SAIKOLOJIA YA MWANAMME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kuna ufa mkubwa wa ufahamu baina ya wanandoa, darsa hili linatoa mwangaza kwa wanawake waliomo ndani ya ndoa juu sifa na saikolojia za waume zao, hii itasaidia kupunguza misuguano iliyomo ndani ya ndoa zetu

КОМЕНТАРІ • 78

  • @user-nf1lc3vr7t
    @user-nf1lc3vr7t 8 місяців тому +23

    Allah akulipe MashaaAllah nipo kwa ndoa ya pili mwanzo nilihisi ndoa ya kwanza Mume ni m'baya na hakufaa kuwa Mume kumbe Kuna vipengele sikuplay vizuri ,,ila kwa kuwa Nia ni njema na Nina dini nikachukua muda kupata ndoa nikaona tabu za upweke na neema ya ndoa ,,Allah akaitikia Dua zangu nikapata Mume nimpendae na anipendae zaidi haya nikajikuta nayapractice kwa ukubwa Hadi Mwanaume anasema hajawahi kupata mke kama Mimi NAMI kwake naona mazuri tu ,, Alhamdulillah Shaykh Allah akuweke kwa mada zenye kututakia kheri ,,Wanaume pia wahitaji darsa ,,SIJAWAHI kuona clip Yako niipite pia hutoa elimu kupitia clip zako na kuendeleza swadaqatu njaariyah ..

    • @Elmitv68
      @Elmitv68  8 місяців тому +5

      Jazaakillahu Khairna, Allaah akufanyie wepesi ktk maisha yako. Aamin.

    • @nasraally3480
      @nasraally3480 7 місяців тому

      Ukty naweza kupata Sono kupitia ujuzi wako insha'Allah na Mimi nitakapo ingia Kwenye ndoa ili mambo yawe mazuri bidhinallah

    • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
      @mwanamkeshujaabongoflavama7180 7 місяців тому

      Masha'Allah, sheikh kaeleza uzuri na kwa lugha safi sana, Asante sana

    • @user-qv8uo3bc6o
      @user-qv8uo3bc6o 7 місяців тому

      ALHAMDULILLAH mwengine ukitoka unaingia kwenye moto zaidi ya uliko toka mshkuru sana Allah 💜

  • @aminpattani2977
    @aminpattani2977 12 днів тому

    Mashallah Sheikh ALLAH akulipe kila lenye kheri n ww pamoja n Ummat mzima Ameen

  • @sabahajuma7188
    @sabahajuma7188 7 місяців тому +5

    ni kweli shekhe heshima ilikuepo kwa bi khadija na hakuwahi kumsimanga mtume,ila tatizo enzi hizo mitume ilikua haichepuki,zama za sasa mume unamhudumia na wanawake wengine anatafuta nje .na dharau anakuletea na huku unamhudumia unafkiri respect itatokea wapi.?lazima itafika siku utamsimanga tu moyo unachoka sheikh

  • @mahmoudmfaume8042
    @mahmoudmfaume8042 9 місяців тому +15

    Summary kuhusu Saikolojia ya Mwanamume:
    Vitu vya msingi (basic) alivyonavyo mwanaume;
     Anatumia logic (kufikiri kwa mpangilio) zaidi kuliko hisia (hisia zake ziko mbali).
     Hufanya jambo moja mpaka liishe tofauti na mwanamke (anaweza fanya mambo matatu, manne au zaidi kwa wakati mmoja).
    Matarajio matano (5) ya Mwanaume kwa Mwanamke (mkewe):
    1. Heshima (ndio jambo la kwanza na wanawake wengi hawajui).
    2. Kuthaminiwa (sifa nzuri) na kushukuriwa kwa kutekeleza majukumu yake (wanawake wengi wanajua ni majukumu yao ndio sababu hawawashukuru waume zao kitu ambacho sio sawa).
    3. Kupendwa (mapenzi) na kudekezwa (kama mtoto mdogo).
    4. Mwanamke mwenye mvuto (mwema).
    5. Mwenye kujiamini na mbunifu (mapishi, mavazi, fikra n.k).

