MAAGIZO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI "MAMBO YA AJABU TAKUKURU CHUNGUZENI HIZO BILIONI 12"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024
  • Rais John Magufuli amefariki dunia huku akiacha kumbukumbu ya maagizo mawili ya mwisho aliyotoa wakati wa ziara yake mkoani Dar es Salaam mwezi Februari 26, mwaka huu.
    Agizo la mwanzo la Rais Magufuli siku hiyo ya Ijumaa Februari 26, 2021, aliiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza mkopo wa Sh12 bilioni uliotolewa na benki ya CRDB kwa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

КОМЕНТАРІ •

  • @rihanawanzala4335
    @rihanawanzala4335 3 роки тому +79

    Am a kenyan but I love Mr John kwa uongozi wake..... Tanzania and we Kenyans tumepoteza mtu WA watu he was a really leader

  • @penanauae316
    @penanauae316 3 роки тому +84

    I am from Kenya but I can't believe I can't Eee Baba kweli mbona wazuri wanaenda RIP BABA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @jamesmwita2995
      @jamesmwita2995 3 роки тому +2

      Ndo hivyo ndugu yangu, kiukweli sisi watanzania tuna majonzi makubwa yasiyoezeka tunasikitika sana

    • @penanauae316
      @penanauae316 3 роки тому +3

      @@jamesmwita2995 hata sisi wakenya kwa kweli ni jonxi Africa

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому +1

      Asante mtuombee ndugu zenu jambo zito sana

    • @christinamdoe3536
      @christinamdoe3536 3 роки тому

      😞😭😢😞

    • @wlkmwlkm3381
      @wlkmwlkm3381 3 роки тому +1

      My dear am from Kenya also I cry sooooooooooooo mbaka nikasema niheri hiyo kifo ingenichukuwa mimi kuliko magufuli

  • @graceglorious1979
    @graceglorious1979 3 роки тому +31

    I'm from Kenya🇰🇪🇰🇪 mungu awatie nguvu 💪 wanatanzania🇹🇿🇹🇿, mungu ndie hupeana na mungu ndie hutwaa jina la bwana lihimitiwe🙏🏽

  • @iamawonderfulstory1280
    @iamawonderfulstory1280 3 роки тому +60

    The way I love the president of Tanzania my God😭😭😭😭the way I love the entire Tanzanian people🥱let him rest in peace .kenya tuko nanyi watazania.

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 3 роки тому +2

      Amen we loving you too Kenyans this is our battle 💔😭

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 3 роки тому +2

      Thans for your love and we love you more and more

    • @winnieayubu9146
      @winnieayubu9146 3 роки тому

      Asante

    • @bwagamoyoonlinetv6013
      @bwagamoyoonlinetv6013 3 роки тому

      Asante sana jirani

    • @ladybrave2658
      @ladybrave2658 3 роки тому

      How my friend? How my neighbor? Please be ready to support us no matter what. For now we don't know where we are heading. May lord help us and the new madame.President. AMEEN

  • @hotbwoysimbaofficial7051
    @hotbwoysimbaofficial7051 3 роки тому +63

    Am not Tanzania 🇹🇿 but I cried more when I heard that magufuli passed away all of us as African we lost a great leader always in our hearts baba

    • @africatoday861
      @africatoday861 3 роки тому +1

      We love you thanks 😢😢😢😢😢😢

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

      What about your loves one first than the others 😜 don't be foolish your families first than outer side

    • @africamwebaze4941
      @africamwebaze4941 3 роки тому

      @@abdulrahmansalim9773 your just a foolish dog

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 роки тому +54

    Am from Kenya ...hichi Ni kifo cha dunia

    • @stephanominja8927
      @stephanominja8927 3 роки тому +3

      Nikushukuru kwa kuliona Hilo😭😭😭😭😭

    • @petma5551
      @petma5551 3 роки тому

      Africa tumempoteza mwana wa maana.

