😢😢😢wallahi niliishi hovyo hadi kutofata hizo kanuni alhamdullillah nguvu zangu za asili zimenipigania na wanangu ila sasa nitasimama imara nizipe nguvu , nguvu zangu za asili
Asalam Aleikum Warahimatullah Wa Barakatu Yah Sheikh kwa siku ya leo nili pate mafunzo mazuri sana kabisha munye azimungu subuhanahu wata Alaah azidishe Asant
MashaaAallah shukran Ustadh sasa ukienda hayo mafuta ukiyataka unayaita mafuta ngani ndio nikanunue mm niko kenya jee yamefika kwetu au bado nayanaitwaje
Watu wote wameangamia ispokuwa wenye elimu na wenye elimu wote wameangamia ispokuwa wenye kutenda na wenye kutenda wameangamia ispokuwa wenye ikhlasw.Allah twaomba utuongoze na utufishe tukiwa wachamungu.naomba usamehe huyu sheikh na sis pia tuwezeshe kumwiga mtume Muhammad rehema na amani zimfikie na maswahaba zake .kwani aliyesalimika ni Yule uliyemsalimisha kutoka na mitihan yako.tusipofuata Quran Na suna kivitendo basi hakuna baada ya ukwel Ila ni upotofu hata ukipewa na jina zuri .
Ivi naweza gupata kivipi iyo dawa nitumie mimi Mutoto wangu akienda kwenye siku zake anamariza wiki yote natumbo ikamuwuma sana mimi niko Australia nimie please
Masha Allah ustadhi karibu kwenye UA-cam cos sijawahi kukuona lkn nimependa sana Allah akuhifadhi na uzidi kutuelemisha . Lkn haya mafuta ya bint Sudan ndio mafuta gain?
Million tatu shekh kweli km ni milion tatu au ndio kutupanga tu.. shahawa ya mwanaume na mwanamke zikukutana ndio huundwa pande la nyama ndani ya siku 40 hakuna milion pale wee tupange umu tu
Mmm nawachukia sana juu nimeona wazee wanatoa mboro yao na wajifanya wana nguvu wachaawi sana mm sitaki wale waojifanya ma shekhe yacni religious na ni secret magicians MONSTER s ..na ni waasharitii sana na ni ya kushangaza ni wazee wamekula chumvi nyingi!! Heeeh?? Mungu aa waangamizee sanaaaa ee wachawi wanaotumia ASMAUL HUSNAA NA QUR'AN NII EEEEEE MTAONAAAA
Hahahah.kwanza mpaka jin anakulinda yy kakosa kazi? Wakat Allah anasem innashaitwa aduwu hakika sheitwan ni adui basi nanyi mfanyen adui..Leo hii jin akulinde??.ukiona hivyo ujuwe ww unakasoro.jin sheitwan haji kwa mcha mungu
Kwa nini nyie mashekhe munapenda kukuza mambo mana sio lazima kusoma mara mia tatu au munataka watu washindwe mana nying hizo . Japo tatu to kusoma kwa nia inatosha .
Hivi ni kweli jinni anafanya kazi zote hizo kwa mwanadamu? Allah kweli amekosa malaika wa kuwatuma mpk amtume jinni? Sheh tusaidie dalili kwa Quran na sunna nasi tujifunze zaidi maana ndio leo nasikia haya. Kanzu yako ina picha ya moto, no ishara ya nini hyo sheh?
Weee umepotea...allah anashirikiana na majini na bado unadhania atatuma malaika???? Lini umeona Aya kuwa Hakuwaumba malaika na wanadamu ila wamuabudu?? Ni majini na watu sasa endelea kupotea
Ww mjinga usiitukane Quran ,, mtukane huyo shekhe kama inawezekana acha upumbavu naujinga wako wakumuabudu nabii wa Allah ,,, ww umeumbwa umuabudu Allah au kiumbe amakweli wakristo wote mumezaliwa Bola akili. Wote zero na hao mapaster wenu chiiiiiii
😢😢😢wallahi niliishi hovyo hadi kutofata hizo kanuni alhamdullillah nguvu zangu za asili zimenipigania na wanangu ila sasa nitasimama imara nizipe nguvu , nguvu zangu za asili
Allah shehe akulipe mepo yako kwa masomo mazuri
Allah akubariki sana teacher kwa somo lako undelea kutufundisha 🙏❤️
Mashaallah shekhe Allah akuzidishie Kila la kheri
SubhanaAllah,Alhamdhulilah,Allahu Akbar…waa Laa Illaha Ila Allah Wa Muhammadan RasulAllah.
