MAAJABU: KILICHOTOKEA KWENYE NDEGE ILIYOMBEBA RAIS SAMIA AKIWASILI KATAVI, TAZAMA MPAKA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 136

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 15 днів тому +4

    Maajabu gani acheni wanga mungu mlinde mkuu wetu

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 24 дні тому +4

    Huyo Mzee anamusujudia binadam mwenzake ama kweli huu utafutaji wa vyeo utatufikisha kubaya

  • @rahmaomar9137
    @rahmaomar9137 24 дні тому +2

    Allah akuhifadhi

  • @johnLaise
    @johnLaise 10 днів тому +1

    Chadema

  • @PaskaliPatiliki
    @PaskaliPatiliki 24 дні тому +5

    Mungu akulinde mama yetu kipenzi

  • @JonathanMGAIWA-ow4py
    @JonathanMGAIWA-ow4py 24 дні тому +4

    Kuna nini cha ajabu

  • @christinejojo7234
    @christinejojo7234 10 днів тому +1

    Sijaona kitu muache uongo

  • @ndabhiloleyesamwel9945
    @ndabhiloleyesamwel9945 22 дні тому +1

    Kwani Tanzania hatuna ndege ya Raisi?

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 17 днів тому +1

    hayo maajabu ni gani mbona nimengoja kuona cjaona

  • @hamissalum8604
    @hamissalum8604 24 дні тому +1

    Nilichokiona mimi Rais hajawapa Mkono wenyeji wake waliompokea hiyo sio kawaida labda ndio jambo la kustaajabisha hapo!

  • @user-fb5tj5zy4z
    @user-fb5tj5zy4z 24 дні тому +1

    Shockup za tairi za mbele kwisha kazi😮😮😅

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele 24 дні тому +6

    Mbona wananchi kiduchu kwenye mapokezeki ya rais au mwigulu nchemba amewahamishia Burundi??!

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 24 дні тому +1

    Admin uwe unapanda ndege mara moja moja upunguze ushamba

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 22 дні тому

    ❤❤❤

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 22 дні тому +1

    Maajabu gani yako hapo sasa , unatumalizis bando kwa upuuzi

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 24 дні тому +1

    Peleka usenge mbali kwani aliosema ndege iungue ndo imeungua unavosema awekwe ndani

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 24 дні тому +2

    Rais kwann unitumie barabara ukaona wananchi ukasikiliza kero zao sasa Kwa ndge kweli ungefanya kama Jpm

  • @mwanabucheyeki226
    @mwanabucheyeki226 24 дні тому +2

    Ndege imetelekezwa kufanyiwa Service!

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 24 дні тому +2

    Hakuna hata watu na hao waliokuja wote hawaptaki hapo wanashangaa ndege tu

    • @songoroalamin3376
      @songoroalamin3376 24 дні тому +3

      Sfieni hata jambo moja jema hao waliopo sisimizi? Mchovu wa fikra MAMA chapa kazi wanakung'arisha tu na husda zao

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 23 дні тому

      ​@@songoroalamin3376wasifie lipi? Kuweka pembeni ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020. Ya kipenzi cha wengi Magufuli, na kuanza kujifanyia yakwao kama kisasi kwa wananchi.

  • @festokitule9727
    @festokitule9727 24 дні тому

    Ahh wap

  • @Abdallahsaid-e3k
    @Abdallahsaid-e3k 15 днів тому

    Maajabu gani

  • @seifathumanseif3681
    @seifathumanseif3681 14 днів тому

    Asa kuna maajabu gani? acha ushamba

  • @user-um5xx5ct7q
    @user-um5xx5ct7q 24 дні тому +1

    Hii ni tv ya kinafiki haifai hata kuangalia

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 24 дні тому

    FISIEMU Watu wamewachoka Mno

  • @celestinermantenga2463
    @celestinermantenga2463 24 дні тому +4

    Mama yupo vizuri sana, 2025 atapita kwa kishindo kikubwa san. Mambo alofanya makubwa within a short time.

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 24 дні тому +1

      #NONSENSE

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 24 дні тому

      Tatizo, kuna mtu anadhani kuongoza taifa ni rahisi kama kuchimba viazi. Kama kuiongoza familia ya mke /Mme na watoto watu wanachemka. Leo mama yetu kafanya mengi na anaendlea kufanya anatokea mtu anajifanya haoni yaliyofanyika anaongelea eti mama anasafiri na ndege kubwa. Kwa hiyo alitaka atembee kwa miguu???

    • @RashidiDaudy-ez6zt
      @RashidiDaudy-ez6zt 24 дні тому

      ovyooo

    • @saruni5673
      @saruni5673 24 дні тому

      😂😂😂yapi

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo 24 дні тому

      no comment napita tu

  • @MohdAlsharjy
    @MohdAlsharjy 24 дні тому

    Ndegee shokap ya mbelee imekufaa

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 24 дні тому +1

    Jengeni viwanja vya ndege mikoa yote khaa huu uwanja au airstrip

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 24 дні тому

      Kwa abiria gani??