    • @valeriamtenga3384
      @valeriamtenga3384 3 роки тому

      Spiritual world shows clearly,it was't God plan

  • @lelozaina8711
    @lelozaina8711 3 роки тому +28

    Mimi ni mkongo lakini tumesikitishwa sana na kifo ya Rais Magufuli Rais jasiri shujaa Mungu awape nguvu ndugu zetu jirani zetu wa Tanzania

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

      Amekufa kama walivyokufa waliotangulia USIKUFURU ukapata punishment kutoka kwa Mwenyezi Mungu aliyeumba viumbe wote duniani kwani asife yeye nani hao ma prophet wote wametangulia don't be foolish keep your mind alert

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому +76

    Mwenyezi Mungu,umemtwaa Musa,tuna imani na tunaomba utuletee Joshua akatufikishe Kanan😭😭😭🙏🙏🙏

  • @kamarizasifa1734
    @kamarizasifa1734 3 роки тому +16

    Poleni sana watanzania uzuni sana hata kwetu from Rwanda

  • @lyn254
    @lyn254 3 роки тому +67

    Mola awape nguvu watanzania 🇹🇿 ndugu zetu .from 🇰🇪

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 роки тому +41

    Rest in power JPM. JPM hakuwa malaika lakini kwa kina na ukubwa wake alifanya mazuri..alifanya watanzania wakajiamini, wakajipenda, wakajua umuhimu wa kulinda rasilimali zao, aliwaonyesha WaTanzania sio kila kitu bora kitoke nje au Ulaya, aliwaamini madaktari wa kitanzania na ndio maana amefarikia kwenye hospitali za nchini Tanzania 🇹🇿 alipenda vya kwao na ndio maana hakuwahi kusafiri kwenda Ulaya kwenye uongozi wake, alirudisha desturi ya uwazi na tumeona watu wakitumbuliwa hadharani, alirudisha heshima na uwajibikaji, aliweza kuthubutu na waliwaambia WaTanzania wakajua wanaweza kua mstari wa mbele kwa kila kitu. ” sisi ni matajiri sisi tunaweza ” Rest in power Magufuli 💔

  • @feimohach
    @feimohach 3 роки тому +45

    Mola amrehemu, msingi ameuweka sasa ndugu zetu mliobaki msituangushe, TZ iende mbele InshaAllah

  • @mwanaidihabarugira2429
    @mwanaidihabarugira2429 3 роки тому +73

    I'M from Burundi poleni sna kwakumpoteza Rais mzr ka Magufuri Mung kampnd zaidi😳😑🙇

  • @irenenekesa9728
    @irenenekesa9728 3 роки тому +2

    Me too Kenyan, l can say this nikirudiarudia, we East Africa we have lost a legend for sure, RIP JP, we loved you, But God Loved you more praise his Name.

  • @alizinga8953
    @alizinga8953 3 роки тому +11

    I'm from kenya. But still i feel like i have loose my role model. Magufuli was a great worrier and a hero of tz together with E.A May Allah rest his soul in a heaven.

  • @lilianfelekeni7771
    @lilianfelekeni7771 3 роки тому +49

    Hii naona ni kama ndoto, mbona kitu kizuri hakidumu? RIP Dr.John Magufuli. From 🇺🇸

    • @jamesmwita2995
      @jamesmwita2995 3 роки тому +2

      Tunasikitika sana wengi wao hatuamini jamani inauma sana kumpoteza rais mpiganaji Kama magufuri

    • @awardhakimu4777
      @awardhakimu4777 3 роки тому +1

      Yani vizuri uwaga avidumu

    • @mwash7777
      @mwash7777 3 роки тому

      Isaiah 57:1-2

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 3 роки тому +16

    Poleni Tanzanie, tangu 🇨🇩 twawapapole zarambirambi ndugu zetu.

