VURUGU WADUDU WAFUNGA BARABARA ARUSHA, WAZUIWA KUFIKA NYUMBANI KWA MWENZAO ALIYEFARIKI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 349

  • @gililwise
    @gililwise 3 місяці тому +68

    Serikali msipothibiti hawa wadudu tutaangamiza taifa LA kesho

    • @hamisombali8545
      @hamisombali8545 3 місяці тому +13

      kabisa brother yani ujinga huu faida yake nini sasa

    • @noahmadali7150
      @noahmadali7150 3 місяці тому

      Kizazi kimeisha huko

    • @user-ly9us4db3m
      @user-ly9us4db3m 3 місяці тому +1

      Kweli kabisa mm pia siwapendi kabisa hawa wadudu mwisho watakuwA majambazi hao yaani hili tatizo lizibitiwe mapema kabisa jamani

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 3 місяці тому +3

      Vichaa tu upuuzi mtupu Mira mingi na bangi

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 3 місяці тому +4

      Ww Linda watoto wako serikali hailei watoto tabia ya mtoto kuwa nzuri au mbaya ni malezi ya wazazi na siyo magengee mm nimeishi Arusha zaidi ya miaka 10 nanina marafiki vibaka waizi wauza madawa nakila uchafu hata hao wadudu Nina marafiki zangu lakini mbn sipo kwenye hayo magengee situmiee chochote lea watoto wako

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 3 місяці тому +33

    Huu ni ujinga wa hali ya juu ikomeshwe mara moja

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 3 місяці тому +3

      Ningumu Kwa chuga

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 3 місяці тому

      ​@@fatihiyadossa375Serikal haijawahi shindwa ktu ww panya road wako wap hapa bongo hebu wakamatwe kama watu 10 wale vchwa vbovu uone kama haitakuwa

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 3 місяці тому

      Kwanini ni ngumu Kwa chuga Wana Nini hao si vichaa tu wapelekwe lutindi , wenzao panyarudi wapo wapi unaona walivyo uliwa km kuku,hao pia wawamaliza ​@@fatihiyadossa375

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 3 місяці тому

      Makonda umeoelekwa kwenya kuongozwa vijana vichaa hao

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 3 місяці тому

      Serekali inaendekeza ujinga, hawahawa ndio tatu mzuka nawaeleza, km makonda aliweza kuzuia panya road, please komesha hii kitu jamani😢😢😢

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 3 місяці тому +64

    içhi kizazi kitakuja kuigharim serekali niko paleee

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 місяці тому +23

    Bodaboda ni shida kwa kweli hata kama ushirikiano sio sitaili hizo wote ni bange tuu

  • @ChinaBoy-jh8bm
    @ChinaBoy-jh8bm 3 місяці тому +2

    Poleni sana wadude wa arusha kwakumpoteza mojawenu natuma ujumbe kutoka Somalia

  • @Khmy54
    @Khmy54 3 місяці тому +6

    Chepe zipo tutamfukia kwa chepe tutamfukia mwana kwa chepe, ww fukia kwa mkono tukukamate hatukuachi😂😂😂wapuuz sana hawa wanaiona nchi yao au

  • @anethmtei2912
    @anethmtei2912 3 місяці тому +42

    Serikali isiruhusu vitu kama hivi. Ni ujinga uliopitiliza serikali ikomeshe huu ujinga

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 3 місяці тому +1

      Umesema sawa kabisa

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому +1

      Hawa watu wa Arusha hawana hakiri kabsha

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 3 місяці тому

      @@user-mi7cd8ch1b ndiyo alafu wanaona ni ujanja ni ushamba na upumbavu kabisa vijana wa hovyo kabisa

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 місяці тому

      ​@@user-mi7cd8ch1bwashamba wanajifanya maganster

    • @damasmarungu2520
      @damasmarungu2520 3 місяці тому +1

      Embu fateni mambo yenu bhna umeona mtu wa arusha analalmik kwani

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 3 місяці тому +9

    Upumbavu mtupu hawana hata iman ya mungu khaaa

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 3 місяці тому +4

    "Wadudu ni wanamziki wanachofanya ni sawa kabisa". Alisikika Mbunge mmoja akimpa taarifa Mbunge mwenzake aliyekuwa akichangia hoja Bungeni. Tafakari.

