#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024
  • #EXCLUSIVE: FULL STORI KICHAPO cha NDOA KILIVYOMTESA NAKAAYA SUMARI MPAKA KUTUMA UJUMBE MITANDAONI...
    Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata wanapopeleka kesi zao katika madawati husika hazifanyiwi kazi kama inavyotakiwa.
    Nakaaya ameyasema hayo alipokuwa akizungumzia ndoa yake iliyopita pindi mwanaume huyo alivyokuwa akimnyanyasa na kumfanyia vurugu kibao wakati wakiwa pamoja.
    Hata hivyo Mwanadada Nakaya amedai kuwa tayari ameshapona na matarajio yake ni Waziri Gwajima kusimamia ipasavyo kwani mwanamke akiwa na Amani ni sawa na Taifa zima kuwa na Amani....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 136

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @user-ke4pl5sm6h
    @user-ke4pl5sm6h Рік тому +11

    Mmojawapo mm Nina watoto wa 4 huu mwaka wa 14 nalea watoto wangu mwenyewe kila kitu mm watoto 4 sio rahis hila mungu ni mwema hata siku moja awajahi lala njaa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +10

    Pole sana kipenzi, Mimi mwenyewe kama wewe, Mwaka wa kumi na nane huu mtoto nalea mwenyewe, na sina hata ham nae yule Mwanamme na napitia magumu sana na mtoto wangu kuhusu ada, lakini simfikirii na sio rafiki yangu na hawezi kuwa never, nilishawahi move toka mtoto Ana miaka miwili, sasaivi Ana miaka 19 napambana nae peke yangu.

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we Рік тому +8

    Hakuna mwanamke anapenda kulea watoto mwenyewe ila yanatukuta ya kutukuta kutoka kwa hao wanaume tamaa, Hii dhambi itawatafuna sana wanaume.

    • @maidamhanje5993
      @maidamhanje5993 Рік тому

      kabisa inauma lkn tutafanyaje

    • @kimaroprosper4403
      @kimaroprosper4403 Рік тому

      Yuko mdada miaka ya nyuma kama wewe aliongea kauli hii ya uchungu dhidi ya mwanaume uliyenae au mwanaume aliye na hizi kasoro na huyo kijana alipata watoto na wamebeba laana ...hii laana iko kwenye Ardhi bila toba na majuto kwa Mungu itakuwa worse zaidi miaka ya mbele Worseeee

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Рік тому +31

    Wanawake wanaonyanyasika kijinsia ni wengi sana yaani ni 90% ya wanawake wengine hawapigwi lakini manyanyaso kama ya kushushwa chini kiuchimi ni mengi wengi wao hawataki wanawake wao wawe juu sio mume wako tu hata ss wengine tupo nyumbani na tumesoma lakini hatufanyi kazi coz ya waume zetu yaani for me ninamiaka karibu 10 tangu niachishwe kazi na mume wangu,hataki nifanye kazi for me it so painfull coz nina wazazi wananitegemea wananiona ninanyumba nzuri but wazazi wangu wanahangaika sana so painfull for me nani atatusaidia jamani?

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 Рік тому

      Good point

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +10

      Kwa nini usimuache huyo mwanaume ? Maana siku akikuacha Utakuwa huna mbele wala nyuma

    • @ashireydaimu3148
      @ashireydaimu3148 Рік тому +4

      Hapo ukisubiri yy ndo akuache utakuwa na maumivu mara mbili, kwanza alikuachisha kazi yako pili kakupotezea mda wako na kakuacha njiani, tatu utajiona unaanza upya kutafuta kazi na kutafuta mume mpya. Sasa si bora wewe ndo umuache ili ujipange upya

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 Рік тому

      @@ashireydaimu3148 ndoa yeti ni ya kanisani na yy hana matatizo mengine yeyote alafu watoto wanasoma vizuri kabisa shida ni mimi na ndoto zangu nilishajarIbu kuondoka nikaishia kupata shida sana na watoto ikabidi nirudi coz watoto wamezoea maisha ya juu sana hawawezi maisha ya chini na nilioporudi alinipokea làkini swala la mm na kazi sitakiwi kugusia my dear nishahangaika sana shida ni kwamba kisaikolojia inanitafuna sana hasa nikiangalia wazazi wangu na yy haoni hilo