  • @user-wj6hw7df5r
    @user-wj6hw7df5r 8 місяців тому +2

    Jazakhallah kheir sheikh Allah akupe afya tele namaisha marefu for sure nimejifunza wallah shukran 🤌🏻🫡🤲🏻

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 7 місяців тому +1

    Tulikosea kweli shekh. Shukran Sana Kwa kutupa maarifa ya kuishi nao wasitutoe roho. Ndio lililobwkia mana washatuzeesha mvi Tele kichwa wakubwa wangu hawana

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 9 місяців тому +2

    Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri. Darsa zuri sana shekhe swàdaqta.

  • @user-gu1lg2zr8s
    @user-gu1lg2zr8s 3 місяці тому

    Wanawake tukona kitu inaitwa instics na intuition. Kwanza zangu ni kali sana Alhamdulillah halafu sinyamazi naongea. Ila nimejifunza kupitia ili somo.kumbe nilipojifungua alisema mtoto kachukua mapenzi yangu yote ambayo nilitakiwa kupata. Alikua yuamaanisha, doooh mpaka huruma 😅😊❤

  • @user-qu7lz9mu5e
    @user-qu7lz9mu5e 7 місяців тому +3

    Kwa kweli wanawake lazima watakua wameumbiwa saruji sio udongo

    • @sabitina-qw4il
      @sabitina-qw4il 5 місяців тому

      Kwanini unaona km wameumbiwa saruji na sio udongo

  • @alnaseralshaukail3350
    @alnaseralshaukail3350 9 місяців тому +3

    Shekhe umegusa maisha yng😢😢 mwenyezimungu akubariki sana

    • @mugemanadjafar911
      @mugemanadjafar911 8 місяців тому

      Sina zaidi japo shukrani na duaa ALLAH ayifanye ilmu hii kuwa yenye manufaa makubwa, salaamu zetu kutoka Kigali Rwanda

    • @tausimpoma347
      @tausimpoma347 8 місяців тому

      ​,kwa kweli tuwaombee saana masheikh wetu ,Allah awajaalie afya njema,,ili tuzidi kupata faida,,

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      Karibu Tanzania mpenzi

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 7 місяців тому

    Mashaallah tabarakaah
    Shukran Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri sana
    ❤:::shukran::::❤
    Mungu akupe pepo inshaallah

  • @menzanealide5183
    @menzanealide5183 8 місяців тому +1

    Mweshimiwa mpaka apo Allah akulipe nusu ya furah zeto

  • @user-xc2sn6pm1v
    @user-xc2sn6pm1v Місяць тому

    ❤❤❤❤❤ nimelipenda somo na nimejidunza

  • @nzeyimanajidah5302
    @nzeyimanajidah5302 8 місяців тому

    Shukran saaana sheik Maneno yamwisho umezungumza yamenigusa saaana yaaani mmewangu ndivyo alivyo nimepata ushauri kutoka kwako nitaufanyia kazi asante sana niliteseka sana mpaka nahisi kuuguwa ugonjwa wa moyo😢

  • @deboramsuya2940
    @deboramsuya2940 8 місяців тому +1

    Mungu akubariki shekhe kwa mafundisho mazuri.

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 7 місяців тому

    Ulichoongea uko mwisho ni mtihani mkubwa mzito Alhamdulillah rabbilaalamiin 😢

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 8 місяців тому

    Wallah nimejifunza kitu
    kweli hapo mwisho
    ndio kwenye mtihan
    wanaume wa namna hiyo
    wapo majumbani humu
    sheikh Shams
    mtihan kweli
    Allah azidishe subra tu

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 8 місяців тому +2

    Aalaykum mashallah mawaidha mazuri sana

  • @taarabmixmart7731
    @taarabmixmart7731 8 місяців тому +1

    Walahi hoyo nayapitiya hadi amenifanya nimekuwa na roho mbaya 😢😢 hajali wala hathamini chochote yani hujuta hadi kuolewa.

  • @karimirambona1766
    @karimirambona1766 8 місяців тому +2

    Nashangaa kwanini watu tunaingia kwenye ndoa bila kusoma. Ndoa inahitaji masomo kabisa. Allah akulipe kila la kheri kwa mafunzo mazuri haya.