  • @thebios2553
    @thebios2553 3 місяці тому +11

    Washamba wanapewa airtime aisee Yani ni upuuzi na Bado wakiendelea na akili izo watauzulia sana mazishi hamna hata mwenye helmet uendeshaji wa hovyo

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 місяці тому +8

    MIMI BONGO NAMINI HAWA WATOTO WA ARUSHA UWAONE IVI TU MAKATILI WAKIONGEA KAMA WAJINGA LAKINI WACHA TU DANGEROUS PEOPLE ARUSHA BOYS 😂😂😂😂

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 3 місяці тому +3

    Poleni Sana nyote MWENYEZI MUNGU awape nguvu awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO

  • @USAIDforHomelessPeopleOfUK
    @USAIDforHomelessPeopleOfUK 2 місяці тому +1

    WADUDU are all British Workers ✌️🇺🇸🗽

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 3 місяці тому +9

    Aseee noma sanaaa

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 місяці тому +7

    Wadudu maana yake nini? Kwanini tusiwe na kizazi kitakatifu chenye upendo, furaha na amani? Aina hii ya maisha hata tukikubali ni sawa na kukubali kuishi na bomu ndani ya nyumba. Biblia inasema hakuna amani kwa wabaya asema Mungu wangu.

  • @user-ny7oq2oy8r
    @user-ny7oq2oy8r 3 місяці тому +10

    Makonda kazi anayo😂

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 3 місяці тому +1

    Yaani wanajeshi wangeruhusiwa kuondoa hilo kundi linalojiita wadudu! Ni wiki moja wanakuwa watu na siyo wadudu! Mungu warehemu watoto wetu😭😭

  • @user-kw7ew1fu2w
    @user-kw7ew1fu2w 3 місяці тому +1

    Laa makubwa Pole Sana RC. Kazi Unayo.

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 3 місяці тому +6

    Mungu ponya kizazi hichi

  • @manp9091
    @manp9091 3 місяці тому +6

    Iyo ni shangwe ya kumpoteza mwenzao na sio uzuni

  • @josephatjoseph1755
    @josephatjoseph1755 3 місяці тому +2

    Lait mwenzao angeamka akawaambia kinachompata huko wange acha huo ujinga

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 місяці тому +6

    Pole sana Makonda Samia na waziri wa mambo ya ndani Masauni na police na mtakoma mtakavyopata aibu kama Taifa kwa kuipeleka Afcon Arusha ni bora mngepeleka Mwanza au Dodoma

    • @AnuaryShedafa
      @AnuaryShedafa 3 місяці тому

      😂 dah kwakwer

    • @ashurakodd1589
      @ashurakodd1589 3 місяці тому

      Itapelekwa tu kwa taarfa Yako nyoo

    • @jamesmassawe4888
      @jamesmassawe4888 3 місяці тому

      Hii ni Arusha na hii ndo asili ya arusha sasa wewe unaehoji afcon mbona huulizii makao makuu ya afrika mashariki ni wapi?

    • @henryabby2681
      @henryabby2681 3 місяці тому

      Kama mwanga vile

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 місяці тому +8

    Hafu mnaanza kusema ni wasaini na huku tayari ni mazezeta

    • @verombwambo3703
      @verombwambo3703 3 місяці тому +3

      Hapo ndio na Mimi nachoka jmn hakuna Cha usanii hapo ni uzombi tu

  • @PatrickMwamba289
    @PatrickMwamba289 3 місяці тому +3

    Tanzania kuna mambo mengi mabaya anaendelea...Harmonize anatumia uchawi kwenye Sanaa kuharibu kazi za Diamond Platnumz youtube ..Basata ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj 3 місяці тому +6

    Vijana wote wa Arusha wahamishiwe Somalia huko ndo wanaendana Nako huku Tz sio hadhi yao kwakweli,watanzani Gani Wana Fujo hivi? Aaaah😢

  • @user-qk4lx4hg7g
    @user-qk4lx4hg7g 3 місяці тому +3

    Mmh serikali kuwrni makini haya malezi ya hawa vijana yatakuja kuwashinda baadae

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 3 місяці тому +2

    Ipo sababu ya kutokuwatazama kwa macho ya furaha hili ni kaa la moto tunalipalia mwisho litasababisha moto mkubwa. Neema ya Mungu inahitajika kwa vizazi vyetu

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 місяці тому +1

    Wamarekani hivikaribuni watamtafuta kiongozi wao ili waanzishe bokoharamu tz wooooooooooooi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 3 місяці тому +12

    MAKONDA KAZI ANAYO ILA ATAFAULU TU PAMOJA NA CHANGAMOTO ZOTE

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 3 місяці тому +1

      AKITAKA KUWAWEKA KWENYE HOTPOT SEKUNDE TU

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 3 місяці тому

      ​@@MCNgakungaJuniorsyo chuga alyo yakta atayaacha ivyo ivyo

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 місяці тому +14

    Hawa washamba wanatakiwa wadhibitiwe wote tuondokane na kizazi cha ovyo kama hicho. Mamlaka zipo wapi!?

