mm philipo justine na swali kwako naomb unisaidie kuna mtu kila siku huwa ananena na huwa na jeruhika sana wako wawili wana ni ponda keamba mim na hila nikijitazama sina hila wanayo isema
Hata mimi sielewi!! Una kanisa kubwaa lakin waumin wako wako hoi hata mimi sielewi, mnajenga shule kwa mchango wa waumini lakin wanakosa Ada ya hiyo shule hata mimi sielewi @mahubiri tv
mchungaji hapo kwenye habari ya martin lutha alipozungumzia habari ya kama wazazi wake wangekua wamekufa angekua tayari kufanya matendo yake mema ili kuwatoa toharani. je TOHARANI NI NINI? NA JE NI WAPI? . JE MTU AKIFA ANAKWENDA HUKO TOHARANU AU ANAMRUDIA MUNGU? msaada tafadhali
Mchungaji hili somo naomba ulirudie kwa kina bado sijaelewa vizuri hyo siri mimi kuna wakati nafika nakuwa sina amani na Mungu kutokana na dhambi zangu hasahasa zile za kujirudia Mchungaji nieleweshe vzuri hili fumbo maana bado haliiingi akilini kabisa bado nna hatia japo mimi ni wa humuhumu kwetu sisi wa siku ya saba. aliyeokolewa akiendelea kuwa mkosefu Mungu huamua nini?
Mungu akubariki sana mchungaji nabarikiwa sana namahubiri yako
Mafundisho makuu kweli kweli. Ubarikiwe Mchungaji. Mungu aendelee kukuongeza hekima. Amina!
Amen Bwana apewe sifa milele nimeguzwa mchungaji nasikia kufunjika mbele za BWANA MUNGU Ooh Yesu nisamehe mimi mtenda dhambi.
AMEEN hakika Mtumishi wa Mungu ,hofu ni hatai mbele za Mungu na hata ktk maisha yetu.
Ubarikiwe sanaaa PR
Shalom pastor asante kwa hili somo nimejua Mungu ananipenda sana God blues you
Naomba mwendelezo wa sehemu ya pili. Mungu akutie nguvu mchungaji.
Ngendahayo Ngena Samuel Utakuja hivi karibuni
Asante Yesu , umeniona uovu wangu
Amen
Ubarikiwe muchungaji mungu akoinuwe glory to God AMEN AMEN
Asante sana mchungaji nabarikiwa sana na mahubiri yako, Mungu wetu azidi kukufunulia zaid ili uzid kutulisha sisi wenye njaa
Ubarikiwe sana mchungaji mahubiri yako yamebadli
isha maisha yangu nimeamua kubatizwa.
Amen! Mungu akubariki
Amina
Ubarkiwe
Ubarikiwe mtumish
Amina
Nimekuelewa Mchungaji, Asante, yote ni kweli. Bwana Mungu atuhurumie.
Have been blessed very much,the blood of Jesus Christ cleanses
Amen. Somo limekuja kwa wakati nilipo lihitaji. Asante Yesu.
Dorah Mcharo Amen
Ubarikiwe Sana Pr. Somo zuri mnoo
Hakika Mungu akuzidishiuye Upeo wake, na aturehemu tulipo mkosea% Amen.n
Nakpenda mchungaji Mbaga hakika Roho wa Mungu yupo juu yako ubarikiwe
Amen ubarikiwe sana Mchungaji
Hakikaa mungu yupamojaa nasii
Ubarikiwe sana pastor
Mungu akubariki sana
Asante sana Mchungaji Mungu azidi kukutumia
Neno zuri Asante Mungu wangu
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU.
hofu na hatia kwa kweli nimejifunza mengi Mungu akubariki PR nakuombea sana
Hallelujah
Mungu akubariki sana Mtumishi
AMEN & AMEN
Pastor Mmbaga barikiwa endelea kutuelimisha ili tumjue Mungu
pastor nabarikiwa sana na masomo yako. uende mbali...
🙆♂️🙆♂️🙋♀️.haleluya,
Amen 🙏🏾
Amen Amen
Amina
Ubarikiwe mchungaji
amen
Amen
amen sana
Ameen
Mimi pasteur kwakwili siyo wewe unaye sema Nami, ila ni kristo peke yake, ubarikiwe Sana baba
Amen barikiwa sana pastor
Mungu akubariki sana pastor. Nabarikiwa Na mm nahtaji Mungu apate kuniokoa maana najiona cfai kupitia Roho Mtakatifu naamini nitaokolewa.
nι ĸwel нoғυ ιnaυмιza wengi
Amen, umenifungua macho kwa somo hili.
Amen 🙏🏽
asant ,MUNGU badilisha maisha yangu
Amen 🙏🏻
Amena
Mungu wetu niwaupendo anaendelea kutufunulia sili hizi nzito nakupata mchungaji toka hapa Tabora
Mchungaji niko na brother zangu watatu wako na uraibu naomba mungu awakomboe kutokana na hiyo hali
Mungu atende
mm philipo justine na swali kwako naomb unisaidie kuna mtu kila siku huwa ananena na huwa na jeruhika sana wako wawili wana ni ponda keamba mim na hila nikijitazama sina hila wanayo isema
Amina👏👏😂😂
Hata mimi sielewi!! Una kanisa kubwaa lakin waumin wako wako hoi hata mimi sielewi, mnajenga shule kwa mchango wa waumini lakin wanakosa Ada ya hiyo shule hata mimi sielewi @mahubiri tv
Ndio.
mchungaji hapo kwenye habari ya martin lutha alipozungumzia habari ya kama wazazi wake wangekua wamekufa angekua tayari kufanya matendo yake mema ili kuwatoa toharani. je TOHARANI NI NINI? NA JE NI WAPI? . JE MTU AKIFA ANAKWENDA HUKO TOHARANU AU ANAMRUDIA MUNGU? msaada tafadhali
Nilikuwa na hofu lakini nimeamini hata hivi nineema ya Mungu
Mchungaji hili somo naomba ulirudie kwa kina bado sijaelewa vizuri hyo siri
mimi kuna wakati nafika nakuwa sina amani na Mungu kutokana na dhambi zangu hasahasa zile za kujirudia
Mchungaji nieleweshe vzuri hili fumbo maana bado haliiingi akilini kabisa bado nna hatia
japo mimi ni wa humuhumu kwetu sisi wa siku ya saba.
aliyeokolewa akiendelea kuwa mkosefu Mungu huamua nini?
Neno linasema umebarikiwa mkono Wa utoaji kuliko wakupokea
Bado ukitoa kwa wingi utabarikiwa na si kuokolewa
Somo zuri limenifanya nibadili dhana mbaya ya kutoa ili nibarikiwe,,,,sasa nitatoa kwasababu nmeokolewa
Amina
Ubarikiwe
Eee Mungu nisamehe dhambi zangu ili nipate kibali machoni pako.
Amina
Natamani Wenzangu wa Sloam wasikilize huu UFAHAMU wa kweli
Amen paster
Amina
Amen Amen
Amen
amen
Amen Amen
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen