MREMBO MDOGO MUUZA SAMAKI, NYANYA ANAINGIZA MAMILIONI "NALIMA MPAKA NALALA SHAMBA, NIMEAJIRI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 529

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 4 роки тому +68

    Beautiful With brain Maashallah sio wale watoto wanao subiri wazazi wafe warithi mali na wakifa tu wanauza kila kitu

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 4 роки тому

      We wazazi wako wamekuachia nini😹

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 4 роки тому +3

      @@rose_Winchester86 Alhamdulilah
      Walinipa urithi wa elimu hekima busara kuwa na hofu ya ALLAH na ndivyo ninavyo ringa navyo mjini hapa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 роки тому

      @@queenlinda255 ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEM

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 3 роки тому

      @@allahisone6386 Ameen in shaa Allah🙏🏻

  • @glorylimo8695
    @glorylimo8695 4 роки тому +22

    Dah am blessed Ila nakumbuka niliwai kufanya project Kama hii Ila nilikosa nguvu na maisha ya misuko suko yakanikwamisha..jaman wazazi nanao farakana nakuleta ugomvi kwenye familia naomba mjifunze kwa wazazi Hawa Mana mtoto wao aliwapelekea fursa wakaipokea na kuisupport kwa kumpa mashamba ayafanyie kazi

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +33

    Japo sapoti ya wazazi imehusika,bado nakupa big up dada. Angekuwa binti mwingine angeomba kufunguliwa Saloon au kijiwe cha Mgahawa.

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 4 роки тому +5

      Sapoti ya wazazi imekuja baada ya KUWAFUNGUA ubongo wazazi wake. Girl you are ON FIRE

    • @shabanalfan9705
      @shabanalfan9705 4 роки тому +10

      Issue sio aina ya biashara kaka, issue ni mafanikio kama saloon itakuwa inakuingizia pesaa ya kutosha sio mbayaa.

    • @janethjohn7994
      @janethjohn7994 4 роки тому +2

      sio lazma wote wafanye kilimo,chochote tuu ni sawa kama kinauezekano wa kuleta mafanikio

    • @magecharles7158
      @magecharles7158 3 роки тому +2

      Mzazi anausika kwenye Mafanikio yako yote kakupeleka shule,kakulea so ukisema saport ya wazazi nani asiyena saportvya wazazi

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 4 роки тому +41

    Sio kila watoto wa kishua wana akili za hivyo si tunaona vishua wengi tu mjini mambumbumbuuuu hongera bibie 👏🏽

    • @severinatyphone6122
      @severinatyphone6122 3 роки тому

      Ndo Ommie yule yule- mchina 🏃‍♂️. Kweli ulipo tupo.

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 3 роки тому +1

      @@severinatyphone6122 😁😁😁 dah umenifanya nicheke tu boss

  • @isaackjackobo6543
    @isaackjackobo6543 4 роки тому +110

    Bonge moja la interview maombi yetu angalau kuwe Kila wiki na kipindi kimoja cha kuonyesha uwezo wa vijana ili iweze kuwa invasion kwa wengine

  • @nelsonmnyanyi1050
    @nelsonmnyanyi1050 4 роки тому +14

    Hongera sana Jack!, ww ni mfano wa kuigwa katika jamii. Maono yako yafike mbali na Mungu aibariki kazi ya mikono yako.

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 роки тому +20

    Wow! She's a go getter,young, beautiful lady I really like her courage, big up from Nairobi Kenya.

  • @shifumponda666
    @shifumponda666 4 роки тому +9

    wanawake nao wanaweza sana mungu ambariki san huyu dada ameamua kufanya si kuongea big up sana pia anaajili vijana pia hongera san

  • @hamisisalum2218
    @hamisisalum2218 4 роки тому +18

    Am so inspired with this interview, she is so great

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 4 роки тому +4

    Kilimo hakiondoi urembo wa mtu. Urembo natural. Huyu binti Mungu alimjalia ubunifu. Hakuna aina ya kazi inayo zuia urembo wa mdada. Mungu akutie nguvu dada hamasisha na wengine.

