungu amekujalia hekma

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 11 місяців тому +1

    Nampenda sheikh Mselem bin Ally mno wallah allah atuekee mwanazuoni wetu biidhinillah

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 11 місяців тому +2

    Kwa ajili ya Allah sheikh nakukubali sana

  • @Amirshamte
    @Amirshamte 5 місяців тому

    Mashallah sheikh maelem nakupend sana kwa ajili ya Allah mungu akulinde na kwa pamoja mungu atupe mwisho mwema inshallah

  • @user-lx2wg4je3t
    @user-lx2wg4je3t 3 місяці тому

    Allah. Mjalie kila la kher sheh wetu

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 11 місяців тому +1

    ماشاء الله الله يحفظك ويبارك فيك

  • @omarmsuya5373
    @omarmsuya5373 11 місяців тому +1

    Maashallah
    Allah amfanyie shekhe wetu wepesi

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 11 місяців тому +1

    Shekh mselem ni kipenzi chetu,
    Wewe ni adui kwa ccm,adui kwa makafiri na adui kwa masalafi,
    Allah atakuhifadhi na maadui hao

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 11 місяців тому

      Kipenzi,kumbe unalala nae wewe,kafiri na shoga ni wazazi wako,by the way Mselem your smart guy,may Allah protect you.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 місяців тому +1

    Mashaa الله leo tuna mgeni mkubwa sana. Mashaa الله ...الله akuhifadhi abuyi.

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 11 місяців тому +1

    MashaAllah MashaAllah Allah akupe umri mrefu ya sheikh

  • @MaliganyaWilson-ef3pk
    @MaliganyaWilson-ef3pk 11 місяців тому +2

    Nampenda sana huyu sheikh mungu amrahisishie pepo yake.

  • @profesamakame5179
    @profesamakame5179 11 місяців тому +2

    Asalam Alaykum sheikh Rashid kweli wasomi mara zote c wenye kujisifu hz ndio hekma za sheikh wetu

  • @user-gn2we2tp4c
    @user-gn2we2tp4c 11 місяців тому

    Allah akujali heri na uendele kutupa Eli ya ahera

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd 11 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi SHEIKH Mselem AKULINDE NA SHARI

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 11 місяців тому +1

    Mashallah Allah awajaze kheri mashekh wetu

  • @user-jv8ki9ut2p
    @user-jv8ki9ut2p 10 місяців тому

    Mashallah Allah akulinde akuepushe na kila baya nakupenda kwaajil y ALLAH

  • @husseinbudaga2953
    @husseinbudaga2953 11 місяців тому +1

    Allah akujaalieni saana..

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 11 місяців тому +1

    Mash ALLAH tupo pamoja

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 11 місяців тому +2

    ‏ما شاء الله

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 11 місяців тому +1

    naam maashallah

  • @user-gs9bb8rs5p
    @user-gs9bb8rs5p 10 місяців тому

    Mashaalah best shekh

  • @FathimaZubair-jt4cg
    @FathimaZubair-jt4cg 10 місяців тому

    مشاءالله ❤️

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 11 місяців тому +1

    SH rashid salim #LEO umeikonga nyoyo yangu

  • @abdallaomarkhamiskhamis9656
    @abdallaomarkhamiskhamis9656 11 місяців тому

    Mashallah

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 11 місяців тому +1

    ❤ Masha Allah

  • @marischidy63
    @marischidy63 11 місяців тому +1

    Masha.alla.tunaomba.sehemu.yapili

  • @user-pi5sf5qz1j
    @user-pi5sf5qz1j 10 місяців тому

    Ishaahla mungu akubariki milele

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 10 місяців тому

    Alhamdulillah shekh wetu

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg 11 місяців тому

    Sheikh Mselem wewe una elimu kubwa ila hauna vyeti,elimu na vyeti ni vitu viwili tofauti ndio mana kuna watu wana vyeti lakini elimu hawana au elimu yao ndogo haiendani na ukubwa wa vyeti vyao.ALLAH akujaalie umri mrefu na siha njema ili uzidi kutoa elimu.