  • @elcyqwachezzke
    @elcyqwachezzke 3 роки тому +7

    Rest in peace 🙏 Mr president maghufuli he was in deed a legend...he was a true leader with virtues now his no more....will there be another legend like maghufuli....am from Kenya254 but I really so true leadership in presidential their in Tanzania... 😞😢I have felt the lose ....

  • @ronaldmanenga6085
    @ronaldmanenga6085 3 роки тому +1

    I'm from Zimbabwe ,respect to the greatest visionary to grace African leadership for a short period of time but with remarkable achievements which some leaders have failed to achieve in decades of being in power

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 3 роки тому +39

    Mungu wangu na baba yangu roho yangu idhambini mpumzishe kwa amani magufuri jamani inaniuma sana

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +41

    JAHAZI LIMEZAMA 😭SIJUI TUTAELEKEA WAPI MAGUFULI NAOTA AU JAMAN😭😭

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому +1

      Dah nipo nnalia tu naona inchi yetu inarudi utumwan tena.

    • @veronicananyaro5512
      @veronicananyaro5512 3 роки тому +6

      Ee MUNGU tuteteee najua tutadhihakiwa n.a. baadhi ya watu kwa kuambiwa haya MUNGU wenu yuko wapi sasa,, wa Tz tusivunjike moyo tuendelee kumtegemea MUNGU.

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 роки тому

      @@jescajulius8023 hakika tutarudi kuleee

    • @adamadammtihani8962
      @adamadammtihani8962 3 роки тому +1

      Sasa. Wizi,. uonevu, rushwa itaanza

    • @adamadammtihani8962
      @adamadammtihani8962 3 роки тому +1

      Sijuw. tukionewa tutampa nani mallmiko yetu

  • @upendoelibariki2770
    @upendoelibariki2770 3 роки тому +12

    Msiba wako umeniuma sana rais wangu kipenzi cha wengi

  • @neemaallen1
    @neemaallen1 3 роки тому +9

    Tumepoteza kiongozi makini na mzuri sanaa..😭😭😭💔

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +26

    Allah Amrehem rais wetu😭😭🇪🇭🇪🇭

  • @andrewkibwata974
    @andrewkibwata974 3 роки тому +20

    😭😭😭... Kama Ni ndoto Bora iishe niamke...
    It's so pain and sad😭😭😭😭

  • @zeitunimrimiah1428
    @zeitunimrimiah1428 3 роки тому +2

    R.I.P jembe chumaa hakika mungu kaukupenda zaidi ulikua jasiri na hapa tunaona unakidude cha kupimia moyo mkononi lakini uko unafanya kazi hakika tutakukumbuka daima hasa kwakututetea sisi wanyonge Jasiri umeondoka ila ulioyaacha yataishi milele

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 3 роки тому +3

    Yaani time poteza kishwa ,,Mimi Nina ona ufisadi mkubwaa una eleeeaaa hapa , pumzika baba salama na amini mama Samia s hasani atapita ulipo pita wewe kutenda kazii kama wewe🇹🇿🇹🇿😭😭😭

  • @smarty1064
    @smarty1064 3 роки тому +1

    Poleni wana Afrika Mashariki na Afrika nzima kwa kumpoteza rais wa Tanzania! Afrika ni moja, Afrika ni ndugu tuendelee kupendana

  • @upendoelibariki2770
    @upendoelibariki2770 3 роки тому +15

    Makamu wa rais tunakuomba sana sana usiache kufanya yale ambayo kipenzi chetu alikuwa anayafanya jmn😭😭😭😭😭😭😭

    • @shailamunis9867
      @shailamunis9867 3 роки тому

      hata Akifanya,Saut ya Maguful ni nyingine jmm😢😭

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому +1

      Mungu amtie nguvu uyu mama aweze kumalizia muda uliobaki asichoke kwani katiba ndio inamtaka kuongoza nchi hii kwa kipindi chote kilichobaki.tunaamin ataweza.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому

      Naona inchi yetu hatuna pakujivunia tena dah.