  • @maikovineventscompany1180
    @maikovineventscompany1180 4 роки тому +14

    Hapa mb zangu zimenda ki halali kabisa ❤️❤️❤️

  • @johnmanase2874
    @johnmanase2874 4 роки тому +11

    Mtangazaj anang'ang'aniza kwann afanye kilimo kwakuwa n mrembo why? Kwan mrembo sio binadamu wa kawaida? Big up dadaa hongera sana. Unacho kifanya kama n kitu kikubwa wengi tunatamani sana

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 4 роки тому +120

    Mungu ambariki na kila anaeangalia hii video sipungukiwe pesa kamwa

    • @abubakarminya2329
      @abubakarminya2329 4 роки тому +1

      Aaamiin

    • @texastexas2545
      @texastexas2545 4 роки тому +6

      Huyo sio kwamba anaakil sema anawazazi wenye akil, wanatumia Pesa nying il aonekane anaakil make Kuna vijana wakimaskin wanaakil balaa na mawazo mazur Zaid tatizo n mtaji.

    • @latifahjanja6679
      @latifahjanja6679 4 роки тому +6

      @@texastexas2545 bro mtaji sio mpk uwe na pesa kuna wenye pesa na awajui wafanye nini mtaji ni akili tuu

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 роки тому +2

      Amina

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 4 роки тому

      Amina

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +30

    Zama zimebadilika,siku hizi warembo wanajiongeza sana kuliko ilivyokuwa zamani.Kudanga si dili tena. Wadada wajanja siku hizi hawauzi sura ni kazi kazi!

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 роки тому +11

    Mshukuru Mungu wazazi wako wako na uwezo hongera madam

  • @juniorkachieng
    @juniorkachieng 2 роки тому +3

    A humbled moneyed girl so inspiring indeed....she is so humbled watching from Nairobi Kenya

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 2 роки тому +3

    Kumbe shamba la familia!!!! Hongera sana Jackie kwa mawazo mazuri hayo. Watto wachache sana wenye akili kama yako. Natamani ningekuwa na mtoto mwenye akili kama ya kwako!!!! Anatumia wataalam so it means inawezekana baba aliprovide capital na binti akatumia akili alizonazo. Capital plus akili ni safi sana sana!!! Big up Jackie.

  • @ecologuideaceae.2178
    @ecologuideaceae.2178 4 роки тому +5

    Amazingly work, she is really. Confident n self-reliance...🔥💖✊🏽

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 4 роки тому +12

    Hongera! Sana najua cha wazaz wako ndio chako ukikiendeleza vizur ishu ya ajira ktk ukoo wako itakuwa ndoto

  • @josephstellar1359
    @josephstellar1359 4 роки тому +3

    Hongera sana jack haya ndiyo maono yenye maarifa Mungu atusaidie sana tufunguliwe maono yetu Mungu mbariki sana Jack afike mbali zaidi

  • @kanyewest1850
    @kanyewest1850 4 роки тому +47

    Hongera Jackline 🦁🦁❤️

  • @selestinarugemalila255
    @selestinarugemalila255 4 роки тому +9

    Uwa mnaongea vizuri sanaa,nawapenda mnoo sanaa amna mambo ya kuppamba kazii

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому +3

    Safi sana hizo ndio issue zinafanya nchi kuendelea, Asante milliad Ayo na wenye shamba kwa hii taarifa

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +9

    Lakini acha mchubuo dada, vizuri sana keep it up

  • @ibnuqassim1614
    @ibnuqassim1614 4 роки тому +4

    Hongera Sana jack
    Ww ni mwanamke wa kiugwa kwa vijana wote .

    • @peterpaul591
      @peterpaul591 4 роки тому

      Hongera sana ila wazaz wako mpunga upo so simple to invest.

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 4 роки тому +2

    Jacky kama kweli lako vile mzee wako akiona hii interview atashangaa sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 4 роки тому

      Kwa hyo sio yakee yaani wabongo kwa kubeza bhnaaa

    • @credo7837
      @credo7837 4 роки тому

      Kwel kabisaa mzee anahusika na anakuja hapo😂😂

    • @jacklinembuge7776
      @jacklinembuge7776 4 роки тому +2

      nyie ndio mizigo kwenye nchi yetu sishangai halfu inasikitisha kwa mwanaume kuw na akili finyu

