Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

GETO LA BAGA NI NOMA!! AMEISHI MIAKA KUMI/KITANDA CHAKE UTAPENDA - SHOWBIZZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2023
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 284

  • @glorialubengo2829
    @glorialubengo2829 11 місяців тому +62

    nampongeza sana huyu kaka, maana amejua kuonyesha uhalisia ambao wasanii wengi hawawezi. hogera sana Baga

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 10 місяців тому +13

    Speechless kabisa kwangu nina kitu kikubwa cha kujifunza kuhusu maisha kwa kweli. Mungu ana siri kubwa huyu jamaa hata hawa akina kitale wanaigiza style ambayo jamaa alipita nayo ndo alianzisha Enzi za jumba la zahabu miaka ya 2000 na kitu kule. Nikioona kwa Muda niliomjua kwenye sanaaa na Tv Aisee. Somo kwangu NIMEJIFUNZA MAISHA YANA SIRI YA MUNGU KUBWA
    Kama unanielewa usipite bila kuweka like yako. 🎉 . Huyu ndo Baba wa sanaa kwenye kipengere cha mtaani uhuni na ubabe mwingi, ni mahala pake

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 8 місяців тому

      Huyu jama noma Sana aisee🔥🔥🔥🔥🔥🌺🌺

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 11 місяців тому +17

    Respect Sana baga uko real
    Ata ukiitaji kuchangiwa kwenye tatizo ,akuna mbambamba

    • @somiasomia2306
      @somiasomia2306 7 місяців тому

      tutachanga natusio changanga kwasababu ya ukweli wamaisha yake

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 11 місяців тому +74

    Mtangazaji ukimaliza kuonyesha manyumba na mageto ya wenzio mwisho utuonyeshe na kwako pia tukuone sio kwa wenzio tu kila siku

  • @faridadumasalhathoseni
    @faridadumasalhathoseni 10 місяців тому +10

    Amina Dar nilimkubari kwa kazi zake lakini Leo namkubari zaidi kwa kuwa muwazi wa Maisha yake harisi ILa mungu atazidi kumuongezea inshallah 🙏 alipopungukiwa

  • @user-os4ok4pz9j
    @user-os4ok4pz9j 11 місяців тому +14

    Nimependa maisha yako baga mwenyezi mungu akuzidishie achana na ao wanaofake maisha

  • @neemaiddy4396
    @neemaiddy4396 11 місяців тому +15

    Big up Baga nimependa maisha yako na umekuwa wazi Sana ❤

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 11 місяців тому +19

    Maisha halisi, maisha rahisi 👊

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 11 місяців тому +10

    Baga nakupendaga sana kama hujaoa mi nipo tayari ila nina mtoto nitaishi na wewe kwa shida na raha kabisa nakuhakikishia sina uzuri ule ila tabia yangu itajieleza wala sijimwambafai ukweli ndo huo nakupenda sana baga wangu ❤❤❤❤❤

    • @salamarashidi3262
      @salamarashidi3262 11 місяців тому

      Hahahaaaaa ungemjuaa

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 11 місяців тому

      @@salamarashidi3262 yukoje jamani

    • @surajatul732
      @surajatul732 11 місяців тому

      ​@@salamarashidi3262😂😂😂😂😂

    • @MbarakaHaji
      @MbarakaHaji 11 місяців тому

      wewe una mpenda banga ila na mm nakupenda ww

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 11 місяців тому

      @@MbarakaHaji 😂😂

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 11 місяців тому +6

    Salute hataukimwa nachangia baga wangu upo real❤❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 8 місяців тому +4

    Mnapenda anavyoishi wasenge sana ninyi ni watu wanafiki wakubwa , kesho Mungu akimpamafanikio makubwa ni ninyi ninyi tena mnaibuka kumchukia nakumpachika majina kibao yakiwaki mara freemason mara choko , wabongo wanafiki sana ninyi uwaga mara nyingi mnapenda mtu anapoanza tu katika maisha ya chini lakini anapokwenda kuinuka tu mnaanza mkuchukia ovyo kabisa nyinyi

