Juja wa Maajuja:Viumbe wa Ajabu watakaoiteka Dunia Siku chache Kabla ya Kiama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 20

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t Місяць тому +3

    Ukiskiliza ukiangalia hii Chanel walahii utajifunza Vingi sana Asante dada Salma mzungu

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Місяць тому +2

    Subhana Allah 😭😭 Al-Malik Quddus...Yaa Rabb atupe khusni hatma

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j Місяць тому +1

    Hamjui juji wa maajuja ni nchi za wakati wa ukoloni

  • @AbdulMajid-pb2sx
    @AbdulMajid-pb2sx Місяць тому

    asanteni sanaa kwa elimu hii mungu awabariki

  • @milanozanzibar
    @milanozanzibar Місяць тому

    tunapenda story km hizi za ku renew imani yetu

  • @salehekimboko4113
    @salehekimboko4113 Місяць тому +1

    Mwenyezi mungu akulipe kheri Salma mzungu na yeyote aliechangia katika uzalishaji wa nakala hizi.

  • @captainenough681
    @captainenough681 28 днів тому

    Theolojia iliyotokana na story hii ni kubwa kuliko watu wanavyofikiria.
    Sheikh Mwishoni katambulisha dhana nzima ya story hii.

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 Місяць тому

    Kwa hakikika kwa vita na mabomu ndio yatawatoa

  • @iddysalum8028
    @iddysalum8028 Місяць тому +1

    Allah tunusuru sisi na vizazi vyetu

  • @kajembeathman
    @kajembeathman Місяць тому

    Hawa ni wazayuni na wamagharibi huenda wanavjnasaba vya hajuja na mahajuja netanyahu ndio mkuu wao.

    • @mwasitihango1555
      @mwasitihango1555 Місяць тому

      Duh!Na akina Asaad je?magerza umezipenda?na drugs pia?

    • @NtareBurundi
      @NtareBurundi 26 днів тому

      Juja tayali wameshafunguliwa

  • @OmarySalehe-u3y
    @OmarySalehe-u3y Місяць тому +1

    Hawa viumbe Allah ndio anajua uhalisia wake na Wana maumbile Gani kwa hiyo mnavoleta picha zenu hizo inakuwa ni makosa nyinyi elezeeni TU basi hamna haha ya mapicha ya uongo hayo

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 Місяць тому

    Fanyeni utafiti zaidi kupitia quran kuhusiana na jaajuj wamaajuj binadam hawezi kula majumba na miti wala kukausha bahari kama munavyosimulia nyie hizo ni lugha ya alama 'metaphorical'. Kwani quran inasemaje kuhusiana na kuachiliwa kwako? Majibu yapo ktk quran tatizo linalojitokeza ni kutumia hadithi kabla ya quran ndio mana maelezo ya makala hii yanayoendana na hadithi inayotumiwa maelezo yake yapo tofauti na quran.

    • @butterflymediatztv
      @butterflymediatztv Місяць тому +1

      Hapa kuna elimu kubwa ya tahwili wwatu wameshindwa kujua paka allah akuwafikisshe kutambua maajuj wa maajuj wapo na tunaishi nao ktk maskani zetu na wanafanya matukio ya kufanana kabisa na khadithi ya Mtume Muhammad (s.a.w) kalamu tv hongeleni kwakuidadavua vyema ila ktk tahwilly hapa papaana mno na Masih dajal yupo pia