MUONEKANO WA NDANI NA NJE WA TRENI ZA MWENDOKASI "INTERNET NI BURE, SPEED NI KASI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 339

  • @_born84
    @_born84 11 місяців тому +25

    With this new railway Tz is set to be a serious logistics hub in Africa .
    Congratulations Watanzania!

  • @nzizajovinpaul4955
    @nzizajovinpaul4955 11 місяців тому +8

    Tanzania nchi tajiri na Mama samia atasababisha wananchi wapate usafiri Mzuri. ❤❤❤ Keep Moving forward Tanzania.

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 місяців тому +16

    Dr, Samia yupo vizuri, na hatuna shaka nae, maana alikua pacha wa jpm, shida ni Yale mafisadi yalio chini yake.

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 місяців тому +4

    MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI 💪💪💪🇹🇿 Hakika Raisi Dkt John MAGUFULI alitengeneza ALAMA icon ambayo haitasahaulika milele na Taifa 🇹🇿 na DUNIA 💪💪💪💪

  • @J4UPro
    @J4UPro 11 місяців тому +11

    Hongera sana baba huko uliko

  • @HassanMoha-rc8oq
    @HassanMoha-rc8oq 11 місяців тому +15

    Hongera nchi ya Tanzania Hongera mama samia songa mbele kwa kujenga Tanzania 🇹🇿

  • @salimsaid9852
    @salimsaid9852 11 місяців тому +3

    Hongera sana Mama Samiha.Treni zimependeza sana ila hofu yangu ni suala La usafi sijui tumejipangaje.na Walichofeli Waandishi wa habari kwenye hii dhiara ya majaribio hawakuwauliza wakurugenzi juu ya suala la USAFI.

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 11 місяців тому +6

    Wahoooo am exceedingly humbled am profoundly honoured in My President 's leadership. Her Excellency Samia Suluhu Hassan...

    • @KomboHajj
      @KomboHajj 11 місяців тому

      Ongea kiswahili wew

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 10 місяців тому

    Rais SH.Kazi nzuri endelea hivi hivi kuipatia maendeleo makubwa nchi yako Tanzania ndo nyumbani tutazunguka huko tutarudi nyumbani Tanzania.Big up SH,My president.

  • @vero57
    @vero57 11 місяців тому +15

    Asante sana magufuli, ndiyo leo wamemaliza kazi ya train 🚉

    • @edwinmakingi3631
      @edwinmakingi3631 11 місяців тому

      Bado hawajamaliza, bado sana

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 11 місяців тому +1

      Uyo dada anasema asane laisi samia kwa kulinda kibarua chake ionekane samia ndo anafanya kaz hii lakin kwenye comet ni magufuli2 we ka na uyo samia wako

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 11 місяців тому +4

      Hongera Mama Samia kwa kazi nzuri

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 11 місяців тому

      ​@@halunimnenwa5224
      Na wewe nenda chato kakae na huyo Magufuli wako

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 11 місяців тому +3

      Hongera Mama Samia kwa mwendelezo na Kupiga hatua mbele

  • @AlfredMapile
    @AlfredMapile 11 місяців тому +25

    Maua maua ndugu yetu Hayati Magufuli. Pumzika kwa Amani Baba

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 11 місяців тому +6

    Kuna vingi vya kumuiga mzee wetu magufuli mungu amsamee baazi yamakosa yake🙏🙏

    • @J4UPro
      @J4UPro 11 місяців тому

      Hakuna aliyekamilika mkuu.

  • @BatuliSalehe
    @BatuliSalehe 4 місяці тому

    Wow nycee😍😍

  • @KELVINSOSPETER
    @KELVINSOSPETER 11 місяців тому +4

    KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 11 місяців тому +1

    Hongera sana Tz hongera Mama yetu Samia hongera Watanzania wote kwa ushirikiano na mapokezi mazuri

  • @susanmauno8207
    @susanmauno8207 11 місяців тому +1

    Congratulation tanzanian thats a big step

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 10 місяців тому

    Tanzania congratulations and I hope magufuli alifanya makubwa walio achiwa wanatekeleza vizuri kazi iliyo bakia kongole Mama samia

  • @jbmaru96
    @jbmaru96 11 місяців тому +2

    Much better than Kenya big up wooooohoooooo

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 11 місяців тому +2

    mashaAllah kama ndege❤

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm 9 місяців тому +1

    Hongera mama samia

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 11 місяців тому +2

    Kama lengo ni kumpongeza hayati Magu basi na Mh SSH apewe maua walikua wote.Tusisahau hio plz😂😂👏👏👏

