Dizasta vina ni bora kuliko Shaaban Robert , sisemi hivi kuonesha kumdharau shebby no! Ila ni kwa jinsi uchimbaji wa maarifa wa Dizasta. Jamaa anaakili kubwa kabisa ni mwalim wangu wa siku zote kataja vitu ambavyo sijawahi hata kuviwaza. kAMA DIZASTA UNAMTUMIA KAMA MWALIM GONGA LIKE
Acha ujinga wewe shaaban Robert ni baba wa kiswahili duniani na muandish wa mashairi zaidi ya 458 .usirudie tena kufananisha kìswahili na msomaji wa kiswahili.
huyu Dizasta anatak mwenzie afe na pressure 🤣🤣....aise hii diss track nikali sana but I like it sio kama wale wengine wanao bishana kwenye insta story.
Dizasta ni hatari I love this aiswear sijawai ona genius rapper tz kama huyu jamaa ni noma sana bars to bars.language technically,heavy words which needs interlectual person.
This song will always be exceptional. Beat ✅ Delivery ✅ Percussion ✅ Lyrics ✅ Flows ✅️ Rhyme construction ✅️ Melody ✅️ Punchlines ✅️ Overall barz ✅️ Metaphors ✅️ Charisma ✅️ I hope everyone has a chance to listen to and enjoy this song.
uchanaji wa Rapcha ni mzuri zaidi anavutia kuendelea kumsikiliza anavyo flow ila kiu andishi Dizasta nimkali zaidi sana Yani jamaa ni Janga kama anavyo jiita 😂
Kiufupi sky rapcha mkali kuliko vina mimi na hip-hop kitambo kwenye hii rap game ya bongo , vina anauwezo wa kufikilia na kuandika ila kwa upande wa muziki hawezi sio tuu kumchana rapcha hiphop yake ni low sio level za rapcha Mshaulini tuu atulie rapcha mkali kwanza rapcha amefanya watu wamjue dizasta Inabidi amshukuru sana rapcha
Hii ngoma bado ilikua na vitu vingi na upana mkubwa wa kuichambua Kaka Ila sio mbaya though Kuna Punchlines, metaphor na word play kibao ambazo haujazifumbua na kuzifafanua.But we appreciate your energy and effort Sir, Grateful 🙏🙏🙏🙏
Jamani wahasibu Dizasta kasema ukileta ULEJALEJA (ledger ledger) nakupost twice.. Double entry system inasema every entry must be posted twice in the book of accounts... Genius 😭😭😭
Dizasta ni winner kila sehemu kwa Rapcha 1.Vina 2.Story teller 3.More than Talented 4.A reader of Books 5.and other issues in music writting especial in Hip Hop kuna interview moja niliwah kumsikia Prof ana jilaumu why hajampa Air time Dizasta coz jamaa anajua sana. so Rapcha inabidi ashauriwe aombe radhi kwa brother ake Dizasta ili azidi pata ma ujuzi katika Hip Hop
Hapo kwenye Amma rack him (Rakim) nitampa Big L. Rakim ni maanii mkongwe mwenye heshima zake kwenye rap industry. Of course umesikia hio Big L nayeye pia ni msani mkongwe. So dizasta amefanya word play ya hayo majina (clever sana) na pia ni homophone ya maneno 🔥🔥 jama ni noma sana
Kaka etu Frederick bundala ni mmojawapo kati ya WADAU WAKUBWA SAANA katika TASNIA YA HABARI DUNIANI EVER,HAKIKA TUNAJIVUNIA HUYU KAKA ETU ANA AKILI NYINGI SAAAAAANA,NA HANAGA UPANDE ITS ALL ABOUT FACTS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊👊👊👊👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