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m 3 місяці тому +1

    Tunae chule tunaletewa burungu 😂😂😂😂 welcome chunga jiji lenye huuni mwingi naluga tata

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 3 місяці тому +11

    Vijidudu vimewapanda kichwani. Serikal Serikali Serikali .... Mh aya...

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 місяці тому +4

    Hapo hapo kuna mijambaxi inapora ikiwa kwa pikipiki.

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 2 місяці тому

    Hivi Arusha wana Dini kweli 😢😢😢😢 SubhannaAllah

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 3 місяці тому +1

    Huu ni umasikin wa akili roho na mwili baada ya miaka kumi huu ni mzigo kwa taifa😏😏😏

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 3 місяці тому +5

    Muna watentekizaa Sawa wadudu gani mbona jeshi la police linawaaachia wafanye watakavo
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    +254

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 3 місяці тому

      Eti eeh!!

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t 3 місяці тому

      Hii ni nchi nyingne hiyo serekali yenyew ikfka arusha inabid ifuate sheria na taratib za wenyeji

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 місяці тому +5

    Huu ndi maisha ua bodaboda yaan inasikitisha,
    Hao hata kizazi chao hakuna maisha hapo

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 3 місяці тому +1

    Wallah hii nchi haina hatma nzuri kama watu wetu ndio hawa. Tujiulize tumekosea wapi na tujirekebishe haraka.

    • @reginas1832
      @reginas1832 3 місяці тому +1

      Si unaona tunauza rasilimali zetu wa wageni. Hawa vijana hapo wapo Drs, engineer na walimu . Serikali ina kikundu kidogo kinachokula keki ya Taifa

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 3 місяці тому +1

    Arusha nchi ya wahuni

  • @OmbeniShoo-kg8dr
    @OmbeniShoo-kg8dr 3 місяці тому +1

    Kuna tatizo ambalo linaonekana si tatizo ni mtaji wa watu kujijengea umaarufu hivi tumefika hapo kama Taifa na je nini tunapata kwa majina haya Wadudu, Panya roard, Chawa, nk tutavuna matunda yake kizazi kinazidi kuharibika.

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 3 місяці тому

      Ni kweli kabisa vizazi vinaenda kuaribika

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 3 місяці тому +1

    Watu wa Dar wanaona watu wote wa Arusha tuko ivi, tunavaaga ivyo na life style ni hiyo.!! 😂😂😂

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 3 місяці тому +1

      Nataka kuja arusha ila naogopa hao wadudu kwakweli

    • @Views-mf8ir
      @Views-mf8ir 3 місяці тому

      @@Aidhjuma karibu sana Boss ..!!
      Can i give you my Contact number uje nikutembeze Ungalimi, Ololooo na Matejoo alaf tumalizie kwakula Nyama kwa Mromboo alaf tukaogelee zetu Duluti ..😊

    • @Views-mf8ir
      @Views-mf8ir 3 місяці тому

      @@Aidhjuma nikupe number uje ututembelee Boss

  • @robertnkaragano298
    @robertnkaragano298 3 місяці тому

    Bangi Arusha imezidi aisee kuliko maeneo yote Tanzania hawa watu wadhibitiwe haraka sana, Serikali isiwachekee hawa vijana!!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 місяці тому +2

    Hatari

  • @albertadalabert5702
    @albertadalabert5702 3 місяці тому +2

    Hacheni habari za kukimbiza pikipiki vifo ni vingi sana jamani vijana tutaisha

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 2 місяці тому

    Wadudu ni wengi ila Kuna wadudu wengin ni kumbikumbi wale wenye mafuta mengi

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 3 місяці тому +1

    daah makonda una kazi babaa

  • @user-jr3mo3je3k
    @user-jr3mo3je3k 3 місяці тому

    Hizo siyo bangi aiseeee ,,,Kama siyo Pepo bas ni ulimbukeni tu,, harafu na mazoea yaan waao wamekuwa wakiona babu zao wapo hivo na wao ngumu sanaaaa kuchange kikubwa ni kuwaombea tu ili hii hali iishe kabisaaa usiendelee kuumiza kizazi kijacho

