HAYA NDIO MASWALI YALIYOWASHINDA WAISLAMU.
Вставка
- Опубліковано 8 січ 2025
- Maswali yaliyoshindwa kutolewa majibu ya moja kwa moja katika mdahalo wakielimu Je kama mkristo na Muislamu ungepewa nafasi ya kujibu ungejibu nini Tupia majibu yako kwenye comment Hapo chini tupate mshindi hapa youtube.
Ndacha na Daniel Mungu awalinde mnajua sana mubarikie sn
Kweli uwezo wa wakristo umekuwa mkubwa .leo waislamum wamachemsha. Good
Sio Leo Yesu ndio jibu amini usiamini
Hivyo ndivyo kabisa
Waislamu Elimu ndogo sana janjajanja nyingi 😢MUISLAMU OKOWA ROHO YAKO🙏
ACHA UWONGO WEWE NYINYI NDIO KAZI YENU NI KUROPOKA HAMTOI MAANDIKO
MAKAFIRI mnateseka sana kwasababu ya uelewa mdogo
@@drmahwa8166 unajua maana ya kafiri wewe ?
Mungu ni mmoja tu wakiristo wacheni kujichanganya
Naona makafir mnajipa moyo😂😂😂😂mmepigwa kila sehem😂😂😂
Mm nilikuwa mkristo nikaslim shida wakristo mmefubwa macho na maskio😂😂😂😂😂
Kiswahili ni kigumu sana, Kuna mijitu hata uieleweshe vipi haifahamu pia haitaki tu kufahamu.kama huyu ndancha anajua hasa ukweli kuhusu biblia kama siyo lakini anataka lazima awaaminishe wakristo wenziwe kama yeye yupo sawa.
Wakristo amkeni mnapigwa
Uislamu ni wakutengeneza Muhammad ni nabii wa Uongo
@@frankmwakalinga7455 Muamini Yesu uokolewe hakuna njia ingine hata ufanye Nini ni hio nani hio
Sasa haoni hiyo tofauti naye bababa aliyenipeleka ananishuhudia na nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na mwenyezi Mungu ni shahidi jahazi limezama
Islam ws spread by sword and will scatter by the internet.Hongera walimu wetu wakristo
Is true this religion was found with with war panga and sword was used to intermediate follower and threats haleluya tuna Yesu haleluya
WOKOVU WATOKA Kwa WAYAHUDI INJILI YOHANA MTAKATIFU 4:18-22 ....DINI AU NJIA YA MWENYEZI MUNGU LAZIMA WAYAHUDI WAHUSIKE SIYO WAARABU
Ukweli nikwamba mtume muhamadi hakutumwa na mwenyezi mungu,alitumwa na watu kama waraq lbn nawaf na hadija,kwa mujibu wa qurani,waislamu okoeni nafsi zenu mapema kabla mwana wa Adamu yaani yesu hajarudi,kwa sababu hatujui atakuja lini,anaweza kuja wakati wowote so tuwe tayari kumlaki anapo rudi
Quran inasema, nasi tunakutuma na Mungu ni shahidi. Hapo hakuna mahali Mungu amehusika. Nasi tunamtuma MAZINGE na Mungu ni shahidi. Hapo Mungu Ako wapi.
Neno sisi mwenyezimungu atatumia kama uwingi wa kujitukuza
@@saidichilyenga2847Tupe aya Mungu amesema nami natumia wingi kujitukuza
😂😂😂😂😂😂shida makafir uelewa ni mdgo sn
Uislam ni uchawi kwaukweli ni sumu Kweli Kweli
Kwaukweli waislam walikufa Kweli Kweli
Umeongea kweli kabisa
BILA UONGO UISLAM UNAKUFA NI SUMU TU WANAMEZESHWA MADRASA NDIYO MAANA UKUBWANI LEO NI VIGUMU KUMTOA MWISLAM KWENYE UONGO WALIOMEZESHWA.
Wakristo mna matatizo hamuelewi kiswali Wala bibilia tatizo njaa
Mbon swal la mazinge hajajibu
Wakiristo wanao msikiliza ndacha wakiwa na ufahamu sio ushabiki ndio watajua ndacha anaeka viraka na kutafsiri nandiko kwa malengo yake manor ukimjadili yesu ni mungu atasema yesu ni mungu wa kweli ukimjadili yesu ni mwana wa mungu atajibu ndio ukimuuliza yesu ni nabii atasema yesu ni nabii yani kwa mwenye akili atafahamu itakuaje mungu kisha awe mtoto wa mungu kisha awe nabii wa mungu mkiristo soma usibebwe bila kujua wapotea ongoka kabla ya kifo
Iko sahihi mwalimu Ndacha, Yesu ana hivyo vigezo vyote kwako nivugumu kuelewa luka 1:37
Mimi sijawai amini huyo Mohamed coz nashanga amefanya makosa gani munamsalia eti salieni mtume we umesikia salia musa ibrahim ama Jesus nashuku sana huyo jama
Waraga bin aufar kasema nakupa utume au kasemaje ili utume uwe katoa waraga je kwa musa mbona amufiki maaana waraga akuishi kwa muhammad tu
Uyu shafi anaongea vitu zake
na vía kwako sema tuseme
Mulishindwa kujibu mswali ya waislamu sasa ati mwajigamba kwenye mitandao kuwa waislamu washindwa kujibu maswali yenu huu ni urongo mtupu munao jigamba nao niliufatilia midahalo wote na hoja zenu zote ni dhaifu zisizo kuwa na mashiko bali ni ubabaishaji tu
Sasa swaligani alija jibu hapa
Shafi siasa mfano wa kofia....shahidi ni nani?...