COSMAS inamaanisha beauty au urembo..Rapcha analeta ubishoo wakati ni mrembo..akaendelea kwa mstari mwengine kukejeli jina bado aliposema habembelezi warembo yeye sio mario.. Ukweli ni kuwa rapcha hawezi battle na vina huyu jamaa anawaza mara 100 zaidi ya rapcha anavyowaza pamoja na wenzake
Nimeenjoy kusikiliza I need more of this dizasta akili nyingi Sana sio mistari ya kuunga unga aiseeee dizasta ni number chafu ingekuwa Mimi ningenyoosha mikono juu siini Cha kujibu it's high level aiseeeee
Aise Dizasta ni mc bora sana free style zake zinaeleweka kama za King zila misamiati yake kila mtu anaelewa ...Moja ya sifa ya MC mzuri ni ku freestyle misamiati ambayo hata wewe ambae sio shabiki wa hip-hop utaelewa Vina ni akili nyingi hii track imehusika ubongo mwingi sana coz kuna maneno humu mpaka mimi sijaelewa yanamaanisha nini🔥🔥🔥🔥🔥 inatosha bro utamuuwa Rapcha
Fah Ramy: nakubaliana na wewe Uandishi wa Disasta unaweza mfanya Rapcha apate msongo wa mawazo kila kufikiria mashahiri ya Disasta, aombe Disasta msamaha yaishe
Pole Sana brother sky Kwasababu Jamaa amekupa kazi kubwa Sana lakini nimekukubali Sana Kwa hili Mpka umeweza Sana kuchambua Ngoma ya vina ni kazi Sana nawewe umefanya ivyo Nikirudi Kwa hii battle Jibu ni{ A} vina ni Zaidi ya hip pap ya bongo sisemi vibaya Ila kama yupi aonyeshe
Heavy elements zinazaliwa baada ya star kufa- 1. Oxygen, Helium etc hazitengenezwi lab, zipo naturally baada ya Nyota kubwa kulipuka. 2. Star wa filamu Brandon lee mtoto wa Bruce anakufa 1993, Dizasta anazaliwa 1993
Yule dogo Rapture tulimwonya hakutaka kusikiya sio kwamba hayupo vizuri apana ni rapper moja mkali sana lakini huu moto aliyo ufunyaga utamchoma vibaya mno. ( ikumbukwe huyu dizasta ni rapper ambae anaweza chana ata wiki mbili mfululizo bila hata kupumzika wala chorus) jamaa kuimba bila chorus ni kawaida yake tena,wimbo hata dakika 10 na hato rudia neno na vina kama yote ... Kwenye hii vita Rapture nikama Ukraine anaedanganywa apigane na Dizasta ambae ni urusi uku rupture Ukraine akijuwa fika hawezi kumshinda dizasta ambae ni urusi
nikweli ad Idriss katumia mashahir yake...huyu jama anajua to be honest....ngoma imetulia but maneno makali sana na inaonesha kwamba Dizasta anasoma vitabo sana
Kama unaamini Rapcha amekuja kupata uchambuzi huu sababu aelewi ngoma Og.Gonga like
Kama unamkubali dizasita nipe like 🔥🔥🔥🔥
🌞 huyo jamaa nijua la utosi💪🏻
Dizasta vina ni bora kuliko Shaaban Robert , sisemi hivi kuonesha kumdharau shebby no! Ila ni kwa jinsi uchimbaji wa maarifa wa Dizasta. Jamaa anaakili kubwa kabisa ni mwalim wangu wa siku zote kataja vitu ambavyo sijawahi hata kuviwaza. kAMA DIZASTA UNAMTUMIA KAMA MWALIM GONGA LIKE
Dah umempa kabisa mzee shaaban AKA eti shebby 😂😂
Acha ujinga wewe shaaban Robert ni baba wa kiswahili duniani na muandish wa mashairi zaidi ya 458 .usirudie tena kufananisha kìswahili na msomaji wa kiswahili.
