MBUNGE KISHIMBA AMTOLEA UVIVU MWIGULU "UNANICHONGANISHA NA WANANCHI WANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 60

  • @user-jl6uj4lf6q
    @user-jl6uj4lf6q 21 день тому +15

    Huyu kishimba serikali ingekuwa inapokea ushauri wake,Kuna mambo mengi yangebadilika.Hongera sana mheshimiwa akiri kubwa sana!!

  • @shemaadihoseni1619
    @shemaadihoseni1619 20 днів тому +6

    Huyu jamaaa anafikiria nje ya box akiwa ndani ya box

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 17 днів тому +1

    Nakupenda sana kishimba yani huwa unaongea point

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 20 днів тому +3

    Kuna mjinga anache kisenge kweli ,Mzee yupo sahihi sana shida hawajui watu wa chini wanavyoishi

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 21 день тому +7

    Kishimba ni mbunge anamaona ya mbali sana

  • @mh9251
    @mh9251 18 днів тому +1

    Kishimba akichangia mimi nataka spika Dk. Tulia awepo iliakimaliza mchango wake amtunuku huyu ni profesa Kishimba!

  • @abeltarimo9959
    @abeltarimo9959 21 день тому +4

    Safi sana.

  • @user-ch8it5jr8m
    @user-ch8it5jr8m 20 днів тому +1

    Very intelligent God bless u

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 20 днів тому +2

    Huyu mzee kaongee Bonge la point tena ya kiusalama ,, Unaenda china kukopa pesa , halafu wanatengeneza midoli 😢 mfanya biashara anatoa Usd 100,000 anapeleka china kupakia midoli , cash flow ya nchi inapungua … na inarudi kwao kwa kununua mdoli ambao mwezi mmoja umechakaa ,, shida ningekuwa raisi

  • @renatusrevocatus3895
    @renatusrevocatus3895 18 днів тому +1

    Acha tuisome namba kwa pamoja

  • @ErastoMdee-wj6vz
    @ErastoMdee-wj6vz 20 днів тому +1

    Safi sana Mzee ushauri mzuri

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 20 днів тому +2

    Watakubania weeeee lakin ipo siku utakuwa waziri tuuu maana unamaono ya mbali

  • @user-wo8rq7yr6j
    @user-wo8rq7yr6j 21 день тому +4

    Mbunqe kishimba n Zaid ya wabunqe wasomi ata 10

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 21 день тому +2

    Mh.Kshimba unaakli nyngi sana.

  • @YudiJaje-ve1ij
    @YudiJaje-ve1ij 21 день тому +1

    Uwa nakukubari sana profesa kishimba

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 19 днів тому

    Hayo CCM hawajui kuwa kuna maisha magumu mzee na watakupeleka kwenye maadili shauli yako

  • @jacksonmtulla9174
    @jacksonmtulla9174 20 днів тому +1

    Kweli kabisa, serikali irudishe matumizi ya chloroquine. Hii mseto haiko that effective

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 19 днів тому

    Pole sana mbunge wa CCM , CCM ndo yako

  • @allynamtubwi7827
    @allynamtubwi7827 20 днів тому +2

    Hizo ndiyo akili za mtu mzima anaejielewa

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 19 днів тому

    Kishimba Akili kubwa🔥🔥🔥🔥

  • @noeliman357
    @noeliman357 18 днів тому

    Huyu mbunge achaguliwe tena na wananchi wake.

  • @amethysturanus6351
    @amethysturanus6351 20 днів тому

    Mheshimiwa Mzee Kishimba.
    Data za India zinazo itwa GENERIC MEDICINE IN ya kiwango ya juu. Serekali India 🇮🇳 imeruhusu viwanda ndogo zaidi ya kumi elfu au 10,000 Zina zo zalisha hapo. Bei ni aslimiya kumi tu ya thamani . Make in India 🇮🇳 ni mradi ulio anzishwa na PM NARENDRA MODI.
    TU FUATILIYE GENERIC MEDICINE FROM INDIA.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 20 днів тому

    Mwigulu hata akiwa na PhD lakini akinaja kwenye kiutendaji unaweza kushangaa hizo PhD alizipataje. Hawo wanabiashara tele kwa njia kwahiyo watanganyika wafanyabiashara hawa wakina Mwigulu hawataki watanganyika wengine wasifanye biashara ili watakapo acha ubunge waendelee kuwatawala kiutumwa milele na watoto wao.

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 20 днів тому +2

    Great minds!Hebu chunguza mawazo yn michango ya mbunge huyu analysis yake ni madini matupu!Kwa nini wasipewe nafasi ya ku execute?

  • @halidomar9874
    @halidomar9874 20 днів тому +1

    Waacheni watuuwe wabaki wao tra

  • @simongaudence2685
    @simongaudence2685 21 день тому +1

    Tanzania ni nchi pekee ina biadamu waoga kuliko binadam wote

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 21 день тому

      Kwa woga huenda kicheko kwa Shujaa huenda kilio. Sasa apo chaguwa!