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 11 місяців тому +5

    Maisha ya simple sina ndoo ukweli wa maisha ayo bags unaweza kweli real life

  • @Rangoboytz2023
    @Rangoboytz2023 11 місяців тому +11

    Ndo maisha yetu baga mteme unyama sana mwamba life style fln hivi amazing

    • @user-hp3bx8ih4y
      @user-hp3bx8ih4y 7 місяців тому

      Baga hana tofauti na mr..blue wapo wazi xana kifupi nimembenda xana iyo show

    • @Rangoboytz2023
      @Rangoboytz2023 7 місяців тому

      @@user-hp3bx8ih4y safi sana blood wapi hiyo ww

  • @user-pz7fy8xl4o
    @user-pz7fy8xl4o 11 місяців тому +4

    Yani uyu kaka ata kama anaitaji kuchangiwa nachangia kaonyesha maisha halisi safi sana kaka

  • @user-dp6oj7dp9e
    @user-dp6oj7dp9e 11 місяців тому +11

    Nimependa saana maisha ya Baga ongera kaka

  • @leahsamwel1931
    @leahsamwel1931 9 місяців тому +7

    Tumpongeze tuu kwakua mkweli ila atafute pesa that not life kwa level yake😊😊 msimfariji msela angu

    • @zaunamoody7311
      @zaunamoody7311 7 місяців тому

      Mbona yupo safi tu chumba kimekamilika kabisa kujenga majaariwa

    • @user-fi9ty6yi2n
      @user-fi9ty6yi2n 2 місяці тому

      Utajuaje yawezekana akawa anajenga ila hataki show off usione mtu anaishi maisha ya kawaida ila anamalengo yake hataki fake life

  • @oniakussa3383
    @oniakussa3383 11 місяців тому +3

    Sijakosea kumpendaga huyu kaka kumbe yupo real sana jmn🥰

  • @btylove1870
    @btylove1870 Місяць тому

    Nimependa maisha yake yapo kihalisia hadi raha,hajaonesha maigizo na makorokoro ya ufeki ❤

  • @consoponsiano97
    @consoponsiano97 11 місяців тому +2

    Mwanangu mtangaji unachunguza sana duh adi kwenye hotpot

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 11 місяців тому +11

    Haya sasa ndio maisha yetu haliso , big op BAGA

  • @iwambimpya1924
    @iwambimpya1924 8 місяців тому +2

    haya maisha ukiwa na roho nzuri utakuwa maskini ,baga anaroho nzur sana anaonekana ndio maana yuko hvyo,

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 місяців тому +5

    Nampendaga sana bagga❤️

  • @safian.9518
    @safian.9518 11 місяців тому +6

    Nani kamuona huyu Saleh amekaa kijuma lokole lokole?😅😅😅haeleweki vizuri na yeye😂😂😂😂

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 8 місяців тому +2

    Ni mwanaume smart ❤👊🏾

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 11 місяців тому +3

    Nimependa hii he is true guy no fake

  • @user-or2xn4bp7o
    @user-or2xn4bp7o 10 місяців тому +1

    Yea safi Sana..nmependa ajui kufake lyf🥰🥰

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 місяців тому +2

    Ila Bagga umenenepa 'Mashaallah

  • @khaledoman8266
    @khaledoman8266 7 місяців тому +1

    Nimependa sana kbx kaka yangu 🇧🇮🇴🇲❤❤❤

  • @MariamSalim-wd3nz
    @MariamSalim-wd3nz 11 місяців тому +2

    Hongera Sana
    Kiukweli anaitaji tuzo

  • @sultansuleiman-940
    @sultansuleiman-940 11 місяців тому +2

    goood presenter.namuona mbali sana...!

