GOSPEL CORNER
GOSPEL CORNER
  • 200
  • 514 348
MUNGU HUCHUKIZWA NA WASIO FUATA MAAGIZO YAKE
Je ulikua unajua kuwa unapigwa kimaisha kwa sababu unakiuka matakwa ya Mungu katika Maisha yako?
Переглядів: 58

Відео

MUNGU AU SHETANI
Переглядів 832 місяці тому
Katika maisha yako hua unaamua Nani ashinde
SHETANI PIA ANA MKE NDACHA AKUTANA NA WAISLAM TENA
Переглядів 4222 місяці тому
Kama mnasema Mungu ana Mke basi na shetani kama ana watoto mke wake ni nani? Waislam mje mtoe hoja juu ya hili kwa sababu haitakuja kubadilika Yesu ni Mwana Wa Mungu.
NDACHA ANYOOSHA MIKONO KWA HUYU JAMAA
Переглядів 4322 місяці тому
Huyu jamaa ni mmbishi hatari jionee mwenyewe ndacha anyoosha mikono.
UTATA JUU YA UTATU MTAKATIFU MCH NDACHA VS WAISLAMU
Переглядів 5282 місяці тому
JE Unaelewa vipi unaposikia au kuambiwa juu ya utatu mtakatifu?
P DIDY ANA KITANDA CHA FUTI 50
Переглядів 1243 місяці тому
Hii ni hatari kwa vijana wanaotaka utajiri wa haraka haraka
KANISA NI LA UTARATIBU.
Переглядів 393 місяці тому
KANISA NI LA UTARATIBU.
AL SHABABU VS NDACHA / QURAN SI KITABU CHA MUNGU
Переглядів 9 тис.3 місяці тому
AL SHABABU VS NDACHA / QURAN SI KITABU CHA MUNGU
HIZI NDIZO SABABU KUBWA ZA NDACHA KUUKATAA UISLAMU
Переглядів 8623 місяці тому
HIZI NDIZO SABABU KUBWA ZA NDACHA KUUKATAA UISLAMU
KIJANA WA NDACHA (PAULO) AFUNGUKA KISA CHA KUACHA UISLAMU
Переглядів 3,9 тис.3 місяці тому
KIJANA WA NDACHA (PAULO) AFUNGUKA KISA CHA KUACHA UISLAMU
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
Переглядів 45 тис.3 місяці тому
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
WAPINGA KRISTO WA MBEYA / DUNIA IMEISHA / WANAOA WAKE KUMI
Переглядів 2623 місяці тому
WAPINGA KRISTO WA MBEYA / DUNIA IMEISHA / WANAOA WAKE KUMI
NDACHA AWASHIKA PABAYA WAISLAMU / MUHAMMAD NI MPINGA KRISTO NAMBA 1.
Переглядів 1,4 тис.3 місяці тому
NDACHA AWASHIKA PABAYA WAISLAMU / MUHAMMAD NI MPINGA KRISTO NAMBA 1.
ILEJE
Переглядів 663 місяці тому
ILEJE
SWALI AMBALO WAISLAMU WANASHINDWA KUJIBU MPAKA LEO ! MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA
Переглядів 1,2 тис.3 місяці тому
SWALI AMBALO WAISLAMU WANASHINDWA KUJIBU MPAKA LEO ! MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA
KIMEUMANA SIKU YA KUSALI NI SABATO AU JUMAPILI | UTATU WA MUNGU
Переглядів 4074 місяці тому
KIMEUMANA SIKU YA KUSALI NI SABATO AU JUMAPILI | UTATU WA MUNGU
KUMBE WAHADHIRI WENGI WA KIISLAMU HAWAJASOMA WANATUMIA JANJA JANJA TU.
Переглядів 3164 місяці тому
KUMBE WAHADHIRI WENGI WA KIISLAMU HAWAJASOMA WANATUMIA JANJA JANJA TU.
UTATA UKO HAPA ! YESU SI MUNGU MWANA MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA AKALISHWA KUULIZWA MASWALI.
Переглядів 1 тис.4 місяці тому
UTATA UKO HAPA ! YESU SI MUNGU MWANA MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA AKALISHWA KUULIZWA MASWALI.
MPENDWA YAMESHAANZA! ILA WATU BADO HAWAELEWI KINACHO ENDELEA!
Переглядів 1784 місяці тому
MPENDWA YAMESHAANZA! ILA WATU BADO HAWAELEWI KINACHO ENDELEA!
GOSPEL CORNER TUMEIFIKA TUKUYU RUNGWE MBEYA.
Переглядів 994 місяці тому
GOSPEL CORNER TUMEIFIKA TUKUYU RUNGWE MBEYA.
HAYA NDIO MASWALI YALIYOWASHINDA WAISLAMU.
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
HAYA NDIO MASWALI YALIYOWASHINDA WAISLAMU.
JE YUPI WA KUFUATA YESU AU MUHAMMED
Переглядів 2594 місяці тому
JE YUPI WA KUFUATA YESU AU MUHAMMED
UTACHEKA SHAFII AMKIMBIA NDACHA
Переглядів 9714 місяці тому
UTACHEKA SHAFII AMKIMBIA NDACHA
ETI? KATIKA UKRISTO HAKUNA KUOANA | MUHAMMED ALIKUA HAVUI VIATU ANAPOSWALI | WANAOA WAKE WANNE.
Переглядів 414 місяці тому
ETI? KATIKA UKRISTO HAKUNA KUOANA | MUHAMMED ALIKUA HAVUI VIATU ANAPOSWALI | WANAOA WAKE WANNE.
DAKIKA 20 ZA MOTO YESU NA MUHAMMAD NANI WA KUFUATA MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA
Переглядів 2264 місяці тому
DAKIKA 20 ZA MOTO YESU NA MUHAMMAD NANI WA KUFUATA MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA
MAFUTA YA UPAKO NA MAJI NI UPOTOSHAJI WA JINA LA YESU.
Переглядів 434 місяці тому
MAFUTA YA UPAKO NA MAJI NI UPOTOSHAJI WA JINA LA YESU.
USO KWA USO USTADHI SHAFII NA MCHUNGAJI NDACHA
Переглядів 3094 місяці тому
USO KWA USO USTADHI SHAFII NA MCHUNGAJI NDACHA
MOTO UTAWAKA NENO KWA WAKRISTO KUELKEA SIKU YA MDAHALO TAR 23. KATIBU MDAHALO KIELIMU JEFF MASSAWE
Переглядів 1104 місяці тому
MOTO UTAWAKA NENO KWA WAKRISTO KUELKEA SIKU YA MDAHALO TAR 23. KATIBU MDAHALO KIELIMU JEFF MASSAWE
MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA TAYARI YUKO TANZANIA | SHAFII AJIANDAE KUBATIZWA MWAKA HUU.
Переглядів 3194 місяці тому
MCHUNGAJI FRANCIS NDACHA TAYARI YUKO TANZANIA | SHAFII AJIANDAE KUBATIZWA MWAKA HUU.
NILIUA KWA AJILI YA KAFARA ZA FREEMASON.
Переглядів 664 місяці тому
NILIUA KWA AJILI YA KAFARA ZA FREEMASON.