    • @dionestermwinuka7520
      @dionestermwinuka7520 Рік тому

      @ nashukuru mungu sijawahi kuwa na akili ndogo kama yako kisa mtoto wa mamamkwe

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Рік тому +4

    Pole sana naakaya nimekuelewa mnoo

  • @saadakombo4090
    @saadakombo4090 Рік тому +2

    Yani unaongea point sana libaba limekaa tyu.Mungu awalaani wababa walotelekeza watoto wao ila wakumbuke fainali ni uzeeni

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Рік тому +6

    You are quite right Nakaaya.Narcist men are many😢

  • @merianhalibunyoha2629
    @merianhalibunyoha2629 Рік тому +4

    My cc unaongea kama mtu mwenye kubeba kila aina yakila binadam aisee nimekupenda sana dada angu unanifanya nijielewe zaid

  • @inviolathamedard6686
    @inviolathamedard6686 Рік тому +5

    Duu jamani yaani ulichoongea ni sahihi kbs yaani mimi kimenitokea

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 Рік тому +2

    Nakaaya ameongea point

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +4

    Kweli hakuna kinacho halalisha unyanyasaji but ukipata unyanyasaji ndani ya ndoa ni tofauti sana nakuongelea unyanyasaji ukiwa demu tuu kwa jina na mahusiano.

    • @speciosermusika2009
      @speciosermusika2009 Рік тому

      Nampa Poleni kama mwanamke mwenzie,Ila amechemsha sana ,unajua kabisa mwanaume ana wanawake wengiii nini kili kupeleka hapo? kama siyo mwana kuya tafuta mwana kuya pata?
      mwanamke mtu mzima hukuwa tu smart! kwenda kuishi na mwanaume ambaye unajua ana michepuko Kila kona una tegemea kupata support gani au kutoka wapi.😢

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому +3

    Daimelda nakupenda sana jamni

  • @roselynenyanda1757
    @roselynenyanda1757 11 місяців тому +1

    Tunahitaji elimu lakini kila elimu inaanzia nyumbani.. na kila nyumba inaanzia wazazi, pamoja na yote *WANAWAKE TULEE WATOTO WETU KAMA VILE TUNGETAMANI WAUME ZETU WAWE* we should break the circle...maana kuna wamama wamenyanyaswa ila watafurahia watoto wao wakinyanyasa mabinti za watu...so it should start with YOU/ME. Hata kuwe na sheria kali kiasi gani .(ng'ombe halazimishwi kumeza maji) there is a difference between fear play na fair play...uungwana haushurutishwi...unatakiwa utoke ndani so malezi yanachangia sana kutengeneza mwanaume/mume/baba...so silaumu wamama ila tunaolea hawa vimburu bado ni sisi wamama...

  • @lucykayombo9987
    @lucykayombo9987 Рік тому +1

    Narsistic male are real, wanyanyasaji wa kutisha nyumbani hakuna maelezo watu wataelewa but super nice kwenye jamii, wana dark souls na hawajiamini sema jamii yetu haijawaelewa..Yesu ndio suluhu kwakweli

  • @annamussa185
    @annamussa185 Рік тому

    Mwanaume afanye vyote ila vitendo vya aina ya kupigwa kwangu marufuku na pigwa na Mungu na maisha full stop.

  • @grace-neemabuninange-bujik9117

    Bora umejitambua. Always mwanaume akihisi ameoa mwanamke mwenye akili kuliko yeye lazima akupige, akutukane akudhalilishe eti mwanaume anakuita mchawi, mara mwizi mala malaya, akupendee wanawake wengi ili mradi ili mrqdi tu akuharibu akili. Lakin ukishalitambua hilo. Unaachana na hizo takataka

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Рік тому +3

    Hakuna kuvumilia kupigwa.. bora ubaki single. Kuliko mtu anaekushusha hadhi.

  • @janegodwin3107
    @janegodwin3107 Рік тому +1

    Nakupenda sana Homegirl❤🤍🔥🤍🔥

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому +3

    Wanaume tamaa nyingi

  • @JulitaUronu
    @JulitaUronu 10 місяців тому

    😭😭hata sijui ninalia nini ila dada Nakaya umepambana sana Mungu akusimamie kipenz

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Рік тому

    Umeongea vizuri sana sana

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 Рік тому +2

    Hapo kwenye KUMZIDI VINGI PAMOJA NA UMAARUFU, ndo tatizo lilianzia hapo.

  • @sarahkundy9411
    @sarahkundy9411 Рік тому

    Daah umenigusa sanaaa daah Mungu atusaidie

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 Рік тому +2

    Kweli wanaume..mm yamehikuta..