  • @NasraNasa-mp7mf
    @NasraNasa-mp7mf 11 місяців тому +1

    Nimependa sana yuko real big up baga

  • @user-tg2rn2jl2l
    @user-tg2rn2jl2l 10 місяців тому +2

    Hongera sana kaka kwa kutoa video ya maisha yako

  • @user-ho8lh9ke2d
    @user-ho8lh9ke2d 11 місяців тому +3

    Nmeilewa maisha ya huyu guy yako poa sana

  • @JemimaKijiu-xx7lg
    @JemimaKijiu-xx7lg 7 місяців тому +1

    Ila hakunji kabisaa nguo duh!!!

  • @pharleserasto3114
    @pharleserasto3114 11 місяців тому +2

    Baga mwanangu San hajivung na maish kam wasanii wengn kufek so anaish na uhalisia wakwanz likes zanguuu

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 10 місяців тому +1

    Woow baga maisha simple uhalisia kbs

  • @officialronaina7592
    @officialronaina7592 11 місяців тому +2

    Eagleee❤❤❤❤nampenda he is real man

  • @user-qs4fb5fo5f
    @user-qs4fb5fo5f 11 місяців тому +3

    Huyu jamaa anajielewa namkubali sana

  • @teddyleonard9237
    @teddyleonard9237 7 місяців тому +1

    Mungu atakusaidia utafika mbali utafanikiwa tu

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 10 місяців тому +18

    Mwamba Nimempenda Yaani 😂😂😂😂😂😂 Sisi Wanawake Tunapenda Mwanaume Mkweli Sio Muongo Muongo 😜🙈😎❣️🙏

    • @mohdloushmoney9994
      @mohdloushmoney9994 10 місяців тому +1

      Mmmhh ahhhh wapi

    • @HassanHassan-sr3fq
      @HassanHassan-sr3fq 10 місяців тому

      njoo kwangu

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 9 місяців тому +2

      sio kweli wanawake wanapend a mwanaume muongo

    • @user-ps5yv4nr9l
      @user-ps5yv4nr9l 3 місяці тому

      Nyie hamujawahi kueleweka mukiambiwa ukweli Inakua uongo mukiongopewa ndo ukweli so nyie bado hatuja jua munatakaje Hadi sasa

  • @AwamoPro-rt3sl
    @AwamoPro-rt3sl 4 місяці тому

    Nimeipenda hii kbx Good life no kufeki life yan

  • @matridasambali6432
    @matridasambali6432 10 місяців тому +9

    Nimependa sana unavoishi uhalisia ila sema mshikaji kama anakuchora vile sjapenda interview yake hadi mahotpot anafunua kwani kwaambiwa we mama ntilie aache ivo

  • @ZainabuNahimana-qv8el
    @ZainabuNahimana-qv8el 10 місяців тому +1

    Big up sn Bruuh👊nimepend uhalisia wako wa maisha yn👌

  • @emiguymnyama1996
    @emiguymnyama1996 11 місяців тому

    Saleh classic nakuona mbali sana emiguy mnyama hapa

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 8 місяців тому +1

    We jamaa unaenda kwa watu Sana na kwako pia utuonyeshe

  • @MatungwaZacharia-pl3ro
    @MatungwaZacharia-pl3ro 11 місяців тому +1

    Nakukubali sana baga miaka kibao dah afu haunaga makuu home boy afu muhuni ile kinoma an ukitoa kitale kuigiza muhuni na katili hua ntakuweka wewe

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 10 місяців тому

    Hongera sana Baga Mungu akuongeze ufike mbali

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 11 місяців тому +1

    Hongera sana

  • @faidhacute
    @faidhacute 8 місяців тому

    😂😂et shoga angu halaf baga bhna but all in all i like it huyu anaishi uhalisia kabsa ni maisha ya kawaida maana kuna wengne wanafek kabsa ila huyu anaish mulemule haina haja ya kujikweza yaan saf kabsa

  • @iwambimpya1924
    @iwambimpya1924 8 місяців тому +1

    mpunguze hyo background sound mbwa nyie

  • @StanMrema
    @StanMrema Місяць тому

    Real life 🔥 🔥

  • @mariamumsanzu8266
    @mariamumsanzu8266 7 місяців тому

    Nimepnda sana maisha ya baga ❤❤❤

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 11 місяців тому +1

    Sijui nawaza nini ila Kuna kitu nawaza afu akielezeki ila mmmmh nawaza aina ya maisha haya

