"WE DADA UNANITAFUTIA MATATIZO/ HII DUNIA UNAWEZA KUAMKA MZIMA NA UKAFA" | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • "WE DADA UNANITAFUTIA MATATIZO/ HII DUNIA UNAWEZA KUAMKA MZIMA NA UKAFA" | HIVI NI KWELI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    DOTTO ARUDISHA PENZI LA MOTOWN SANYA
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 428

  • @Bettingwinner1
    @Bettingwinner1 2 роки тому +102

    Nilifika saa tatu na dakika 30. Nikawa nawasubiri tu hapa..
    Na Leo Nimekuwa wakwanza tena.
    LIKE KWANGU ❤️🤣✍️

  • @sammynyao9082
    @sammynyao9082 Рік тому +3

    Motown sanya zidi kubarikiwa sana u have made my day you have made the day of that guy ipo sikuu nitakam Tanzania 🇹🇿 pia nipatanae nawe mimi ni mkenya niko Dubai

  • @japhethmangaka3768
    @japhethmangaka3768 2 роки тому +10

    Huyo Bro wa musoma Daah nimeumia Sana anaongea kwa hisia Sana, kazi nzuri sana mmeitendea haki Sanaa Mo town Sanya na huyo Dada 🔥🔥🔥

  • @sirleembmbambatz5502
    @sirleembmbambatz5502 2 роки тому +8

    Dottto mnyamaa sanaa Mwana kinyongee sana lakin kasolvee Soo kibingwaa sanaaa💪🏾💪🏻💪🏾🙌🏼🙌🏼

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 2 роки тому +4

    Safi sana kipindi kizuri mnafanya vizuri pia kuwapoza watu kwa chochote kwa kutumia muda wao big up sana

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 2 роки тому +11

    Safi sana Dotto nimeamini kwenye hii dunia kuna watu wapole ambao maisha yamewapiga mpaka wanachohitaji ni amani ya moyo tu wala hawataki kujua kama nchi ina mpango gani wao wanaishi maisha yao tu na familia zao wanamtegemea MUNGU na wanafanya bidii kwenye kazi zao.Kama wakoafanikiwa maishani sawa kama wakiondoka siku zimefika sawa wao wanajiona wapita njia tu hapa duniani kwamba hii dunia ina wenyewe wao sio wahusika.Kwa kweli inasikitisha.

  • @aitharyally5948
    @aitharyally5948 2 роки тому +21

    Sanya umependeza mashallah

  • @bongoupdatestv9322
    @bongoupdatestv9322 2 роки тому +12

    Mazingira yangu hayaruhusu bro. Ukinianiangalia Mazingira yangua naweza kuwa na mwanamke kama huyu. Kauli hii ina ujumbe mzito daah

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 роки тому +16

    Jamaa Anzukwa na Tumbo" la Muharo🤣🤣🤣🤣🤣 Utansababishia matatizo mm mwenyewe sina maisha,Maisha yangu yakuunga🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 2 роки тому +14

    Kiki kipindi unaweza kujuwa kinachekesha kumbe kinafundisha jinsi ya kuishi✊

    • @tabomusic3625
      @tabomusic3625 2 роки тому

      Point mzee
      Kwenye hiki kipindi unaona uhalisia wa hali za watanzania hasa walioko jijini dar yaani ni halisia na si maigizo tena na ndo utaelewa watu wanamaisha magumu sana uwezi jua kwa kuwaona wanapita au wamekaa tu ila hiki kipindi kinawafanya waziseme tu hali zao …DOTTO…

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 2 роки тому +27

    Duh! machozi yamenitoka juu ya huyo kaka wa Musoma anasema maisha yenyewe ya kuunga unga😥 duh anasubira sana

  • @kelvinraphael7634
    @kelvinraphael7634 2 роки тому +16

    🤣🤣🤣Kaka leo umeua saaf sana, unatakiwa uwape presha hvyo, umeona hadi katoa tiketi daaaaaaaah Mamae🙌🏽, Ila next time kama anaweza kukubali umpige hata kibao huyo dada(AS PART OF ACTING SCENE) af usiingie kwa utulivu kabisa uingie kwa shari ili yeye akutulize!! But KAZI NZURI KAKA🙌🏽😅😅😅

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 2 роки тому +1

      Kweli kabisa mzee 😃😃😃atoe action ivi.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +7

    Dotto kaupiga mwing SANA licha ya kuwa mgeni kweny huu mji,wakurya waogope wakiwa wanaongea wako calm. Hapo angetaka kubadilika damu ingetapakaa.