Maashaallah mada muruwa wallah Allah akustiri shekh
Mashallah tabarakallah
Masha'allah
Mashaallah Shkh jazzakhallahu khayran
Asalam Aleikum Warahimatullah Wa Barakatu Yah Sheikh kwa siku ya leo nili pate mafunzo mazuri sana kabisha munye azimungu subuhanahu wata Alaah azidishe Asant
Shukran sanaa mwenyezi mungu awabariki kwa ufafanuzi wa kina, masomo kama hayaa ni muhimu sanaa kwetu tunaomba mwendelezo wa masomo hayaa
Masha Allah sheikh Abalqassim Astonishing lecture/topic lnsha Allah give you long life and happiness,healthy life Ameen yarab
Namshukuru Allahu a akuzidishie maarifa zaidi ya hayo. Amin.
Mashaallah shukran sheikh
Shukran sheikh
MashaAllah sheikh Abal,somo nzuri kabisa
Asante sana
MashaaAallah shukran Ustadh sasa ukienda hayo mafuta ukiyataka unayaita mafuta ngani ndio nikanunue mm niko kenya jee yamefika kwetu au bado nayanaitwaje
Jazakallahu khair maalim
ALLAHU AKBAR
Shukran jaziylan
Baaraka Allahu fiyka
Shukran san
Rudia katika sura ya 96 surat al alaq MWENYEZIMUNGU ANASEMA
اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾
3. Soma na Rabb wako ni Mkarimu kushinda wote.
الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ ﴿٤﴾
4. Ambaye Aliyefunza kwa kalamu.
عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ ﴿٥﴾
5. Amemfunza mwana Aadam ambayo asiyoyajua.
كَلَّا إِنَّ الْإِنسَانَ لَيَطْغَىٰ ﴿٦﴾
6. Laa hasha! Hakika mwana Aadam bila shaka amepindukia mipaka kuasi.
No ya simu sheikh shukran kwa darsa
Nimekufaham vzur na nimekuelewa vzr saana ila shekh wanga nahitaji mamba yko
Habari shee
Mashaa ALLAH Ustadhi niko kenya nitaipata kwa no yako In Shaa Allah
Shukrani sheikh wangu kwa darasa
Shukran sana sheikh Allah akujaze kheir nyingi.hayo mafuta ya anabatimunawar yanapatikana wapi
Masha allah nimependa sana maelekezo yako mola akulindei
Naomba unisaidie nimekuwa Kila ninacho fanya sijiamini nisaidie
Allah akubarik
Mashaallah
Inshallah
Amfundisha mpaka mtoto kutembea yani hi media sasa ya salaam
Ma sha Allah..sasa iyo dawa wanywa ama wafanyaje..naikiwa niyakunywa ni mara ngapi na kwa siku ngapi
Mashaallah mfumbo nini usitdh
Ikiwa ukimwi ni upungufu wa natural power inakuaje inaambukizwa kwanjia ya uzinifu na nyengine
Shukuran mno kiongozi
Tofauti kabisa na wengine hongera
Subuhnallah
Watu wote wameangamia ispokuwa wenye elimu na wenye elimu wote wameangamia ispokuwa wenye kutenda na wenye kutenda wameangamia ispokuwa wenye ikhlasw.Allah twaomba utuongoze na utufishe tukiwa wachamungu.naomba usamehe huyu sheikh na sis pia tuwezeshe kumwiga mtume Muhammad rehema na amani zimfikie na maswahaba zake .kwani aliyesalimika ni Yule uliyemsalimisha kutoka na mitihan yako.tusipofuata Quran Na suna kivitendo basi hakuna baada ya ukwel Ila ni upotofu hata ukipewa na jina zuri .
Waganga waongezeka
usitaazi naoma nambazako
Izo dawa zinapatikana wapi upande wa Mombasa je naweza zipata
Aswww Sheikh pls pls mimi naishi Inchi ya kigeni nambiye vip naweza kuipata.
