Sijachelewa jamanini ndaro nakupenda bureeee ila uyu baba wa matikiti ni mstaarabu saana🥰 allh akujaaliye kher katika ridhiki yako ya halali🙏🤲 ana imani na kazi yake mashaa allah
Duh hata mimi nilishapandwa na hasira nikimuhurumia mzee muuza tikiti ila mashaallah ana subira sana mungu akutilie baraka kwenye bihashara yako inshaallah 🤲🤩
Muuza matikiti🙌🙌 very humble guy...thats how a real man is supposed to be...
Sijachelewa jamanini ndaro nakupenda bureeee ila uyu baba wa matikiti ni mstaarabu saana🥰 allh akujaaliye kher katika ridhiki yako ya halali🙏🤲 ana imani na kazi yake mashaa allah
Upate mtu mmoja tu wa kukutea na kupigania kwenye haya maisha...aisee Yani tuwe kama huyo mzee ambaye amempigania mwenzie ili hela ya tikiti itoke
NDARO WEWE NI NOMAAAAA.... UMETISHA SANA KAKA. Nadhani hichi ni miongoni mwa kipindi Bora kwa mwaka huu.
Jaman Baba wa matikiti 🥰he’s too humble man 😇
Mstaarabu sana
Yapo meupe mbona ila kwa dar sijawah yaona yapo nje kijani ivo ivo ndan meupe
@@manoatzofficial1384 ndio yapo
Nimecheka kwa sauti🤣🤣 ila broo wa matiki anajua kuishi na watu na ana hekima
Duh hata mimi nilishapandwa na hasira nikimuhurumia mzee muuza tikiti ila mashaallah ana subira sana mungu akutilie baraka kwenye bihashara yako inshaallah 🤲🤩
Amin
Huyo mzee mwingine Sasa wee🤣🤣
@@linahsemindu4261 amelivaa nakwambia utafikiri tikiti ni lake 😂😂😂 safi sana kaonyesha ushirikiano
Ameen
@@linahsemindu4261 kwenye maisha kuwa na mtu kama huyo mbaba ni mhim😁😁😁😁😁
Daah! Mmebuni kipindi vizuri sana tena sana kama vituko wanavyofanya nje wanawasumbua watu mwisho wa siku wanawalipa daah! Nimeipenda sana hii
Wenye Roho kama Mfanyabiashara wa Matikiti Kwa dunia hii wachache Sana Please God Mmwagie Baraka na Neema ya Ajabu,
Amen
Eeee mwenyez mungu,huwabarik wenye moyo safi kwa rehema na neema zako nakuomba mungu umbarik muuza matunda mpaka ashangae
Amen
Amiiin inshalllh dahh
Amina
Amine
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
Baba muuza matikiti mstarabu mashallah uyo Baba mwengine mtata hatar🤣🤣Big up mo town 🙌
Eeenh Mungu mbaliki muhuza matunda apate utajili mkubwa mpaka ashangae yeye na familia yake🙏🙏🙏🙏
Big up sana kwa muuza matikiti 🥰🥰 Mwenyezi Mungu ambariki mpaka ashangae 🌹🌹🌹❤️
Nakupenda baba wa matikiti,angekuwa muuza matunda mwingine uwiii ngumi zingepigwa ..MUNGU akuone kwa biashara yako.
😂😂😂 Ndaro mnyama sana 🙌 Baba wa matikiti msaarabu jmn Allah akujazie rizki za halali 👏
Kama umecheka na scene ya Kwanza na huyo mzee anavo m- guard Ndaro weka #like
Ila Uyu Mzee Aliye Ingilia Ugomvi Wa Watu ni Wamoto hatari 😂😂😂😂
Hatakama ni wewe utamtete maana muuza matikiti ni mpole
@@kicmarthawa6659
Kabisa yani ila kanogesha sana show 😂😂
yangekuwa biashara yake angeua mtu
@@ericksangajr7173
Kabisa yani
Mzee kaandamanaje
huyu mzee mpka machozi yamenitoka dah .....busara ina faida sana tujifunze kitu hapa mzee wa matikiti umekuwa nyota ya mchezo
Muuza matunda mungu ambariki sana see mzee wa watu ni mpole
Muuza matikiti wa Kwanza yupo humble sana ila Ndaro na Mo town Sanya wote wanajua namna ya kucheza na akili za hao Jamaa
