I have been listening to you from Nairobi, thanks, I have learned a lot from your preachings and declarations, every moment I am blessed. God bless you pastor.
Tangu nilipokutana na wewe kwa mtandao huu nikafatilia mafundisho yako hata mm nimekuwa mwalimu ,nakuomba uniombee niwe na nguvu za kiroho zaidi ya wewe niwe na upako zaidi wa kufundisha kukuliko
Be blessed man of GOD namshukuru MUNGU kwa utumishi alioweka kwako uzidi kubarikiwa mpk ushangae ❤
Asante Mungu Kwa kutuma huyu pastor endelea kumbariki amen🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki sana na kukutunza kwaajili yake ninaje gwa sana na masomo yako mchungaji
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kuku jaza nguvu amen 🎉🎉🎉
Mtumishi wa mungu umekuwa wa mbaraka kwangu..
Huyu mtumishi wa mungu amenibariki sana
Amina 🙏🏾🙏🏾 mungu atulinde Kwa Kila kibaya na Roho chafu zilizo ndani ya mwili wetu 🙏🏾🙏🏾
Katika kitu ambacho nataman kwasasa mungu anibaliki niwe Kama pastor George nitafulah sanaa🙏🙏🙏
Aksanti sana pasteur Gorge kwa mafunuo haya yote . Que Dieu vous bénisse 🙏
This is wonderful and the truth
Mungu akubariki mtumishi.ninakufutilia ninabarikiw na mafundisho yako.
Amen pastor u realy bless my heart outside country
Ameni.
I have been listening to you from Nairobi, thanks, I have learned a lot from your preachings and declarations, every moment I am blessed.
God bless you pastor.
Catherine watching from Nairobi ahave blessed alot b blessed pastor
❤the way your teaching pastor
Pastor asant kwa mafundsh yak . Tunaomba utuandalie wanafunzi mafundisho . wanafunz wa shul ad chuo
My best teacher watching in nairobi
Mungu akubariki sana Pastor George
Asante Sana MUNGU BABA kwa hiki chakula. . Asante Sana Pia kwa ajili ya Mtumishi wako.
Ubarikiwe mtumixh wa m/mungu
Amen MUNGU akubariki papa 🙏 🙌
Nabarikiwa sana Namafundisho Yako pastor yameniinua sana kiroho
Ubarikiwe sana Mchungaji.
Hallelujah hallelujah 🙏 barikiwa sana mtumishi wa MUNGU umenisaidia sana
Mungu azidikuku bariki
Nafurahi kwa neno nzuri
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Pastor uko sawa hausemezeki hata ..mungu kweli ndo anafanya ndani yako. The words are very simple and clear..you makes words very easy to understand.
Amina ubarikiwe mtu wa mungu
Mtumish asnt sana umeniamsha leo
This is so powerful
Barkiwa sanaa
Amina nabarikiwa sana Mungu akutunze
Mtumishi wa Mungu aliye hai kiukweli umenifundisha mambo makubwa na muhimu mno. Mungu akubariki uendelee kupewa mafundisho zaidi ya kutufundisha
Nimebalikiwa
Kweli kabisa mtumishi nilewe neno linibadili mtazamo, we perish without applying the word of God.
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🗣️🗣️🗣️🗣️
Hallelujah..nabarikiwa Sana Amen
Amen 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥 Amina
Amen Asante Yesu
Ubarikiwe kwa mafundisho
Amen mtumishi wa mungu
Amen ubarikiwe
Mtumishi wa MUNGU nijaze kiroho
Amen Mafundisho ya ndani kabisaa
Amen pastor unabariki moyo wangu
Aiseee baba yetu ubarikiwe saaana Mana Mimi nilikuwa muhanga naomba sana lkn sikuwa natumia neno lakini Sasa nimepata kitu ubarikiwe sana
Power of God in His Word
Hallelujaaaaaaaaaaah joyce makau from kampala
amena pastor George
Very powerful and touching
ahsant Yesu wa mbinguni kwa ajili ya mtumishi huyu
Pasta ubarikiwe maana vitu tunavyopata kujifunza neno na tunafunguliwa
Nabarikiwa
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙌🙌
Hallelujah Hallelujah and hallelujah 🙌
Amina
Amen
Nimelewa sasa
AMINA
Aminaaaaa
Ubarikiwe mtumishi Mkabwa hakika ndivyo inavyopaswa Iman na matendo ukinyamaza kila kitu kinanyamaza japo unaamini
Napenda mahumbili yako San mchungaji utakunja kenya lini?
Tangu nilipokutana na wewe kwa mtandao huu nikafatilia mafundisho yako hata mm nimekuwa mwalimu ,nakuomba uniombee niwe na nguvu za kiroho zaidi ya wewe niwe na upako zaidi wa kufundisha kukuliko
Mchungaji napata faida kupitia mahubiri
Umenibariki sana mtumishi
Amen 🙏🙏🙏 barikiwa sana mtumishi
Amen, 🙏🙏🙏
Amen
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen
Amen amen
Amina
Amen