Nitakutafuta nikirudi tz inshaallah
Mrem Mrem unamaneno mengi sana
Ivi naweza gupata kivipi iyo dawa nitumie mimi Mutoto wangu akienda kwenye siku zake anamariza wiki yote natumbo ikamuwuma sana mimi niko Australia nimie please
Wanasema nabii adam alifanya dhambi kula tunda basi binadam wote wanazaliwa na dhambi ya asili ndo huyu shee
nguvu yaasili
Basi sisi tumefundishwa sio jini bali kila binadamu Ana malaika wawili mmoja kulia na mwengine kushoto
Yani ALLAH ataihifadhi dini yake
Mana tunapokwenda
Masheikh kanzu ati karinu ndo afanya kazi zote
Naam Shekh bei yake please
masha Allah mtoto mzur Allah akupeam yakunisalimia japo kwa sms
Masha Allah ustadhi karibu kwenye UA-cam cos sijawahi kukuona lkn nimependa sana Allah akuhifadhi na uzidi kutuelemisha . Lkn haya mafuta ya bint Sudan ndio mafuta gain?
Aisha ushaolewa au
Tunaomba shehe utufundishe. Zaidi
Balaka llahu fiki
Asant
Huyu yuko kishirikina sio kwa allah hawa ndo wanasababisha uislama unaonekana kama dini ya majini
Kwani mungu kaumba viumbe vingapi ili viabudu
Utamkweza.shekhewako.aluywi.dini.hajafundishamambohayo.maalimu.juma.amesoma.zaidiyako.lakini.katulia.achanjaa.angalia.darasa.za.izudinmtoto.washekhe.alafalinganisha.nahicho.unachofanya.kuamakini.
No yako sheikh
Nakama mtu awez musoma izo sura inakuaje
Asalaam aleykum warahmaturah wabarakatu, samahani sheikh hiyo dawa ya nguvu za asili inatibu na matatizo mengine kama madonda ya tumbo?
Yani ww acha kupotosha watu .. mungu Amweke jini akulinde 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😋😁😁😁
Sayed Simba ludia tena iyo crip acha undez, kichwa box
@@mustaphawaziri5446 kichwa boxes ni ww hebu rudiya ww usikiye .. wanafiki wakubwa mshazoweya uchaiw ..
Sayed Simba kichwa kibovu ww, iyo mada inatolewa kwenye watu wenye ilmu kuliko ww bwege we
@@mustaphawaziri5446 bwege ni ww hebu rudiya kusikiliza tena .. we zumburukuku
Dawa hii natumia ndan ya siku ngapi
Qaron ni jini amnalo kila binaadam anakuwa naye
Ni mekufata uchauri wako cheh
Dawa zapatikana vipi
Shekih niko Kenya nitapata namna gani
Sie tulioko Kenya twataka hizo dawa pia. Mfanye harakati zitufikie Mombasa , Kenya.
Aliy.hayombounayoyaongea.hebu.toa.ushahidi.mtume.sw.alifanya.au.maswahaba.wake.walifanya.hivyo.dinihii.sioyamtu.
Hawa ndo wale dhambi za asili
ما شا ء ا لله محا ضر ه قيم مهم جد ا لحيا ة ا لا نسا ن . من ا ين هد ا ا لشيخ يعني من ا ي و طن عا يش ا لشيخ
East Africa Tanzania
Million tatu shekh kweli km ni milion tatu au ndio kutupanga tu.. shahawa ya mwanaume na mwanamke zikukutana ndio huundwa pande la nyama ndani ya siku 40 hakuna milion pale wee tupange umu tu
Abeid Soma biologia yupo sahihi kabisa.
Nani katekeleza anayo yasema huu shekh ??
Hizo dawa kenya nitazipata vipi
Assalam aleykum shekhe hiyo dawa unauzaje?
Mmm nawachukia sana juu nimeona wazee wanatoa mboro yao na wajifanya wana nguvu wachaawi sana mm sitaki wale waojifanya ma shekhe yacni religious na ni secret magicians MONSTER s ..na ni waasharitii sana na ni ya kushangaza ni wazee wamekula chumvi nyingi!! Heeeh?? Mungu aa waangamizee sanaaaa ee wachawi wanaotumia ASMAUL HUSNAA NA QUR'AN NII EEEEEE MTAONAAAA
Unazipataje hizo dawa kwa waliomikoani?