  • @nasrybilal4451
    @nasrybilal4451 11 місяців тому +2

    Huyu muhuni namkubaligi Sana anaishi live yani

  • @OthmanJuma-zm3fq
    @OthmanJuma-zm3fq 10 місяців тому +2

    Ww kwel eagle 🦅🦅 unawazoom washamba wengine

  • @fatmamangallah8263
    @fatmamangallah8263 7 місяців тому

    Home kwetu Maa Sha Allah

  • @JAYLABELS
    @JAYLABELS 18 днів тому

    NIPENI LIKE ZA KUTOSHA KAMA MMEONA BAGA ANAFANANA NA HARMONIZE😂😂

  • @fatmahrashidi1533
    @fatmahrashidi1533 7 місяців тому

    ❤nampenda sana huyu bro😊

  • @user-vf9dh9jp7s
    @user-vf9dh9jp7s 7 місяців тому +1

    Kaoneshe na geto lako kaka

  • @zakypaul724
    @zakypaul724 10 місяців тому +1

    Saleh vitonge kama wakike😂😂😂

  • @arya-star53
    @arya-star53 11 місяців тому +1

    Nimempenda ghafla baga jmn hajasita kuonyesha uhalisia wa maisha anayoishi na tabia zake

  • @ZaynabMshihir-zp9hv
    @ZaynabMshihir-zp9hv 11 місяців тому +6

    Baga umekuwa mkubwa sana Maashaallah

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 11 місяців тому +3

    Twakupenda burger. ❤❤Unaupigamwingi

    • @kennethedgar923
      @kennethedgar923 10 місяців тому

      😂😂😂dah eti burger 🍔😂😂😂😅

  • @JacobEckland-ug2dq
    @JacobEckland-ug2dq 10 місяців тому

    Nampenda huy kaka yup vizur

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 11 місяців тому +2

    Oya sounds zenu jalibuni kuweka sawa

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 8 місяців тому +2

    Mimi sipendi anavowakagua.Maisha ya mtu hayahusiani na umaarufu anaokuwanao. Minaona kama mtangazaji mshamba tu. From 🇨🇦

  • @sudyally6886
    @sudyally6886 11 місяців тому +2

    Daaa sema bagg umetisha sn mwanangu 😂

  • @TujuzeTv
    @TujuzeTv 7 місяців тому

    Sound iko Poa ila kwenye lighting Yaani mataa yangekuwepo hiki kipindi kingependeza zaidi aiseiii hongereni sana ila ushauri wangu kwenu wekezeni kwenye lighting ili video iwe na quality nzuri

  • @mpendwamwendela1025
    @mpendwamwendela1025 8 місяців тому

    Yan nmempenda sana huyo kaka jic alipo ajivungi

  • @saumushabani8419
    @saumushabani8419 11 місяців тому

    Mm nimependa san hyu boy yaan anaishi tuuh maisha yake walai nimependa san

  • @user-du8of3fb5o
    @user-du8of3fb5o 10 місяців тому

    Salute brother

  • @user-jh8jy7js9n
    @user-jh8jy7js9n 5 місяців тому

    Fresh

  • @naibusanga9416
    @naibusanga9416 11 місяців тому +1

    Safi sana maisha mazur Sana hy

  • @user-zo1ym2te7r
    @user-zo1ym2te7r 8 місяців тому

    Nakubali

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 10 місяців тому +6

    Sauti ya mziki upo juu zaidi kuliko show

  • @Prudentmusic99
    @Prudentmusic99 10 місяців тому

    I appreciate it bro ❤❤✊🏻💎

  • @OthmanJuma-zm3fq
    @OthmanJuma-zm3fq 10 місяців тому

    Kitambo kwenye game Baga nakubal I huoo ndio uhalisia sio wengine wanaect dadekiii😮😮😮😮