    • @upendoelibariki2770
      @upendoelibariki2770 3 роки тому

      Ndio hivyo jmn

    • @stephanominja8927
      @stephanominja8927 3 роки тому

      Kweliiiiiiii

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 3 роки тому +28

    Tutakukumbuka daima pumzika kwa amani,tangulia siku moja tutakutana huko.

  • @mediatheophil9111
    @mediatheophil9111 3 роки тому +5

    Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani Amina

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 роки тому +25

    Yaani Mimi nimevunjika mwili woote jamani ,Sina la kusema ,naomba Mungu tutie nguvu yako sisi hatuwezi

  • @shufaaahmed4618
    @shufaaahmed4618 3 роки тому +6

    Poleni watanzania hakika n msiba wetu sote Wana Africa💔💔💔chema hakidumu😢😢😢😢

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 3 роки тому +6

    Kutoka kenya natoa pole zangu za dhati kwa familia na kila alie mpenda marehemu magufuli mungu amlaze mahali pema kwakeli wazuri ndio wanao ondoka mbele 17/2 2021 maalim seif 17/3/2021 magufuli mungu awalaze pema walio tangulia

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 3 роки тому

      17th Febr was Maalim Seif and Chief Secretary Balozi John Kijazi

  • @bonifacengowi2487
    @bonifacengowi2487 3 роки тому +5

    Pumzika kwa amani shujaa wetu na tunaamini umetuachia watu ambao ambao wataendeleza mazuri uliyoanzisha,Mama Samia jipe moyo Mungu yuko upande wako

  • @lucianvincent2296
    @lucianvincent2296 3 роки тому +4

    Vita umeipigana na mwendo umeumaliza...tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi yetu pumzika kwa amani baba

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 роки тому +6

    Taabu sana kuamini kuwa ametutoka mapema hivi ukifikiri , kwa nini atutoke kwa haraka kama hivi? wakati bado tunampenda , tunamuhitaji , kwa nini Mungu ameliondoa tumaini la wengi mapema hivi , huzuni huzuni , huzuni 😭😭😭😭

  • @jjokochamwakyusa1618
    @jjokochamwakyusa1618 3 роки тому +8

    Fighter like a fighter Rest in peace baba

  • @godfreykibajiro5900
    @godfreykibajiro5900 3 роки тому +2

    Hatuna cha kusema tulikupenda mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani

  • @saraholuche1117
    @saraholuche1117 3 роки тому +1

    Magufuli, shuja aliyepigania haki za wanyonge,mtu wa maendeleo, aliye na roho safi, am from kenya, bt cidhani kama tutawai pata mtu mwema kama huyu, pumzika kwa imani baba yetu, umeacha pengo kubwa sana, shine with.. Gods angles there in heaven, till we meet again.

  • @LEAKEDTRA1LERS
    @LEAKEDTRA1LERS 3 роки тому +1

    To all those mourning with us Tanzanians; all Africans and the rest of the world, Thank you soo much and May God bless you. We have lost a hero, one that stood for all of us. The best way to remember him is by contuining his legacy, continue what he started. To all Africans, it's time for us to unite, time to stand up. But mostly please don't ever lose your faith in God.

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +3

    Yaan mpaka sahivi siamini kama huyu baba hayupo hapa duniani, jmn hivi nifanyaje roho yangu??? Jmn naumia sana nalia sana, hakika kazi ya MUNGU haina makosa.

  • @mirajiibrahim51
    @mirajiibrahim51 3 роки тому +1

    Daaah it's too hard to believe u have gone my real president... I never cry in my life by losing someone but cause of u I cried the hall nite and still I can't believe u have gone... God pls we are begin u rest him in peace...