  • @robertmkude8234
    @robertmkude8234 11 місяців тому +4

    Thanks JPM & SSH

  • @AgustinoCharlesfungo
    @AgustinoCharlesfungo 11 місяців тому +5

    Asante Mungu kwa neema hii ya usafiri huu hii hakika ni hatua kubwa Sana

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 11 місяців тому +1

    VERY COOL..Lakini nimeshangaa kuona katika VIDEO HII kwenye dakika ya 3:32 ....UTAONA TRENI IKIWA NJIANI KWENYE MWENDO HUKU BAADHI YA MILANGO IKIWA WAZI.....Huku EUROPE HAKUNA TRENI YA UMEME INAYOWEZA KUFANYA KITUKO KAMA HICHO...#USALAMA KWANZA ... NI KOSA KUBWA HATA IKIWA NI MAJARIBIO...HAIRUHUSIWI....

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 10 місяців тому

      Ndio Bongo hii mzazi acha tu

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 11 місяців тому +17

    Baba magufuri tutakukumbuka 😢😢😢 daima

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 11 місяців тому +4

      Tusiwe wabinafsi,magufuli kweli alianzisha lkn si wapo walioendeleza!kwanini wote tusiwapongeze?

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 11 місяців тому

      Hakika Jembe letu baba upumzike kwa amani , amina🎉🎉🎉

  • @ismailisungura3491
    @ismailisungura3491 11 місяців тому

    Tuta kukumbuka daima JPM congratulations jembe

  • @lameckmagunya7013
    @lameckmagunya7013 11 місяців тому +8

    Hongera kwa serikari

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 11 місяців тому +16

    Usafi please na utunzani
    Sio mauchafu kutupwa ovyo

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 місяців тому +1

    PONGEZI kubwa Ziende kwa Raisi wetu DKT John pombe MAGUFULI 💪💪🇹🇿🫡

  • @seifwashule274
    @seifwashule274 11 місяців тому +5

    big question is! je tutaweza kuendeleza na kutunza, au itakuwa kama mabasi ya mwendokasi☹

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 місяців тому +2

    PONGEZI kubwa kwa Raisi Dkt John pombe MAGUFULI

  • @JumaRichard-k3b
    @JumaRichard-k3b 11 місяців тому +1

    Nampongesa rais wetu samia , hakika hajatuangusha , huyu ni kiongoz kwelikwel

  • @nassrabarwani1548
    @nassrabarwani1548 11 місяців тому

    Tuitunze jamani tuwache Uswahili na tuwe na nidhamu big up Tanzania!

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 11 місяців тому +4

    Jembe Magufuli aliona mbali , iko poa sana

  • @Calex-the-Pilot
    @Calex-the-Pilot 11 місяців тому +4

    Ningependekeza Rangi ya viti vya Bussiness ibadilishwe au ifanyiwe ubunifu ipendeze, rangi moja tu tena ya orange haiji kabisa! Viti vya Economy vina muonekano mzuri kuliko vya Bussiness!

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 11 місяців тому +5

    Msingemuua mwamba mpaka Leo tungekuwa mbali sana ... Rip malume Magu walikuua ili wanifanye wao ndio walioleta maendeleo

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 11 місяців тому

      Pole😅

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      Yule mjinga na yeye aliua wengi anaeua Kwa upanga nayeye atauwawa Kwa upanga kwahiyo utetee ujinga

    • @mancholotrasco8350
      @mancholotrasco8350 11 місяців тому

      @@robertphilip385 alimuua nani Kwa ujinga acha kusifia wapumbavu wanaojiita viongoz wakat wanakula rushwa tu ... Hayo maendeleo unayoyaona Leo ni mipango ya magufuri yote ... Mnasifia kiongoz anaueshindwa kubalance bei ya sukari na miunodombinu ya umeme nchi gani hiyo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      @@mancholotrasco8350 Ben sanane nawengine wengi alijaribu kumua Lisu mungu akakataa likafa yeye jinga kabisa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      @@mancholotrasco8350 Ben sanane nawengine wengi alijaribu kumua Lisu mungu akakataa likafa yeye jinga kabisa

  • @youngrich6661
    @youngrich6661 11 місяців тому +2

    Tanzania on top

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 9 місяців тому +1

    Magu kwanini mnashindwa kumtaja mnatufanya sisi niwajinga hatujui amewakosea nini magu jamani toka aondoke magu mambo yamekuwa nimagum sana magu aliacha kuonganishiwa umeme elfu ishirini tu toka aondoke imekuwa nizaidi yalaki tatu hamuoni utofauti nimkubwa sana

