Mjumbe ameonyeshaa upendo sana kwa watu wake...mjumbe wa Shima namba 14....nimempenda sana sana aisee ...na alikuwa real ..anastahili kupewa nafasi kama elimu yake inaruhusu....so far kipindi ni kizuri sana ...kinafundisha
Jamaa kaua aliposema tunakuja tunabeba wote waliopo eneo la tukio pale mpaka mjumbe mwenyewe alitaka kusepa😂😂 mpaka mashuhuda nao waliposiki msije kutulaumu wamepotea
@@Said_Abdul we unazijui TV za Nigeria kuwa ndo Tv zinatazamwa Sana Africa? Ukienda Apo Tanzania unajua kuwa Ni TV gani inafatiliwa Sana kuwa na vipindi safi?
Huyu hvi ni kweli afaa aje Kenya afanye mambo haya na huyujamaa amevaa flana nyeusi ajifanya Askari aje alete mambo haya kama hawatatiwa discipline ..Sema hao hawajui ryts zao. Sema Tu..natamani waje Kenya WA haswa na afande wao watolewe bundle ndo wajue Kenya hakuna ujinga
Lakini c Mombasa 001 county hatuna usenge huo ...kila mahali Pana mipaka yake. Ukileta huu shoga zuna lakufata ...ufala huu Mombasa wasijaribu kabisa nishakujibu sasa vizuri
Kama Kuna aliyee cheka kupita mm like zake hapaa🤣🤣😂😂😂🤣🤣
Afande ova ova tunakalibia tunachua kila mtu hpo tunaendanao kituon aliyemwona mama akiaga na kula kona kali gnga like twende sawa
Great creativity ...In real life situations ukikutana nazo na ukiamini, u naweza surprise your self 😅😅😅
Wa kwanza ku comment nipeni like zangu
Napenda sana uti ya huyo askari.. always doing good kama usalama ivh alivo hahaha mnyama sana
Mjumbe ameonyeshaa upendo sana kwa watu wake...mjumbe wa Shima namba 14....nimempenda sana sana aisee ...na alikuwa real ..anastahili kupewa nafasi kama elimu yake inaruhusu....so far kipindi ni kizuri sana ...kinafundisha
Oeee!! Mm nenda Mskitinii mwadhini Ushaadhiniwa🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa kaua aliposema tunakuja tunabeba wote waliopo eneo la tukio pale mpaka mjumbe mwenyewe alitaka kusepa😂😂 mpaka mashuhuda nao waliposiki msije kutulaumu wamepotea
Daaah hii Tz imezidi sana uhuru
Naludia Tena kucoment jamani sijawaii cheka ivii mwenzenuu mm kweri bongo nyosoooo😂😂🤣🤣😂😂😂
🤣🤣 Uwiiiiiiiii kwakeli nimecheka saaaaaana na mjumbe number 24 ndio kaniuwa mbavu kabisaaaaa😂😂
Bongo nyoso 💪🏽🙏🏼
Nembo ya mtaa #Africa is watching...fanya kipindi nchi zingine ,Kenya Uganda ,Malawi na south africa
Aidia kaiba Nigeria Kwan aujui iki kipind kuwa kipo adi Nigeria?
Kuiba aidia ninja siyo ishu ila nani ataenda international
@@Said_Abdul we unazijui TV za Nigeria kuwa ndo Tv zinatazamwa Sana Africa? Ukienda Apo Tanzania unajua kuwa Ni TV gani inafatiliwa Sana kuwa na vipindi safi?
Best scenes......of the year.,.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😀😀
🤞🏾
Duuuh nimecheka kwa sauti 🔥🔥🔥🤣🤣
Hii iko nouma sanya good creativity😍
Much love 💕 from Kenya
umetisha kaka
Mama mwenye batiki alvyoaga😂😂😂😂😂
Akaona ya Nini mie ya niniii
Kawaaga kwa kupungaa kabisaa😂😂😂😂
Aaaah mm lazima nikimbie
Anaomba msamaha kwa kutembea juani 😂😂😂😂😂 mzenji wa watu 😃😃😃😃
😅😅😅 watu wanaogopa sana jeshi la polisi tz
😃😃😃😃😃😃 Mtakuja kuwauwa watu kwa presha
M join clam kwenye pindi lako sanya
Huyu mama msatarabu sana nimempenda sana huyu mama
🔥❤🔥
Huyo askari anae sikika kwenye radio call msumbuf over nyingi
Hhhhhhh
🤣🤣🤣
mama is very responsible,,, kudos
HAWA JAMAA UNAOWAIMBISHA UTAKUJA KUWATOWA MAVI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
jmaa yupp yupo tu yan ata aelewi yupo dunian kufanya nini
Huyo afande anaeongea kwenye simu katisha San Over Over hahah dah
😂😂😂 huyo Dogo aliyekimbia ni Mimi kabisa
😂😂😂 jamani kwetu leo bonge la msanii
Yani Bongo kuna baadhi ya watu Maboya sanaa...🤣🤣🤣🤣🤣
Eti km Kuna watu wasio husika tunabeba woteeee 😃😃😃😃 Kuna mama kakimbia
🤣🤣🤣hatrii sanaa
😁😁
tukija tunazoa wote mama akaona isiwe shida 😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Nembo ya mtaa akili zake anazijuwa mwenyewe 😅😅😅😅
Huyo wa kwanza mnyaturu 😁😁
Nembo ya mtaa 🔥🔥🔥🔥
Napenda sanaa ichi kipindi hua nacheka paka nalia
Sanya hii umetisha mzee
Mda wa ibada hauna udhuru
Kali sana hii
Ww Sanya msenge sana
Sanya Utakuja kutuuwa na Cheko 😂😂 Kama kawaida wote ambao wako karibu wote tunabeba😂😂😂😂😂😂
Nimempenda mjumbe...ana spiritual
Jamaa kakimbia kinoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Montana kwa kijikausha 😅😅😅😅😅😅
ya leo ina chekesha mpemba anataka kulia na uyo polisi wa simu anajua sana😂🤣🤣
Atareee sana
Daaaah ira nmecheka na over
M pesa tz 👏👏👏💯👍
Huyu hvi ni kweli afaa aje Kenya afanye mambo haya na huyujamaa amevaa flana nyeusi ajifanya Askari aje alete mambo haya kama hawatatiwa discipline ..Sema hao hawajui ryts zao. Sema Tu..natamani waje Kenya WA haswa na afande wao watolewe bundle ndo wajue Kenya hakuna ujinga
Utanaswa ya Kenya
Lakini c Mombasa 001 county hatuna usenge huo ...kila mahali Pana mipaka yake. Ukileta huu shoga zuna lakufata ...ufala huu Mombasa wasijaribu kabisa nishakujibu sasa vizuri
Iv wale wa NASWA sio wakeny mbona wakeny nao maboya tyu
Wale wa naswa na, kaa rada ni wa tz eti.we mwenyewe hujielewi.