  • @mohdbamvua7560
    @mohdbamvua7560 3 роки тому +1

    Kalale salama baba kapumzike inatosha hatukudai lkn wewe ndie unaetudai na malipo yetu kwako nikukuombea tu ukapokelewe kwa amani kaburini aamiina

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi 3 роки тому +22

    Sijaona mwingine wa kuwa kama huyu,
    Tume mpoteza jembe jmn
    Msema kwel bila kuogopa
    Mtenda haki bila kusita

  • @ashleymipawa995
    @ashleymipawa995 3 роки тому +4

    Speechless 😭😭🙏🏻🙏🏻

  • @chingawadunia3621
    @chingawadunia3621 3 роки тому +3

    Amefriki kishujaa mungu mpoookee kw amanii mlaze mahali pema peponi amen

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +8

    Bwana ametowa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe... Alama umeacha kubwa Sana Tanzania... Twakuombea Mungu akulipe kwa mazuri yako...

  • @donaldyogweyo5859
    @donaldyogweyo5859 3 роки тому +5

    Ee mwenyezi mungu ilaze roho ya mpendwa wetu rais John magufuli mahali pema... Mungu ikumbuke tanzania

  • @totoozebingwatshumani4642
    @totoozebingwatshumani4642 3 роки тому +21

    Mzee umetuacha na simanzi kubwa mno Daima tutakukumbuka

  • @janethnkembo5808
    @janethnkembo5808 3 роки тому +1

    Mungu atuna la kusema...nimeumia sanaa

  • @sein.208
    @sein.208 3 роки тому +15

    😭😭😭😭 Allah akujaalie makaazi mema baba🤲🏻

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 роки тому +1

    Kweli mucha Mungu Ana maisha duniani kweli Baba wetu Rais wetu umetuasha kweli Mimi Na wewe Ni Nani kwa hiii dunia

  • @hellenndunge3921
    @hellenndunge3921 3 роки тому +1

    Mangufuli we will remember him as ledear who fought corruption and economic war and enlighten Africans to be self reliant

  • @mwash7777
    @mwash7777 3 роки тому +1

    May God rest his soul in peace. May God comfort all Tanzanians. May God have mercy on Africa n forgive us our sins. Am a kenyan n indeed Tanzania has lost a great leader

  • @milkamusa5837
    @milkamusa5837 3 роки тому +1

    Ni kwaheri ya kuonana maana ulimtanguliza Mungu kwanza. Tutaonana tena JPM. All is not lost, it is well with those who trust in God. Usiku mwema tena.... hadi ile asubuhi njema 🙏

  • @estherjkechoka6897
    @estherjkechoka6897 3 роки тому +3

    Pumzika mahali pema Raisi wetu, ulinifundisha kujiamini, kupembana na wanaosema nitashindwa, kuwa jasiri katika mapambano yoyote, daima nitakuenzi! Ulinionyesha kuwa maana ya maisha ni kuweka tabasamu kwa wengine na sio ubinafs!! R I P JPM,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @esta79928072
    @esta79928072 3 роки тому

    Ndugu wa Tanzania,mu endelesheye hapo hapo kama sivyo mtakuwa mume koseya Shujaa wa Africa,kwa kuwa ninyi ndo mtakuwa mfano mzuri wa Africa apa Tanzania peke yake.Asante.RIP baba Magufuli

  • @faraolion6822
    @faraolion6822 3 роки тому +5

    Mungu ampumzishe kwa aman mwamba wetu

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 3 роки тому +2

    Kweli kifo hakina ujamaa wala undugu umetangulia mzee baba Chuma Joseph magufuri 😭😭 wazarendo watakufa ila fikira zao zitaishi milele na milele naumia sana kama mzarendo wa nchi yangu Tz

  • @evaristigenes1304
    @evaristigenes1304 3 роки тому +1

    Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi

  • @ShSh-my8cw
    @ShSh-my8cw 3 роки тому

    Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi

  • @kijariolebere5623
    @kijariolebere5623 3 роки тому +7

    Pumzika kwa amani kamanda wetu

  • @charlesjacksonbusanda2568
    @charlesjacksonbusanda2568 3 роки тому +16

    Nashindwa kuamini aisee natamani hata iwe kama ndoto naota 😢😢😢

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      Ndiyo hivo tushkuru😭😭😭😭😭😭

