Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @ConradAlbert-mf2fx
    @ConradAlbert-mf2fx 12 днів тому +6

    2025 naangalia hii interview ✌️ Lissu ni hazina ya taifa

  • @yovitakayombo9724
    @yovitakayombo9724 4 роки тому +15

    Ama kweli wewe ni Genius. Mungu azidi kukulinda na kukubariki

  • @franaelmbise6594
    @franaelmbise6594 4 роки тому +4

    Mh.Rais Mtarajiwa waoo very bright man foreal, Ni MTU kwenye akili nyingi Sanaa hakikaaa duuh I can't imagine
    Jaman wapendwa wenzangu Tumshukuru Mungu kwa kutupa zawadi hii ya mh.TunduALissu tuwalaani na kuwakanya vikali walijaribu kumuua wanataka kuzima taa ya Tanzania yaaan daaah jamb tafurahi Sana kuona tabasamu la FARAJA kutoka kwa #TunduALissu

  • @justinejackson1731
    @justinejackson1731 2 роки тому +2

    Tar 6/2/2023 nimeirudia hii interview ya mwamba, dah! Mungu azidi kukubariki.🙏🙏

  • @semanamitv898
    @semanamitv898 4 роки тому +36

    Nimependa sana kwa the way anavyo jaribu kujibu kisomi zaidi. Exactly your the best and God may help you for the rest👏

  • @samo5315
    @samo5315 4 роки тому +17

    I love to listen when he talk. Hababaiki ni msomi mkubwa. Maneno safi hayana utata. You're the best Lissu. Allah blessings to you. Inshallah you will be our president.

  • @danfordkitwana6759
    @danfordkitwana6759 4 роки тому +7

    ni miaka mitano imepita toka rais mtarajiwa afanyiwe interview hii. mwaka huu 2020 imekuwa dhahiri sana. TL is genious.

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 10 років тому +22

    Muheshimiwa lisu big up wewe ni mtetezi wawazanzibari

  • @alexteophil.c9293
    @alexteophil.c9293 5 років тому +22

    Huyu mtu ni maktaba yangu ya maarifa asee ..... i do appreciate the way he play his part in his right position.... Your one of the best aducated person in Tanzania with average level of education. We miss your presence in our lovely country... your wellcome back Tundu Lissu

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 4 роки тому +31

    Lissu ni mpinzani wa kweli kuwai kutokea Tanzania.

    • @arnoldbaijukya6011
      @arnoldbaijukya6011 4 роки тому

      Umesema kweli

    • @seifnass3129
      @seifnass3129 4 роки тому +1

      True ✌

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 4 роки тому +2

      Hawezi kuwa mpinzani wa kweli hii Nchi kwa Sera yake ya kuunga mkono Ushoga!!

    • @lichilasalumu7983
      @lichilasalumu7983 4 роки тому +1

      @@amanafi1288 nawewe si shoga vile vile

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 4 роки тому +1

      @@lichilasalumu7983 Ningeukubali Ushoga c ningekuwa huo upande wenu

  • @philipkato6517
    @philipkato6517 4 роки тому +185

    Kama unaangalia hii mwaka 2020 tujuane kwa like🤣😀

  • @romansuzana46
    @romansuzana46 10 років тому +53

    Mhe Lissu tunaona harakati zako na chama chako and we real appreciate,Mungu azidi kukulinda.

    • @deogrtiasmassawe2646
      @deogrtiasmassawe2646 5 років тому +1

      Suzana Roman kbs

    • @shukranrwesa7691
      @shukranrwesa7691 4 роки тому +3

      Kama kuna mtu ninae mpenda wanasiasa bc ni tundu lisu

    • @kyambarungwematv6828
      @kyambarungwematv6828 4 роки тому

      Msenge Sana wew ndiyo wale wale mabeberu

    • @romansuzana46
      @romansuzana46 4 роки тому

      @Kyambarungwe ma TV Kuma la mamayako wewe,kwani umelazimishwa kukubaliana na Mimi.au ndio usenge uliousema maana ni wasenge tu ndio hawajui kuacha jambo liwapite.choko wewe