  • @kanyewest1850
    @kanyewest1850 4 роки тому +16

    Tujifunze kitu hapaa❤️

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 4 роки тому +10

    Big up jackline 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @neemasimon6652
    @neemasimon6652 4 роки тому +2

    Daaah hongra Dada pia wazz kwa saport yenu kwa bint mungu nijarie uzao watumbo langu

  • @saidhuma9171
    @saidhuma9171 4 роки тому +19

    Sawa tunamsifia lakin angalieni na mtaji alio tumia kuwekeza hapo ni hatar,

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 4 роки тому +1

      kabisa asee

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 4 роки тому +1

      Saaana mabilioni yamezama hapo

    • @MusaNgao
      @MusaNgao 4 роки тому +1

      Bila shaka mzazi wake kamsapoti vzr na nusu!

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 4 роки тому +2

      Inshu mtajii unapuzungumziaa kuwekeza tuu kwenye nyanya Ukiwaaa miche kuanzia elfu 20
      Inatakiwaa uwe na mtaji usiopunguaa 2M na zaidi

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 4 роки тому +1

      Na shambani ni bahati na Nasibu kupata au kukosa...

  • @shifumponda666
    @shifumponda666 4 роки тому +4

    hongera sana jackline hakika wanawake wanaweza sana 🙏🙏🙏

  • @kanyewest1850
    @kanyewest1850 4 роки тому +16

    Wanawake ndio hawaa❤️

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 4 роки тому +2

      Kumbe umeliona eeh❤️❤️❤️👌

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 4 роки тому +1

      Kabisa anatupa moyo ili tujitahidi zaid wadada 😆😆😆

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 4 роки тому +1

      Hivyo alivyo ukikutana nae unamuaribia. Tushakusomeni wanaume mlivyo

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 4 роки тому +1

      @@fatmafaki6163 namuaribiaje kwa mfano zaidi ya kumsaidia kukesha shamba😀

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 4 роки тому

      @@onesmojustice2348 wanaume ndo nyie nyie bwana.

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 4 роки тому +8

    Mashaallah hongera ❤

  • @mariammugasha6489
    @mariammugasha6489 4 роки тому +9

    Mtoto wa Brigedia charles mbuge hongera kuwa na baba mchapakazi

    • @yugakiyumbi9909
      @yugakiyumbi9909 4 роки тому

      Ndio maana iko vzr kumbe mtoto wa Brigedia mbuge

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 роки тому +11

    Salaam za pongezi mdogo wangu Jackline kwa kufanya kazi uipendayo ndoto ya maono yako,sawa sawa na ndoto ya JPM kutengeneza mabilionea wazawa.Tunashkru pia kwa ukarimu wa mwaliko wa kuja kujifunza. Tunaomba mawasiliano.

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 роки тому +5

    Maa shaa Allah
    Mmungu awazidishie kheri zote.

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому +1

    Wow smart ameni inspire sana huyu dada God bless her

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 4 роки тому +3

    Wonderful an welcome job,God bless u 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪❤️🌞🙏🇰🇪@Kenya.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 роки тому +3

    Mungu akubariki dada angu Jacky mimi nime ona ajira tuna lipwa mshahara hautoshi 😭😭 biashara ni muhimu sana

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 роки тому +2

    Hongera sana sana bi mdogo kazi nzuri

  • @queenbhanji4152
    @queenbhanji4152 4 роки тому +6

    hongera japo kuwa ni mradi wa pesa nyingi sana kuanzia eneo na miundombinu yakurun hyo project

  • @silvestermwakyosi194
    @silvestermwakyosi194 3 роки тому +1

    Bonge moja la interview big up Sana Jack

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 4 роки тому +20

    Alafu wabongo baadae utawasikia uyo frimasoni
    Wabongo mbwa Sana😠😠

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 3 місяці тому

    Wow mzuri sana kweli I love you baby 💖💖💖💖💖💖

  • @hamidakiiza1925
    @hamidakiiza1925 3 роки тому

    Mfano Mzuri wa kuigwa na Vijana wengine hongera Jackie Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @owlbig
    @owlbig 4 роки тому +4

    I love her❤️🇧🇮😊

  • @exaverykalinga1487
    @exaverykalinga1487 4 роки тому +1

    Big up,ayo tv hizi ndo habari za kuelimisha jamii ielewe maisha utayapata shambani.safi sana jack.