1. Be calm in every situation.
2. Be kind to unkind people. They need it the most.
3. Peace is everything.
Ubunifu mazuri sana, ila ni hatari unaeza dhurika, big up sana wasafi👏👏👏
😂😂😂nimependa sana hii sema mzee wa matunda roho yake safi mno
Sana
🤣😂🤣😂😂 hapo Kwa Mzee Nimecheka mpaka machozi,big up sana
I like this
Mmekuwa wabunifu sana katika hili very interesting
That what People need for social media
big up muuza matikiti nimekukubali baria wangu unamoyo wa kipekee
NemboYaMtaa
ua-cam.com/video/GMKI1wbM-zA/v-deo.html
Kweli kabisaa mmmh najiuliza ningekuwa Mimi ingekuwaje,jamaa ana Moyo
Number yake please wapendwa
Uyu kaka jamani ni mkaushi balaa 🤭🤭😂😂😂ilaa uyo baba wa kwanza duu Mungu amzidishiye biashara yake🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Wanangu mloskia konde Gang kama mm nipen like zenu
Huyu baba anaeuza Matikiti nimstaarabu Sana habishani Wala kugombana pamoja na yote aliyoyendewa ktk kipindi hiki kigumu cha biashara Mungu amzdshie
Sijawahi kutana na mtu mstaarabu namna hii, daaah! Na imagine ningekuwa mimi, khaaaaah nshavunja mpaka camera za watu wa kurecord
@@mugapro kabisa inataka moyo
@@mugapro 😄🤣
Number yake please
Uyo Mzee amejua kunichekesha jmn duuuu siku yangu imeisha vzr kwa kipindi hiki pendwa mo bigp kwako❤️❤️🙌🙌🙌🙌
😂Huu utani kwenye biashara za watu atakuja kupigwa mtu
Hii ndio maana harisi ya biashara Ni uvumilivu tujifunze kitu hapa mzee ameonesha busara nyingi sana mpk nimempenda mzee wangu
wazee wa tanga hawa angeondoka bila kulipa afu angeona mzki
Umedondosha ww ela sis tufanyajee🤣🤣🤣🤣🖐️🖐️🖐️🖐️
Jmn mzee wngu muuza matikiti, wish u all the best kwenye biashara yako! Mungu ata kushushia baraka tele!!!!!
Amen,
Amiin
Gonga Like kwa NDARO mzee wa AU BASI ACHA TU 🔥🔥
Ndaro kigoma mabegan 🔥🔥🙏 ulipo nipo
Muuzaji mpole jamani mungu ampe umli mlefu mzee huyu mstalabu sana
HAHA, MJOMBA WA SHATI LA DRAFTI, ANAELEZEA. "DUNIANIIIIIIIIIIII"😬
😂😂😂😂😂hii kipindi kuna mtu atapigwaa kwelii
Iyi Shaw ili uwa sana kabisa
Sichoki kuirudiliya 😂😂😂😂🎉 Big up wazeeee
😂😂Aende polisi huyooooooo
Huyu baba mwenye shart ya drafti mnoko 😂😂😂kha
Uyo mwanaharakati,mtetezi hao ndo wanatakiwa😢
Naomba number ya muuza matikiti, mwenye nayo🙏🏽❤
This is amazing 😂😂😂 ila huku 254 ukijaribu lazima upigwe maana watu wamechoka sana😂😂😂
🤣🤣🤣Sanya hii umeshindwa kukaza kabisa an
Love from Burundi
Kabsa
Muuza matikiti ALLHA akujaalie heri ila nimempenda nauyo mzee mwingine niwamotoooo
Tunaomba IRUDIWEEEEE IRUDIWEEEEE IRUDIWEEEEE TENA 😊😊😊
Duh kipindi kizuri sana ila nilikuwa nimesha jaaa asira kwelii but mumemaliza vizuri Na mzee muhuza tikiti, God bless you kwelii mzee
Ananitia huruma muuzajii😢dah mwenyewe mpolee mwenyez mungu amjazie kheri ishallh
Mzee wa Watu kidogo Aangue Chozi Maskini😊😁😁🤣
Huyu hayuko sawa jaman🤣🤣🤣
Hahahaha nmechek Xana kweny gonga beat😆😆😆chibu anawez kuwafung wanahalib nyimbo yke
Nimempenda muuza matikiti wallah 😍😍😍😍
😂😂😂😂 ndaro hacheki aisee 😂😂😂😂 ametisha Sana 😂😂😂
Wahuni kwen ngoma ya fresh wamekill kinoma😂😂
Hamnaga kaz mbovu mo town sanya nawakubal sana uyo mzee wa wa matikit ana busara sanaa mwenyez mungu amwongezee
This is golden 😂😂😂
Hii ni noma more creative ideas 🔥🔥
"IYO IYO ANAYO IMAGINIIIIIIIII YEYE"... "NINAYO IPO HUMU"... "UMEDOSHA WEWE, SISI TUFANYAJE" _MJOMBA WA SHATI LA DRAFTI 😁🙌🏾🙌🏾🙌🏾
MoTOWN SAFIII SANAA NDUGU NIMEPENDA UBUNIFU MZURIII SANA MAANA NILIKUWA NAWAZA NDARO ATAFANYAJE ILA SAFII SANA BIG UP NDARO
15:51 hiyo hiyo anayo imagine sisi tunayo hatukupi 😂😂😂😞😞
Man of the lessons is Mzee was matikitii is humble
Na aliyemsaidia naye yupo vizuri
Taratibuni jamani mtaniulia sanya wetu kwa kucheka 🤣🤣🤣😂
Ndaro kauwa aisee ni unyama sana
Ndarooo Big up bro umeuwa Sanaa 🎉🎉🎉🎉
Mungu aibariki kazi ya mikono Yako we mzee p1 ndaro ulo leta challenge hii big up wasafi pia✌️
Mwanangu umeua kinyama.. au Basi😂😂😂😂
Scene ya kwanza nimecheka sana alafu nilikuwa katikati ya watu wengi then wakaanza kuniona kituko.