  • @SHABANIFOTUNATUS
    @SHABANIFOTUNATUS 11 місяців тому

    Hongera sana kazi inaendelea

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 11 місяців тому +2

    Magu hooooyeeee mungu akupunguzie adhabu uko ulipo wameaanza kujaribu miladiyako baba ila wameiijumusana Sina uakika Kama watamaliza Kama ulivyotaka iwe baba watu wanaujumusana miladiyako

  • @KapuliMkayala
    @KapuliMkayala 9 місяців тому

    Ongeleni sana

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 11 місяців тому +4

    kweli tanzania imendelea sana kuliko kenya pongezi wa bongo

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 11 місяців тому +11

    Hasante marehemu maghufuri kwa kuanzisha treni hii na hongera mama samia kwa kukamilisha treni kufanyakazi leo

  • @timotheeciza1592
    @timotheeciza1592 11 місяців тому

    Hongera sana président Samia na heshima kubwa sana kwa malehemu Magufuli

  • @jkomedikaduli
    @jkomedikaduli 11 місяців тому +21

    Maguuu maua yake huko mbinguni amen

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 11 місяців тому +1

      Nani kakwambia yupo mbinguni

    • @dullahmmebela5624
      @dullahmmebela5624 11 місяців тому

      Mimi nimesema!!!​@@letthedeadburythedead2148

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 11 місяців тому

      @@letthedeadburythedead2148 basi huko aliko

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 11 місяців тому

      Kila kitu magu, magu nyie mnazani hakuna mwingine angeweza kufanya hivo...

    • @radhiaomary5591
      @radhiaomary5591 11 місяців тому

      @@piusgadau6328kumbuka yy ndo kaanzisha

  • @mwinyimatopa2283
    @mwinyimatopa2283 11 місяців тому +8

    Hongera Sana Kwa serikali na za kipekee Kwa magufuli huko aliko

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 11 місяців тому +1

    Msifieni basi na JPMagufuli huyo ndio mwamba aliye tufumbua macho na kuweka kifua mbele

  • @godfreynoya6670
    @godfreynoya6670 11 місяців тому

    👏👏👏👏

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 11 місяців тому +1

    Mimi nina wasiwasi mkubwa kwenye usafi wa ndani na nje ya treni,na ubora wa huduma zote,tukifeli hapo kwa muda mfupi treni itakuwa haitamaniki kabisa!

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x 11 місяців тому

    Magufur mungu akutunze pastor

  • @ABUBAKAROMAR-vz7jl
    @ABUBAKAROMAR-vz7jl 11 місяців тому +2

    Kusema kweli mumetushinda yetu ya kenya

  • @thedaveiknow.
    @thedaveiknow. 11 місяців тому

    This is way better than the kenyan SGR..and for way cheap..Uhunye alituosha manze😢

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 11 місяців тому

      Kama Uhuru aliwaosha,Ruto atawakatakata Kama kitunguu.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 10 місяців тому

    Yeah! Tanzania kila la heri na maendeleo.

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 10 місяців тому

    ❤️ ALHAMDULILLAH❤️🇹🇿🇦🇪

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 11 місяців тому +14

    R I P Magufukuli uliyo achaa bado na endelea Kwa wa Tanzania Allah akupe Nuru uko uliko Sleep well still remember you comred

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 11 місяців тому +4

      hili ni wazo la jakaya ndie alieanzisha maqufuli akarithi rejeeni historia

    • @AloneChuga
      @AloneChuga 11 місяців тому +2

      Atii wazo la kikwete,mbona alishindwa

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 11 місяців тому

      @@AloneChuga alishindwa wapi wewe wafadhili wakwanza katika ujenzi huu wa reli ni nani aliewashauri au ulikua bado unanyoya?

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 11 місяців тому

      ​@@AloneChugana huyo magu wenu pia kashinda. Bisamia oyee. Magu kazi yake alikuwa ni kufilisi watu tu

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 11 місяців тому

      Lazma ujue kwamba sio kila mpango mkakati unapo pangwa na serikali ni lazma ufanyike kwa wakati huo huo hasa ktk miradi mikubwa ya kimkakati inahitaji umakini wa hali ya juu ikiwezekana yanakusanywa maoni juu ya kilicho wasilishwa hivyo basi wala usikatae hii miradi mikubwa ya nchi inakuwepo ila utekelezaji wake ndo huchua muda wazo linakuja awamu ya 6 ila utekelezaji unakuja awamu hata ya 8​@@AloneChuga

  • @isaacmusa2977
    @isaacmusa2977 11 місяців тому

    😂😂😂ata hawa wamegongwa pia...