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 2 роки тому +43

    😤😤umeniliza sana kaka unajiona ukahisi haufai kwa dunia unafaa sana alafu mo town sanya msiwatafute watu wenye maisha magumu mnatuliza

  • @yekinyamataga7929
    @yekinyamataga7929 2 роки тому +5

    Binafsi niko pamoja na homeboy Dotto maana huwezi kuja mjini siku chache then ukawavimbia wenye mji ikiwa hujapata ramani,ko yupo sahihi kabisa na ameenda vile script inataka 👍👍👏👏

  • @shebydebely1751
    @shebydebely1751 2 роки тому +16

    🤣🤣🤣🤣dah muuza ice cream kiukweli kanichekesha saaana kiukweli duh

  • @paulmartin2316
    @paulmartin2316 2 роки тому +21

    Watu musoma tukijaga kwenye mikoa yenu tunakuwaga wapole 😭😭😭

  • @thomashudson1083
    @thomashudson1083 2 роки тому +20

    Huyu shabiki mwenzangu wa simba cjamuelewa kisa kavaa jezi ya simba ndo ashindwe kuyaamin mazingira yake...! Ahaaaah

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv 2 роки тому +21

    maisha yangu ni ya kuunga tena ni ya kuunga munooo

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 роки тому +15

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jaman kumbe mdogoake Said,,,,,,,,Muuza ice cream sasa🤣🤣🤣🤣

  • @gudimahaz9928
    @gudimahaz9928 2 роки тому +5

    oaaah..weee Nembo yaMtaa metish xan mor creativity mzee💪✌

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +14

    Wangapi awanamaishi jamani wametoka musoma

  • @neemasawe7016
    @neemasawe7016 2 роки тому +10

    Alivokuwa ananyoosha mkono mara ya kwanza apokee simu🤣😂😂

    • @michaelhwago1499
      @michaelhwago1499 2 роки тому +3

      Aliona fursa imejileta kumbe matatizo

    • @deus8629
      @deus8629 2 роки тому +2

      Alidhan kazi rahis 😂😂

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 2 роки тому +20

    kuniangalia mazingira yangu naeza kuwa na huyu mtu?😂😂

    • @fatmaomar4838
      @fatmaomar4838 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maskni ajui mapnzy upofuuu sjui mbona yuajishusha ati mazingira ayaruhusu

    • @nobodyog9512
      @nobodyog9512 2 роки тому

      @@fatmaomar4838 Jamaa cjui anaferi wap😅😅

  • @shomarkhamis8006
    @shomarkhamis8006 2 роки тому +13

    Oya mwenetu wa Simba katuangusha huku😂😂😂😂😂

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 2 роки тому +20

    Wanaume wanaongea kiume sio watu wa shari ... wanavutana Pembeni kuongea mambo yaishe

  • @valeflolian5869
    @valeflolian5869 2 роки тому +3

    Nimecheka mpaka basi bwana Dotto na muuza ukwaju daaa bonge la hivi ni kweli.

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 роки тому +14

    Wanaume wa msoma ngangari ,mbona saidi hakuwa muoga 😂😂😂😂

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 роки тому +12

    nimejisikia huruma jamaa anasema unavyoangalia mazingira yangu hivi naweza kuwa na mwanamke kama huyu naomba namba nimtumie laki masikini

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 роки тому +9

    Mo town haunipiti hata kwa dkk 💥💥💪

  • @tumahmifashion9200
    @tumahmifashion9200 2 роки тому +14

    Hana maisha jmn ni yakuungaaaa🤣🤣🤣

  • @psnawana3794
    @psnawana3794 2 роки тому +6

    Daah sema jamaa wa musoma roho safi sana

  • @sunnamickdady5383
    @sunnamickdady5383 2 роки тому +18

    😂😂😂😂Napendaa hii kitu 😂😂

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +17

    Lafiki yangu unaniletea matatizo rafiki yangu dah😂😂😂😂😂😂

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому +8

    Jamaa wa msimbazi alijifanya mkauzu kuongea ktk cm.baada ya kumuona bishoo mwenyew kapoa

  • @christopherdiu7851
    @christopherdiu7851 2 роки тому +14

    Mkurya FALA KWELI .,,Aaaahahaaa mpaka tiketi katoa kwamba yeye WAKUJA.Yaani mimi hapo huyo Dem ningeanza kumbinyabinya kama embe wenyewe wangeona hapa sio

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 роки тому +12

    Maskini uyo Jamaa wa Musoma anatia hadi huruma, Maskini ya Mungu mpole sana 😢😢😢

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 2 роки тому +15

    Wanaume tunavutana pembeni 💪💪 very impressive

  • @paulwilliam6053
    @paulwilliam6053 2 роки тому +3

    Nakubali sana kazi zako ASANTENI

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 2 роки тому +5

    Dotto amerudisha penzi dotto nimecheka Sana

  • @zebidahlawrence9419
    @zebidahlawrence9419 2 роки тому +4

    Maskn 😔 eti huyo sio type yangu mimi, kwa mazingira yangu mm unaona unaona kabisa hafu anajiangalia viatu 😔😔 roho imeniuma mi cwez kuangalia hv vitu

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 2 роки тому +4

    Sanya umeua Sana mwamba maubunifu full🔥🔥🔥

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 Рік тому +2

    Jamaa kutikisa miguu aliingiza baridi kinoma😄😄😄😄😄

  • @abdalahnyahenge896
    @abdalahnyahenge896 2 роки тому +11

    Et kwenye maisha yako kwani unapata furaha?

