Hongera TRC, Hongera kwa mkandarasi na consultant kwa kazi kubwa sana waliyoifanya wakishirikiana na TRC. Sasa, huyo Jamila wangu yupo wapi? Mbona hajaonekana katika media au mitandaoni kwa muda mrefu sana?
Jaman shushen bei ya Treni Mchongoko watu tunashindwa kupanda, unakuta tren zoote zimejaa ila ya Mchongoko haijawah jaa coZ bei ni kubwa sana na mnatoa treni ata nusu haijajaa mm naona mnaingia hasara
Wew huo mrad umesimama mrad mzima site inayofnya kaz ni1 Tena inawatu wakuhesabu we jiulize tangu mrad umeanza ad Leo ni kalbia miaka2 lkn bdo Wana %7.4 why
@@issahmanyenye6267acha uongo hakuna project iliyosimana, hivi hao wanachokifanya ni nini hapo au wanakata viuno?! Hivi unavyobeza maendeleo ya nchi yako ndiyo unapata nini?! Jifunze kuwa mzalendo!! Kazi zinaendelea labda we umejifungia chumbani huoni yanayofanyika huku ukikoment utumbo!!
Kikubwa mradi uishe hiyo sio barabara kwamba mwaka mmoja uishe ,pia hata kipande cha dar to dodoma umekamilika takriban miaka minne kwahiyo wewe usiingize akili yako ya haraka kwenye mradi unaochukua takriban tirion 16 sio jambo dogo ni mradi mkubwa tokea uhuru hatujawahi kuwa nao,so usichukulie poa@@issahmanyenye6267
Atunajua mnashoot nyinyi ila acheni ushamba wa kuchafua video na malogo yenu katikati ninyi ndi mnastahili kutoa clean video ili kufeed midea zinazotangaza mambo yanayofanyika huu ni ubinafsi na kujazana ujinga uko maofisini ili muonekane mnafanya kazi mnakwaza sana nimejaribu kupitia pitia hii page ili nitengeneze documentar yenu sijapata clean video hata moja nimekuja kupata kwa watu wengine kabisa tena amabao walistahili kujaza ayo malogo
Nisawa kabisa ili watu wajuwe kuwa kunashughuli za Ujenzi wa SGR zinazoendelea, watu wingi wanjuwa Ujenzi umekomea Dodoma na hakuna kinachoendelea Tena, nihaki ya raia kupata habari
Wekeni jitihada zaid ya kufanya reli ya tabora mwanza ifanye kazi kwanza...ikiingiza pesa mnahamua uko kigoma kwa speed kubwa huku mkiendelea hii ya dodoma kwenda tabora taratibu
Target ya serikali ni kuifikisha reli kigoma ili waanze usafirishaji wa mizigo itakayokua inaenda nchin kma burund na n.k zstumie tena bandar ya mombasa na waanze tumia zaidi bandar ya dar es salaam kwasbab ya mizgo yao itakua ikisafirishqa kwa haraka kwa kupitia tren ya umeme ya mizigo.... kama unafuatiria bzur n juz juz tyu hpa TRC walipokea mabehewa ya SGR ya mizigo n kwasabab hyo ....Yote kwa yote Bandari ya Mombasa ijipange maaana sio kwa itakavyopoteza wateja wake ambao watahamia bandar ya dsm
Hongereni sana jamani
Hongera TRC,
Hongera kwa mkandarasi na consultant kwa kazi kubwa sana waliyoifanya wakishirikiana na TRC.
Sasa, huyo Jamila wangu yupo wapi? Mbona hajaonekana katika media au mitandaoni kwa muda mrefu sana?
Jaman shushen bei ya Treni Mchongoko watu tunashindwa kupanda, unakuta tren zoote zimejaa ila ya Mchongoko haijawah jaa coZ bei ni kubwa sana na mnatoa treni ata nusu haijajaa mm naona mnaingia hasara
😂😂😂 VIP hua haizingatii kujaa, na hiyo ndio maana ya VIP
Nauli yake ni tsh ngapi?