    • @abdulpagali7476
      @abdulpagali7476 24 дні тому

      Tumekwishajenga Chato. Mikoa mingine tunajenga airstrips ili kuokoa hela. Kwa sasa vipaumbele vipo kwenye ujenzi wa SGR, mitambo ya kufua umeme katika bwawa la Mwl. Nyerere, uwanja wa ndege wa Msalato, na bomba la mafuta kutoka Hoima hadi Chongoleani.
      Insh'Allah, panapo majaaliwa, tutajenga SGR ya Mtwara hadi Mbamba Bay na matawi yake kwenda Liganga na Mchuchuma, tutaboresha reli ya TAZARA, tutajenga bandari ya Mbegani Bay, tutatekeleza miradi ya uzalishaji wa LNG, bomba la gesi kwenda Mombasa na Uganda, mbolea itokanayo na gesi asilia, tutajenga viwanja vya mpira kwa ajili ya AFCON 2027, tutajenga daraja la Bagamoyo hadi Zanzibar, tutajenga kongani kubwa za viwanda za Disunyala na Kwala.
      Subiri ubwede, Mama hana udogo. Mwakani tumpe miaka mitano ya kuonesha uwezo wake ili tufaida matunda ya kazi zake njema za kukuza uchumi wetu. Naomba KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @mohammedabdallahalazri3238
    @mohammedabdallahalazri3238 22 дні тому

    Hivi kila Raisi akitoka safari ya nje anapokewa kwq shangwe?

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 24 дні тому

    Mmmh balozi wa Shina😂🤣🧐🤣🥹

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 24 дні тому

    Waandishi wengi wetu wa habari wa siku hizi ni wa hovyo tena hovyo sana

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 24 дні тому

    Mbona hakuna Jipya? Afu watu wachache Ivo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 23 дні тому

    😅

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 24 дні тому

    Ukiona mti anasema hivyo jua hana furaha wala imani na uongoz

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 15 днів тому

    Sasa unataka watu wajae uwanja wa ndege una siri gani na hao watu si kuna sehemu atakutana na wanainchi ataongea nao

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 24 дні тому

    Magufuli bhana

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 24 дні тому

    Mnapendaga shida bila sababu, unashabikia vitu vya kishetani, unaombea ndege ingeungua ili iweje? Watu kama hao ni kuwasweka ndani ili liwe fundisho.

    • @user-xn1ly2yx7j
      @user-xn1ly2yx7j 24 дні тому

      Ni kweli kabisa ndugu anaombea ndege ingeungua moto jamani mama yetu kakosa nini ,mpaka kusubutu kuomba ivyo.jamani hakuna binadamu mwenye 100% kila binadamu anamapungufu yake.mtamkumbuka mama siku moja tumeshayaona nchi za watu.

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 24 дні тому

      😂sukuma ndani

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 22 дні тому

    Nilifikiri Imeanguka ikawaka, kumbe ipo

  • @RamaJumanne-lc9ve
    @RamaJumanne-lc9ve 24 дні тому

    Wananchi wapo nje ya uwanja awalusiwi kuingia wotee

  • @hugholinemmasi1671
    @hugholinemmasi1671 24 дні тому

    Ama kweli Elimu UCHUMI BADO SAANA AFRIKA.

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm 21 день тому

    Gwanghana nulukubi

  • @user-tz8yn9uf2k
    @user-tz8yn9uf2k 24 дні тому

    Hii ndege ikitoka dar to mwanza inakula mafuta ya million 5, nenda irudi?

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 24 дні тому

      Usiwe mjinga ww?sasa unataka Rais apande baiskeli? Kaa na chuki zako na zitakuua, bwege wee hii karne ya 21, nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu na uwezo wako wa kuchanganua mambo ktk karne hii ya maendeleo ya Sayansi na teknolojia.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 23 дні тому

    Viwanja vya ndege havina hadhi kabisa! Pesa zinatafunwa tu.
    Ila siku Rais anakuja utasikia sifa nyingi za pesa zimetolewa za miradi! Mama Mama Mama!
    Huku tukisikia mashule watoto wanakaa chini wanafunzi 1000!
    Unajiuliza Serikali ipo au wapo kwa majina???

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 24 дні тому

    Mikopo na mitozo tu kuoga aaanha😂😂😂

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 24 дні тому

    Nini

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 24 дні тому

    Maajabu hapa ni kitu gani?
    Honestly, sijaona ajabu lolote mimi unless otherwise wewe mwandishi useme ni nini cha ajabu hapo

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele 24 дні тому

    Wee mwandishi habari uchwara!