  • @starmoonofficial9829
    @starmoonofficial9829 2 роки тому +5

    Sanyaaa fireee

  • @davismontana6228
    @davismontana6228 2 роки тому +17

    😂 😂 😂 jamaaa anatia sana huruma

    • @omarelhabibi4071
      @omarelhabibi4071 2 роки тому

      Mpaka anaonyesha na ticket waone kama nimgeni asimuletee matatizo😀😀😀😀

    • @nurdinikilapo4264
      @nurdinikilapo4264 2 роки тому

      😂😂😂😂

  • @mmassadieudonnengomoya8607
    @mmassadieudonnengomoya8607 2 роки тому +1

    Anae shoot anashoot akiwa mbali San sometimes sura azionekan vzr afu fujo za magara na pikipiki izo atuelew

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 роки тому +10

    Dotto ana moyo sana. Ni mpatanishi mzuri wa jamii

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 роки тому +7

    Mackin dah!! ety sina maisha mimi

  • @UdakuOnline
    @UdakuOnline 2 роки тому +7

    Unanipenda hunipendi hapo Ndo #kipengere😁😁😁😁😁

  • @asmaathmani440
    @asmaathmani440 2 роки тому +14

    Yule mwenye jezi ya simba amenitoa machoz maskin

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +7

    Nachekaga mo town anavyokujaga na bodaboda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Puxladen
    @Puxladen 2 роки тому +4

    Uyooo Sio typ yangu mm embu niangalie mazingira yangu

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 роки тому +9

    😁😁😁😁me ningekimbia

  • @muckymaccode134
    @muckymaccode134 2 роки тому +6

    Mo Town Sanya Nembo Ya Mtaa kijana wa Ovyo🙌🙌😂😂😂

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 2 роки тому +2

    etii Dotto baada ya kuambiwa anaonekanaga kwenye tv Ndo akakumbuka salam etii aah mambo vipi kwemaaa 😅😅😅😅

  • @djpatruick
    @djpatruick 2 роки тому +1

    Daah.! Hapo mm utajikuta nilisha rusha ngumi hapa mchezo.

  • @angolina1768
    @angolina1768 2 роки тому +7

    Alooo weee hahahaaaaa siyo poa makolo wanakuaga waoga sana nyieee anajielezea masikin

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 роки тому +6

    Dah! jamaa amenunua kesi kieahisi sana

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 2 роки тому +4

    😂😂😂😂eti naongea Kama mwanaume wenzako. Pili Mimi ndo natoka nae huyu mwanamke 😂😂😂 Tanzania hii haina watu

  • @mohamedjaffer7478
    @mohamedjaffer7478 2 роки тому +5

    Background sound inasumbua, hatuskii voice vizuri

  • @samirysharifu8649
    @samirysharifu8649 Рік тому +2

    Dahhh Nimetoa machozi jamaa alivyo kuwa anaisemaa mazingira yake kwa unyongee sana nimeumia sana

  • @mwambarock2562
    @mwambarock2562 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂daaa et hivi ukiniangalia kwa mazingila yangu na weza kuwa nademu Kama huyuu 😂😂😂halafu kinyongee daaaa et mama yangu mzazi ...#monsanya#hivinikweli..

  • @psnawana3794
    @psnawana3794 2 роки тому +3

    Sanya unaezaje kufinya uso kwe izi situation😆😆😆😆mm ningeshamcheka

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣mi mwenyewe ningecheka hyo Crip ingebuma

  • @issahassani9293
    @issahassani9293 Рік тому +1

    Hugo bwana mdogo amekuja kutafuta maishaa mnamleteya ukonjwa wa moyo

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 роки тому +4

    Nakukubali bro 👊

  • @lameckmihayo4669
    @lameckmihayo4669 2 роки тому +1

    Duh hik kipind hatar Sana jaman Kuna mda kama hujui unaweza panic sana eboo

  • @emidisadikisaididenchi8210
    @emidisadikisaididenchi8210 2 роки тому +2

    Umetisha saana bro mavazi kazi nzuri saana

  • @sevenhenrystephano6337
    @sevenhenrystephano6337 2 роки тому +1

    haaa niatari kweli

  • @paulomaona2466
    @paulomaona2466 2 роки тому +10

    Mwamba anabusala kinoma moyo saf leo mmeuaaa

  • @user-wl5dd8hu2j
    @user-wl5dd8hu2j Рік тому +1

    The way amewapatanisha mpaka machoz et vero kwan kwenye mahusiano yako we unakosa furaha???😢😢😢hebu mshike mkono
    Frank sikujui bro nawatakiwa maisha mema😊😊😊

