MADAWA YA KULEVYA 'FEKI' YAACHWA KIJIWENI, ASKARI AYAKUTA, KILICHOTOKEA HAPO... | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 63

  • @AdoAshu80
    @AdoAshu80 2 роки тому +29

    Huyo kaka mwenye tshirt ya kijani iliyoandikwa Malawi anajua...anajua ... tena anajua tenaaa. Kamjambisha na maswali ya msingi huyo polisi feki. 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 2 роки тому +11

    Sanya Pamoja na Wasafi Hichi kipindi Kinachukua Muda mwingi Sana Alafu Hakuna uhalisia Hapo Watu karibu Wote hapo walikua wanaonekana wanajua kinachoendelea Maana watu wameshawajua Sasahivi Wasafi TV NI kubwa Sana natamani ningepata nafasi ya kushauri Jinsi ya kuborehsa kipindi chako Mwanzo ilikua Vizuri Sana Viko vingi vya kuwashika watu Ambao watakua halisi

  • @kingaluadam9101
    @kingaluadam9101 Рік тому +1

    Huyo Jamaa wa tshirt ya Kijani ndio ameharibu kipindi. ameuliza maswali ambayo yalikuwa yanamtoa kwenye confidence askari na akajikuta anaanza kama kujifunza badala ya kuwa mkali kama alivyokuwa amekuja.
    Kitu cha muhim na cha msingi sana ukishagundua kuna mtu wa hivo mahala ambako unataka kufanya kipindi una cancel tuu sio lazima ufanye scene moja. katika tukio hilo hilo unaweza fanya hata mara mbili au tatu alafu ukaweka moja mbayo itakuwa tayari kuna gaps umeshafanyia kazi.
    all in all kazi ni nzuri na unajitahidi , muhim ni ku improve , ile scene ya bagamoyo pale kwenye gari ilikuwa better kuliko hii.

  • @Enocky-pv5ui
    @Enocky-pv5ui 7 місяців тому

    Huyu jamaa niahatari anajua sheria😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @waziriwahekima6824
    @waziriwahekima6824 Рік тому +1

    Mwamba tishet yakijani anaijua sheria vyema sana !

  • @OmmyTito-n2l
    @OmmyTito-n2l 5 місяців тому

    😂😂 Sanya Nembo ya mtaa sema Anglia kka utapigika

  • @zubeirkibe6760
    @zubeirkibe6760 Рік тому

    Huyo Mwenye T-shirt ya kijani ni askar kanzu au usalama wa taifa huwa tunakaa nao Sana maskani 😀😀😀

  • @strong8534
    @strong8534 2 роки тому +9

    Sanya, kipindi kizuri sana ila next time jaribu kuweka ka uhalisia kidogo!! Tafuta askari wa ukweli ama mtu wa kawaida aje na mbwa, then huwezi kushika kitu bila gloves 🧤. Think about it!!

  • @mrmangetown4323
    @mrmangetown4323 2 роки тому +6

    Huyu mwenye kijani ni walewale askali kanzu siyo kwa point hizo

  • @nexto6357
    @nexto6357 2 роки тому +2

    Boss Sanya 👍

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 9 місяців тому

    Duu zuchu akushauri maisha kweli

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j Рік тому

    Sio wote wanaokaa vijiwen ni wahuni wengine ni askar kanzu kama huyo baba mwenye tishet ya kijan ninamashaka

  • @Jay47tz
    @Jay47tz 2 роки тому +4

    Kweli utuuzima dawa broo kamuuliza maswali ya msingi kweli uyo police

  • @fannyvweruka8669
    @fannyvweruka8669 2 роки тому

    Pole na kazi asante nime furahi

  • @wizzydollarbarbershop7079
    @wizzydollarbarbershop7079 2 роки тому +3

    Leo mmewezwaa😂😂😂

  • @edwinjackson2294
    @edwinjackson2294 2 роки тому +2

    Jamaa..!! zuchu akushaur maisha uko serious kweli ww bro😂😂😂 shaur yako atakushaur ukadandiwe na ww kama yeye

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 Рік тому

      Acha ujinga zuchu ni mshauri mzuri sana kuliko ww unavyofikiria ujinga

  • @vannymokoca358
    @vannymokoca358 2 роки тому +1

    Uyo Malawi 🇲🇼 upo vinzuri sana kabisa

  • @agnesjohn2571
    @agnesjohn2571 2 роки тому +1

    😂😂😂 kweli kabisa mwonekano wako unaweza ukaangushiwa jumba bovu

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому

    Jamaa alievaa T.shirt ya ndimu ni asikari yaani ni asikari kama sio asikari usalama basi ni asikari jamii

  • @waziriernesto2391
    @waziriernesto2391 Рік тому

    noma sana

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 2 роки тому

    Appreciate Sanya #wasafi TV

  • @luckynayza2530
    @luckynayza2530 2 роки тому +1

    Wasafi nzima vipindi vikalj niviwili ao wengine wanafeli bab kubwa ivi nikweli Cheka tu big Sunday ndo vipindi pendwa

