КОМЕНТАРІ •

  • @mohamedshee7967
    @mohamedshee7967 3 місяці тому

    Ma sha Allah

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 2 роки тому +2

    Mashaallah,,, Allah akulipe hili ktk mizani yako ya wema kesho akhera

  • @sumol9586
    @sumol9586 2 роки тому +2

    Mwenyezi mungu akuzidishe

  • @aishaissa2691
    @aishaissa2691 2 роки тому +1

    Masha Allah tabarakallah shukran San Allah akupende zaidi na zaidi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому

    Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie umri furaha Tele uzidi kutujuza

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +1

    Jazakallah khayran

  • @ramlajeffah9831
    @ramlajeffah9831 9 місяців тому

    Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu shukran jazila ya ukthi

  • @fawziaabdurrahman2251
    @fawziaabdurrahman2251 2 роки тому +2

    Shukran ustadha kwa darsa nzuri Allah akujalie umri mrefu wenye kheri, akutakabalie amal zako njema, akuzidishe maarifa na ilmu na akubarikie watoto wako na akupe jannah. Na sisi sote ummati Muhammad hivo hivo. Na wasio kua na watoto Allah awajalie watoto wa kheri na tufuate mafunzo tuliopata kwenye hii darsa allahumma amin

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      ALLAH humma Amiin

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому

    Masha Allah, Jazzaka Allah kheri. Darsa zuri

  • @fatumahamadi6072
    @fatumahamadi6072 Рік тому

    Shukran kw ujumbe mzr ALLAH akujaalie siha n Afya njema

  • @karambeuamini4516
    @karambeuamini4516 Рік тому

    Shukran JazaqAllahu kheir

  • @zenahbayeh7371
    @zenahbayeh7371 2 роки тому +1

    Shukurani jazakallahkher

  • @shadyaahmad7066
    @shadyaahmad7066 2 роки тому +2

    Mashallah

  • @saidemuamedeali2678
    @saidemuamedeali2678 Рік тому

    Hongera

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 роки тому +1

    mashallah mashallah

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 10 місяців тому

    Hili darsa liwafikie
    Wote wenye kudhani
    Ya kuwa 40 ni dini
    Kumbe si dini watu wametengeneza Ada
    Badala ya kumfanyia
    Mtoto aqiqah
    Zinafanywa gharama
    Kubwa za shughuli ya 40
    Wengi wao wakidhani
    wametimiza Ibada kufanya hivyo . Shukran Ukhty
    Allah akulipe kheir
    Uzidi kueleimisha umma
    Wa kiislam🤲

  • @user-vi3lz7sz8r
    @user-vi3lz7sz8r 5 місяців тому

    Assalam alaikum ustadhat. Na Je! kama hakuna uwezo nifanyeje

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 9 місяців тому +1

    Mbona hutoi dalili ya hayo unayoyaeleza

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

    Haijuzu muislam mwanamke kuzungumza hadharani mpaka wanaume wakasikia na hicho unachofanya ni haram

  • @saidmuha3997
    @saidmuha3997 2 роки тому +1

    Balaka allhu raka

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 Рік тому

    Shukraan

  • @user-xq6mg1yu1y
    @user-xq6mg1yu1y Місяць тому

    Salaam aleikum warahimathullah wabarakathu,je ni vipi kama imefika siku ya saba na sikupata kichinjoo,je naweza kunya siku nikiwa nimepata,hata kama ni nimiaka kumi au saba?

  • @aminaalmazrui9785
    @aminaalmazrui9785 Рік тому

    Assalam alaykum,natamani niilize masuala maana ata sijaelewa vzr

  • @khamisabduuqataadah8488
    @khamisabduuqataadah8488 2 роки тому +2

    Ukhuty Fatma Mdidi nakuombeni mzingatie Sitara ya kuvaa Niqa'ab Maana mwakaa uso wazi nyusi zaonekana.

  • @mubashop444
    @mubashop444 Рік тому

    Asalam aleykum ukht mi nna shida na wewe

    • @mubashop444
      @mubashop444 Рік тому

      Mimi ni mwanamke mwenzio lakini natumia simu ya mume wangu

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 Рік тому

    Maahaa Allah. Kam mt hakuwahi kufanya hayo wkt mtot ni mchnga na mtot ashfikia mwak mmoj na nusu afanyeje? ktk kuchinja na sadaka

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 Рік тому

      Hayo mengine yatakuwa yamekupita lakini hili la kumchinjia bado lipo unaweza ukamfanyia mtoto wako lakini vizuri zaidi ni siku ya saba na kama utakosa sabaa ya kwanza unamchinjia sabaa ya pili au yatatu

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 11 місяців тому

    Sante dada mxuri

  • @SalumuSaid-vq2kp
    @SalumuSaid-vq2kp 8 місяців тому

    Nahii siku ya arobain yamama kutoka nje ipoje hii kuna majambo gan yapaswa kufanya ama ipo tu

  • @salhin9591
    @salhin9591 Рік тому

    Mashallah