Ni Waraq Ibn Nawaf na Hadidja!.
Mimi swali langu kwanini mungu awe Shahid??
juu alishuhudia kukitumwanwa ila sio yeye alitumana
WAKRISTO WANA TATIZO LA KUKOSA KUELEWA HATA KAMA WAME ELEWA WANABISHA TAURATI ZABURI INJILI KURUWANI KWA MITUME WANEE JEE WAULIZENI BIBILIA IMETEREMSHWA KWA MTUMEGANI
ACHENI KUJICHENGUA MASWALI YOTE YAMEJIBIWA NYINYI WAKRISTO NDIO MMESHINDWA KUJIBU MASWALI YOTE MLIO ULIZWA SASA MNAYAGEUZA MANENO HAO WACHUGAJI KAZI KUROPOKA MAANDIKO HAWATOWI ACHENI USHABIKI
Hawafundishiki kama Ni school nikiboko tu
Daniel na Ndacha wako hamjui kiswahili. Kwani Kwani polisi akimwambia mwizi 'unaiba tena mbele ya polisi akishuudia ! " inamaana hapo Kuna watu watatu? Hapo polisi amejifafana ki madaraka yake sio keep kijia lake. Haimaanishi Kuna mtu anamwambia mwizi kauli hiyo huku polisi akishuudia bali aliyeongea Ni polisi mwenyewe huku akishuhudia tukio. Kiswahili kimeletwa na Waarabu hivyo ili mukijue Lazima muwakubali Waarabu.
MashaaAllah exlent example ikiwa wameshindwa manaswara kuvifahamu vitabu vyao (bible) vilivyo andikwa na watu kweli watafahamu maneno ya Mungu (Qur-an). HATUONGEI KWA CHUKI, HAKI IMEBAINIKA
wewe ndio ujui kiswahili hata kile umeandika hapa hatukuelewi ndugu yaku elimu yako ndogo.
Wadau fuatiliane huo mdahalo full ni wa siku tatu nadhani hapo ndo mtaona ukweli nani alichemka..ila nnachokijua wachungaji walijichanganya humo..hakuna utifauti sote binadamu ila muhimu watu tujifunze dini ya haki..dunia ina mafumbo mengi sana
ukisto nidini yakupanga nanibiashara nani asiejua
Waislamu na uislam ni bure kabisa
Sasa tuambieni hao nasi ni akina Nani???
Tatizolenu munauliza maswali alafu munataka mujibiwe munavyo takanyinyi haiendi hivyo tunaji kulingana namaandiko.maswaliyote yajibiwa achaushabiki fanyautafiti.
Ndacha anajua ukweli uko wapi hiyo Ni kazi lazima aitetee
Swali nirahisi,qurani imecema vizuri nasi tumekutuma uwe mtume na mungu ni shahidi,je hawa nasi ni akinanani?maana nasi sio mungu,mungu ni shahidi,je hawa nasi ni akinanàni?
Sikia wewe mkristo hakuswali lolote mkristo anaweza kumuuliza muislam likamshinda.maswali yote yalijibiwa.Daniel hajui QUR'AN hiyo si bibilia.
Acha uongo maana kuna zaidi ya maswali 6 yasio na msajibu ktk uislamu
Leteni Aya ukristo dini ya mwenyezmungu na pia leteni Aya yesu aliingia kanisani mtibatize Sasa hv
Dini Maana ni sawa sawa na Njia, Lakini Yesu katika Yohana 14:6 anasema Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."
Kwa iyo, iyo njia ndio akaiita Ukristo? maana njia ni nyingi,bado panahitajika uthibitisho kuwa ukristo ni njia na dini ya yesu
@@geofreysamwel4945
Huu wako ni upotoshaji kama walimu kina ndacha na mfano wa hao@@geofreysamwel4945
kanisa ni ni
Ata salamu zenyewe niza uongo eti bwana asifiwe
Wap andiko muhammad ni mtume wa uwongu wewe mkristo ulio changanikiwa
Waislamu hawajui kuwa wanapomuongelea Mungu wao kwa kutumia sifa za Mungu wa biblia wanakosea😂
Huna akili mungu ni mmoja tu