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 3 роки тому

      Baba yetu umeondoka, tutabaki na nani sisi? 😭😭

    • @feimohach
      @feimohach 3 роки тому

      Kaka Charles, si ww pekee, tuko wengi, lakini kwake Mola twatoka na kwake tutarudi,
      Msingi Ashauweka, changamkeni sasa🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇰🇪🇰🇪

    • @jamesmwita2995
      @jamesmwita2995 3 роки тому

      Mi pia nimetamani iwe ndoto lakini ndo imeisha hivyo jamani ni masikitiko makubwa yametukumba watanzania

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 Ahsanti sana kwa kuwa pamoja nasi mke wangu mpendwa 😍😍😍

  • @husnamustapha6968
    @husnamustapha6968 3 роки тому +7

    Innalilahi wainalilah rajiuna 😭 🙏❤️

  • @tintz3157
    @tintz3157 3 роки тому +1

    Tutapata wapi tena kiongizi,mwamba,Simba wa Vita vya uchumi we m/Mungu mlaze mahali pema pepon Dr.Magufuli wananchi watakulilia kwa utetezi wako kwa nchi yetu

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 3 роки тому +1

    Watanzania tumempoteza zaidi ya kiongozi mwenywezi Mungu atulindie nchi yetu maana maadui wanaitamani kama mbwa mwitu mawindoni

  • @florentinmushi2118
    @florentinmushi2118 3 роки тому

    Mungu amlaze mahali pema raisi wetu magufuli..

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 роки тому +1

    Bado nalia kwa uchungu kwa nini mungu umemchukua mapema ungesubiria ata akaishi ndani ya miaka ishirini atimize majukumu yake Kwa watanzania lakini jina la bwana lihimidiwe woote tuko safarini😭😭😭😭

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 роки тому +4

    Ayubu 19:25
    Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.

  • @kiwangodaniel1302
    @kiwangodaniel1302 3 роки тому +12

    Oh lord tumenyangwa msemaji wetu.

  • @jannethjoseph6068
    @jannethjoseph6068 3 роки тому +1

    Mungu mueke Mahali pema. Kiongozi wetu tulimpenda sana. Inauma sana

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 роки тому +4

    Rest in power JPM. JPM hakuwa malaika lakini kwa kwa kina na ukubwa wake alifanya mazuri..alifanya watanzania wakajiamini, wakajipenda, wakajua umuhimu wa kulinda rasilimali zao, aliwaonyesha WaTanzania sio kila kitu bora kitoke nje au Ulaya, alirudisha heshima na uwajibikaji, aliweza kuthubutu na waliwaambia WaTanzania wakajua wanaweza kua mstari wa mbele kwa kila kitu

  • @venancypallangyo99
    @venancypallangyo99 3 роки тому

    Mungu ailaze roho mahali pema

  • @sadalaramadhani104
    @sadalaramadhani104 3 роки тому

    Mungu akulinde uko ulipo pumzika kwa hamani mzee wetu.😭😭

  • @faustinesimonbukongolo8853
    @faustinesimonbukongolo8853 3 роки тому +5

    Bola angemaliza mda wake tu ndo akatuacha inaniuma sana nabaki nalia

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 3 роки тому

    Mimi hapa nillikuwa naomba marais wa muungano wa east Africa marehemu rais john pombe magufuli apewe siku kwa mwaka magufuli day all East Africa

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 3 роки тому +1

    Nimerudi baada ya kusikia kuna wagonjwa 284 TANZANIA R.I.P JPM

  • @oscarsmartbandah6262
    @oscarsmartbandah6262 3 роки тому +1

    Malawians my heart felt condolences, sorry for loss Tanzania last time I saw him was in 2017 Kinondon group kwenye rally yake n was hoping to see him again 2022 next but God let Him be God mipango yake sio kama ya mwana damu sleep well anko Magu, na welcome to Islamic reign daaaah

  • @Jovitha1994
    @Jovitha1994 3 роки тому +6

    RIP Baba

  • @ladybrave2658
    @ladybrave2658 3 роки тому

    Eeee mungu mpe nguvu na subra mama Samia afanye zaidi ya the late.Magufuli. AMEEN. sio kitu rahisi hiki, basi tu.