  • @benmash9625
    @benmash9625 4 роки тому +3

    hongera sana Jackie.,.. Mungu azidi kukuongoza

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 4 роки тому +2

    Amen Yesu n mwema,Ila mpokee Bwaa Yesu ili uwe tajiri duniani pia update uzima Wa milele,n hasara kupata mamilion ya pesa dunian afu ukamsahau Mungu wako,mhubiri 12:1,maana yote yatapita Ila Mungu n wamilele.hivo mtafte sana Yesu upate yote.

  • @witnekidoti6160
    @witnekidoti6160 3 роки тому +1

    Hongera sana jack umenihamasisha sana

  • @anganilekajigilikajigili2641

    Nakubali mi mwaka 1 mbele lazima nitoboe fursa ni nying vijana tuna lala ✋🏻✋🏻

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 4 роки тому +41

    Sasa humu ndio nafasi ya Ku-comment mno kuliko sehemu ingine hasa kwa Vijana

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 4 роки тому +28

    Tunahitaji taarifa kama hizi zenye kuelimisha na kutia hamasa kwenye maswala ya utafutaji.

    • @fatiiofficially7258
      @fatiiofficially7258 4 роки тому

      taarifa hii inapotosha huyu kiumbe alikua rafk yang sana mara ya kwanz alifany kwa carrymastory kwa vitu ambavy sio vyake tena nasoma nae college kimara na anasoma kozi ya business fupi anafany hivi kupata fame tu anadanga hatar

    • @emmiesulee4620
      @emmiesulee4620 3 роки тому

      @@fatiiofficially7258 acha umbea shogaangu😂

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 3 роки тому

      hhhhhhh

  • @efesosanga3717
    @efesosanga3717 4 роки тому +12

    Big up kwako dada!!!!!

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 роки тому +6

    Iko poa sana na capital hapo si ya kitoto! Hongera kuwa na wazazi waelewa pia! Mafao yao wameyatumia vyema

  • @mariamezialor8911
    @mariamezialor8911 4 роки тому +2

    Hongera Ago TV ongeza interview zaidi kwa vijana kama huyu iwe motisha kwa vijana wengine wanao hangaika mitaani na degree zao.
    . Pia angulizwa kuhusu mtaji, vijana ambayo wazazi wana mashamba, hawana fedha za kuanzusha project kama hizi, watalaam amewapataje na kutoka wapi? Kimsingi maelezo ambayo itawafaa wengine hamasika na kupenda kujiingiza huko.

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 роки тому +1

    Ongera sana dada upo vizur sana

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 3 роки тому +1

    Ma Shaa Allah. Akili kubwa

  • @Tanzania234
    @Tanzania234 9 місяців тому +1

    Nipeni number yk 😂😂😂😂

  • @kdmongi
    @kdmongi Рік тому

    Nimekuwe inspired sana big up ccta jack naomba kupata location na contacts nipate wasaa wa kufika na kujifunza kuhusu kufuga samaki

  • @Martha_andrew
    @Martha_andrew 4 роки тому +3

    Waooh♥️hongera saana jacy

  • @hadijahamisi7769
    @hadijahamisi7769 4 роки тому +8

    Nimependa

  • @texastexas2545
    @texastexas2545 4 роки тому +11

    Huyu n mtoto wa tajir make hapo mtaj wake s haba, Kuna watu weng Sana wana mawazo mazur kuzdi hapo tatizo n namna ya kupata mtaji.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 4 роки тому +4

      Wapo watoto ambao wazazi wao wanakula kitu Ila hawana mawazo wanasubiri mazazi wa Mali izo wafe wagawane.