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 роки тому +2

      Mungu anamlinda kweli

  • @jacksondaud4957
    @jacksondaud4957 4 роки тому +2

    Mdogo wangu lissu mwenyezi mungu akujalie maisha malefu

  • @samiramdachi7101
    @samiramdachi7101 4 роки тому +30

    Nakupenda sana kaka yangu lisu unaongea point🙏🙏🙏

  • @fanaismmsianaf9352
    @fanaismmsianaf9352 4 роки тому +7

    Lissu for President! Mwaka huu ni mwaka wa madiliko

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 4 роки тому +25

    This is the best interview I ever watched,best interview all the time till this time 2020 ✌️✌️✌️✌️Go lissu this is your time 🥇

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 4 роки тому +266

    Nani anaendelea kuangalia hii in 2020. Ebu gusa like

  • @thedonmassawe
    @thedonmassawe 10 років тому +40

    I've been watching this show from day one. By far this is the best guest you've ever had on here. Politics aside this guy is brilliant. Note how forthright and upfront he was about politics. Take for example admitting the fact that opportunism is part and parcel of the game, but then he goes on to explain why it's not such a terrible thing. It's not about having a popular or an unpopular stance on issues it's how you defend that stance. Talk about kujenga hoja, huyu jamaa anajua! Of all the politicians you've had on here this guy is streets ahead of them, they all could learn a thing or two from him. You also get the impression he is in politics for the right reasons and not just to cater to his own ego. Mind you there is always a bit of an ego thing involved with people in such positions, but with him you at least get the sense that his ego and people's perception of him is not his main concern, and I don't think you can say that for any of his contemporaries that you've had on your program.
    I'm sure it's not the first time you've heard it before but dude! John and Muba you need to learn to let the conversation flow on its own, give the guests time to speak and don't rush them. It's not a race to see who gets in the most questions, it's a "conversation" which means "listening" to the other person before responding accordingly. So many cases, not only in this particular episode either, you sense a conversation is heading in a really interesting direction only for the guest to be asked a completely out of topic question that just kills the topic. Unajua saa nyingine mtu akinogewa anaweza kuongea (kuropoka) vitu ambavyo hajapanga ambapo ndo uhondo wenyewe wa interview ulipo, but if you interrupt the person talking atanogewa saa ngapi? But good work though, it would be unfair to not mention that you guys have gotten a lot better from the earlier days, so props for trying to improve.

    • @dct4lif
      @dct4lif 10 років тому +2

      Your right tunaongea mambo ya afya ambayo i was very interested on hajamaliza wamerukia katiba there has to be a flow kama unavyosema and a transition. Inaboa sana. Nimependa aliyosema Lissu isipokua mambo ya muungano.

    • @kaizafulgence5415
      @kaizafulgence5415 7 років тому

      thank you for saying this. I am less polite when it comes to Muba and his friend's interruptions and I think Salama should always try to bring the speaker back from her fellows' misquestioning.

    • @keshenigabagambi9384
      @keshenigabagambi9384 7 років тому

      Donath Massawe.....

    • @officialadon1056
      @officialadon1056 6 років тому

      ,

    • @alutemughwai2185
      @alutemughwai2185 5 років тому

      Donath Massawe

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 4 роки тому +2

    Maashaallah maashaallah maashaallah tundu lissu allah akulinde

  • @philemonphillip3842
    @philemonphillip3842 8 років тому +22

    The great Tundu Lissu.. Genius . Keep up the same spirit ..my nmbr one Role model. Cheers champ.. Ur bttr than those low lives who milk money frm there own gvt and feel proud to be called rich while inthere heads there is nthng.. Continue leavng a legacy

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 4 роки тому +17

    Tunai angalia leo 1/9/2020! Hawa wenye kipindi cha mkasi bakhili hata mgeni hakupewa glasi ya maji!

  • @elibarikilaizar5423
    @elibarikilaizar5423 4 роки тому +1

    Tundu tunda la Tanzania Mungu akubariki Sana

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 7 років тому +30

    Lisu,your awesome men!! keep going.