@@MkbinladenNikunetotoz iyo inaitwa personification kwenye literature ni mizuk tu kutokana ukal aliouonyesha D usimmaind kawaida
😂
@@MkbinladenNikunetotoz ulizingua
Team tamaduni tujuane apa, Dizasta 🔥🔥🔥🔥mtu hatar sana unamsikiza uchoki
nakubal
I'm a biggest fan of rapcha, but this guy is another level
Rapture aachane na ii kitu uu moto auwez disasta n jinias ni noma na nusu
Oyaah Weeh Hilo Dizasta Ni Nuclear BOM
Wangapi tulikuwa tunasubiri uchambuzi.? Gonga like hapo
Hapa rapcha Alikunya ukweni 🔞🔞🔞🔥 👽👽👽
huyu Dizasta anatak mwenzie afe na pressure 🤣🤣....aise hii diss track nikali sana but I like it sio kama wale wengine wanao bishana kwenye insta story.
Rapcha will die of pressure...hana nyumba hana gari hana watwat
Hhhhhhhhhhh
Dizasta ni hatari I love this aiswear sijawai ona genius rapper tz kama huyu jamaa ni noma sana bars to bars.language technically,heavy words which needs interlectual person.
Wangapi wanaamini rapcha atakuja kusikiliza hu ufafanuzi ili kujibu masta vina like apa
Harudii tena uyu dogo axee..
Kama una kubali hili biff gusa like✌🏿
kaka Dizasta anabadilika kama kinyonga... ni mkali wa hizi kazi asee, au haujaskia "confession of a mad "son" "philosopher" "teacher"" n.k🙌
Teacher inamtosha kujua mchiz anabadililika kama jini.
"Sibembelezi warembo Mii sio Mario"inamaanisha pia raptcha ni mrembo so dizasta haez bembeleza ushkaj kwa raptcha km alivyokua anamuita ni best friend
Bonge moja la series tunasubili episodes nyingine ni 🔥
Uyu brother Yupo kwny LIST ya Watu Wanaoskilzwa na NIKI MBISHI......Sasa Unadhan n wa Kawaida.....Huyu n Hatarii
nikki mwenyewe haingii umoooooo
Huu uandishi Rapcha haji kuufikia milele
This song will always be exceptional.
Beat ✅
Delivery ✅
Percussion ✅
Lyrics ✅
Flows ✅️
Rhyme construction ✅️
Melody ✅️
Punchlines ✅️
Overall barz ✅️
Metaphors ✅️
Charisma ✅️
I hope everyone has a chance to listen to and enjoy this song.
Description...umepatuia bro...everything
And haichoshi dakika 11 imagine!🔥
That’s suicide brother
And very savage...
Ni wachache sana...wenye vigezo vyte hvoooobroh
Sijaona Online Tv whole World kama SnS ,ebu funguweni Radio or Tv please!!! Mnafanya kazi ya ziada 👊👊👊
uchanaji wa Rapcha ni mzuri zaidi anavutia kuendelea kumsikiliza anavyo flow ila kiu andishi Dizasta nimkali zaidi sana Yani jamaa ni Janga kama anavyo jiita 😂
Uko sahihii
Uko sawa
Rapcha ni Drake ala Dizasta ni TUPAC , Mmoja mgumu mwingine mraini kwahiyo wagumu wengi tunasema Dizasta ndo anachana vizuri
@@NondoGenius sio ishu ya ulaini na ugumu, ni dogo si mkali kiuandishi, na hiyo ni swala kubwa kwenye rap. So anaendelea kujifunza
We jamaa ukifa uwozi
Sky anafafanua vizuri mmno hata rapcha inabidi tu akuisikilize (sky)
Pongezi kwako kaka umechambua viziri sana hakikaa Dizasta ni shule 🙌
Niliwaambia dizasta sio Mtu.... Ni jitu.... 💚💛
DIZASTA shikamoo bro salute kwako king🥰
GENIUS GENIUS GENIUS