КОМЕНТАРІ

  • @MicheepaulKoheleth
    @MicheepaulKoheleth 55 хвилин тому

    Umenukuu hadithi gani kwenyi hizo sheria 4 za mtume Muhamadi.

  • @danielkasemba7866
    @danielkasemba7866 День тому

    Nenda motoni wewe kafiri

  • @Samuelkiteto-i7u
    @Samuelkiteto-i7u День тому

    Hawa wanaepa ukweli

  • @juliuslosivu-yu9lv
    @juliuslosivu-yu9lv 2 дні тому

    Mtume Muhammad mama yake ninani na baba yake

  • @nzaisafari4934
    @nzaisafari4934 2 дні тому

    This man NDACHA is destroying islam😂

  • @jrlukuwi1660
    @jrlukuwi1660 2 дні тому

    😂😂

  • @arnoldnyondo
    @arnoldnyondo 2 дні тому

    Kila alie zaliwa hapa chini ya jua aitwae binadamu kibayologia ili uzaliwe lazima mume n mke wakutane ndio kupatikane kitakachopatikana baada ya mke n mume kukutana, sasa basi hawa wanaopiga kelele apa wanitafutie baba yake Yesu ili basi nipate kujua kuwa Yesu sio mwana wa Mungu

  • @josemtataofficial
    @josemtataofficial 2 дні тому

    Msabato sio Mkristo kwahiyo hapo wamekutana wapangani watupu

  • @SalompaMwarabu
    @SalompaMwarabu 3 дні тому

    Okoka wewe namapaster wenu waongo wanao jidanganya ati yesu ni mungu udwanzii tuu kwakili zenu

  • @RichadiMesodi
    @RichadiMesodi 3 дні тому

    KWANZA MNAWEZAJE KUONGEA NAE MANA YESU NI MYAHUDI HUYU SIMKENYA KABISA.

