Moja kati ya kitu wazazi wa kiafrika wanacho sahau kabisaa ni kutozingatia vipawa na talent za watoto wao. tunapoteza watu wakubwa wengi sana kwa kutokutambua nini ni bora na mtoto anaweza kufanya. kipaji ni kitu mtu anachoweza kufanya bila ugumu(kwa urahisi) . kuna watoto wengi hawawezi hata kuongea, ila kuna watoto wanaweza kusimama hata mbele ya kanisa au msikiti mzima na kuongea bila woga wala kusita sita. huo ni mfano wa kimoja tu kati ya vingi wazazi na walezi wasivyo viona. Kuna mtoto anakimbia kila sehemu akitumwa hata iwe karibu kiasi gani ataenda anakimbia na atarudi ana kimbia hata liwe jua kali la saa saba. lakini hakuna anae zingatia hayo. kila mtu ana focus na Sayansi tuuu, kumbe kuna utajiri mkubwa ambao kila mtu Mungu amempa kupitia kipaji. KIPAJI NI ZAWDI KUU NA YA THAMANI MNO AMBAYO MTU HUPEWA NA MUNGU . KIPAJI
Tatizo mwanamke wako Wandani ambae ni mke Akishika pesa anakuwa Anajiamin mpaka anasisaau Na kusaau kuwa ana mume Shida ndiyo ipo hapo mwanamke Siyo kama mwanaume mwanamke Ni laisi sana kulewa na madalaka Hatatan ndan kila mtu hasikike DARASA LAKO ZURI VIPO VYA KUJIFUNZA
Mimi mwanangu ana kipaji cha usanii wa mziki yaani akitoka shule ananitungia wimbo hapo hapo unaonihusu. Na unakuta kwenye begi lake kuna daftari limejaa nyimbo. Kila akirudi nachukua daftari naficha na pia akirudi tena unakuta ana kingine kimejaa nyimbo
True teacher 🎉🎉🎉
Erick shigongo baba angu nakuomba no yako...naomba Sana baba angu usipuuze
❤❤❤❤❤😅
Eric Shingongo. One of the the best Author ever known
Mungu ni mwema
Hongera sana, Mh. E. Shigongo
Moja kati ya kitu wazazi wa kiafrika wanacho sahau kabisaa ni kutozingatia vipawa na talent za watoto wao. tunapoteza watu wakubwa wengi sana kwa kutokutambua nini ni bora na mtoto anaweza kufanya. kipaji ni kitu mtu anachoweza kufanya bila ugumu(kwa urahisi) .
kuna watoto wengi hawawezi hata kuongea, ila kuna watoto wanaweza kusimama hata mbele ya kanisa au msikiti mzima na kuongea bila woga wala kusita sita. huo ni mfano wa kimoja tu kati ya vingi wazazi na walezi wasivyo viona. Kuna mtoto anakimbia kila sehemu akitumwa hata iwe karibu kiasi gani ataenda anakimbia na atarudi ana kimbia hata liwe jua kali la saa saba. lakini hakuna anae zingatia hayo. kila mtu ana focus na Sayansi tuuu, kumbe kuna utajiri mkubwa ambao kila mtu Mungu amempa kupitia kipaji.
KIPAJI NI ZAWDI KUU NA YA THAMANI MNO AMBAYO MTU HUPEWA NA MUNGU . KIPAJI
🇮🇱Eric, hakika, mtu asipige AKILI YAKO.
Nashukuru sana kwa ujumbe huu.
Mimi huwa nawaeleza jamaa zangu kuwa, "...ongeza madini makini kichwani...."
Nakubali... Mbunge wangu elimu hii inahitajika kwenye Jimbo lako saaana....
naombeni msaada wa namba ya mbunge wetu Shigongo- buchosa
Very correct yaani ukiwa mwaminifu bas wew ni tajr tyr
Mweshimiwa shigogo nime kuerewa sana ntafanyia kazii
I like it❤❤
Asante Mungu kijana kweli umesimama katika nafasi Mungu akubariki sana.
Tatizo mwanamke wako
Wandani ambae ni mke
Akishika pesa anakuwa
Anajiamin mpaka anasisaau
Na kusaau kuwa ana mume
Shida ndiyo ipo hapo mwanamke
Siyo kama mwanaume mwanamke
Ni laisi sana kulewa na madalaka
Hatatan ndan kila mtu hasikike
DARASA LAKO ZURI VIPO VYA KUJIFUNZA
Ahsante mungu kwa hekima hii uaminifu ni msingi mzuri kimaisha
Mungu akulinde baba
Ujumbe umenibariki😢😢 naanza leo kutokuwa na matumizi yasiyo na lazima
Asante kwa maoni yako
Tuendelee kujifunza
Amena kaka kwa maneno mazuri yenye kujenga
asante umenipa nguvu nitasimama tena na nitakuwa na nidhamu ya fedha
Yaani huwa unibariki sana❤❤❤God bless you
kaka shigongo umenikuta najitafuta kabla sijazama kukata tamaa nasikia kuuhishwa .
Mungu no mwema ninaimani nitaweza
Inspired speech Mungu akubariki Sana kaka Shigongo
Una wadanganye mwenye karama hasukumwi hao hawana kitu
🎉🎉🎉
Be blessed 🙏🙏🙏
Ahsante Eric
Be blessed
Ni kweli kabisa mkuu❤
Mafunzo mazuri kabisa haya🎉
Kwakweli Mimi navikubali sana vitabu vyako
I really love this always 🎉
Yaani nisoma magareti yako Kila siku, uko good sana
Well done my brother
Hongera sanaa Mheshimiwa
Ni mwanga mzur wenye kutoa hamasa!
Nakubali maneno yako
This is so powerful
Uko sahihi brother
Shukrani
Ni kweli kabisa Mungu atusaidie
Thanks for the good lesson
Great advise Wiseman👊
Asante Eric Shigongo
Ahsante sana Eric
Mungu ni mkuu Sana 🙏 🙏 🙏 🙏
Kweli uaminifu ni mtaji nashuku
Shigongo mchawi lakini kimya wala hauhubiri
Naanza kutengeneza majani ya chai baada ya kuumizwa na mengi.pls pls pls
Very interesting.
Kwel kabisa
Asante sana🫶🙏
Ujumbe mzuri
❤ AMEEEN MWALIMU
Shukran 🙏 kwamafunzo mazuri
Unasoma degree una jina kubwa na pesa, utafeli kweli.
Fact sana ,ahsante
Mafunzo mazurii
Nataman sana nipate hata namba yako
Amen
Mimi mwanangu ana kipaji cha usanii wa mziki yaani akitoka shule ananitungia wimbo hapo hapo unaonihusu. Na unakuta kwenye begi lake kuna daftari limejaa nyimbo. Kila akirudi nachukua daftari naficha na pia akirudi tena unakuta ana kingine kimejaa nyimbo
Asante kwa maoni yako
Tuendelee kujifunza
Ninakushauri uende wizara ya sanaa. Watamsomamesha na ataendelea chuo cha muziki badae.
Ni kweli
Asante sana
Asante sana kiongozi
Kweli.
MENTOR
❤❤❤❤❤
Yes!
🎉
Kongole
Tulikutana Lamadi,( sereñgeti) tuliongea mengi,plz nisaidie no yako
Fuct
Asante sana🙏
Asante Sana