Nitakusimamishia shughuli ka sabato
Siku ya sabato waumini husika husimamisha shughuli zao kuenzi siku njema
Kama unamkubal dizasta gonga like
Hii battle imeamsha rap game...mmoja hapo mzuri kwa uandishi na mmoja kwa kuchana...much love frm🇶🇦🇶🇦
Thx Kwa kumsaidia Rapcha kuelewa alicho kiimba Dizasta maana Kwa uelewa wa Rapcha asingeelewa huu uandishi😂😂
Hahahaha kweli broh huyu jamaa hata mimi uandishi wake daaaah unanitisha maana anajua kinoma
Kwakwer 😂😂😂
Anaweza hisi kichina 😂
U guy u know how to promote our arts u deserve the best of all
Bora umeliona hili aisee..media zote zingekuwa hv..muziki wa hiphop ungepiga hatua zaidi ya hii uliyopo sasa hv
Ase media muhimu sana hiii asanteni kwa kurudisha hip-hop kwa akili nyingi sana alizotumia hongereni sana sana sana kila napo pita simulizina sauti
Kiufupi sky rapcha mkali kuliko vina mimi na hip-hop kitambo kwenye hii rap game ya bongo , vina anauwezo wa kufikilia na kuandika ila kwa upande wa muziki hawezi sio tuu kumchana rapcha hiphop yake ni low sio level za rapcha
Mshaulini tuu atulie rapcha mkali kwanza rapcha amefanya watu wamjue dizasta
Inabidi amshukuru sana rapcha
@@ramadhanmussa6588 Unaongelea nin Mwana wemkundu wa msimbazi 😂
Mr sky mm hua i dont admire beef bt this one make me like hiphop moree
Kwel wapo wengi
Jaman huyo Dizasta uku mtaani tunamuita T'tcha.. mwalimu wa fasihi andishi na simulizi pia mistali yake utumika kufundishia vyuo vikuu Germany 🙌🙌🙌🔥
😂nouma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Rapcha hamuwezi Dizasta vina
Hadi uku aseh ngoma zake zikipigwa watu tunatulia tuliii
exactly 😂🙌💥
Jaman ujeruman Tena.. 😂😂😂😂
Sky tuache utani huyu jamaa ni bonge la interlectual rapper bongo hakuna msitari rahisi aiseeee very genius haijawai tokea bongo aiswear.i love this
D anaandika na kuchana sana. Big up
Bro unachambua vizuri sana
'Disaster '(Dizasta) kama jina lake.. Jamaa anapanchi za hatarii 👌💯💯💯
Yeah nihivi kamarapcha anataka kujibutena nibola aandike barua akampe diz maana tumechoka utotowake anasaund mbayauyu rapcha
Hii ngoma bado ilikua na vitu vingi na upana mkubwa wa kuichambua Kaka Ila sio mbaya though Kuna Punchlines, metaphor na word play kibao ambazo haujazifumbua na kuzifafanua.But we appreciate your energy and effort Sir, Grateful 🙏🙏🙏🙏
u cant analyse each words rather lines with contents kuna line zipo kujaza vina na punchlines...this is best analysis ever
Yeahh sure,it also depends on how deep you analyze🙏🙏
Sahihi Nehemiah kuna parts ameziacha but ni chache. We appreciate his energy though
Since day uno DIZASTA VINA is on top...all da way 4rom 🇰🇪🇰🇪 hii ni suicide mzee 🔥🔥🔥
njoo bongo kumenoga from, 🇹🇿🇹🇿
njoo bongo kumenoga from, 🇹🇿🇹🇿
Sema bro umeichambua vizuri sana rapcha itabidi apite kwanza hapa Dizasta 🙌🙌🙌
Elephantiasis tissues za miguu zinavimba kama matende
Info Elephantiasis ni hali ya kuwa na taarifa nyingi kichwani.