  • @nzaisafari4934
    @nzaisafari4934 3 дні тому

    Muslims are blind...wanasema yesu ni mwana wa yusufu wala si Mungu...Quran yao inasema maryamu alipata mimba pasipo uhusiano wa binadamu 😂...halafu hao ndo wanarud wanasema yesu ni mwana wa yusufu...ata sisi wakristo tunaambin kwamba ni mwana wa yusuf lakin si babake wakumzaa kama mimi na wewe tulivyozaliwa..ni babake tu wakumlea...❤

  • @MussaChivalamba-v4u
    @MussaChivalamba-v4u 3 дні тому

    Huyu aliye ANDIKA ndacha kahubiria alshabu mama Yake naisi alishika mimbq kwakusagana pumbavu

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 3 дні тому

    Aliongeya ki congo😂😂😂😂😂😂😂

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 3 дні тому

    Uyu jama ana kufuru uruma .

  • @SaadamMagweiga
    @SaadamMagweiga 4 дні тому

    Mashine ya kazi ndacha

  • @DismasLupogo
    @DismasLupogo 5 днів тому

    YESU NI MUNGU HAKIKA

  • @ABDIKADIRISSACK-c3c
    @ABDIKADIRISSACK-c3c 5 днів тому

    Sasa Alshababu katoka wapi? Wakristo wengine ni mafala haki😂

  • @dullahomar6377
    @dullahomar6377 5 днів тому

    Baada ya kuburuzwa sana kwenye midahalo na kina Mazinge mkaona na nyie mkasomeshe vijana wenu quran 😂😂😂 saafi, mkija tena kwenye midahalo msimsahau uyu

  • @MariyamSongo
    @MariyamSongo 5 днів тому

    Hayaunasemanikweli.wanasemaniwariziwawo😊

  • @SuleimanFaustin
    @SuleimanFaustin 5 днів тому

    Haujuwe kitu pasteur enda sule

  • @vincentbabili4499
    @vincentbabili4499 6 днів тому

    Kwa bahati mbaya sana ukweli kuhusu kristo huja kwa mtu mwenyewe moyoni mwake. Neno la Mungu linafundisha yeyote atakaye mwamini Yesu atakombolewa. Sasa mnapofundisha kinyume na hapo mwawapotosha watu. Biblia inaeleza wazi, ombi langu ni moja tu. Someni Biblia hasa agano jipya huku mkimwomba Mungu na ukweli utakuja...

  • @Jobatambwe
    @Jobatambwe 6 днів тому

    Ndacha, Mungu akupe hekima, najua wewe nimwalimu kweli.....

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 6 днів тому

    Unajuwa wa sabato hawajuwi roho ni nani.wanaongozwa tuuu na akili ,na hilo ni tatizo kabisa.wana bimacho tuuu ila hawaoni kabisa.

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 6 днів тому

    Unajuwa wa sabato hawajuwi roho ni nani.wanaongozwa tuuu na akili ,na hilo ni tatizo kabisa.wana bimacho tuuu ila hawaoni kabisa.

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 6 днів тому

    Niko congo

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 6 днів тому

    Mimi nilikuwa musabato kabisa nilitoka nilipo sikia mukiojana na daniel mwankemwa nikakuino hauna roho wakukuongoza.unaogonzwa na mwili tuuu.nahaujuwi unacho kusema.

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 6 днів тому

    Ndacha umeruka wazimu.acha mambo yako hayaeleweki.

  • @FrenkDisuzo
    @FrenkDisuzo 6 днів тому

    Ukweli umewauma sana

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 6 днів тому

    Wakipata jibu mtoto anayezaliwa ni wa baba au mama? Watapata jibu yesu ni mwana wa mungu siyo kufru neno hili wala hakuna hatia ya dhambi

  • @rostardsanga
    @rostardsanga 6 днів тому

    huyo anaejiita yesu hapo ananikeraa. guys don't play with God please!

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 6 днів тому

    Mtafute Dr. Zakir Naik akufundishe

  • @JrPatrince
    @JrPatrince 7 днів тому

    Mchungaji ndacha samani kupitiza wakati na yule mshetani mkubwa .