Awoo wake ya uku bongo tunawakandaa dairy
Ndio mana juz kijana wangu mrema aliwavimbia askari wakamsweka lupango ukiwanyonge unachekwa🤣🤣
Gonga beat😂😂😂 balaaa huyo jamaa ana chekesha akiji ona sijui ata jixikiaje
Dah huyu mwamba hua ananifurahisha sana
MKO vzr yaan mnachekesha vibaya
Daaah ila tz bhana raha sana🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe kaka utawauwa watuuu🤣🤣🤣
Motown upo vzr lakini tatizo lako moja kama utajrekebisha kusuka au na ww unaliwa jicho?😂🤣🤣?
Hahaa ubunif mzur sanaaaaa ilike it
Ooyaa, toka APO tuna shuti😂😂😂
Mjumbe naye kaingia mkenge hahaahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hapo mmekosea snaa mo town Sanya uyo mtu anawaambia anaenda msikitini na adhan mmeisikia ni kosa sana mmefnya
Nacheka Kama mazuri vile😂😂😂😂
Nakubali dingoo
Nimecheka sana jamaa aliposema tukifika hapo tubabeba beba watu wate walokuwa kwenye eneo hilo watu ndukiii mpk mjumbe alikuwa tafran 🤣🤣🤣😅😅😆😆😆
Oya ii kali sana
Wadau mda wa ibada jumaa! Ni siku kubwa na msimfanye mtu achelewe msikit na aingie nyumba ya ibada akiwa na hofu
km ndo mm hapo nafariki alf nakimbia nawaachia msala wa kesi hakuna kingne nafariki alf nakimbia watajua hawajui 🤣🤣🤣🤣
km ni nusu bs nusu yke ndo nimetembea jua kali🤣🤣🤣🤣
Ahhhhaahh nimechekaA kisoloooo😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahhahah huyu jamaa anaejifanya Askari ananifurahisha sna kama police kwelii
Bibi kuskia wote tunabeba akaona isiwe kesi kasepa zake 🤣🤣🤣🤣
Hahahaha jamaa mic 🎤 kaona km bangi
😄😄😄daaaaa natamani siku wanikute mm aisee
haaaaaaaaaaa kenge sana mo sanya
mwenye batiki😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oya Sanya hizi dhambi utakuja kujibu wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wasukuma bana.
Wanaokuepo kwenye eneo la tukio tunakuja kubeba over🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂u guys are crazy
Heheheheheheheee hehehehe hii noma maan mpaka afande anachek
Leo ndio nimejua baadhi ya watanzania ni mang’ombe 😂😂🤣🤣🤣
Imekaa kibamba live hivi
IsijekukukuTAa
Poti kazinguaa eti “naomba chuchumaa” (dakika9:01-03) 😂😂😂😂
😂😂😂
@@hammynassor3028 sindio poti anaomba eti 😂😂😂😂
Jamaa Askar feki kuskia kipemba tu kacheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Una ahidia broo
Sanya😍😍
Askari kavaa malapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dar kila siku wanaingia maboya sijui wasukuma bana😂😂
tukome wewe 😂😂😂
Kila kitu wasukuma khaa
Hata mkoani maboya kutoka dar wengi Sana...
We mwenyewe boya
Mwenye dera kaona isiwe tabu sanya we ni noumaaaaaaaaaa sana
nimekuchikia sanaa ww mortown manina wwww iv kwer mtu leo nasema naenda swali namzingua ivo
Dah... Vituko sanaa🤣🤣🤣🤣
mwenzetu umeng'ang'ania😂😂
Huyo mama alivyokimbia
We mkali sanya
Nimetaka lala bila kucheka🤣🤣🤣🤣
Sjaipenda
Aliye Ona Yule Mama Alivyo Sikia Kuwa Tutakeye Mkuta yeyote Tunamchukua Mama Katoka nduki huku akiongea Mwenyewe
Hatariii sanaaaaaaaaaaa
CREATIVE