    • @simbabbq4427
      @simbabbq4427 4 роки тому

      Lisuu raisiwetu sisihatutaki mabarabara tupemaisha tule natuwehuru barabaravakajenge chato

  • @nancyisaiha5912
    @nancyisaiha5912 4 роки тому +18

    Thank you Mr Lissu for elaborating a little about politics

  • @dareenali6086
    @dareenali6086 4 роки тому +15

    Kura yangu unaichukuwa 2020

  • @annefridakisesa4910
    @annefridakisesa4910 10 років тому +12

    I am absolutely impressed by Mheshimiwa Tundu Lissu's arguments, particularly on the issues of education and "special schools". Frankly speaking, compared to other countries which got independence at the same time as Tanzania, we have completely messed up on education. This will continue jeopardizing chances for national development by our future generations. If we didn't educate them properly, and give them much needed skills, what is the chance of this country being at par with other nations?? Can you believe that that this wonderful peaceful country has to be a recipient of WB grant for "Big Results Now in Education Program (BRNEd) Project", aiming to improve education quality in Tanzanian primary and secondary schools? This is after more than 50 years of independence? We really have to think seriously on electing right people, principled people with good governance.

    • @marccruz5765
      @marccruz5765 3 роки тому

      I dont mean to be off topic but does someone know a trick to log back into an instagram account..?
      I was stupid lost my account password. I would love any tips you can offer me.

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 4 роки тому +19

    Mzee una akili Sana Watu Gonga like apa

  • @godfreymarandu304
    @godfreymarandu304 4 роки тому +3

    Huyu jamaa kweli ni kichwa sana

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 4 роки тому +3

    Hichi kichwa binafsi nakikubali saaana....sijui mambo mengine ila namkubali

  • @patrickmwakisyala4877
    @patrickmwakisyala4877 4 роки тому

    Lissu your always the best miaka hyo ya uwazi imepotea Mungu azidi kukupa afya njema na nguvu kuu ya kuendelea kupambana naiman ipo siku utaweza rudi na kuishi tena kwa aman tz

  • @salimbwaya8243
    @salimbwaya8243 4 роки тому +1

    Salama rudisha kipindi cha mkasi ni ktk ubunifu Bora kabisa uliowahi kuufanya maishani mwako

  • @deodathkizito9637
    @deodathkizito9637 4 роки тому +11

    TUNDU LISSU akili kubwa Sana karibu kwa nyumbani Tz.

  • @davidchilumo6246
    @davidchilumo6246 4 місяці тому +1

    LISU ni Genius bt wabongo hamja jua ilo

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 4 роки тому +1

    Ukweli Tundu Lisu ni mtu wa pekee sana Tanzania utakuta mtoto wa Shule hizo hajui hata maana ya well done pia hajui inasikitisha sana

  • @oscarmmari5061
    @oscarmmari5061 9 років тому +23

    Tundu Lissu is a brilliant politician and we are missing out not having him running the government.

  • @caindunke8526
    @caindunke8526 4 роки тому +7

    October 2020 inakaribia ✌🏽

  • @stevenhaule87
    @stevenhaule87 4 роки тому +29

    Unaisikiliza interview ya 2015 mwaka 2020 na still unamuona mwamba mwenye misimamo ileile. Yaani interview kama ya mwaka huu

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki9914 10 років тому +8

    Shukran Salama kwa kutualikia lissu tunakuomba na Jussa umlete. Muba hakuna lisiloshindikana mungu akijaaliya muungano wa serikali 2 hauna muda mrefu kaka yangu kama Nyerere,Hitler,Mobutu,Saddam,Gaddafi, Makaburu,Ussr. basi na hili lina mwisho kijana Ccm si lolote mbele ya mungu hawawezi kuishi miaka 500 kama yafirauni hizo ni akili za kikafiri kukipa kitu umri wa dumu daima

    • @obeidmpombwe9951
      @obeidmpombwe9951 4 роки тому

      Mungu kweli alikupa kitu ndani yako uliongea Miaka kadhaa iliyopita kuwa tunakwenda kubaya kweli tumekuwa kubaya zaidi.