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Рік тому

    Video mmechukua na sim au wapi hd

  • @AminaAmina-pc5ke
    @AminaAmina-pc5ke Рік тому

    Jamaa yukovizuri siyokukamatwa kixembe

  • @solomonichisaye8767
    @solomonichisaye8767 2 роки тому +1

    Nilikuwa na focus kwenye maiki😂😂😂

  • @jimmymagaita2947
    @jimmymagaita2947 Рік тому +1

    😂 hatari

  • @waziriwahekima6824
    @waziriwahekima6824 Рік тому

    Dah uyu mwamba yuko smart m'malawi uyo😅

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 2 роки тому +1

    Leo askari kafeli hajavaa uhalisia vizuri

  • @waziriwahekima6824
    @waziriwahekima6824 Рік тому

    Nyinyi wasenge naivi vipindi vyenu mtakuja kumtoa mtu roho

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 роки тому +1

    Kwanza unatakiwa kujua madawa ya kulevia ni dili na yana thamani kubwa hayawezi kuachwa hivo kama karanga madawa yawe kwenye begi ujazo huo wee unazani ni shi ngapi hiyo alafu ayaache tuu kisenge hivo ukiweza kuwa na mzigo ujazo huo wee ni tajiri tayari.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Рік тому

      Inawezekana alikuwa anajua tayari anafatiliwa so akaamua kuyatelekeza inaingia kwa kichwa coz hilo ni zibiti bro

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 Рік тому

      @@R10_Rajab sio kwa madawa ya kulevia mzee askari mwenyewe akiotea mzigo kama huo anaingia nao chaka yuko tayari kupoteza ajira.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Рік тому

      @@captenndunga6745 😂😂😂😂Nimekusoma

  • @Hawa-ed2hg
    @Hawa-ed2hg 2 роки тому +1

    💥💥💥💥💥

  • @kibikihotfilm0621
    @kibikihotfilm0621 Рік тому

    Hicho kitengo cha uaskari nipe siku moja niwaonenesheee

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 2 роки тому

    Uyo jamaa ni mdedly kinoma 😄😄

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому

    Malawi T-shirt ni matured sana

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому

    Kuna wawili wameondoka polepole

  • @thomasmgohomatz5696
    @thomasmgohomatz5696 Рік тому

    Mbona hii vidio sio hd

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 роки тому +2

    Sorry ninzuli, ila uhalisia wa huyo askali, naukubwa watukio haviendani

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 роки тому +1

    ahahaha🤣police kapatikana leo watu wajua mnyoosha kwaza awana ata wasiwasi kama wamestukia hivi wanaigiza

  • @kibikihotfilm0621
    @kibikihotfilm0621 Рік тому

    Sema askari ndo katufelisha

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 2 роки тому +1

    Full pressure hapo

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 роки тому +1

    Mo town sanya, unajitahidi saaaana kk Story yakipindi ninzuli ila umekosea hapo kwenye huyo askali ndo umezengua tafuta kituu kinachoendana na uwalisia walau kidogo sio uyo polic wako kk kama muokota kopo

  • @Omix_production
    @Omix_production Рік тому

    Kipindi naona kinatoka nje ya maudhui yake kutoka kwenye maisha ya wasanii kwenda kwenye maigizo prank

  • @RahimTreiz
    @RahimTreiz Рік тому

    😂😂😂🙌

  • @rahimusaide3548
    @rahimusaide3548 2 роки тому +1

    sio pw

  • @jumanneyassini
    @jumanneyassini 2 роки тому

    HUYU NI MATOTOLA😂😂😂

  • @abdulabdallh9506
    @abdulabdallh9506 2 роки тому +1

    Askari kayakanyaga ukuuh

  • @mohdali1182
    @mohdali1182 2 роки тому +3

    Usengee mtupuu yani km vle michezo ya msukaaa huhuhuuuu bonge la tv 😂 yani atahamuelewek

  • @cowboytz7441
    @cowboytz7441 Рік тому

    fact jamaa anajiamin so poa

  • @officialnuhu8163
    @officialnuhu8163 2 роки тому +3

    Wakwanz ku comment

    • @ssilivestasangiloggfyssili4976
      @ssilivestasangiloggfyssili4976 2 роки тому

      👏👏👏

    • @amirasman7441
      @amirasman7441 2 роки тому

      Mo, town Sanya .. Niko Nairobi Kenya ...lakini Kuna kitu kimenikuza hapo ,, huyo jamaa mwenye anataka kujua kama huyo jamaa ni police amesema kweli polisi lazima awe na cloves kuthipitisha huyo jamaa si askari.
      2) huyo jamaa mwingine kushuku huyu jamaa na treaty Kwa kichwa kuthipisha ni yeye tu ndio anaeza fanya kitu kama hiyo .... Sho Gali mwanangu

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 2 роки тому +2

    😂😂😂

  • @mdouharoon66
    @mdouharoon66 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @marynice318
    @marynice318 Рік тому

    😂

  • @zomasamweli
    @zomasamweli Рік тому

    Sanya hiyo asikari kakuangusha kabisa Hana ubunifi kabisa