Huyu baba ni mkorofi kama mkurya aisee😂😂😂muuzaji matitiki ubarikiwe sana🙏❤
Huyu baba mrefu ingekuwa biashara yake angeua mtu leo hahaaaaa
Yaani muuza matikiti ana subra Sana m.mungu amzidishie barka
Allah amjaze kheir mzee mstarabu sana kabisa alafu kipindi ichi kipewe Ulinzi kabisa
Hamna duniani tikiti ndani jeupeeee 😂🤣🤣😂🤣
noma sana
Lipo lakini
Lipo
usichezee mtaa wetu 😂😂😂
Nampenda ndaro🤣🤣🤣
😅Mpige huyooo
Mzee wangu mpaka na cheka🤣😁🤣😁😁🤣nani kasikia ilo neno
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣et matikit yatuvue utuu
🤣🤣😜 Sharap Sanyaaa 🦁
Hao walio imba 😂😂😂wapewe zawadi jaman sio pwh 😂😂wametia mabonye 2 wachina si wazungu oyaweeeeh kam hawana meno°°😬kazi iendelee ✍🏻tushaenjoy°°
Jmn muuza tikiti very humble man ❤
Ety nikatieni tikiti lingine tuishane 😂😂😂😂
Ndaro ni mwehuu mzee wa au basi nakukubali sana😹😹😹😹
Mpambe yuko vizurii kachachuka hasa😂🤣🤣
Lile neno mpambe nuksi haujakosea😂😂 mzee alieingilia ugomvi wa Moto hatar😂😂. Allah ambariki huyu mzee jaman ananiman sana
Yule baba wa watu najiuliza ingekuwa Mimi ningefanyaje 🤣🤣ngosha alijaribu jinz akataka kuacha we............
SHIRT YA DRAFT;Nimeshikwa na hasira cjawai shikwa lakn mamaaa 😂 muuza matikiki katoa somo zuri sana
Ndarooooooo💚💚💚💚💚💚💚💚💪💪💪💪💪
Mo town we ni nomaa❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hua nailudia sanaaa na hua nacheka😅😅😅😅😅😂😂 paka nalia
Huyo mzee mwenye shati la draft viroba kweli, au basi
Ndarooo 😂😂😂😂😂😂 Big up mec wng na mzeeee apooo mume uwa saaaana 🎉🎉
Daaaaah nimecheka sana big up NDARO....
😄😄😄 mmetisha! Ila matikiti ambayo ndani meupe yapo
Hahahahaha ndaro 😀 au Basi
😂😂😂Allaha akuzidishie mzee wa matikti binadam tunatakiwa tuishii ivi
Huyo mzeee mtemi 😀😀
Doh huyu mzee alivokomaa kama bishara yake cjuwi mstafuu au alikiwa mababe sana mambo ni moto mzeee
Daa huy mzee mwenye shat ladraft sopoa😂😂😂
Jaman wasanii wetu....niko hoi sio kwa uimbaji uwo....😁😁😁😁😁😁kidondo mama kido kidondo mamaa kido😀😀😀😀
Daaah kanichekeaha iyo ngoja nikatafute Mia tano Mia tano 😂😂😂😂 au Basi acha tu