KIMEUMANA: MSUKUMA AMVAA BASHE,MWIGULU SWALA LA SUKARI | HIVI HAMUONI AIBU | TUTASHIKANA MASHATI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 24

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Місяць тому +2

    Ahsante Msukumo kwa kuwapa ukweli hao Mawaziri wawili.Kuhusu utafutaji wa vyanzo vingine vya kukusanya pesa sina uhakika kama wana huo uwezo.Na nilimsikia Mbunge Shabiby akilalamikia hivyo hivyo.Na hii issue very simple kwa nchi kubwa kama Tanzania kuna vyanzo vingi sana vya serikali kutengeneza pesa bila hata ya kuwakaba koo wananchi wa kipato cha chini ambao wanashindwa kula hata milo 3 kwa siku!
    Kuna vijana wengi huku mtaani hawana hata degree 1 lakini ukiwadadisi kwenye nyanja ya Uchumi unagundua wana positive economics strategy ideas!

  • @elizabethmassi7327
    @elizabethmassi7327 Місяць тому +5

    wanachomuadhibia Mpina ni nini kumbe anayosema Mpina ndicho wengine wanalalamika,ukiwa mkweli hukubaliki.

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Місяць тому +2

    Musukuma hawezi kumpenda Mpina kamwe sababu ya kukamatwa kwa gari lake likiwa na samaki wachanga enzi Mpina akiwa waziri.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Місяць тому +2

    Naona waziri anataka watu wanywe uji na limao au ukwaju

  • @user-nv7kj3gl3o
    @user-nv7kj3gl3o Місяць тому +3

    Jamani sukari piya dili tuwachiyeni sukari

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 28 днів тому

    Msukuma mm niliisha kusukumaga kitamboo sana ukiona wabunge wanamuandama mbunge mwingine na wewe unamuandama ukiona kisu kimerudi upande huo unatudi tena huku usituvuruge tulikupenda sana kwaasilimia 💯 lakini nimepunguza zimebaki 25 tu

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io Місяць тому +1

    😊

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 Місяць тому

    Huyu naye ninashawishika kuamini siku hizi hayuko upande wa Wananchi maana hata ishu ya Dubai alitajwa......😂

  • @user-yv8ww7lg1x
    @user-yv8ww7lg1x Місяць тому +1

    Watanzania tunaenyeka mafisadi wanenepe Mungu anakuja kl chozi mtalilipa wallah

  • @badribilali4146
    @badribilali4146 Місяць тому

    Msukuma mauwa yako mzee

  • @festosimlembe6906
    @festosimlembe6906 Місяць тому

    Mambo ya ajabu yanajadiriwa hakuna anae wapigania wananchi wahali ya chini hapo tunadanganywa tu,kila kitu walisha jadiriana na mawaziri wote nichama kimoja,kilicho pangwa ndicho watakikamilisha hicho hocho hakuna kinacho amliwa kipya hapo.

  • @festosimlembe6906
    @festosimlembe6906 Місяць тому

    Wanajua wanacho kifanya,hapo tunazungukwa tu,lengo nikupoka uhiru waviwanda wanataka kuhalalisha makampuni yao yaanze kuleta sukari maana yake viwanda vyetu vyandani vitakufa wakulima wamiwa wataacha pia kulima miwa watakosa wakumuzia

  • @leahmagaiwa9099
    @leahmagaiwa9099 19 днів тому

    Msukuma bendera fata upepo. Umenitoka haswaa. Sijui utasema nini nikuelewe kwasasa

  • @mwakalingaamani4693
    @mwakalingaamani4693 Місяць тому +1

    Huyu jamaa ni kichwa

  • @zully756
    @zully756 Місяць тому +1

    Wakamateni mafisadi watumishi wa umma

  • @cynthiamcguire1495
    @cynthiamcguire1495 Місяць тому

    £3 bag of sugar is an absolute rip off😢

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Місяць тому

    Waruhusu biashara ya sukari iwe huru serikali ihakikishe ubora na bei, wakati mwingine tunasema tunataka kulinda viwanda vya ndani huku tunadumaza viwanda vyenyewe.Mbona viwanda vingine vinashinda bidhaa nyingine lakini havifi bali vinatoa bidhaa nzuri kuliko hizo zinazoingizwa.Mfano TBL, Cement etc

  • @ludovickndaki4616
    @ludovickndaki4616 Місяць тому

    Siku zote alie zoea KAZI lain hajui kuumiza kichwa atakwambiatu tutabana sehem frani watatoatu dah mnatukatisha tamaa jaman

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 28 днів тому

    Shida yenu mnataka kuvuruga soko la Tanzania ili mkuze soko la Dubai ndio maana mmemfukuza mpina lakini halitafanikiwa kama halipo kwenye mpango wa Mungu sasa kosa la MPINA lipo wapi? mmemdhalilisha mmwmbeza leo mnasema nini? hatuwaelewi

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 Місяць тому

    Watu hatushirikishani sheria kutunga sheria

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k Місяць тому

    Badala ya kujenga vinda na kuongeza Ajira Munafikiria namuna ya kuagiza sukari Dubai Jamani humo Bungeni Wote ni chumia tumbo kabaki Mpina peke yake naye Mta hakikisha Anakufa

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Місяць тому

    Mbona Mpina alisema ukweli,sasa wanamtuhumu kwa lipi?

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 Місяць тому

    Mfanyibiashara wa karakoram alimuuliza mwiguru kuwa anapenda kamatakamta mipakani