Huyu ndo pumba kabisa Tena ni mtu wa shirki kabisa ndugu yangu mche mungu acha kudanganya watu
Asalam aleikum una ushahid kwa hayo unayoyasema
Huyu mshirikina.karinu.mungu kakosa maraika?
Takutafta nikirud tz ili kununua hivo vitu
Sasa apo wewe unapo sema kuhusu qarinu sisi hatukuelewi kabisa rudi tena dara sani
Sheikh tumemiss ukipendwa na jini jiandae na haya..78 kma sijakosea
Na je mtu ukiwa ushapatwa tayari na virusi vya ukimwi ukisoma hizo je unaweza kupona kabisa paka usiwe unatumia dawatena??
ukiwa nania saf mpaka ukimwi unaondoka kwadua
Namba zako jazipo hewani
Astagafiru Allah... we ni bure kabisa jini akulinde alafu utumiya aya ya Qur'an ikulide 😪😪😪😢😢😢😢 stop stop ...
Niulize aya za qur an zinamtaja nani. Pale zote ni dua ikiwemo hata surah fatha ilaeleza nini
Hahahah.kwanza mpaka jin anakulinda yy kakosa kazi? Wakat Allah anasem innashaitwa aduwu hakika sheitwan ni adui basi nanyi mfanyen adui..Leo hii jin akulinde??.ukiona hivyo ujuwe ww unakasoro.jin sheitwan haji kwa mcha mungu
Mh
Mmh
Sheikh mbona whatsaap hujibu txt zangu nina shidaaa
Hayo mafuta sheh yanapatikana wapi
Sasa mbn jini na sio malaaika
Kwa nini nyie mashekhe munapenda kukuza mambo mana sio lazima kusoma mara mia tatu au munataka watu washindwe mana nying hizo . Japo tatu to kusoma kwa nia inatosha .
We we haji kwani umelazimishwa
Hivi ni kweli jinni anafanya kazi zote hizo kwa mwanadamu? Allah kweli amekosa malaika wa kuwatuma mpk amtume jinni? Sheh tusaidie dalili kwa Quran na sunna nasi tujifunze zaidi maana ndio leo nasikia haya. Kanzu yako ina picha ya moto, no ishara ya nini hyo sheh?
Weee umepotea...allah anashirikiana na majini na bado unadhania atatuma malaika???? Lini umeona Aya kuwa Hakuwaumba malaika na wanadamu ila wamuabudu?? Ni majini na watu sasa endelea kupotea
Mkandarac Mkandarac na tumewaumba malaika na majin ili wamuabdu ukinakizia hapo utapta jibu
Hahaha..huyu mpotoshaji.Allah atamuadhibu..sheitwan tuwe na RAFIKI nae??
Tuzie uliotengeneza wewe bora
Ukisoma sana quraan unakuwa aidha mshirikina au mganga
Sio kweli
Umepotea wewe.
Akili za kuambiwa kanisani zimekupoteza, soma wewe.
Acha kuambiwa Yesu ni Mungu hapo hapo pia ni Mwana wa Mungu, Pumbaa wewe.
Allah anasema innashaitwa aduwu.hakika sheitwan ni adui nanyi mfanyen adui.Leo hii huyu anatwambia jin.wapi katoa haya mambo..hakika ni ushirikina
Ww mjinga usiitukane Quran ,, mtukane huyo shekhe kama inawezekana acha upumbavu naujinga wako wakumuabudu nabii wa Allah ,,, ww umeumbwa umuabudu Allah au kiumbe amakweli wakristo wote mumezaliwa Bola akili. Wote zero na hao mapaster wenu chiiiiiii
Kwakweli mm siti neno kwa sababu sin uwezo wakujua undani wake Allah mwenyewe t Ila sinta kashfu mtu madm mungu kampa uwezo wake
Du karinu tena
Kama si muislamu ufanye nini sasa?
Allah shehe akulipe mepo yako kwa masomo mazuri
Asalaam aleykum warahmaturah wabarakatu, samahani sheikh hiyo dawa ya nguvu za asili inatibu na matatizo mengine kama madonda ya tumbo?