😅😅 VIP ndo kiburi chake
Serikali ina pambana kutafuta pesa sa kuendelea kujenga reli hadi mwanza wewe unataka washushe bei! We uta sababisha hata bei zipande wewe nyamaza
Samia apunguze spidi au mnasemaje waungwana😂
Mitano 5
Aongezeee bado bado mpaka nchi nyingne za Afrika zije kushtuka tayar zinatumia vitu vya 'MADE IN TANZANIA' Sio MADE IN CHINA tena😂😂
Zero report from Isaka to Mwanza section, I think nothing is going on there just freezing😢
Hongera sana kwake mkuu wa inchi, hiv mkandarasi ni Nani mturuki au mchona
kipande hicho kapewa mchina
Halafu mtu anasimama bila aibu kusema serikali haijafanya kitu
Wew huo mrad umesimama mrad mzima site inayofnya kaz ni1 Tena inawatu wakuhesabu we jiulize tangu mrad umeanza ad Leo ni kalbia miaka2 lkn bdo Wana %7.4 why
@@issahmanyenye6267mradi unaendelea sio tatizo
@@issahmanyenye6267acha uongo hakuna project iliyosimana, hivi hao wanachokifanya ni nini hapo au wanakata viuno?! Hivi unavyobeza maendeleo ya nchi yako ndiyo unapata nini?! Jifunze kuwa mzalendo!! Kazi zinaendelea labda we umejifungia chumbani huoni yanayofanyika huku ukikoment utumbo!!
Kikubwa mradi uishe hiyo sio barabara kwamba mwaka mmoja uishe ,pia hata kipande cha dar to dodoma umekamilika takriban miaka minne kwahiyo wewe usiingize akili yako ya haraka kwenye mradi unaochukua takriban tirion 16 sio jambo dogo ni mradi mkubwa tokea uhuru hatujawahi kuwa nao,so usichukulie poa@@issahmanyenye6267
Miaka miwili ipi tena😅😅@@issahmanyenye6267
Tunasubir kwa ham huu mradi ufike DRC burundi na uganda
😂😂wakenya wametuchokoza ngoja tuguse Tena batani wakipate twende kwao
Watateseka sana wakati huu😂😂
Tunawezaje kupata hizo kazi?
Nyie jamaa wanafki kwel onyesheni at site 5 znazofnya kaz
😂😂😂😂😂
Atunajua mnashoot nyinyi ila acheni ushamba wa kuchafua video na malogo yenu katikati ninyi ndi mnastahili kutoa clean video ili kufeed midea zinazotangaza mambo yanayofanyika huu ni ubinafsi na kujazana ujinga uko maofisini ili muonekane mnafanya kazi mnakwaza sana nimejaribu kupitia pitia hii page ili nitengeneze documentar yenu sijapata clean video hata moja nimekuja kupata kwa watu wengine kabisa tena amabao walistahili kujaza ayo malogo
Tunahitaji hii SGR ifike DRC iturahisishie biashara na DRC
7.3%?or73?😮
Asilimia 7 mnatanganza..😢 nyangau nyie
Nisawa kabisa ili watu wajuwe kuwa kunashughuli za Ujenzi wa SGR zinazoendelea, watu wingi wanjuwa Ujenzi umekomea Dodoma na hakuna kinachoendelea Tena, nihaki ya raia kupata habari
Kwani sio maendeleo?
Wekeni jitihada zaid ya kufanya reli ya tabora mwanza ifanye kazi kwanza...ikiingiza pesa mnahamua uko kigoma kwa speed kubwa huku mkiendelea hii ya dodoma kwenda tabora taratibu
Target ya serikali ni kuifikisha reli kigoma ili waanze usafirishaji wa mizigo itakayokua inaenda nchin kma burund na n.k zstumie tena bandar ya mombasa na waanze tumia zaidi bandar ya dar es salaam kwasbab ya mizgo yao itakua ikisafirishqa kwa haraka kwa kupitia tren ya umeme ya mizigo.... kama unafuatiria bzur n juz juz tyu hpa TRC walipokea mabehewa ya SGR ya mizigo n kwasabab hyo ....Yote kwa yote Bandari ya Mombasa ijipange maaana sio kwa itakavyopoteza wateja wake ambao watahamia bandar ya dsm
Kwani mchongoko na hizo zingine zinatumia mafuta gani? Mpaka mchongoko iwe na bei ya juu zaidi
Mchongoko umeme 😂😂
Zote zinatumia umeme, isipokuwa mchongoko ni EMU ina speed zaidi, na configuration ya ndani ni luxury zaid.
😀😀😀 Alaaaa kumbe umeme nlisahau😅
@@drom_inthehouz basi zile mchongoko ndani ndo ovyo kuliko zile zingine ziko poa zaidi
Wapi Benny Mwanantala???
Jina langu ni Ben Mwanantala na mpiga picha wangu ni Augustino bulegea Reli Tv, hapa kazi tuuuu😂
@isackrichard6356 Yuko wapi mwamba huyu?
Dodoma singida mwanza imefikia wapi?