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 Рік тому +2

    Me nimeyasikia mabaya tu ya uyo mzazi mwenzio kwaiyo hakua ata zuri moja

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi Рік тому +2

    Mtangazaji hajui kuuliza maswali,! Hashawishi mtu kuendelea kufunguka

  • @furahasarakikya3223
    @furahasarakikya3223 Рік тому

    Makaaya Asante

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 Рік тому +4

    Hiki cha mwanaume kujihisi yuko low quality kuliko mke ni changamoto kubwa mnoo.Yaani hawajiamini,anakutukana mbele za watu ili aonekane mwamba.Huu ni upumbavu mkubwa na ni ukosefu wa afya ya akili.Hili swala lichukuliwe seriuse. Badala ya kumpenda mke ambae ni mpambanaji unatia wivu kwa mke wako.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +1

    Sikuwahi kusikia wanawake wa Kitanzania baada ya kuvunjika mahusiano wakisema wao ndio wamekosea au wao ndio wamewasiliti wanaume zao , ila daima lawama zote na uchafu wote na jumba bovu uwa anaangushiwa wanaume,!

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 Рік тому +2

    Hebu tumrudie Mungu jamani,tusiishi kwa kutumia akili zetu

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому

    Dada nimekuelewa sana unaongelea maisha yangu💯%😭😭

  • @malelamalela1362
    @malelamalela1362 Рік тому +1

    Malulu nilijuwa hatakufaa ' maana nipenda penda ' au niwakulelewa

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 Рік тому +1

    Kuna wanaume washenzi sana ila kikubwa ni wanawake tutafute pesa tusikubali unyanyasaji tuwapende watoto wetu na tusiwatelekeze

  • @khatijakhatija6172
    @khatijakhatija6172 Рік тому +2

    Sio Tanzania tu dunia nzima wanaume wanakimbia mjukumu yao tena wamekuwa wamalaya zaidi ya wanawake.hawana heshima hata kidogo na wake zao.

    • @sifrajenterprises5002
      @sifrajenterprises5002 Рік тому +1

      Sema wanaume weusi ukijumlisha na black Americans ila wazungu big no wanajua nini maana ya kutengana na mtoto lazma atamuhudumia

  • @lucykayombo9987
    @lucykayombo9987 Рік тому +4

    Narcissism ni ugonjwa wa afya ya akili, hatakaa kuwa responsible man kwa chochote, waongo, wanabipolar fake people, tena 10years umevumilia sana sana...wanakushusha sababu hawajiamini, na extremely cheaters wanakuwa na mahusiano meeengi, tena utakuta wamelelewa na mzazi ambaye pia anashida ya akili..

  • @linazebadia7555
    @linazebadia7555 Рік тому +1

    bora kipegere cha kuumia kwa muda kina pona kabisaa

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому

    Naisubir kwa amuuu

  • @rhobywerema6996
    @rhobywerema6996 Рік тому +1

    Jamani mtuwakilishe kupiga kelele serikalini kuwachukulia hawa viumbe Sheria maana tunateseka sana na watoto wetu

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Рік тому

    Cjaelewa hata jmn

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Рік тому +1

    Jamani mbona hatokeagi mwanamke anayesema uzuri wa ndoa?na hakũna mwanamke anasema ndoa yake nzuri,hivi kweli wanawake kama hao hakũna?

    • @FatmaZena
      @FatmaZena Рік тому

      Zamaradi ,Riama Ally na naa naa

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    Ukweli ni aibu sana lkn tusivumilie mateso ndani. Wana mifumo yao dume

  • @khatijakhatija6172
    @khatijakhatija6172 Рік тому +1

    Wanawake achaneni na wanaume wapumbavu ukiachika utaumia utalia utasahau kuliko kuwa na mume pumbavu wanapenda masifa hawafai kabisa

  • @khatijakhatija6172
    @khatijakhatija6172 Рік тому +1

    Wamekuwa wanaume hawana maana yoyote lipo lipo tu

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому

    Ilo tatizo kubwa sana tz baba akishamwaga mbegu zake bas hamejisahau uwe meowana au meza tu ndio warivyo mtu anashindwa huduma na wara kupga cm me mzazi mwenzangu anapta njia anashindwa hata kumsarimia mtto wake kisa meachana anakususia badae akishazeka ataitaji uyo mtto amsaidye wakanti yye hakumjari,,,pya serekari hakuna wanasho kifanya sheria zao za mkoroni hunyanyasaji tu zid ya wanawake

  • @mussaathumani7595
    @mussaathumani7595 Рік тому

    Unapo ingia kwenye ndoa vigezo Vya kuangalia huku angalia hukuwa Malengo na ndoa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +2

    Wanawake wa kaskazini..mmhhh.. kuna yule aliyekuwa mke wa kamanda Kilewo (jina nimesahau), sijui yuko wapi.

