Nini maana ya Hakika na Kwanini tunatakiwa Fanya Hakika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 8 місяців тому +1

    Shukran sana shekh kwa elimu Kuna baadhi ya watu hawana maarifa hufanya hakika baada ya miaka 2 kisa tu babake yupo safarini kwahivyo anangojewa arudi ndio mtoto achinjiwe mnyama

  • @hawaazizy5071
    @hawaazizy5071 2 роки тому +2

    Navip kumyoa kwenye siku ya 40 haifai?

  • @hawahassan1623
    @hawahassan1623 3 роки тому

    I love the restaurant

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 2 роки тому +4

    Yafuatayo ni mambo ya kizushi na Itikadi za kutungwa ambazo huenda zikasababisha shirk:
    1. Nyama ipikwe kwa kuchanganywa na sukari au vitu vitamu au kuliwa na asali kwa madai kwamba mtoto awe na tabia nzuri.
    2. Mifupa ya nyama isivunjwe, eti na mifupa ya mtoto huenda ikapata ajali ya kuvunjika, n.k.
    3. Mifupa ya nyama ifukiwe baada ya kuliwa, au ikazamishwe baharini.
    Huwezi kupata aya wala hadithi wala aathaar inayoamrisha mambo hayo matatu.

    • @hawaazizy5071
      @hawaazizy5071 2 роки тому

      Bc tuambie tufanye vp mnatuchanganya jmn

    • @hassaniidrissa5916
      @hassaniidrissa5916 Рік тому

      Sheikh shukrani kwa mawaidha lkn siungetolea darsa sehemu iliotulia kama mskitini?

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

      @@hassaniidrissa5916
      Ndio
      Huwa natoa

    • @drimaz2692
      @drimaz2692 Рік тому

      wew toa aya au hadithi inayo kataza maan kila jambo shirk na sijui kama shirk inajulikana au unazijua vizur kwa upana wake shirk? kaziyetu ni kukufurishana na kuingizana moton na kutoana au kuchagulian milango yapepo na milango ya mto nikam tumeimilik hiyo pepo au moto je kunashirk kubwa zaid ya hii?

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

      @@drimaz2692
      Wewe ni pocho
      Hapo sijataja motoni wala Peponi na wala sijamuita mtu kafiri wala mshirikina, bali nimevitaja vitendo tu.
      Sasa wewe endelea kushajahisha ujinga na upumbavu.

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Рік тому

    Shukraan 🙏

  • @othmanabdalla5295
    @othmanabdalla5295 2 роки тому

    Mbona hutoi Salam

  • @maryamhamad494
    @maryamhamad494 2 роки тому

    Shukran sana

  • @malcommshana3955
    @malcommshana3955 3 роки тому

    Asalaam alaikum, Je kama wakati huo uliotaja hakuwa na uwezo wa kuchinja?! je unaweza ukamfanyia hata kwa badae mathalani mtoto akiwa ametimiza miaka 2 au 3?!

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  3 роки тому +2

      Innamal aamal bin niyyat... Ndio unaweza

    • @hassansalimmntjjggk9403
      @hassansalimmntjjggk9403 2 роки тому

      Hata akiwa na miaka50 anafaa kufanyiwa

    • @mufdatabdallah7341
      @mufdatabdallah7341 2 роки тому

      Mtoto mwisho miaka 6

    • @hawaazizy5071
      @hawaazizy5071 2 роки тому

      @@hassansalimmntjjggk9403 atakaa na nywele zauchanga mpk cku40 ?

    • @AzizaNzovu
      @AzizaNzovu 11 місяців тому

      Mimi anamyaka 7sasa naweza kumfanya lini​@@mufdatabdallah7341

  • @husnasalehe6452
    @husnasalehe6452 2 роки тому

    Je unaweza ukfnya kabla ya 40 yake

  • @ommytoza6971
    @ommytoza6971 10 місяців тому

    Ni uzushi tu hauna dalili kua usivunje mifupa si laxima iwe ndani ya siku saba ni muda wowote utakaponafasika nywele aziitwi akika akika ni kichinjo kile kinachochinjwa ndio akika kwa lugha ya.kiarabu

    • @YassmiYassir
      @YassmiYassir 8 місяців тому

      Jee akifikia umri wa balegh naweza kumfanyia

    • @mohamedyahya1677
      @mohamedyahya1677 6 місяців тому

      Ni AKIKA, sio HAKIKA.