Yah hapa katupiga,,
Understood
hata rapcha alikuwa haeliwi naye ndo anasikiliza saivi 😂😂
Cosmas ndio anaelewa baada yakuja kusikiliza uku 😅😅😅
He deserve the best, Dizasta 🔥🔥🔥🔥
Sure
Hatari sana....yaani hii ndio maana ya Hip hop 🔥
Good.. sii matusi kama rapcha singing ma p****,p****..he is a kid yet to grow
DIZASTA nomaaaaaah rapcha awezi Moto wa #vina
Jamani wahasibu
Dizasta kasema ukileta ULEJALEJA (ledger ledger) nakupost twice..
Double entry system inasema every entry must be posted twice in the book of accounts... Genius 😭😭😭
Dizasta ni winner kila sehemu kwa Rapcha
1.Vina
2.Story teller
3.More than Talented
4.A reader of Books
5.and other issues in music writting especial in Hip Hop
kuna interview moja niliwah kumsikia Prof ana jilaumu why hajampa Air time Dizasta coz jamaa anajua sana. so Rapcha inabidi ashauriwe aombe radhi kwa brother ake Dizasta ili azidi pata ma ujuzi katika Hip Hop
I repeat, Dizasta is a monster. If Rapcha likes his career, he shouldn't respond to this
kwa mistari ipi???
Let him prove himself
Prove himself how again? These two tracks have already taught us what the better rapper is. Rapcha can't beef
@@kasimjuma6649 umeusikia ule mstari wa dada ake? Alafu kuna ghost writers, how Rapcha is living a fake life and that weakly he came at his own homie
Rapcha alishasema hatoi kiki tena
Bila shaka #skywalker umemsaidia rapcha kuielewa #tribulation truck😃
Hapo kwenye Amma rack him (Rakim) nitampa Big L. Rakim ni maanii mkongwe mwenye heshima zake kwenye rap industry. Of course umesikia hio Big L nayeye pia ni msani mkongwe. So dizasta amefanya word play ya hayo majina (clever sana) na pia ni homophone ya maneno 🔥🔥 jama ni noma sana
Lot of bars went over lot of people’s heads.
Yeah man also speaking of hii word Big L the L stands for losing(kushndwa) kwahyo big L means losing big. 🔥 Co poa.
Umeandika nilichokua nawaza kabla🙌🙌
@@moziidavchonchi3338 nakubaliii
Broh sky umemwelewesha Sana Rapcha maana asingeelewa
Nilisubiria sana Uchambuzi wako bro Sky 💪
Kaka etu Frederick bundala ni mmojawapo kati ya WADAU WAKUBWA SAANA katika TASNIA YA HABARI DUNIANI EVER,HAKIKA TUNAJIVUNIA HUYU KAKA ETU ANA AKILI NYINGI SAAAAAANA,NA HANAGA UPANDE ITS ALL ABOUT FACTS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊👊👊👊👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Dizasta Vina anataka dogo afe kwa Pressure
Oyah DIZASTA ni jini.. ikumbukwe ni kizazi cha mwisho cha aina yake
N toleo la mwisho la kiumbe wa aina yake
COSMAS inamaanisha beauty au urembo..Rapcha analeta ubishoo wakati ni mrembo..akaendelea kwa mstari mwengine kukejeli jina bado aliposema habembelezi warembo yeye sio mario..
Ukweli ni kuwa rapcha hawezi battle na vina huyu jamaa anawaza mara 100 zaidi ya rapcha anavyowaza pamoja na wenzake
Nimeenjoy kusikiliza I need more of this dizasta akili nyingi Sana sio mistari ya kuunga unga aiseeee dizasta ni number chafu ingekuwa Mimi ningenyoosha mikono juu siini Cha kujibu it's high level aiseeeee
Inzi kauwawa kwa nyundo 🙌🙌
Pure mind #dizastavina👑
Dizasta ni mtumwenye akili nyingi Sana aKuna rapakama dizasta duniani wewe🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️💕💕💕💕💕💕
Nam
Aise Dizasta ni mc bora sana free style zake zinaeleweka kama za King zila misamiati yake kila mtu anaelewa ...Moja ya sifa ya MC mzuri ni ku freestyle misamiati ambayo hata wewe ambae sio shabiki wa hip-hop utaelewa Vina ni akili nyingi hii track imehusika ubongo mwingi sana coz kuna maneno humu mpaka mimi sijaelewa yanamaanisha nini🔥🔥🔥🔥🔥 inatosha bro utamuuwa Rapcha
Next time rapcha hafai kujibu this....dis track
Utaua
wimbo huu tu ndio uliofahamika kwa Disaster coz now anabadilishwa na Rapcha
@@R10_Rajab kwa comment yako inaonyesha hujui unachosema
@@R10_Rajab umjui dizasta kaa kimya
Dizasta ni nomaaa sana he's real hippop 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuanzia leo nimeamini hip hop sio flows pekee na pia kama hujasoma hip hop haikufai. Cosmas atajibu kweli hii?