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 8 місяців тому

    Huyu kaka noma anajuwa kuigiza kama mhuni na anakpaji pia

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji 8 місяців тому

    Wanawake watz wanafki sana eti nampenda anioe tamaa tu zilizowajaa apo kwanini haujaolewa adi leo inamana barehe yenu hamujawai pata nwanaume wakukuta kukuoa tabia zenu mbaya mukiwekwa ndani mwezi 1 mushabadilika amuliziki mwanamke akikuambia usimwamini niwaongo tamaa mioyo yao aliziki pia aikawii kusahau

  • @Blackmar229
    @Blackmar229 8 місяців тому

    Me kwangu sipendi watu wa hivo acha mwenye geto akuoneshe sio wapekenyua kila Kona kaa mwako kenge weeee😅😅😅

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 8 місяців тому

    Msera noma sana🔥🔥🔥

  • @godlistenorio5950
    @godlistenorio5950 10 місяців тому +1

    Mbona kodi kubwa alafu jumba la ajabu wakati mbezi ya kimara anapata mjengo mzuri

    • @MadenaIphone
      @MadenaIphone 8 місяців тому +1

      Magomeni kinondoni sehemu xamjini
      Palipochangamka kodi huwa nikubwa na vyumba vyao vyakawaida saana

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 8 місяців тому

    Mngeupunguza huo mziki kwenye kipindi maongezi mingine hatusikii vizuri

  • @user-jz7bn2kx9o
    @user-jz7bn2kx9o 8 місяців тому

    Sasa ww mda wote movie ,,katafute mitikas mingine maisha yaende

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 9 місяців тому

    Mtangazaji unatamaa Sanaa

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 11 місяців тому +4

    Ivi mtoto wakiume ukivaa Helen nani kawaambi mnapendeza😢😢😢

    • @niahunique7604
      @niahunique7604 9 місяців тому

      We nae tuliza komwe

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 9 місяців тому

      @@niahunique7604 ukweli unauma

    • @SantiaQwer-ij1ws
      @SantiaQwer-ij1ws 9 місяців тому +1

      Sema ww kiazi nikisema Mimi muhogo nitabiwa namizizi

  • @sarahrichard2445
    @sarahrichard2445 10 місяців тому

    Nampenda sana uyu kaka

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 10 місяців тому

    Safi kabisa

  • @user-rh8wr4et1h
    @user-rh8wr4et1h 11 місяців тому +2

    Unavokat Ivo vitoge mhh

  • @AskoNgatunga-ks9cw
    @AskoNgatunga-ks9cw 10 місяців тому

    Umetisha San kak

  • @user-jt8nk3kp6m
    @user-jt8nk3kp6m 10 місяців тому +1

    Huyu kajenga kwao

  • @JacobEckland-ug2dq
    @JacobEckland-ug2dq 10 місяців тому

    Mungu hamsadiy jaman

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co 11 місяців тому

    Amazing ❤❤❤ he life🎉🎉

  • @Boaz22
    @Boaz22 8 місяців тому

    Mama anakuambia baga anafwata totozzz😂😂😂

  • @trixieriri7778
    @trixieriri7778 11 місяців тому +1

    Sasa Hiyo mic ulibeba ya kazi gani?

  • @hdhdhhfjfj3742
    @hdhdhhfjfj3742 11 місяців тому

    Huuu jama namupenda kinoa sana gutoka 🇧🇮 sema nini dup namba yake❤❤

  • @catherineparsalaw520
    @catherineparsalaw520 10 місяців тому

    Super🤞

  • @zenawahindi2425
    @zenawahindi2425 11 місяців тому +1

    sio kwa vitonge hivyo mwaangalie mwenzio baga

  • @user-pg7ki2me3w
    @user-pg7ki2me3w 8 місяців тому

    Crush .......❤

  • @pascalinajames9117
    @pascalinajames9117 11 місяців тому

    Nice one baga