  • @yassinmuhode7182
    @yassinmuhode7182 2 роки тому +10

    Mwanaume akikwambia anaunga bac anaunga kwelii🙆

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 2 роки тому +8

    Eti namba hyo FUTA.. ooh nitamchamba kumbe kelele tuh😂😂😂

  • @johnkyara8061
    @johnkyara8061 2 роки тому +2

    Jamaa.anasema mazingira yake hawezi kuwa na pic kali 😆 🤣 😂

  • @shadyawaziri9605
    @shadyawaziri9605 2 роки тому +10

    😂😂😂😂😂 Hii Dunia Unaweza Ukaamka Salama Alafu ................

  • @hadijalivigha9781
    @hadijalivigha9781 2 роки тому +5

    Unajua dadaangu

  • @hgery2666
    @hgery2666 2 роки тому +2

    Kwan mwenyewe yuko wapi jamaa kaanza kuogopa🤣🤣

  • @edwinclement233
    @edwinclement233 Рік тому +1

    doto ameniumiza sanaaa sana masikini jaman

  • @FamousGamer254
    @FamousGamer254 Рік тому +1

    Motown Sanya is king of legit content 🤴💪💪

  • @evanamkondya4257
    @evanamkondya4257 Рік тому

    Asee mo una tisha safi sana aseeeh

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 роки тому +4

    Nasema ivi nitamalizana nae vzl nitamchamba

  • @stambyser8305
    @stambyser8305 2 роки тому +3

    😂😂😂mwanaume hapotezagi fulsa ya demu “bora nimkanyagie mwana ili nichukue dem”

  • @sulebless8575
    @sulebless8575 2 роки тому +7

    Uyo demu kalia nini maneno mazito kaongea dotto

    • @kajugaa4537
      @kajugaa4537 2 роки тому

      ofcoz mchizi kaongea kwa hisia sana (haya maisha unaweza kuamka mzimaaa ila ukarudi nyumbani marehemu tu kwa sababu ya binadamu tu)

  • @chanchubasammy4562
    @chanchubasammy4562 2 роки тому +6

    Nmechela kifala sana leo

    • @tiffanyakramJr822
      @tiffanyakramJr822 2 роки тому +1

      😂😂 kweli mwanangu umecheka kifala hebu rudia ulichoandika

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 2 роки тому +4

    Hii Inaonyesha wanaume wengi wabongo Ni Malaya awataki wapitwe na jambo

  • @joejux1380
    @joejux1380 2 роки тому +5

    Kuna Kolo Huku Kadakwa Na Sanya😂

  • @yassinmuhode7182
    @yassinmuhode7182 2 роки тому +4

    Naqubalii🙌

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +6

    Kwa mazingira yangu unaona naweza kuwa na huyu mwanamke 😂😂
    Vitu viwili tofauti

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 роки тому +6

    Et unaweza amka mzima mda sio mrefu ukaitwa marehemu

  • @angelakiwia9042
    @angelakiwia9042 2 роки тому +6

    😀😀😀

  • @nasibundondole9592
    @nasibundondole9592 2 роки тому +1

    Mshikaji kasema dada mi sina maisha..

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +1

    Huyu kaka anatia huruma Sana. Ningejiweza ningempa hata kazi

  • @Donrugi
    @Donrugi 2 роки тому +2

    Dah bonge Moja la content 😂😂💪💪

  • @UdakuOnline
    @UdakuOnline 2 роки тому +3

    NAONGEA KAMA MWANAUME MWENZAKO😁😁😁😁😁🌝

  • @stevesamwel2678
    @stevesamwel2678 2 роки тому +3

    Mm wenyewe sina Maisha

  • @sulebless8575
    @sulebless8575 2 роки тому +4

    Dooooh

  • @Asinally
    @Asinally 11 місяців тому

    Ujue ❤

  • @robisongodiwnmushi9304
    @robisongodiwnmushi9304 2 роки тому

    ila umetisha san

  • @emmanuelifeli9443
    @emmanuelifeli9443 2 роки тому +4

    Yaani da imenibidi nicheki

  • @hassaniothmani8549
    @hassaniothmani8549 2 роки тому +5

    Huyu jamaa fala sana 😂😂😂