  • @user-ck8xn9md3h
    @user-ck8xn9md3h 11 місяців тому

    Mashaallah shekh wangu

  • @Abuu_Mundhiri
    @Abuu_Mundhiri 11 місяців тому

    Mwendelezo tafadhali

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 11 місяців тому +1

    POLE SANA SHEIKH,KUHUDHURIA MIKUTANO ISIWE SABABU YA KUWEKWA JELA..ANAESHUKIWA HUFATILIWA muda hadi kuwa na UKWELI NDANI YAKE,kisha kushtakiwa hapo

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 11 місяців тому +1

    Mashaa Allah sheikh hatujuwani Lakini inaonesha no msomi na anajuwa akisemacho... Na kipindi hichi ni Safi Sana tu.. History ni Tamu iwapo itakuwa ya kweli na sh ndio ni mtu wa ukweli

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg 11 місяців тому

    Halafu kuna genge la watawala wahuni wakamzushia kesi ya uongo ya ugaidi,ALLAH awaangamize wahuni wale.

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 11 місяців тому

    Me nimesoma comments za watu wengi nimeona bora nitoe Rai alfatah muweke darsa za Tafsiri za sheikh kutoka suratul baqra au muendeleze suratu nisai alipofika pale msikiti wa Radio anour daraja bovu

  • @user-es9dz2bc2w
    @user-es9dz2bc2w 2 місяці тому

    Kwa majina naitwa Sheikh JUMA RASHIDI maoni yang ni kwamb Sheikh Mselem Bin Ally ni Mwanazuoni wa kizazi chetu aliye na msimamo wa kuigwa kwa waislamu katika nchi hii

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 11 місяців тому +1

    Tunaomba sehem ya pili inshaalah

  • @SHEIKHMWAIPOPOTV
    @SHEIKHMWAIPOPOTV 11 місяців тому

    Waislamu wengi tunaroho mbaya sana igeni wenzetu wakristo wanamaalifa sana sisi ni mazuzu walahi tupunguze fitna kama alikosea si basi tupunguze unafiki waislamu

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 11 місяців тому

      Sasa mselemu munamtukana hapo kakosea nini kama alikosea mbona selekali imemachia tunakosea sana huyo ni kiongozi ndio maana tunalanika waislamu kutukana viongozi wa dini ya mungu mselemu kafanya kazi ya mungu inchi hii

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 11 місяців тому

    Mm mwenyewe nakukubalisanaa shehe mselemu

  • @hamissalum6023
    @hamissalum6023 11 місяців тому +1

    🙏🙏

  • @user-fo1sf4og7f
    @user-fo1sf4og7f 11 місяців тому +1

    Shee mselem naitaji niwe mwanafunzi wako nipo dar unaweza nisaidia

  • @ZaynabSeiph-me5nr
    @ZaynabSeiph-me5nr 11 місяців тому

    Allah Akbar nimejifunza kitu,,kusoma sio madgrii na vyeti, mashekh igeni kutoka kwa shekhe uislam sio kuwa mfuas wa kundi fulani

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 11 місяців тому +1

    Tunasubiri shehemu ya pili

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 11 місяців тому +2

    Huyu ni sh mselem bin Ally ni mkweli na muwazi na hana majibuni ni mtu ambae anajua kua siku baada ya hii leo nayo kutakua na kila neno linahukumiwa

  • @maryammachanoomarymachano951
    @maryammachanoomarymachano951 11 місяців тому +1

    Nime frahi kuskia history ya shekh Mselem

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 11 місяців тому

    Makhawariji wa zanzibar( muamsho mulitusababishia maafaa kweli ) hivyo bc mupate funzo dini sio vita dini ni kusoma na kufundisha sw Iko ivyo namuomba allah awaondoshe tabia za ukhawariji murudi ktk mstari wa sawa sawa ammin

    • @AllyMassud
      @AllyMassud 11 місяців тому +1

      Mafa gani yalio fanywa na mwasho

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 11 місяців тому

      Kawafate uwanusuru ndugu zako watoke , usitake kufungua mdomo wako hapa ujione una elimu kubwa wakati hata kutawadha hujui , sioni kama busara kuanza kuwaambia watu wasojua ataa maana ya khawaarij , tumia njia za kielimu ukamuongoze , maana hapa hutopata faida zaidi ya kufanya izo sifa zako za kipumbavu , NA UWE MAKINI ALLAH ANAJUA KAMA UNATAKA KUTENGENEZA AU UNATAFUTA SIFA KWASABABU ANAJUA DHAMIRA YAKO

    • @zahormohd
      @zahormohd 11 місяців тому +1

      Wewe punda kama wale wa mwembe makumbi

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 11 місяців тому

    kichwa cha habari tofauti na maelezo

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 11 місяців тому

    Watu wengi waona mumeonewa kumbe sio kweli mulitaka kuonewa mulilinganiwa sana muache vujo lkini mulijikuta wababe kilicho tokea munakijuwa nyinyi Rudi ni ktk haki

  • @awadhabed
    @awadhabed 11 місяців тому +1

    Asalamu Alleikum..Nitafurahi na nitashukuru kupata number ya Sheikh Rashid ya Whatsap kwa kufanya kheri zaidi kupitia yeye.Shukran.Allah aitie Qaboul Ujumbe wangu Umfikie.