    • @selinaalbert8993
      @selinaalbert8993 4 роки тому

      Waliona kizuri kisidumu wakasahau kuwa yupo mtetezi Yesu

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 роки тому +5

    Lissu ni more than president 🙌🙌

  • @setielmashok6087
    @setielmashok6087 4 роки тому +2

    Nimekuelewa sana

  • @suysoni
    @suysoni 9 років тому +20

    hahaha Lisu namkubali sanaaa 1:03:26, anakwambia anapenda sana kuchimba usiku ili kesho yake akawabane bungeni hehe

  • @erickrichard4516
    @erickrichard4516 4 роки тому

    Mungu akupe maisha marefu lisu. hakika tunamsomi tanzania.

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 5 років тому +41

    Huyu mtu anatisha (anaakili nyingi Sana)

  • @sheikhshekuehamzamzonge1658
    @sheikhshekuehamzamzonge1658 9 років тому +24

    Allah tupe mwisho mwema

    • @saumu702
      @saumu702 4 роки тому

      Mzonge wawapiwewe tanga

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 10 років тому +23

    Thank you Lissu..wanataka kumfanya Nyerere alikuwa kimungu mtu, Big NO
    You are the best Lissu....Kumbe Tanzania kuna watu kama hawa Aisee

  • @kulwamwakagali24
    @kulwamwakagali24 8 років тому +68

    Lissu ni Akili kubwa..✌

  • @zwwasost
    @zwwasost 10 років тому +12

    Great interview. Asilimia 50 ya wabunge wetu wangekuwa na akili kama huyu mtu. Nchi ingekuwa mbali sana.

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 7 років тому

      Kumbe hujui tundulisu niadui nambamoja anajitahid kuzuia maendeleo lakin hataweza.

    • @primuskiiza6403
      @primuskiiza6403 4 роки тому

      @Meshack Mliwa unapenda kutukana. Sana. Basi. Inafikirika kuwa. Unatoka. Katika Nyumba. Za. Udongo/matope !!!!!!!?

    • @primuskiiza6403
      @primuskiiza6403 4 роки тому

      Big. Up. Toooo

  • @ayubusikagonamo3875
    @ayubusikagonamo3875 4 роки тому +3

    Mh. Rais kipenzi cha watanzania hakika wewe umebeba maono Mungu akulinde...

  • @barackmwakilema920
    @barackmwakilema920 4 роки тому +2

    Mungu anaona mbali sana dah tungempoteza huyu mtu tungepoteza kitu cha thaman sana

  • @englengaipaul6000
    @englengaipaul6000 6 років тому +4

    wewe ni taifa kubwa mh lisu mungu akulinde sana

    • @elisantennko7811
      @elisantennko7811 4 роки тому

      Uko vizuri tindo letu na rais ajae tundu lisu ustishwe na wachache wanao rubuniwa na saani ya ubwabwa wa sku moja kesho walale njaa

  • @GANGEMONEY
    @GANGEMONEY 4 роки тому +2

    Nimeipenda hyooo

  • @elishuakivuyo140
    @elishuakivuyo140 4 роки тому +4

    2020 Bado nimekusikiliza nakukumbuka pia

  • @nestrysondegod3499
    @nestrysondegod3499 4 роки тому +9

    Kam unaangalia hii video 2020 gonga like tujuane

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +34

    Hapo kwenye Elimu umenigusa sana

  • @selemansombe4177
    @selemansombe4177 5 років тому +6

    And I watch today...still the best politician.

  • @twaibukihimbi1148
    @twaibukihimbi1148 4 роки тому +1

    Pole mkuu

  • @yoveanyakarungu1547
    @yoveanyakarungu1547 7 років тому +3

    Nice xana

  • @nuhugidamarida5844
    @nuhugidamarida5844 4 роки тому +1

    Somo zuri sana Kaka.

