USIKU WA VITASA | Ramadhan Shauri Vs Habibu Pengo - 11/04/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 кві 2024
  • Mshindi ni Ramadhan Shauri dhidi ya Habibu Pengo. Zilikuwa ni raundi nane za moto.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 31

  • @JIWEOFFICE
    @JIWEOFFICE 2 місяці тому

    Namkubali sana mwakinyo mungu amtangulie atimize malengo yake

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 2 місяці тому +2

    Habibu pengo kaibiwa hili pambano

  • @SenetaKilaka
    @SenetaKilaka 2 місяці тому +2

    Pengo noma

  • @gracepaulo-gy5zb
    @gracepaulo-gy5zb 2 місяці тому +1

    habibu wamemnyima ushind

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 2 місяці тому +1

    Refa yuko serious kinoma

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 місяці тому +1

    pengo yupo fresh

  • @vagashappnecy4850
    @vagashappnecy4850 2 місяці тому

    Refa anajua wajibu wake yupo siriaz na kazi yake. Hongera Azam natamani kungekua na marefa wengi kama huyu

  • @MtessaAlly-rd4hf
    @MtessaAlly-rd4hf 2 місяці тому +8

    Mimi wa pili kukomenti naomba like wapenda ngumi wenzangu jamani.... Nawapenda mnoo

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 2 місяці тому +1

    That was a joke, mwamba ameshavimba uso tayari hahahahaahahah aiseee

  • @PiaraSendeu-nk1ug
    @PiaraSendeu-nk1ug 2 місяці тому +1

    Like zenu tafadhar

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 2 місяці тому +1

    PENGO ALISTAHILI USHINDI

  • @Daniel_89_89
    @Daniel_89_89 2 місяці тому

    Blue corner anaenda mwenye red and vice versa 😂ila bongo

  • @JastinDaniel-tu5ub
    @JastinDaniel-tu5ub 2 місяці тому +1

    Na mtakia twas kduku ushind

  • @jonassonofmine2500
    @jonassonofmine2500 2 місяці тому

    Nakubali hili pambano pengo hajapewa haki yake

  • @jonassonofmine2500
    @jonassonofmine2500 2 місяці тому

    Angepewa haki yake kwa hili kaonewa kweli na imeniuma.kuona anadhurumowa marefa hamjatenda haki

  • @Masimba-t7u
    @Masimba-t7u 2 місяці тому

    Hawa jamaa wanapiga mchezo au wanabifu zao😄😄

  • @Lujomagang
    @Lujomagang 2 місяці тому

    Mwakinyo lini

  • @MATHEITOKWA
    @MATHEITOKWA 2 місяці тому +1

    Pengo

  • @SULEIMANMALIBICHE-jv1bh
    @SULEIMANMALIBICHE-jv1bh 2 місяці тому

    Pengo aache ngui

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pengo amezidiwa paka anaitaji rife asimamishe lkn wapi

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 2 місяці тому

    SHAURI KASHINDA KWA HALALI KABISA

  • @AndrewJulius-io9ne
    @AndrewJulius-io9ne 2 місяці тому

    Uswalini

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 2 місяці тому

    Jamani.

  • @user-vy9pz7sk4z
    @user-vy9pz7sk4z 2 місяці тому

    Abibu alishinda ili pambano

  • @harmonymattondo4042
    @harmonymattondo4042 2 місяці тому

    NaMapombe

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому

    Akuna bondia apo ila ni ngumi za uswailini tu? tujifunze USA 🇺🇸 na Mexico 🇲🇽

  • @AzizSultan-fc7rn
    @AzizSultan-fc7rn 2 місяці тому +1

    😂

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 2 місяці тому

    PENGO ANAVURUGU BAADA YA KUSCORE KAPIGWA KIHALALI KABISA

  • @GoodluckNgesi
    @GoodluckNgesi 2 місяці тому

    Saf

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 2 місяці тому

    SHAURI KASHINDA KWA HALALI KABISA