Rapcha inabidi asome vitabu Sana apate knowledge kubwa kuandika
Dyu uuuyu jamaa dizasta ni habari nyingine
Ila Kuna vipande umeviruka ila big up
The black Maradona, on to the next level ...💥💥💥💥
Daah uyu jamaa khaa 🔥 🔥 🙌🙌🙌🙌more than skills
Vina anasoma sana vitabu,anajua mambo mingi…ni mwandishi bora wa rap kiukweli ,jamaa anaandika sana
Vina ni mwanangu so nitatembea na yeyote anaemgusa Kwa namna yoyote
Dizasta anasoma sana huyu mwamba sasa naelewa alivo sema kichwa kimetapakaa books kma library
Dizasta is a King of Hip Hop, IQ man
Yaaap
kaka Sky naomba uwasiliane na Rapcha aombe msamaha kwan kukubal kushindwa wala sio ujinga
hahahahahaha
Fah Ramy: nakubaliana na wewe Uandishi wa Disasta unaweza mfanya Rapcha apate msongo wa mawazo kila kufikiria mashahiri ya Disasta, aombe Disasta msamaha yaishe
Mimi ni shabiki wa rapcha umeniuwaaaa naliaaaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😂
Pole Sana brother sky Kwasababu Jamaa amekupa kazi kubwa Sana lakini nimekukubali Sana Kwa hili Mpka umeweza Sana kuchambua Ngoma ya vina ni kazi Sana nawewe umefanya ivyo
Nikirudi Kwa hii battle Jibu ni{ A} vina ni Zaidi ya hip pap ya bongo sisemi vibaya Ila kama yupi aonyeshe
Diss Dk 10+ Nzima? Tena January? 😢
Dizasta anajua na mchambuzi anajua 🙏🙏🙏
Once young killer said rap ni misemo., DIZASTA ni fasihi ya kiswahili chetu yaan ni Ticha I've done give your flowers bruh.!💯🔥🔥
Heavy elements zinazaliwa baada ya star kufa-
1. Oxygen, Helium etc hazitengenezwi lab, zipo naturally baada ya Nyota kubwa kulipuka.
2. Star wa filamu Brandon lee mtoto wa Bruce anakufa 1993, Dizasta anazaliwa 1993
Hiyo link ni kali sana
Unyama kaka👌😎
Uwezo wa kuunga miundo kwa namna hii inahitaji utulivu.I like the technics.
duuh kumbe skuelewa
1.heavy element inayozaliwa baada ya star kufa ni iron yaani chumaa
Huyu jamaa hatari sana
Yule dogo Rapture tulimwonya hakutaka kusikiya sio kwamba hayupo vizuri apana ni rapper moja mkali sana lakini huu moto aliyo ufunyaga utamchoma vibaya mno. ( ikumbukwe huyu dizasta ni rapper ambae anaweza chana ata wiki mbili mfululizo bila hata kupumzika wala chorus) jamaa kuimba bila chorus ni kawaida yake tena,wimbo hata dakika 10 na hato rudia neno na vina kama yote ...
