ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Kila mwanadamu ndani yake kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,na sababu za Mungu kuuweka huo uwezo ndani yako ni kwa sababu kupitia hicho anategemea faida kutoka kwako.Njia hii ukiigundua na kupita ni njia iliyojaa faida nyingi.Wengi tunapitia changamoto sana kwa sababu njia tunazopita sio njia tulizoumbiwa kupita,kazi tunazofanya sio kazi ambazo Mungu ametuumbia kuzifanya.Mungu ameweka vipawa na uwezo mkubwa sana ndani yetu,lakini kwanini havizai matunda?
    Kupitia somo hili utajifunza kwa undani kama upo kwenye njia sahihi au la,na kupitia hili somo ufahamu wako pia utaenda kufunguka.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....

КОМЕНТАРІ • 40

  • @alexrodrick9435
    @alexrodrick9435 3 місяці тому

    my pastor my best bible teacher

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Рік тому +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @neemashabani5860
    @neemashabani5860 Рік тому

    Amen

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d 8 місяців тому

    Ningetamani hili SoMo ngelisukia miaka miwili iliyopita Lkin Mungu mwema Atanisaidia

  • @lindahkeverenge8496
    @lindahkeverenge8496 2 роки тому +3

    Powerful message MAN of GOD 🙏 be blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hwenys
    @hwenys Рік тому

    JESUS REIGNS

  • @user-xj6rk8nv1k
    @user-xj6rk8nv1k 11 місяців тому

    Mbn kama unayasemea maisha yangu naona Nina kitu kikubwa na mungu ameongea nami lkin mambo yanachelewa kutokea

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d 8 місяців тому

    Nimebarikiwa

  • @christophermalilah7110
    @christophermalilah7110 3 роки тому +1

    Nimekuelewa ubarikiwe mtumishi

  • @kitundubarikimisholi7329
    @kitundubarikimisholi7329 2 роки тому

    Neno lako Bwana ni kweli.Tusamehe,tufungue,tupe maarifa,uadilifu na mafanikio.
    Ee Yesu Bwana na Mwokozi wangu na kuomba unirehemu,unisaidie.
    Nakuhitaji Bwana.

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 3 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa maana somo hili ni langu

  • @Gab80
    @Gab80 2 роки тому

    Mtumishi naomba uniombee katika ndoa uchumi na huduma ya mungu.

    • @Gab80
      @Gab80 2 роки тому

      Am in Kenya. Mwili wangu unanisubua sana

  • @chrispusmotto3930
    @chrispusmotto3930 3 роки тому +1

    Najiunganisha na Reality of Christ..naomba mawasiliano na MCHUNGAJI mnisaidie

  • @markmaitha3611
    @markmaitha3611 3 роки тому +2

    Safi sana

  • @kitundubarikimisholi7329
    @kitundubarikimisholi7329 2 роки тому

    Asante unavyotumika Mtumishi wa Mungu unatulisha Neno la uzima.
    Mungu akubariki Sana.

  • @petronilangula3525
    @petronilangula3525 2 роки тому +1

    Amen Amen Amen. From Kenya

  • @gomarakimwanzaro9903
    @gomarakimwanzaro9903 3 роки тому +1

    Somo hili limekua langu nikafunguliwe kwa jina la YESU

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 роки тому +1

    Somo zuri sana mungu atendee kwangu jaman

  • @bethcharles1794
    @bethcharles1794 2 роки тому

    Amen Pastor nifunguliwe kwa jina la Yesu my potentially ikae ndani yangu

  • @estherwambui4908
    @estherwambui4908 3 роки тому +1

    Hii ni yangu kabisa Mungu anisaidie....be blessed man of God.

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 3 роки тому +1

    Somo linanihusu kabisa, I have to attend this service until the end.

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 3 роки тому +1

    Asante MUNGU wangu

  • @ladyjackline429
    @ladyjackline429 3 роки тому +1

    Ameeeeen

  • @joshuamutua3727
    @joshuamutua3727 2 роки тому

    Blessed from kenya 🇰🇪

  • @perismireri7950
    @perismireri7950 Рік тому

    Blessed from Kenya

  • @collinslyimo8095
    @collinslyimo8095 3 роки тому +1

    Ameeen

  • @cralasanga1550
    @cralasanga1550 3 роки тому

    Ameen

  • @gomarakimwanzaro9903
    @gomarakimwanzaro9903 3 роки тому +1

    Powerful message 🙏

  • @kingwiseman6631
    @kingwiseman6631 3 роки тому +1

    So Great lesson, stay blessed man of God.

  • @ntibashimashima2919
    @ntibashimashima2919 3 роки тому +1

    I love 💕💕💕 Pastor

  • @monicastephen8796
    @monicastephen8796 3 роки тому +1

    Very blessed am.

  • @estermpwan4739
    @estermpwan4739 3 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🤝

  • @gracedminister
    @gracedminister 3 роки тому +1

    Its good for the translations for us to understand this teachings

  • @janethjoseph7966
    @janethjoseph7966 3 роки тому +2

    Kwanamna gani naweza kuonana na huyu Mtumishi mim

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 2 роки тому

    Amen