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 16 днів тому

    majabu gani njinga kama una content wacha kudanganya watu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 24 дні тому

    Maajabu yapi aasa ? Hii TV haina tofauti na TBC

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 24 дні тому

      Hiloooo limeingizwa choo cha kike, ni biasharaa

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 16 днів тому

    Mtandao wenu umekosa habari wezi wakubwa kuku nyie.

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 24 дні тому +1

    Nilichoona chaajabu ni watu 77 wanampokea nanii laisi wa katiba

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 24 дні тому +6

    Mbona wengi unataka watu gani,toa hoja

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 24 дні тому

    Mambo mengine ni ujinga mtupu vielelezo vya ovyo mnabidi mfungiwe

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 24 дні тому

      Aaaaa,biashara...asinge andika kichwa cha habari chenye kiki,usingefungua...wewe ndo lishamba

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 24 дні тому

    Sirikali ya tz ??nunueni ndege ya urusia ya kubeba ma raisi nawatumishi wasirikali iwe mawaziri au wakubwa wa sirikali ni onyo yangu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 16 днів тому

      Ile ndege ya raisi aliyonunua mkapa imeenda wapi

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 24 дні тому

    Ukimuombea mwenzio mabaya yanaweza yakaaza kutokea kwako

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 24 дні тому

      Sio kweli kama yeye anawatendea watu mabaya mungu hawez kukupa hicho ulichosema kuzaa Kuna uchungu wake lakin fikiria huyu Rais mwanamke na kazaa lakin suala la ushoga kalinyamazia haongei Wala Sheria haitungwi wanatunga Sheria za kunyanyaswa Raia tu

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 24 дні тому

      Kwa hiyo wengi huyo hatumuombei mazury maaana hawez kuongoza lakin anajifanya anaweza

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 24 дні тому +1

    Nini Sasa kimetokea? kumanyoko zako wewe.. Ina maana unaombea ndege iliyombeba rais ipatwe na hitilafu au? Mbwa wewe na hiyo TV yenu ya kinafiki.. shetani ibilisi laana wewe

  • @hadijamfala390
    @hadijamfala390 24 дні тому

    Ndege kubwa hivi isingefaa kwenda huko katavi.

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 24 дні тому +3

    Duwa na kuombeanaaa mazuri ni manufaaa kwa wotee…tumshukuruh Allaah kwa kuwaleeeteenii rais mwema mwenye upendoo na hurumaa…..Aangaliyeeeni nchi na watu wenu Alivyoo watengenezeyaaaa Zidii kuiyoombeyeeni Amani na manufaa idumuh kuinukaa na kutengeneyaaaa…..

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 24 дні тому +3

    ila managing director wa shirika la ndege alifanya Rwanda airways ikaleta faida kubwa sana Rwanda kwa Kagame. ila Magufuli alivomuomba na kurudi Tanzania, Matindi ktk uoongozi wake shirika linakula hasara kila leo, na sio sababu ya uendeshaji wake lakini ni viongozi kumpelekea vimemo kila leo na watu wao kwenda bure safari zao..shida kweli. kijana wa watu anapata shida sana

    • @WilsonLuchwele
      @WilsonLuchwele 24 дні тому

      What is strange there?

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 24 дні тому

      @@WilsonLuchwele you right i see nothing strange..the title is just misleading..i was just addijng my comment as far as the corporation is concerned

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 24 дні тому

    RAIS FEKI WAMCHONGO 😅😅wa katiba

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 24 дні тому +5

    Nilijua ndege imeungua kidogo nifuraiiiii

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 23 дні тому

    Maajabu gani kenge wewe

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 24 дні тому

    NDEGE YOTE HII KWA RAIS TUU NA WATU WAKE KWA NINI ASITAFUTIWE NDEGE NDOGO TUKAPUNGUZA MATUMIZI

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 24 дні тому

      Upungize Matumiz kwan Hiyo pesa Inakuus!?.😊

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 24 дні тому

      Kwana Unafaham NENO RAIS?

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 24 дні тому

      Acha umaskini wa kifikra, babaako kajenga uwanja wa ndege chato, ni ndege ipi zinatua sasa, kakamata meli ya uvuvi tumelipa mabilioni ya pesa sa hasara ni ipi hapo? You dont have to be bias.

  • @Michael74540
    @Michael74540 24 дні тому

    I am blocking you

  • @stevendaudi39
    @stevendaudi39 24 дні тому

    Mbona madguard ya mbele imekatika😂😂

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 24 дні тому

    Maajabu yako wapi hapo? Kuna youtuber wengine washamba kweli unazania nitafungu tene nani zako sorry

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 24 дні тому

    Pumbavu. Mbona hakuna ajabu lolote zaidi ya mingoma. Miswahili kwa kupenda ngoma na kuabudiwa. Wenzenu walishaachana na upuuzi huu nyie mmeushikilia. Shame on this channel. Sitaifungua tena. Ni wavivu wa kufikiri.