  • @tonotvonline3070
    @tonotvonline3070 11 місяців тому +1

    ...R.I.P MAGUFULIII🙌

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 11 місяців тому +8

    Magufuli hayupo kimwili lakini bado anaendelea kufanya kazi

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 10 місяців тому

    Nakupenda Tanzania

  • @outzone66
    @outzone66 11 місяців тому +6

    Huyo alikwenda kunawa kwenye fountain tap itakuwa haijui matumizi yake. Hiyo ni kwa matumizi ya kunywa maji

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 11 місяців тому

      Mh!umemuona kumbe?

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 11 місяців тому +1

      Ndio wanatakiwa wawafundishe abiria jinsi yakutumia vitu vilivyomo humo ndani bila hivyo ni shida.

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 11 місяців тому +4

    Mbona za wenzetu hazipo hv au zile ni za Gesi😂😂😂😂

    • @MikereMio
      @MikereMio 11 місяців тому +1

      mtumba huu 🤣🤣🤣 ulikuwa ushatupwa wao wameenda kuununua

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 11 місяців тому

      Samahani mwenzako yupi 😂

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 11 місяців тому +1

      Mwenzako yupi? Hatuwezi kua grade moja hapa duniani labda mbinguni😂😂😂

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 11 місяців тому +1

      @@KiongoziMwandamizi hata mbinguni hawezi kalia kiti cha Musa,

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 11 місяців тому +2

    Bale kigamboni Ile Panton Kuna TV sijui Ile TV inafanya kazi gani hiii miaz kumi na Moja napita na mv hapa kazi tv Ile sijui wausika wapo kaburini😊

    • @amospotievents960
      @amospotievents960 11 місяців тому +1

      Itawaka kipindi cha kampen kuwa mtulivu😂😂😂😂

  • @StevePastor-g2e
    @StevePastor-g2e 10 місяців тому

    Hakika yapendeza sana

  • @adamuselemani6173
    @adamuselemani6173 11 місяців тому +1

    Hamna treni treni wamesha ichakachua ilitakiwa ije ya kufanana na ndege Hiyo ndio mwendo Kasi,,,Sasa hii Kama ya kwenda kigoma 😮😮😮😮😅

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 11 місяців тому

    Naomba kazi

  • @lupamwakyusa1582
    @lupamwakyusa1582 11 місяців тому

    R I P Magufuli 💪, japo sidhan kama ndo ilikua aina ya mabehewa uliyoyakusudia na mda ulioupanga kuanza kufanyakazikwa trenii

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 11 місяців тому +2

    MAGUFULI ❤R.I.P

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 11 місяців тому +2

    Mama Samia namba one tz. Hana ubaguzi yy ni kazi kazi. Wenye roho nyeusi wabakinazo tu.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 11 місяців тому

      Samia kafanya Nini wew boya!

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 11 місяців тому +1

      @@miltonjohn9779 boya mwenyewe mkundu mweusi kama nyani. Ww huwezi kuona kafanya nini kwani roho yako inachuki binafsi. Chuki zinamfanya mtu awe kipofu.

  • @diallorant
    @diallorant 10 місяців тому

    Hatuna imani😮 na umeme

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 11 місяців тому +1

    Magu❤❤😢

  • @salimshuba5804
    @salimshuba5804 11 місяців тому +3

    160kph ni ndogo sana kwa tren ya umeme...inabid iwe kuanzia 200kph na zaid

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 11 місяців тому +3

    Nawaza huo mgao wa umeme sasa?