  • @MrLemunge
    @MrLemunge 9 років тому +3

    yeah jamaa katisha !! kamanda lisu

  • @denischacha9104
    @denischacha9104 6 років тому +25

    Tundu noma

  • @davidommassy2002
    @davidommassy2002 6 років тому +2

    Mubba na mwenzio in vilaza rudini shuleni, shule in muhimu sana, huenda mulisoma shule za kata

  • @agerpityswai1555
    @agerpityswai1555 7 років тому +6

    Zanzibar ni koloni la tanganyika💃💃

  • @jacobmoses2175
    @jacobmoses2175 4 роки тому +1

    Naiangalia 2020 but ni kama mpya

  • @lengaymaida434
    @lengaymaida434 6 років тому +8

    Get like this soon mh.

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 4 роки тому

    Naskia Kikwete alisema ni bora Dr. Slaa awe rais kuliko Lissu kuwa mbunge. The guy is talented. #NiYeye2020

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 4 роки тому

      Alisema hivyo kwakuwa anajua Lissu hua ana msimamo. Huyumbishwi kwahio wanamuogopa anawapa ukweliii!.

  • @Evod-dd3kw
    @Evod-dd3kw 8 місяців тому

    Hakika Mungu yupo kwa wale ambao hawaamini kua hayupo wa mwangalie kupitia Antipasi Lisu.watamuona Mungu baba aliye umba mbingu na dunia

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 4 роки тому +3

    Hichi ni kichwa aiseee

  • @jivavaherode6191
    @jivavaherode6191 7 років тому +40

    Anafaa kuwa Raisi wa nchi ya wanyonge wanao onewa

    • @shawnmichaels1893
      @shawnmichaels1893 4 роки тому

      Ulikuwa unamaono aisee

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 4 роки тому

      @@shawnmichaels1893 huyu jamaa ni jembe sana basi tu watu wanajiondoa ufaham et katumwa lakini alianza zamani sana kutetea wanyonge

  • @mweshimiwaraisshikiliahapo8405
    @mweshimiwaraisshikiliahapo8405 4 роки тому +1

    We Tundulisu kweli we ni shoga kwa sababu gani unavaa hereni

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 4 роки тому

      Wapi kavaa hereni,una uoni hafifu au ni mhemko wa kipumbavu

    • @jastonelazaro5944
      @jastonelazaro5944 4 роки тому

      Unaweza kumtusi hata mzazi maana unamhemko kama uko ovulation period

  • @allyjuma1707
    @allyjuma1707 4 роки тому

    Safiii saana lisu yaani huwa sichoki kukusikiliza kwenye mazungumzo yako, huwa najifunza vitu vingi saana kutoka kwako nataman siku moja uwe Rais wa hii nchi

  • @mordekaingamagila2644
    @mordekaingamagila2644 5 років тому +3

    Nakukubali broo your my hero!!

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 роки тому +1

    Duh...hii clip Naikumbuke Sana....

  • @enockheche5917
    @enockheche5917 7 років тому +51

    Nimeamini watu wana laana kama mtu anaweza kujaribu kuua mtu wa aina hii ambae ni hazina kwa taifa hili, hii ni laana kabisa

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 8 місяців тому

    Hizi speeches zinaishi milele

  • @martinanappa9627
    @martinanappa9627 4 роки тому

    We Tindu lisu ni mbwaa.
    Uchaguzi ukiisha unaolewa tarehee 30.10.20

  • @topotachilemba9196
    @topotachilemba9196 4 роки тому +52

    LISSU NI BINADAMU WA KIPEE. HAJAWAHI KUFELI

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 4 роки тому +37

    Saa6 uck tarh 19-9-2020 Naangalia Mh. Rais Mtalajiwa Nani Kama Mimi

  • @erickrichard4516
    @erickrichard4516 4 роки тому

    tunakusikiliza vizuri kiongozi

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 роки тому +2

    Hakuna mtu ninaemwamini Kama huyu mwamba amekuwa msaada kwa watu miaka mingi, na amekuwa kimbilio katika kipindi kilefu yupo kutetea haki za watanzania huyu mtu anatufaa kutuongoza, ataongoza kwa haki mm naimani nae kwa kiasi kikubwa sana! Nimemfuatiria sana huyu atatutengenezea Katiba mpya na ndio msingi wa kizazi hiki na Cha kesho, tuache fitina za CCM, na tusipo itoa CCM mwaka huu, kamwe watu hawatapata haki tena, huyu Lissu tumchague atutengenezee mfumo mzima wa utawara, nchi hii itapigwa hatua na Wana nchi tutaona mafanikio makubwa, MUNGU akulinde tuvuke kwenye uchaguzi huu.