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 Рік тому

      Joyce kiria

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому

      @@zaudatmakula3454 ndo huyo, amepotea wapi..alisumbua kweli kweli

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 Рік тому

      ​@@josephlorri431yupo na tv yake ya wanawake live sema anaboa kiherehere mingi😂😂

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 Рік тому +4

    Sisi ni masai bana! Akili nyingi,mbavu nene,misimamo na kujielewa.

  • @emaculatemakoi8226
    @emaculatemakoi8226 9 місяців тому

    Hivi hawa si ndugu na yule nancy sumari

  • @MrKimond-ip2zp
    @MrKimond-ip2zp 8 місяців тому

    Kuna muda hata nyie wanawake mnazingua man waweza kua baba na kutataka kujali mtoto mama ukaanza kuvimba kisa mtoto iwe fimbo Kwa baba nandoo man wababa weng huwaachia badae munaanza lawama umesema kua hapigi sim je ww Kuna siku umemupa mwanao amupigie sm baba yake?

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому

    Ngozi nyeusi esp. wabongo wanang'ang'anaga kuonekana wapo na ndoa. Better to quit to maintain yourself. Kuna wakati hata huko ibadani wanaume wanaendekezwa mno. Hawakemewi na wana tabia ngumu sb hawakemewi

  • @BilibwaIbrahim-cp6tf
    @BilibwaIbrahim-cp6tf Рік тому

    Wanaume wengi tz hawajitambui,na wanaugonjwa wa kutojiamini

  • @violethurassa7362
    @violethurassa7362 9 місяців тому

    Wewe ni mwanamke unayejiamini, songa mbele Mungu yupo, wanawake wengi wanaogopa kutoka kwa sababu ya mali au Maokotooo kusubutu wanaogopa ,waache wage na magonjwa na kipigo,😂😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 3 місяці тому

    umejiachia kama nguruwe

  • @DM_15
    @DM_15 11 місяців тому

    Hatasisi wanaume tuna changamoto nivile hatuongeai hadharani. Kwamimj wala sikuonei huruma huenda ulitumia nafasi yako kumdharau , sijawai onamwanamke ana lalamika akashauri kawaheshimu waumezao naku ishinao kwaupendo wekama uasha muachq mwanaume niwewe usiwambie nawengine wakufuate nyayozako

  • @SalamaNauthary-ip4iy
    @SalamaNauthary-ip4iy Рік тому +1

    Nakaaya hadi leo huwa usuki nywele

    • @joycemageta4876
      @joycemageta4876 Рік тому

      Hataki kudanganya watu nywele imegalimu m2😅😅😅😅😅 ye anadili na kiwembe cha 200 tu

    • @SalamaNauthary-ip4iy
      @SalamaNauthary-ip4iy Рік тому +1

      @@joycemageta4876 Kwa kweli 🤣🤣🤣

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому +1

    Jamani wanawake twende gym akikupiga nawe piga😂😂😂

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Рік тому

    Mwanaume ukimzidi vitu 😂😂 Jmn rahaa hkn ktkt ndoa wala mahusiano ila baadhi ya mwanaume ndio walivyo upo sahihi nakaaya

  • @nangatukatalks
    @nangatukatalks Рік тому

    kwani anayeamua kubeba ujauzito ni mwanamke au mwanaume.mwanamke mwenye akili huchagua mwanaume gani ambebee mimba

  • @noellamelchiory7460
    @noellamelchiory7460 Рік тому

    Saingine ni shetani wanaume saingine hawajitambui shetani amewavaaa

  • @philipodamian7741
    @philipodamian7741 Рік тому +1

    Aksema hayo ina mana anakuja kulaumu saiz wakati anatongozwa hakufatilia nyendo za huyo bwana wake.sasa iv analalamika try to learn the lesson before you open the book

    • @jacqueli18
      @jacqueli18 11 місяців тому +1

      Kiukweli wewe ni mjinga

    • @dorrie-b8q
      @dorrie-b8q 3 місяці тому

      How can she learn a lesson b4 even open that book and read it ..maana u are a stupid

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому +4

    Huyu anachosema ni kweli, lakini sasa lazima wanawake wajue , kwanza kuolewa ni heshima sana, pia kujisifia ety nimezaa watoto wangu nalea mwenyewe 😥siyo sifa.. sasa wanatakiwa waishi ualisia wa mwanamke. Wasijione wapo sawa na wanaume. Hapo wataishi vizuri. Pia kusema siku hizi, vitendo vimezidi vya unyanyasaji, siyo kweli,. Zamani kumbukeni hapakuwa na uwezekano wa kupata taarifa. Wadada heshimuni wanaume.