    • @jacklinembuge7776
      @jacklinembuge7776 4 роки тому +1

      akili zako finyu kaka ndio maana atakuiskiliza interview hujaweza (bogus man) as i said kuna wengine wanachance wanashindwa kuzitumia bro muonee embu sikiliza tena then tafakari (BOGUS)

    • @innocentrichard2945
      @innocentrichard2945 4 роки тому

      That was Savage and not kind

    • @jojinarmillinga7219
      @jojinarmillinga7219 4 роки тому

      Ni kwel

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 Рік тому

    Hongera Sana dada Ang Mungu akutienguvu

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 4 роки тому +10

    Dah sijui nitumie njia gn kumpongeza huyu mdada coz ameweza pakubwa

    • @jerrymanyanga6997
      @jerrymanyanga6997 4 роки тому +2

      Hapa naona PONGEZI ziende kwa wazazi kwa kumuamini binti yao nankuingiza mmzigo wa maana...harakaharaka hapo IMEINGIA zaidi ya milioni 100....shamba Lina majengo na wataalamu...bila Shaka na matrekta ya kutoshha... hongereni wazazi kwa uthubutu wa kumpatia Jack pesa yote hiyo akaingiae shambani...
      Jack nitakupa PONGEZI zako BAADAE....kwa Sasa PONGEZI ziende kwa wazazi

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 4 роки тому

    DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
    Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
    1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
    2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
    3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
    4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
    5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
    6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
    7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
    8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
    9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
    🔟 Inarutubisha mayai
    NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
    Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
    Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
    Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

  • @Kigomafahariyetu
    @Kigomafahariyetu 4 роки тому +8

    Hongera San ila tu nilichogunduwa unaweza kuwa ulitowa mawazo kwa wazee wako nao ndo wakawekeza maan huo uwekezaji Ni mkubwa San si chini ya M10 au M20 nk so honger San kwa wazaz wako kupokea mawazo yako na kufanyia kazi Hilo Jambo🙋🤔

    • @sharoombay8997
      @sharoombay8997 4 роки тому

      Mtaji wa kwanza ni mawazo.

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 4 роки тому

      Kila kitu kinawezekana muhimu uanze kidogo kidogo kilimo hakihitaji pesa ya pamoja mkononi baba yangu ni mkulima so hatumii pesa nyingi kwa wakati mmoja wengi mnaogopa kilimo kwasababu mnapiga hesabu ndefu kwa mara moja

    • @Fishes_of_Lake_Tanganyika_1
      @Fishes_of_Lake_Tanganyika_1 3 роки тому

      Mtaji wa kwanza ni wazo, kuhusu gharama halisi kwa kutazama miundombinu ya eneo hilo hiyo milioni 20 zidisha walau mara 20

  • @emmanuelmwesongo7177
    @emmanuelmwesongo7177 4 роки тому +11

    Hongera kwake,
    Lakini tukumbuke hapo uhalisia ni mradi wa familia na yeye ndio msimamizi mkuu , tusidanganyane kua hapo ni mtaji wake binafs hapana , its a lot of many, ukizingatia yeye ni mwanafunzi wa chuo
    Swali la msingi alilojisahau mtangazaji je kama ni la kwake binafs mtaji aliupata wapi?

    • @amrimagambo7902
      @amrimagambo7902 4 роки тому

      Dada kasema kwamba mtaji ni wa mzee uyu mtangazaji na akili yake fupi anamlazimisha kuwekeza kuwekeza uyo binti ajui chochote hapo asitake kunogesha interview😃

    • @laurinfred2931
      @laurinfred2931 4 роки тому

      Hapo umeongea point inshu nimtaji alitafuta kwa jasho alake

  • @manuelsaramba2138
    @manuelsaramba2138 Рік тому

    Hongera sana dada umechagua kazi nzuri sana Mungu atakusaidia

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 4 роки тому +4

    Mashallah nitafute pesa mie namie nije buni biashara na kilimo

  • @mohammedaliibrahim8080
    @mohammedaliibrahim8080 4 роки тому +2

    She is my role model

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 4 роки тому +2

    Hongera dada. Mungu akutie nguvu

  • @henribwema2778
    @henribwema2778 3 роки тому +1

    Nawafwata toka DRCongo, napendezwa sana na ufugaji samaki, naweza nikawaona hawa watu je ?

  • @vicentmaganga3687
    @vicentmaganga3687 4 роки тому +18

    Hela iliyowekezwa hapo ni kubwa sana, sio mchezo. Jack atakuwa ni mtoto wa kishua.