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 7 місяців тому

    Uvumilivu wenyewe sikidogo subira kwelkwelii Alhamdulillah rabbilaalamiin

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 8 місяців тому +1

    Maasha Allah baarakallah
    Allah akuhifadh

  • @hanifahnabakiibi6929
    @hanifahnabakiibi6929 7 місяців тому +1

    JazaakAllahu khair sheikh

  • @rahmaMohamed-op9mk
    @rahmaMohamed-op9mk 8 місяців тому

    Shehe,uko,sawa,ujakosea,akitoka,tofauti,akirudi,tuu,unamjua,huyu,leo,ayuko,sawa,mashallah, Allah,akuhifazi

  • @rukayaShabani
    @rukayaShabani 9 місяців тому +2

    Allah akubarik

  • @user-yp1nm6iv3r
    @user-yp1nm6iv3r 8 місяців тому

    Ishaalah shekhe mungu atujaalie wepesi ktk hili

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 8 місяців тому +1

    Uko mwisho umeongea mashalah.

  • @mwanasitidzengo6691
    @mwanasitidzengo6691 8 місяців тому

    Masha Allah watabaraka Allah. Swadkata Shekhe

  • @umfarid247
    @umfarid247 Місяць тому

    Asalaam aleykum shekh mungu akulipe kila la kheil na wewe nimejifunza mengi kupitia fundisho lako shukraan

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 8 місяців тому +1

    😢😢😢 asant she apo umenigusa huyo anaitwa mwanaume mwenje gubu

  • @user-dy8pk6zf2g
    @user-dy8pk6zf2g 8 місяців тому

    Hahaha umegusa nyoyo zawengi ila Twashkuru sana kwa advice thank you.

  • @AishaAbdullah-qj1lt
    @AishaAbdullah-qj1lt 7 місяців тому

    Wallahi haya unayo yasema Kweli lkn kuna watu ukiwaombea dua kwa kizuri walicho kufanyia wanakwambia basi tena hayaaa hayaaaa

  • @haulamohamed5537
    @haulamohamed5537 8 місяців тому

    Mashallah shekhe jazakallahu kheir

  • @shabanmuhammad8675
    @shabanmuhammad8675 8 місяців тому +1

    ni mtihani wallah wangu aniumiza kichwa jambo la miaka 12 lililopita anakumbushia kila siku hana kusamehe nakosa raha kwenye ndoa yy anamakosa mengi hadi ni aibu kusimulia ila haoni

    • @Ukhtyzuhura
      @Ukhtyzuhura 8 місяців тому

      kumbe wapo wengi
      mtihan ukhty wangu
      Allah azidishe subra
      eeeh yeye anakuwa hakosei ...kama malaika
      SubhanAllah
      Allah awaongoze waume zetu waione haki na waifate hakika
      mateso ni mengi majumbani huku

    • @Ukhtyzuhura
      @Ukhtyzuhura 8 місяців тому

      wengine wanakesha
      kwenye mitandao
      ya tv n.k mpaka usiku mkubwa usiulizr ukiuliza
      kosa yeye sio mtumwa
      humpangiii mradi hajatoka
      nje ya nyumba anaona yuko sahihi ..mke kila
      siku unajikuta pekee
      yako chumbani kwenu
      kitandani mume anafatilia
      vipindi bandika bandua
      mtihani wallah

  • @AssinateDinis-np9we
    @AssinateDinis-np9we 8 місяців тому

    Shukran❤❤❤❤ allah akubarik 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @user-oj6qq8up7f
    @user-oj6qq8up7f 9 місяців тому

    Mwenyezi mungu akulipe shekhe

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 4 місяці тому

    Maashaallaaaaah

  • @shamimnawire2682
    @shamimnawire2682 8 місяців тому

    ما شا ء الله و بارك الله فيك

  • @monicawagunda7751
    @monicawagunda7751 7 місяців тому

    Barikiwa sana.