  • @jacksonwilson5772
    @jacksonwilson5772 Рік тому +10

    Umri ushaenda uolewe sasa, kuwa singeli ivo sio fashion. Punguza pia misimamo yako hiyo haitakusaidia kitu, mwanamke utabaki mwanamke tu, Ila usikubali tu kupigwa, mengine yavumilie tu yan, lakn ukiona wew unajitambua sana ndo ivo wanaume wanakukwepa, nan ataoa mtu anaejitutumua kiivo???. Ukiihitaji ndo lazima ukubali kwanza kwamba wew ni mwanamke, na mwanaume ni mwanaume, ukimfanya aishi na wew vizur ataishi na wew vzur kabsa, lakin ukijiona you deserve the best bas ujue yeye atajiona ndo bas tena, apo ndo shida inaanzia.

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Рік тому +3

      ni kweli kabisa yani ukiwa unatijambua na kujua mambo mengi yaani its like you are so clever lazima uteseke, lazima apambane kukushusha, mimi nipo kwa ndoa 14yrs my husband is of such type kuna hadi wakati nilijihisi nina shida ya akili ikabidi nirudi shule kusoma nione kama nitaweza ,nikashangaa nafaulu japo masomo ni magumu .Sasa kiukweli tunatakiwa kujishusha kabisa ili maisha yaende kama mwanamke, divorce sio jambo zuri wala fashion,ni mapngo wa ibilisi wa kuiangamiza dunia, wamama tukae kwa ndoa zetu tuheshimu waume zetu

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 Рік тому +4

      @@julianapeason6254 Safi kabisa, at least wew unaelewa. Utadumu Sana kwenye ndoa yako na MUNGU atakubariki zaidi. Shida ya wanawake wengine hawatak kujishusha wanajiona wanajua Sana haki zao, ndo haoooo ma-single mothers, wanaona fashion kuwa single mother kumbe ni ujinga tu. Ukwel utabak pale pale huna ndoa au ndoa ilikushinda.

    • @rosejego335
      @rosejego335 Рік тому +1

      Wanaume hatampewe Nini hatuelewagi mnataka nn yanini makasiriko acha anenepe

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 Рік тому

      @@rosejego335 anenepa tu ila ukwel ni kuwa wengi ndoa zinawashinda kwasababu ya kujifanya wanajua kilà kitu. Sio sahihi, na ukiona mwanaume unamheshimu lakn bdo anakuonea ujue ni tatizo lake binafsi.

    • @mary3714-hss
      @mary3714-hss Рік тому +1

      Uvumilivu ndio tumeumbiwa wanawake God help us ,tumeumbwa kuwa msaada kwa wanaume,lakini tunageuka kuwa kilio badala ya msaada jmn!!!...Mungu tusaidie

  • @sheillalukuba4526
    @sheillalukuba4526 Рік тому

    @dr gwajima

  • @BettyKereth-ov2bp
    @BettyKereth-ov2bp Рік тому

    Nakaaya umeongea vizuri sana

  • @hamidumakobogo3234
    @hamidumakobogo3234 Рік тому

    alishawah hat kuja kigom kwa mnganga kutibiwa sehem inaitwa bagwe

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Рік тому +1

    Mkome ndio muache uzinifu eti mausiano mausiano bila ndoa niuchafu nauzinzi

    • @user-wk1ix1gm1p
      @user-wk1ix1gm1p Рік тому +7

      Wewe jichunguze , hauko sawa , watu wanaua wake zao waliowaoa , eti uzinifu , tumia akili acha kuropoka

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Рік тому +1

      @@user-wk1ix1gm1p wanauliwa kwasababu ya usaliti pia wewe itakuwa sehemu ya wazinifu

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 Рік тому +1

      Ili chizi kweli

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 Рік тому +1

      Una kawazimu kichwani si bure

    • @ms_teeonly
      @ms_teeonly Рік тому +2

      ​​@@fatmafatu1128wengi sio kwajili ya usaliti ni wanaume mwenyewe tabia yake...hata kama ikiwa ndo usaliti ndo umuue au kumpiga bora umpe talaka yake riski imeisha