  • @lingsonmasoud2946
    @lingsonmasoud2946 7 років тому +13

    Salama hahahaa huyo baba ako unamuhoj km mshkaj bn ila nmependa ilkua amaizng

    • @edwardvelidiana1864
      @edwardvelidiana1864 4 роки тому

      Jamani!!!!!!

    • @primuskiiza6403
      @primuskiiza6403 4 роки тому

      Nimegundua sana unapendwa. na Wasomi/ na wasio wasomi lakini wanajitambua. Congratulations. to you. Tundu. Lisu

  • @gilbertmtoshu4334
    @gilbertmtoshu4334 4 роки тому +1

    Love u bro 13/10/2020

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 роки тому +1

    Kweli feature President

  • @ilejedistrict6136
    @ilejedistrict6136 4 роки тому

    Sure this is a real deal indeed !! HAKIKA MUNGU NDANI YA TANZANIA NA AMETUPA MTU

  • @Raysam-ki1rc
    @Raysam-ki1rc 4 роки тому +5

    👇Tujuane hapa 2020

  • @cornelmbembati6077
    @cornelmbembati6077 4 роки тому

    Penda sana lissu Mungu akuinue

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 11 місяців тому +2

    Nimerudi tena 2024 kuangalia hii kitu. Haichujiiiiii MIAKA TISA SASA!

  • @phabianalex2617
    @phabianalex2617 4 роки тому

    Nice elaborated lissu

  • @husseningurukuru730
    @husseningurukuru730 4 роки тому +2

    Hasante lisuu uko sahii

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 роки тому +11

    Like Za Tundu Lissu 2020

  • @mkalimalikurutu3203
    @mkalimalikurutu3203 10 років тому +1

    salama umetisha aisee...nataka nichukue ka selfie moja na wewe...uko juuu sana

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 8 років тому +6

    Shule siyo jengo ni uwepo wa walimu. Vitabu. Maabara. Na vitendea kazi

  • @jaksonjulius9010
    @jaksonjulius9010 4 роки тому

    Salama bhaana eet tabia ya kuuliza watoto wa kike sio vizuri duuh hatary

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 4 роки тому +9

    Kiongonzi wetu mpya

    • @merlisapeter2522
      @merlisapeter2522 4 роки тому

      Ppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp

    • @merlisapeter2522
      @merlisapeter2522 4 роки тому

      Ppppppppppppppppppppppplpppplppppppplppppppppppplpppplpppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppplpplpppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppoppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppopppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppppppplppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppplpppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp

  • @emmanuelmsigwa7007
    @emmanuelmsigwa7007 4 роки тому

    Safi sana point

  • @stephenshayo734
    @stephenshayo734 8 років тому +13

    Mh Tundu Lissu aalikwe tena kwenye kipindi hiki cha Mkasi na kipindi kitangazwe vizuri kuwa kitakuwa lini ili wengi tusikikose

  • @siskimkimu2298
    @siskimkimu2298 4 роки тому +1

    Super man

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 4 роки тому

    How are you guys??nyinyi muko nyuma sana tena sana kimaisha nyooni huku nchi za western musome kwanza mtizameni hata huyu mwanamke anarjiita mwenyewe Salama anavyomuhuji Lissu hicho kikao chake alicho kaaa???,😅🤣😂🤣😅😂😳🧐muko mbali sana ya dunia mimi katika ufahamu wangu mimi maisha ni vitu viwili tuu love and respect iko wapi hapa heshimaaaaaa???

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 4 роки тому

    Tundu Lisu ooooyyyeeeee

  • @blessedgombezi
    @blessedgombezi 4 роки тому +1

    Leo yupo hapa kama mgombea urais

  • @rodricksimbili2620
    @rodricksimbili2620 10 років тому +5

    Napenda sana mkac kipindi hiki ila nataka umuhoji cat z namkubal sana pamoja sana!