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 4 роки тому +31

    Tanzania inayo takiwa kwa kila mwana nchi ni hi china imefika mbali kwa ajili ya kilimo, MUNGU wa elia tuongoze watanzania🙏🏻

  • @localzone1830
    @localzone1830 4 роки тому +6

    Uyo mtoto wa boss hao wanasoma laki wazaz wana mitaji

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 4 роки тому

    Wow dada vizur sana mrembo ssna mungu akupe umri mrefu uvune mavuno mazuri

  • @renaldakyaruzi2017
    @renaldakyaruzi2017 4 роки тому +3

    Safi sana

  • @iluminatagilbertlimbumba3999
    @iluminatagilbertlimbumba3999 2 роки тому

    Wow wow wow! This is amazing ❤️ namba za simu za Jack

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому

    Hongera sana my nimependa ulichofanya kilimo ni bora sana

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 4 роки тому +2

    Kilimo kina ela jaman aswaa akiwa na moyo wa subira mm ni mkulima pia najua hongera zake

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 4 роки тому +1

      Ni kweli kabisa

    • @tamariophant6919
      @tamariophant6919 3 роки тому +1

      Naweza pata namba zako, coz hata mamaangu anashamba heka kumi na tano ila halitumii...

  • @perfectmasawe5870
    @perfectmasawe5870 3 роки тому

    Hongera sana binti kwa kuonyesha mfano kwa vijana wenzio

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 4 роки тому +1

    Dada Jacky uko sawa.mola akupe neema ufanye makubwa zaidi .

  • @christopherkalema2369
    @christopherkalema2369 3 роки тому

    Hongera sana dada. Binti mdogo ila mwenye ndoto kubwa. Wazazi tujifunze hapa kuwa hata mtoto anaweza kua na fikra nzuri na ndoto nzuri hivyo tuwasaidie ili wazikanilishe. Pia tunaomba mawasiliano jinsi ya kufika shambani hapo.

  • @sesiliamlonganile8473
    @sesiliamlonganile8473 4 роки тому +1

    Huku ndio kutawala na kumiliki safii sana. Nimeipenda

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 роки тому +7

    MashaAllah

    • @emmanuelpeter5686
      @emmanuelpeter5686 4 роки тому

      Hilo Ni shamba la mshua Sio la huyo dada mtangazaji unamnaadi huyo binti,mbona shamba Ni la babaake Sio la huyo Mtoto acha uongo na ujinga mtandaoni ongea ukweli

    • @samsungj7pro64gb5
      @samsungj7pro64gb5 4 роки тому

      @@emmanuelpeter5686 haah kumbe

  • @jackrinjovin9011
    @jackrinjovin9011 3 роки тому

    Hongela sana jackiy

  • @mariagorety284
    @mariagorety284 4 роки тому

    Mungu wangu naipenda sana kaiyo kazi nzuri anaa 😁😁😁😁

  • @gladysmaku5609
    @gladysmaku5609 3 роки тому

    Wow.. nimependa sana hii

  • @ruthmdamo7661
    @ruthmdamo7661 4 роки тому +1

    Hongera sana mrembo

  • @justinwarioba7014
    @justinwarioba7014 3 роки тому

    Mungu akubariki kazi mikono yako jack

  • @papaambouf5325
    @papaambouf5325 4 роки тому +2

    Hongera jack

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 роки тому +1

    Masha Allah ❤❤❤hongera dada

  • @ManenoMmbucwa
    @ManenoMmbucwa 8 місяців тому

    Hongera sana dada yangu

  • @nasizakayo6374
    @nasizakayo6374 3 роки тому

    Habar nzur hii hongera sana.

  • @williamndagala484
    @williamndagala484 3 роки тому

    Woow that's good

  • @zaitunijuma7542
    @zaitunijuma7542 4 роки тому +11

    Nahitaji saana elimu ya ufugaji samaki..naomba msaada jamani

    • @karlmarx6040
      @karlmarx6040 4 роки тому

      Ingia instagram search page moja inaitwa waloma_kilimo_ufugaji wanatoa elimu hio .

  • @richardmpuya5379
    @richardmpuya5379 4 роки тому +1

    Hongera niependa juhudi zako

  • @lettyfaustine5654
    @lettyfaustine5654 4 роки тому +4

    Aisee not inspired watu wanahustle hawaonekan cz mitaji tatzo tutafutien watu waliofanikiwa kwa hustle . huyu Dada ni msimamiz was mradi wa familia ameandaliwa.

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 4 роки тому +1

    Hongera sana.