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 8 місяців тому

    Dhahiri sheikh

  • @SAUDAMNYAMATO-f2m
    @SAUDAMNYAMATO-f2m 9 місяців тому

    Allah akulipe shekhe

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 8 місяців тому

    Jazakhallah Kheir Sheikh 🙏🙏🙏

  • @prisikachande
    @prisikachande 8 місяців тому

    masha allah

  • @user-pg6ve4js5s
    @user-pg6ve4js5s 8 місяців тому

    Jazakallah kheir sheikh

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 9 місяців тому

    Jazakaa Allahu kheri

  • @user-cj6pw8zd4e
    @user-cj6pw8zd4e 8 місяців тому +1

    Sheikh Allaah akuhifadhi nimejikagua na kujitafakari ila nahitaji kujua huwa nakosea wapi?

  • @taarabmixmart7731
    @taarabmixmart7731 8 місяців тому +1

    Walahi hayoyote nayapitiya kwangu mumewangu kazi ninayo jamani akuudhi yye akasirike yye kwakweli ni majanga

    • @zainabuali9915
      @zainabuali9915 Місяць тому

      Pole mamy ndio maish watu wote hwako saw

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 7 місяців тому

    Asanteee

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 8 місяців тому +1

    Sheikh naomba namba yako ya simu kwa ajili ya ushauri zaidi.

  • @nzeyimanajidah5302
    @nzeyimanajidah5302 8 місяців тому

    Shukran ❤❤❤❤❤

  • @SalhaTwahil-c4d
    @SalhaTwahil-c4d 6 місяців тому

    Asalam alykum shekhe naomba mawasiliano yake ninamaswali ya kidini

  • @aminamuhammed8839
    @aminamuhammed8839 8 місяців тому +1

    Swadikta tunaomba namba yako

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 7 місяців тому

    😂::kiss😂:::kiss😂:::❤😂

  • @shabanmuhammad8675
    @shabanmuhammad8675 8 місяців тому +2

    nina miaka 22 mpaka sasa kwenye ndoa ila nimateso nikiongea anasema niondoke nikimwambia basi aniache hanipi talaka anasema sio jambo kubwa hio talaka niondoke tu naomba msaada shekh angalau wa mawazo

  • @user-cj6pw8zd4e
    @user-cj6pw8zd4e 8 місяців тому +1

    Ntapataje mawasiliano huwa najiuliza mie nakosea wapi kila sheikh nikimuuliza asema hujakosea ila watu si sahihi

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 8 місяців тому

    Sheikh umepagonga kabisaaaaaaaa na hilo ndio muhimili wa nidhamu ya jamii kwaiyo kuokosa kufahamu saikolojia ya mume,ya mke na watoto hakuna kunachoweza kujengeka kikafahulu juu ya mwanadamu.

  • @abuswaleh4350
    @abuswaleh4350 9 місяців тому

    Jazakallahu khayra mwalim

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 8 місяців тому

    Natamani mume wangu ayasikie haya mawaidha 😭

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      Pore kipenzi😢😢😢😢

  • @Bintmwafurani
    @Bintmwafurani 7 місяців тому

    Shukrani shekhe naomba nisaidie namba za wasap nna shida binafsi na nahitaji ushauri pia ila km haiwezekani kwa namba niambie unapatikana wapi nije nisikilize shida yangu

  • @AishaAbdullah-qj1lt
    @AishaAbdullah-qj1lt 7 місяців тому

    Sheikh umesema Kweli lkn mamba kuuliza tu mbpna kuna watu ukiwaheshimu ndo wanazidi kukudharau hi ikoje

  • @shabanmuhammad8675
    @shabanmuhammad8675 8 місяців тому

    hivi sasa hanisemeshi hataki ni mshtakie mtu yyt ili tusikilizwe ipatikane sulhu ananichukia mpaka ananitamkia na hofia watoto wangu shekh

    • @Ukhtyzuhura
      @Ukhtyzuhura 8 місяців тому

      pole habibaty
      tafuta sulhu

  • @TikTokwin-xi8cd
    @TikTokwin-xi8cd 8 місяців тому

    Kweli kabisa 🙏🙏🙏🙏