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 11 місяців тому +1

    Manno ya Magufuri haya

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 11 місяців тому +1

    Kwa namna ya usafi wa wa Tz na kutokujali mambo nina wasiwasi wa kujaa kunguni humo.
    Tukijengewa hata masoko mazuri ghafla utaona wengine wanauza bidhaa chini na kujipikia hovyo hovyo ktk mazingira machafu,
    Kwa kifupi hatupendi kulinda usafi

  • @Keytv254
    @Keytv254 11 місяців тому +3

    Tanesco naye ni nani😂😂😂

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 11 місяців тому

      Hawamjui vzr.. Ye yuko pale anawazoom tu😂😂

  • @RashidMtoi-o4k
    @RashidMtoi-o4k 11 місяців тому

    Tumetoka Mbali Nakumbuka.Nimewahi Kupanda Treni Ya Makaa Yamawe Nikitoka Mombo Kwenda Arusha Nikiwa Mdogo Na Marehemu Bibi Yangu Nikaja Kupande Tofauti Na Ile Nikiwa Mkubwa Na Leo TZ Tunaingia Ya Kutumia Umeme Kweri Tumepiga Hatua IPO Siku Nahiyo Nitaipanda

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 11 місяців тому +2

    Mama fanyen kwel tok dar to arusha kabla ya afcon itakuw mmechez...watu watatak kutalii zaid kupitia tren

  • @anordmwesiga8717
    @anordmwesiga8717 11 місяців тому +1

    Mbona muda ni mrefu sana..dar to moro dk 90 ni nyingi sana..

  • @castroydaimon3107
    @castroydaimon3107 11 місяців тому

    JPM❤

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 11 місяців тому +2

    Ubinadamu KAZI, tayari mmeshamsahau muanzilishi wa huo mradi hazungumziwi magufuli kabisa sifa zote mnapa mtu mwingine, msiwe waizi wa fadhili, mpeni Maua yake hatakama hayupo duniani

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 11 місяців тому

      Yani Kuna mpuuzi mwingine huko juu eti Jakaya ndo alitoa wazo

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 11 місяців тому +1

    Muna watu wanawaza speed tu, acheni wamalize haraka zenu mtakuja kutuua. Mlivo na maneno mengi ndo ivo ivo ivo usimamizi mdogo unuaji mwingi

  • @andrewmashika3756
    @andrewmashika3756 11 місяців тому

    Hongera TRC. Hio full a/c ikipata hitilafu madirisha yanaweza kushushwa?

  • @QueenMushi
    @QueenMushi 11 місяців тому +1

    Tunaomba ifike na kilimanjaro arusha jamani 😊

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 11 місяців тому +1

    RIP Magufuli🎉

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 11 місяців тому +1

    Hongera sana Mama Samia , yeyote leo atakayekutukana Mama Samia Mimi ninaye 😊

  • @TerhasTsegaye
    @TerhasTsegaye 11 місяців тому

    Ethiopia is electric ⚡ boss

  • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
    @ANTHONY.V.I.Ptanzania 11 місяців тому +1

    😢😢😢r.i.p baba magu

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 9 місяців тому

    Hizo siti za Watu watatu hapana aisee.... sijui watakuwa wanapima watu kg.....

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 11 місяців тому +1

    Dada unaongea points tupu😊😊😊

  • @diallorant
    @diallorant 10 місяців тому

    Bora nipande Lori halichelewi kukata umeme porini 🤣🤚

  • @Jusmiracyprian
    @Jusmiracyprian 8 місяців тому

    huyo ni baba jaman

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 8 місяців тому

    Nauli bei gani

  • @franssmoses6791
    @franssmoses6791 11 місяців тому +1

    Amna treni hapa temepigwa kwa wenzetu izo ni treni za kubeba mizigo muonekano wa nje kama semi trela

  • @kevoowade2794
    @kevoowade2794 11 місяців тому

    Nice one

  • @wilsonlevayoni2361
    @wilsonlevayoni2361 11 місяців тому

    Speeed apana bhna mnatupanga

  • @AbdulkarimMpili
    @AbdulkarimMpili 11 місяців тому

    Hunger sn Tanzania km alivyosema JPM Tz ni nchi Tajikistan basically ht kulipwa mshaha kwa mtu m1 m1 inawezekana. DHAHABU,ALMASI , BANDARI NA MBUGA ZA WANYAMA ,

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 11 місяців тому +1

    Mnajitoa ufahamu mwanzilishi hatajwi kabisa,

  • @swaloweddingcollection
    @swaloweddingcollection 10 місяців тому

    Kwa SISI watu wa mbeya 😢 inakuwaje

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 11 місяців тому +1

    ziitwe JPM rail ways hilo jina la mwendokasi limekaa kishamba sana

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 11 місяців тому +2

    Magu angekuepo Hadi leo bongo ingekua inakalibia kufanana na South Africa

    • @jonijomk3107
      @jonijomk3107 11 місяців тому +1

      🤪🤪🤪🤪🤪🤪

    • @khadujifuad9360
      @khadujifuad9360 11 місяців тому +1

      Amka ukakojoe ulale naona bado umelala