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому

    Daa mungu ampe kauri sabiti🙏🙏🙏😭😭❤️❤️❤️❤️

  • @happypaul8803
    @happypaul8803 3 роки тому

    Mungu amlaze mahali pema peponi amen nakupenda rais wangu

  • @cutelady7410
    @cutelady7410 3 роки тому +2

    Cjawahi kulia kwa kiongoz yyte yule kufa duniani Ila kwa huyu mzee nimelia vbaya sana mpk nahic nachanganyikiwa 😭kla nikiskia maneno yke nalia tu cwez kujicontrol kulia

  • @zaitunrashid8706
    @zaitunrashid8706 3 роки тому +2

    Inalillah wainalillah rajiuun..pumzika kwa aman baba yetu mpendwa

  • @winfridmbilinyi5673
    @winfridmbilinyi5673 3 роки тому +13

    Doooh ngum ngum kuamini

  • @tutindagarobert4571
    @tutindagarobert4571 3 роки тому

    Pumzika baba Mungu akupumzishe kwa amani

  • @monicameela3796
    @monicameela3796 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭Mwendo umemaliza nenda baba nenda tutaonana baadaye 💔💔💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @officialjimmy0267
    @officialjimmy0267 3 роки тому

    Mpaka leo hatuamin baba KAMA UMEONDOKAA DAAAH
    RIP MAGU PUMZIKA BABA SAUT YKO TUNAIMISS
    🤲🤲🤲😪

  • @ericmunoru622
    @ericmunoru622 3 роки тому

    Ni sawa ata limumba,Gadaffi, Venezuela president lost it for wat they believed in,u r a legend.

  • @kingmazera8374
    @kingmazera8374 3 роки тому

    Hata kama umekufa alama ya uongozi wako imebaki mioyoni mwetu! Hata waliokosea na uliowatumbua wanajuwa ukweli kwamba ww ulikuwa kiongozi wa kutuvusha! Mzaha na uzembe ulividhibiti hakika kuongoza nchi kunahatarisha sana maisha binafsi kulingana na sisi wanadamu tulivyo!

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 3 роки тому +1

    Kwa kweli alikuwa msimamizi mzuri wa mali ya umma. Mungu amrehemu JPM

  • @peterphilimon5625
    @peterphilimon5625 3 роки тому +2

    Jamani, mungu mlaze maali pema mbinguni

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому +1

    Iliishia hapohapo.takukuru wamepumzika.na hakuna wa kufuatilia

  • @mishiathmani6055
    @mishiathmani6055 3 роки тому

    Inna lilah waina lilah rajuni poleni kwa msiba wa tz Allah awajalie subra na nguvu kwa kipindi hichi kigumu na mola awajalie kiongozi mwenye kuziba pengo lake

  • @kelvinramson2164
    @kelvinramson2164 3 роки тому +2

    Dah inauma sana

  • @frankd1156
    @frankd1156 3 роки тому +3

    Dah hivi huyu mama ataweza kweli nchi ya majambazi hii

  • @maribaisack8389
    @maribaisack8389 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele

  • @allanmpakulo6919
    @allanmpakulo6919 3 роки тому

    Mungu ampumzishe mahali pema peponi Rais wetu😭😭😭😭

  • @marrymenas
    @marrymenas 3 роки тому

    Tanzania tumempoteza Rais mwema jasiri mwenye hofu ya Mungu. Kupatikana tena Rais kama huyu mmh sidhani. Rais mzuri Africa nzima na dunian kote ametutoka. Mungu mrehem Rais wang...😭😭💔🙏