  • @Musemaukweli4320
    @Musemaukweli4320 7 днів тому

    Anyone wanting to know what's Islam, Quran let them follow and listen to fellow Arabic scholars who saw the light. Follow and listen to Sam shamoun Google account a Saudi Arabia guy, who knows Arabic 100%. Jesus is not God, God reviewed himself to humanity inform of a human being. That was prophecised in Old testament 1700 years before christ. The kabal all Muslims go to Saud Arabia to go around is a old Syrian devil symbol which Mohammed and Muslims used to worship. Why do Muslims stone that kabal😂😂😂. Quran =plagirized lies from Bible and Torah. Urge all Muslims to read for themselves the whole Quran, understand, analyze it's ideologies and instantly they will convert to Christianity. Quran existed 600 years after Judaism and Christianity. Quran was written 100 to 200 years after death of Mohammed. Cooked lies&falsehoods scripts. Mohammed himself was not the last prophet according Islam. No lies in Islam, Islam dies. Internet has exposed, destroyed Islamic in the entire world. In Iraq, Iran, Saudi Arabia, Syria millions are converting to Christianity. Do waria know that today we have Somalis for Christianity who has read, analysed Quran and discovered the truth.

  • @IsaacNzai-l7s
    @IsaacNzai-l7s 7 днів тому

    Nuu alitoka wapi wakati wa yesu surely?

  • @hassanmuktaar1198
    @hassanmuktaar1198 7 днів тому

    Whom we gave the books isnot membar this devil ndach he isnot member,He know mutame Mohammed us he know more than his children!!

  • @hassanmuktaar1198
    @hassanmuktaar1198 7 днів тому

    A richt meaning is Those to whom We gave the Scripture recognize him ˹to be a true prophet˺ as they recognize their own children. Those who have ruined themselves will never believe

  • @hassanmuktaar1198
    @hassanmuktaar1198 7 днів тому

    I don’t know how this Muslim are they listening this man,he translated quran 6/20 are wrong meaning

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 8 днів тому

    Nikweli matusi siyo Mazuri kufundishana ndiyo sawa kwa mungu

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 8 днів тому

    Lakn ukichunguza sana waslam wanakuaga na matusi sana..ata kama ujaongea vibaya Lakn matusi ndyo yao...Lakn mkristo akiacha ukrosto haingie wislam utapata akuna anae mtusi..lakn mwislam akiacha wislam aende ukristo utapata anatusiwa sana...

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 8 днів тому

    Gari na kanzu😂😂😂 uwiiiiiii

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 8 днів тому

    ❤❤❤❤Paster ndacha

  • @shembarongo3034
    @shembarongo3034 9 днів тому

    Let the fact remain Ndacha amesoma kitabu chenu kinajosema kwa kweli ata mmi nimekupali kurejea Yesu christo mwana wa mungu wenxangu Walsham bayee

  • @shembarongo3034
    @shembarongo3034 9 днів тому

    Mungu wa mbinguni akupee longlife Mr ndacha kwa kutetea ukweli longlife sir am shemaih from USA

  • @MwatiBienfait
    @MwatiBienfait 9 днів тому

    Uyu ndacha awe ange wasije wakatuhuwiya pastor wetu anao wapiga kila siku mungu mulinde nakila baya yote pasta wetu nipo Burundi ila nafwatiliya yote

  • @MwatiBienfait
    @MwatiBienfait 9 днів тому

    Izo sheriya zamuhamadi zimetuchekesha sana mke wangu nimu slim tulipohona iyi vidio tukiwa wawili amejicheka mwenyewe 😂😂eti kunyowa nywele zambele kuhowa wanamke wengi iyi kweli ni dini yahaki kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MichaelFrank-m1d
    @MichaelFrank-m1d 9 днів тому

    Daah huo usilamu ni qam ujinga mtupu tu wametekwa na walabu akili zao wanajaa ujinga

  • @AbuhamzahJumaa
    @AbuhamzahJumaa 9 днів тому

    Huna lolote Ndacha kasome

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 9 днів тому

    Waislamu kujeni kwa yesu

  • @OmaryMongi
    @OmaryMongi 10 днів тому

    Yaani ktk watu upeo wao mdogo ni huyu ndacha

    • @chrispineacademicus5784
      @chrispineacademicus5784 9 днів тому

      Kipofu wewe,endelea na msimamo wako,utalia siku moja,Shauri yako,Yesu anakufanya unakuwa mtakatifu laki Muhammad wenu hawezi

  • @ApolloOrao
    @ApolloOrao 10 днів тому

    Tuna abudu tunacho jua na kumuona na tunaish naye na tumemgusa bali wao wanaabudu wasicho jua