Bibi ni uvumilivu na Ustaarabu tuu !!! Ila hatujafurahia katazo la kuingia na Muhogo ndani ya Treni. Hhhhhhhhh !!! Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda Bibi zetu
hata mimi nimeona hilo iipswa amuache kijana apo aende kwenye project zingine makutopora mpk mwanza mbona hawatoi report tusiwe wachoyo wa elimu kadogosa kuwa na warisi tembea na vijana waachie maarifa uweke heshima usiishie kwenye project 1 dodoma inaitaji usimamizi mbona hakuna usimamizi kama wa trc kwa nguvu kiasi hichi miradi ni mingi sana
Safiiiii mno Mungu azidi kuwatunza
Nawapenda dada zangu ❤️ 🙌
Bibi ni uvumilivu na Ustaarabu tuu !!! Ila hatujafurahia katazo la kuingia na Muhogo ndani ya Treni. Hhhhhhhhh !!! Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda Bibi zetu
mungu azidi kuwapa uzimja na afya njema wazee wetu wa tabora girls
❤💥
Hongereni sanaa
Wasomi hawa wamenifurahisha sana! Mungu azidi kuwalinda! ❤❤
Una vivu na kadogasa, utakufa kwa wivu, acha kadogaosa afanye kazi, kama posho acha spate, ofisii ipo popote.
Huyu Kadogosa kila siku yupo kwenye treni kwenda Dodoma na kurudi. Kazi za ofisini anafanya saa ngapi? Au ndio posho za safari?