  • @MashakaLufuta
    @MashakaLufuta 20 днів тому +1

    Unamaono yako2 mzee achana nawasaliti akina msukuma

  • @user-zi4hx4jf3o
    @user-zi4hx4jf3o 20 днів тому

    Kishimba oyeeeee huyu jamaa anakili sana

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 20 днів тому

    Yaani kwanini Rais Samia hamuonagi huyu bb kuwa waziri? Ana akili km za wabunge 10 hivi mama huyu alikotoka hawatakaa wamwachie kwenye ubunge

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 20 днів тому

    Huyu baba Kishimba akili yake inaweza kuliokoa taifa hili endapo mchango wake utazingatiwa.

  • @MichaelKilinga
    @MichaelKilinga 20 днів тому +1

    Akili kubwa mno

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 20 днів тому

    MH. Kishimba nilidhani hata KIKOKOTOO atagusia kwa hekima zake na UTETEZI kwa masuala muhimu hasa HAKI.

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 20 днів тому

    Kumbe AKILI na Elimu ni vitu tofauti

  • @brunotwemanye4036
    @brunotwemanye4036 20 днів тому

    Mzeee hadi usemee nastaafuu tofauti na hapo hatuna mwingine Kahama

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 20 днів тому

    Sijui kama watu wanakuelewa ,huwa ww ndie unae takiwa kuwa profesa

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 21 день тому

    Hata bandari watakusanya na kuondoka nazo. BRT watakusanya na kuondoka nazo. Wanapunguza mzunguko wa fedha kwenye uchumi.

  • @Worldunite
    @Worldunite 20 днів тому

    Mwigulu pamoja na wabunge wengi wanadhani millions 15 ni hela ya chai, hawatambui hali halisi ilivyo uraiani

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 19 днів тому

    Hakika akili ni nywele

  • @YusufuYohana-jz4qn
    @YusufuYohana-jz4qn 17 днів тому

    Sasa ungekua wewe mwananchi unambiwa bei ya lisiti 100,000 bila lisiti 90,000 utachagua nini

  • @DivNg27
    @DivNg27 19 днів тому +1

    Toka nchi hii ipate uhuru sidhani kama tushawahi kupata waziri wa fedha kilaza kama huyu wa sasahivi,anawaminya wananchi kwa kuongeza kodi na tozo halafu anaenda kununua magari ya serikali ya kifahari😢😢,na sasa anakuja na fine ya Mill 15 kwa kutotoa receipt 😢,
    Umeongeza mabus yako ya ester na unanunua team za mpira kila kukucha kwa pesa za tozo, halafu ulivyokua wa ajabu sasa ukapandisha na nauli ya mabus bila ya sababu za Msingi 😢

  • @barnabasmsamwel4292
    @barnabasmsamwel4292 20 днів тому

    Akiri ya kuzariwa ni zaidi ya kusomea

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 20 днів тому

    Hata usimpongeze huyo mwizi tu

  • @MonikFabian
    @MonikFabian 20 днів тому

    Serikali chueni mawazi hayo ya kishimba

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 21 день тому

    kwani atuwezi kuishi kama dubai mmk

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 20 днів тому

    Yan watawala wanawaza kuwala wenza kila kila bajet

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 21 день тому

    Cloroqween ni mzuri kuliko mseto

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 20 днів тому +1

    Kuna vitu ili kulinda Cash,, lazima viondolewe importation yake… huwezi peleka pesa china kununua Toi za wato ,, na huku una veta …

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 19 днів тому

    Mtu kama huyu hawawezi kumpa nafasi ya muamuzi wa mwisho kwakuwa ........

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 21 день тому

    Kumbe Mimi ni Ng'ombe wa serikali duuh!🤭🤭🤭🤭

  • @user-yw7ud9th2l
    @user-yw7ud9th2l 21 день тому +2

    Yanileo mmeongea ukweri sisinikamangombe wanainchi

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 20 днів тому

    Huyu Baba nimuwakirishi wawananchi kweli

  • @YudiJaje-ve1ij
    @YudiJaje-ve1ij 21 день тому

    Uwa nakukubari sana profesa kishimba

  • @YusufuYohana-jz4qn
    @YusufuYohana-jz4qn 17 днів тому

    Sasa ungekua wewe mwananchi unambiwa bei ya lisiti 100,000 bila lisiti 90,000 utachagua nini

  • @YusufuYohana-jz4qn
    @YusufuYohana-jz4qn 17 днів тому

    Sasa ungekua wewe mwananchi unambiwa bei ya lisiti 100,000 bila lisiti 90,000 utachagua nini

  • @YusufuYohana-jz4qn
    @YusufuYohana-jz4qn 17 днів тому

    Sasa ungekua wewe mwananchi unambiwa bei ya lisiti 100,000 bila lisiti 90,000 utachagua nini