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 3 місяці тому

    😢😢😢😢 wapumbavu hawa watakufa vibaya wote nawahakikishia wasipobadilika wataisha wote bangi mihadarati itawamaliza wanajiita Wadudu wakatubu kanisani upumbavu wao

  • @FloranceLuqman-cg7qm
    @FloranceLuqman-cg7qm 2 місяці тому

    Hawa wapuuzi sijawahi kuwapenda

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 3 місяці тому

    Wehu tu hawa, Serikali isipokuwa macho hamna kizazi cha maana hapo. Hovyo sana hawa.

  • @hurumakaaya1150
    @hurumakaaya1150 3 місяці тому +7

    Hivi wadudu ni wakiume tuu?

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 3 місяці тому +2

    dah ni huzuni Kwa kweli

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 3 місяці тому

    Poleni sana

  • @JosephMdam
    @JosephMdam 2 місяці тому

    Watu wa Njiro na uku arusha duh kazi ipo😂😂😂

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 місяці тому +1

    Je akipatikana mwanasiasa akawapa Silaha nini ktatokea? asieziba Ufa atajenga ukuta

  • @JosephMdam
    @JosephMdam 2 місяці тому

    Natokea arusha lakini huniupumbavu sana ovyoo

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 3 місяці тому +3

    Bangi ya Kenya imefika Arusha.

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 3 місяці тому +1

    Kudadadeki bangi nuksi kishenzi
    Hawa wadudu watakula nchi

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 3 місяці тому

    Hivi hawa viongozi mnaounga mkono hawa wavuta bangi mnategemea tunaelekea wp?

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 3 місяці тому

    Mnawaendekeza sana hawa ohooo

  • @ashuramahali3410
    @ashuramahali3410 3 місяці тому +2

    Wadudu kama wadudu

  • @henrypeter1361
    @henrypeter1361 3 місяці тому +2

    Mbona simuoni makonda au kasaliti chama

  • @NehemiaZakeo
    @NehemiaZakeo 3 місяці тому

    He!he!he 😂😂😂😂😂 haowote nivijana una fikilia miaka michache mbele kama vijana wote tukitegemea kukwa kama hivyo nini kitakacho jili baadae.

  • @ramawilson3709
    @ramawilson3709 3 місяці тому

    Kwasasa tanzania inchi yangu imeanza kuhalibika salikali tunawategemea lekebisheni ujinga kama huhu vitu kama hivi vinaharibu taifa

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 місяці тому +4

    Wanakwenda kuzika au kwenye sherehe? Inaelekea walevi na miteja

  • @user-wv4cz4yk8r
    @user-wv4cz4yk8r 26 днів тому

    Acheni ujinga mta kufa kila day mnaacha familia zenu kwenye shida

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 3 місяці тому

    ARUSHA VIBE

  • @user-xw3ew4jy5p
    @user-xw3ew4jy5p 3 місяці тому

    Aliye wapa jina la wadudu hakukosea😂😅😂😂

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 3 місяці тому

    Jamaa wanajielewa unajiitaje mdudu??Ili iweje

  • @Official83640
    @Official83640 3 місяці тому +1

    C mmewapromot endeleeni kuwafurahia na kuwapa promo

  • @JosephIsack-eu4wu
    @JosephIsack-eu4wu 2 місяці тому

    Bado amjasema

  • @lightnessmarandu5945
    @lightnessmarandu5945 3 місяці тому +1

    Huyu s baba ake shaa kbsa

  • @Kidabitangassa
    @Kidabitangassa 2 місяці тому

    Arusha sio Tanzania 🇹🇿😂

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 2 місяці тому

    kwamba makonda nae kumemshinda uko awa muwalete uku tunduma wataonyeshwa shoo mbaka watakubali kua wao ni zuchu naso wadudu.