Kwenye hii vita Rapture nikama Ukraine anaedanganywa apigane na Dizasta ambae ni urusi uku rupture Ukraine akijuwa fika hawezi kumshinda dizasta ambae ni urusi
Yamemkuta dogo 😨🥶🤣🤣
Dogo kajichanganya
😜
Sema broo week mbili jamaa anachana aloooo 😂😂
Vina we ni atari uandishi wako haufanani na rap yoyote,we ni zaid ya atari
🙌🙌🙌🙌🙌 This is HipHop
haha jack dizasta noma sana
Hiyo flow anaweza Sana sikiliza confession of mad man uone
nikweli ad Idriss katumia mashahir yake...huyu jama anajua to be honest....ngoma imetulia but maneno makali sana na inaonesha kwamba Dizasta anasoma vitabo sana
Kweli jamaa NI msomaji WA vitabu Sana maana sio Kwa hiyo mistari
Ilibidi nisubiri uchambuzi ! Maana kuelewa kila kitu kwenye hiyo ilikuwa tabu kiogo
Rapture alternative meaning ni kupazwa ( mfano siku ya mwisho kupaa mbinguni)
So Rapture of the dead ni kuamsha maiti ili ziuliwe tena
mmmmhhhhh jamaaa anabalaaaa
😂🤣
Tupo vizur
Aisee Rapcha atatusababishia watoto wote wa shinyanga tuhamie Mwanza..! Amuache huyu jamaa sisi huku hatutaki shida
😂😂😂💔
Mchambuzi upo vzr kama dizasta
😂😂😂
#Tribution
#Dizasta
*Rapcha ni last king of 90s*
*Dizasta vina yeye ni kizazi cha mwisho cha aina yake*
*Tuseme tu ukweli Dizasta vina ka m’murder Rapcha kweli kweli*
brain sanaa vina
Oyaaa vina mwisho ohoo
Very true.. Rapcha anaforce asichokiweza
Nakubalii sanaa kaka Fred unatulaishishia sana wadauu kuelewa game
Sijui kama kuna msani yoyote TZ anaemuweza kumu diss akashinda,ana punchlines za nguvu kinoma👊👊👊
How abt uno?!
Hakuna
Rapcha anatakiwa kusikiliza huu uchambuzi ili umsaidie kujibu hii diss
Kabisaaaa 🤓🤓🤓🤓
SK WORK WEWE NOMA BROTHER MONGU AKUPE MIAKA MINGI 🙌🙌🙌💥
Dizasta 8 - Rapcha 2 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tumpe kombe lake Dizasta 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Imagine kaandikiwa na yeye vina anajiamdikia
@@danielngove kaandikiwa na nani ?? 😂😂😂🍖
I Don't Understand Swahili But Dizasta Ni Nyoko 🔥🔥
Dizasta nyoko at the same time hujui kingereza🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Haya rapcha aje hapa apate tafsiri ya dis truck aloitka ili tuendeleee na mambo menginee aiseeeeee this man ANKO D ni zaid ya neno hatari lenyewe
DizastaLegendary
Narudia tena ukiona sky amesalute zaidi ya mara tatu broo. Jua ni moto saaaana
🙏🙏
Sky we ni HIP HOP brother we love you
Sky asanteni kwa kurudisha hip-hop tz Tena kwa kasi like zenu wanao amini hi
Jamaaa ameandikaa sana aiseee kwenye Hii
Noma Game ON map
naenjoy Nachokisikia HipHop Nimaisha Elimu kubwa Salute you broo
Nasubiri majibu ya Rapcha.
Dizasta umemzidi dogo kwa kilakitu mzee nitumie number yako nikutumie pesa kwa kazi nzuri
Sky I'ma Rock him and give him a BIG L kataja kumkunja kumpatia maumivu makali na Big Loss lakin kawataja Rakim na BIG L woote Marapa wa Zamani
Big bro sky umeichambua hii mistari vizuri sana. Uko vizuri sana bro mimi nikishindwa kufafanua zaidi ila umenielewesha kwa kina.