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 11 місяців тому +1

    Kuingizwa gerezani

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 11 місяців тому

    Ukweli waumwa sana nasaha humfa mwenye kuamini hata ukanifokea ukweli ndio huuo

  • @alisalum7036
    @alisalum7036 11 місяців тому

    Hawa masheikh wa bidaah kweli hawajasoma lkan ukiwa ni mchache wa elimu utadanganyika nao. Tumuombe Allah atuongoze kwenye Haki

    • @azruntravel4306
      @azruntravel4306 11 місяців тому +1

      Jifunze kutohukumu watu si katika Manhaj yetu

    • @Waytozanzibar
      @Waytozanzibar 11 місяців тому +1

      Kasome wewe Sasa 😅

    • @suleimanhamad2396
      @suleimanhamad2396 4 місяці тому

      Muogope allah kijan hiki ulichoandik kinahifadhiw kweny kitab chak

  • @user-ey3bk3pl6k
    @user-ey3bk3pl6k 11 місяців тому

    Degree sio kitu mbele ya Allah wewe upo juu ya hata mbele ya maprofessa

  • @ramadhanimwasi1647
    @ramadhanimwasi1647 11 місяців тому

    tunaomba mselem aje huku kwetu Moshi atupe dawa

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 11 місяців тому

    Hawa walifanya fujo ndio wakafungwa walitaka kuchafua amani ya nchi hawakuonewa Bali ni haki Yao kufungwa na tegemea wamejifunza kitu hawato rejea Tena ,Not heshimu watawala ktk nchi yko usifanye vujo dini sio fujo dini nikusoma

    • @rashidomar2771
      @rashidomar2771 11 місяців тому +1

      Wewe inaonyesha ni muakilishi wa ibilisi na shetani ,pamoja na wenzenu firiaun na hamana,,Allah azivize fikra zenu inshaallah,akakulipeni mnachostahiki kwa maudhi na mateso mnayoyafanya kwa viumbe wenzenu inshaallah

    • @zahormohd
      @zahormohd 11 місяців тому +1

      Hawa hawakufanya fujo bali walitumia haki yao ya kikatiba wacha kupotosha jamii

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 11 місяців тому

      Hili jamaaa nyamwezi ccm nmelishtukizia shoga

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 11 місяців тому

    Ana akili mpaka nyengine zinapukutika

  • @twahaabrahman-ev8co
    @twahaabrahman-ev8co 11 місяців тому

    Sheikh Msellem kumbe umesoma mpaka kwa MASHIA ndomana unaruhusu dini Mseto

    • @hashimseif1194
      @hashimseif1194 11 місяців тому +2

      Nadhani pale alipomtaja Abdillahinasir kipindi kile alikuwa bado hajawa shia ,alikuwa kule kwao Mombasa akipinga bidaa na hapa unguja alikuwa Sheikh Nassor Bachu na Darusalama alikuwa Mayunga ,Sheikh Kingaru ,Sheikh Pori, Sheikh Doga.Baadae Mayunga naAbdillahi Nassir wakaingia ushiani.Hivyo alikuwa Abdillahi Nassir alikuwa akija kutoka Mombasa alikuwa akija hata Tanga akipinga maulid ,khitma kunuti na akisema Allah ataonekana akhera,l akini kwa masikitiko baadae waliingia ushiani.

    • @suleimanhamad2396
      @suleimanhamad2396 4 місяці тому

      Muogop allah

  • @user-tb5mc2wm1z
    @user-tb5mc2wm1z 11 місяців тому

    Wewe ni zaidi yahaa walosoma..shule

  • @user-tb5mc2wm1z
    @user-tb5mc2wm1z 11 місяців тому

    Fundi huyu

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 10 місяців тому

    Mbona imemaliza fupi?

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 11 місяців тому

    Naam tupate funzo kwamba kupambana na watawala ni jambo ambalo halipo na kufanya maandamano sio Sheria na misingi ya uislamu hivyo basi wezetu wamejifunza kitu kuwa watawala htuwawezi tunatakiwa tuwatii ktk mambo ya kheri na Wala tusiwakhalifu hebu tuwatiie watawala tuone Raha Note dini sio vita na maandamano dini ni kwa kusoma