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 3 місяці тому +1

    Mmmmmh hiyo ongea yao puuuh

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 3 місяці тому

    Serikali owe makini na hawa wahuni Chalamila kunamfaa Arusha

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 місяці тому +2

    Makonda hao ndo wadudu wahuni sio wale wasanii kina kenyonyo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 місяці тому

      Hapa ndio watu wawatofautishe na kina kinyonyo, hawa ni wadudu wabaya

  • @mugocomedy
    @mugocomedy 2 місяці тому

    ARUSHA BILA WADUDU NI KAMA EMBE BILA KOKWA

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 3 місяці тому

    Hichi kizaz huko mbeleni itakuwa shida sana

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 3 місяці тому

    Mchaga usipo shughurika na hii! Nafasi ya mchaga inapolea na heshima yao inapotea katika Taifa. Bangi mbaya. Lema alipokuwa mbunge hapakuwa na haya madudu sijui nani kayazalisha mpaka ya pewa kiapo. Kweli Arusha inaisha.

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 місяці тому +2

    Sasa uyo mwenye kofia anaongea uku anasinzia 😂😂😂

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      Wadudu wamempandia kichwani😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 місяці тому

      😄😄😄 hatari sana Kwa kweli Allah awahepushie na izo hadha

    • @user-MIO5pu1iv7o
      @user-MIO5pu1iv7o 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂 rizim hadi analala automatically 😅😅😅

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 місяці тому

      Yani Arusha kunakazi kubwa sana makonda lazima akonde

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 місяці тому

      ​@@FatimaAli-of4gh 😂😂

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 3 місяці тому

    Makonda shikamoo. Kazi ni kubwa

  • @neliciousmtata5309
    @neliciousmtata5309 2 місяці тому

    kumbe kunanjiro na arusha na hamsemi?

  • @WillisonMkumbo
    @WillisonMkumbo 3 місяці тому

    Waddudu ,lini wataitwa wanyama¿

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 3 місяці тому

    Bange

  • @JustoJusto-ki7lg
    @JustoJusto-ki7lg 2 місяці тому

    Kazi ya chepe ni kufukia

  • @jonessalum6325
    @jonessalum6325 3 місяці тому

    Kumbi kumbi alooo😅😅😅😅😅

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 3 місяці тому

    Mnaosema serikali iingilie kati wao mbona kwenye mazishi ya viongozi inakuwa hivo au kwasababu hawa hawana hela acheni kujaji mihonekano

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 місяці тому

    Hawa vijana hawa tusipokua makini nao itatugharimu sana

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 3 місяці тому

    BANGI MBAYA WASIPODHIBITIWA IKO SIKU ARUSHA ITAKUWA NI UWANJA VITA YA WAVUTA BANGI NA WALEVI DHIDI YA WATU WENYE AKILI TIMAMU

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 3 місяці тому +2

    Mungu warehemu vijana wetu wamechanganyikiwa

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 місяці тому

    Mamba siyo mdudu ni mnyama mdudu ni chawa,mmpu siyafu inzi kunguni mende.

  • @rizikimtui8992
    @rizikimtui8992 3 місяці тому

    Nahisi Arusha inahitaji Mfumo wa Elimu yake ili malezi yasifikie hapa

  • @topesafi9742
    @topesafi9742 3 місяці тому

    Nainjoi saana kuwachek wadudu😂😂

  • @ruthnaftal9308
    @ruthnaftal9308 3 місяці тому

    Jaman walityukalisha msiban wamefik nyumbaniii saa 7 khaaaaaa

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 3 місяці тому

    Serikali endeleeni kulea hicho kizazi Cha wadudu , halafu yaje kutokea ya nchi ya Haiti.

  • @noelkaale5952
    @noelkaale5952 3 місяці тому

    Yaani serikali imeshindwa kabisa kumalizana hichi kizazi cha bangi

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 3 місяці тому

    Hawa wadhibitiwe mapema sanasana.... Hii sio Haiti..

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 місяці тому

    Naona CCM imeifikisha hapo Tanzania 🇹🇿 hawana hata helmets wako huru tu wala hawajali. Wengine uwa tunaona mbali sana Na darubini kali hili ni bomu ambalo linasubiri muda lilipuke hawa watu wakirubuniwa na kupewa silaha wanaweza kuwa waasi na wanazidi kuongezeka Samia sio vitu vya kuvifurahia hivyo muwasaidie wapate kitu cha kufanya wapelekeni vyuo vya ufundi na muwape mitaji!

  • @AboubakarShabani-op1dk
    @AboubakarShabani-op1dk 3 місяці тому

    Uhuru wa wadudu