Ukweli wana JRC mna neema ya kipekee kupitia huyu mtumishi. Nabarikiwa mno kwenye neno analoliachilia kila siku akisimama kutimiza mapenzi ya Mungu .Tokea nimuone UA-cam sijawahi acha kumfuatilia, from Kilimanjaro .
Hakika wewe u mtumishi wa Mungu umeniondolea mkato wa tamaa kupitia neno mahubiri yako yamenijenga sana sana ila kinacho niuma ni kwamba sijakujua kitambo natamani ningekujua kitambo ningekuwa mbali kiimani lakini naamini imani yangu itakuwa nitafatilia kuanzia mahubiri yako ya nyuma hadi nimalize. Asante sana mtumishi
Amina Amina mchungaji nimebarikiwa kwa mahubiri ya leo MUNGU wa mbinguni akubariki na familia yako milele na Milele Amina Amina.wishing mama George na baba George Christmas njema kwa familia yenu
❤❤❤❤kupitia kwa haya mafundisho ,nimeinuliwa kiroho,nimejua kutumia damu ya yesu.God has put anew song in my mouth.mungu atanitukuza 2025 .He will take me into Favour
Mungu akujalie maisha yako mile mtumishi kila nisikilizapo mahubiri yako huwa yananigusa na kunibariki ubarikiwe mno unanitia moyo hata kama nilikuwa nimekata tamaa
Amena Amena Papa Pasteur kwakweli Mungu wambingu akubariki.Mimi nimejengwa saana na Maubiri yako tangu 2023 kwa UA-cam imeokowa mambo mengi maishani mwangu .Ndowa .family yangu piya watoto wangu na ninapta kila siku mwanga kwa jinsi ya kumutumikiya Mungu .maombi ya Morning every week. Mambo ni mengi siku moja najuwa nitafika JRC mwanza Tanzania. Asante
Kwakweri tupo wengi sana ambao tuko pamoja madhabahu hiii ni sahihi kwangu kwa sababu nikusikiliza natoka kwa viwango vya ajabu sana MUNGU akulinde na akutunze
Kwa kweli mtumishi Mungu akubariki saana Bwana amekumiminia mafuta mazuri ya utumishi naendelea kukuombea umenibariki saana pia namshukulu hata mama mchungaji kwa huduma hii

Amina sio wana Jrc tu wengi tupo mtandaon na tunabarikiwa sana hat huku Daresalam
Hakika Yuko mungu ndani ya jrc kupitia mtumishi wake George mkabwa nabarikiwa nikiwa dodoma
Lucy tuko wengi mno. Mungu azidi kumtunza na Ampe Haja ya Moyo wake.
Nasi tunafurahi kwa Baba yetu ametufanya kuwa wanafunzi wa kristo Yesu
Sio wewe tu mpendwa.
Hakika wewe u mtumishi wa Mungu umeniondolea mkato wa tamaa kupitia neno mahubiri yako yamenijenga sana sana ila kinacho niuma ni kwamba sijakujua kitambo natamani ningekujua kitambo ningekuwa mbali kiimani lakini naamini imani yangu itakuwa nitafatilia kuanzia mahubiri yako ya nyuma hadi nimalize. Asante sana mtumishi
Amina Amina mchungaji nimebarikiwa kwa mahubiri ya leo MUNGU wa mbinguni akubariki na familia yako milele na Milele Amina Amina.wishing mama George na baba George Christmas njema kwa familia yenu
Namtukuza Mungu kwa ajili yako, unatupa mafundisho mazuri sana Mungu akutunze
Amen mtumishi MUNGU azidi kukuongoza zaidi uendelee kutufundisha zaidi barikiwa na bwana YESU KIRSTO
❤❤❤❤kupitia kwa haya mafundisho ,nimeinuliwa kiroho,nimejua kutumia damu ya yesu.God has put anew song in my mouth.mungu atanitukuza 2025 .He will take me into Favour
Amen. Nimebarikiwa. God bless you Pastor. Mafunzo makuu haya. Mungu nipe kiu na njaa nikujue zaidi.
Am here pastor nakaanikilemewa namaisha
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Kweli anatubariki sana sana na tunazidi kumjua Mungu kupitia Wewe ❤
True nimewacha kasigara na kapombe ka pembeni ...God help me ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nashukuru Mungu kwa kunikutanisha na mchungaji huyu mtandaoni.Hakika ni neema.Nafuatilia mafunzo kila siku.Hakika yamenikuza kiroho.
Am from Kenya and am always being blessed by pastor and wish one day will meet him.Barikiwa sana mtumishi wa mungu.
Mungu akujalie maisha yako mile mtumishi kila nisikilizapo mahubiri yako huwa yananigusa na kunibariki ubarikiwe mno unanitia moyo hata kama nilikuwa nimekata tamaa
Amen,amen mtu wa Mungu
Amen pastor.God bless u
Good
Amen baba
Bwana yesu asifiwe, Asante bwana yesu kwa yote umenifanyiya
Tumebarikiwa kwa neno hili, Mungu akubariki na kumuinua pia mtumishi wake
Amena Amena Papa Pasteur kwakweli Mungu wambingu akubariki.Mimi nimejengwa saana na Maubiri yako tangu 2023 kwa UA-cam imeokowa mambo mengi maishani mwangu .Ndowa .family yangu piya watoto wangu na ninapta kila siku mwanga kwa jinsi ya kumutumikiya Mungu .maombi ya Morning every week. Mambo ni mengi siku moja najuwa nitafika JRC mwanza Tanzania. Asante
Kwakweri tupo wengi sana ambao tuko pamoja madhabahu hiii ni sahihi kwangu kwa sababu nikusikiliza natoka kwa viwango vya ajabu sana MUNGU akulinde na akutunze
Amina sana mchugaji unanifunza zaidi ubarikiwe
Mtumishi wa Mungu Bwana akubariki Sana, mafundisho Yako yananijenga kiroho Sana.
Mungu akuzidishie mafuta Amen 🙏
Asante ninatoka kwa hio kiti cha kunilemaza kinda kiroho,kifedha in JESUS name 🙏
Kwa kweli mtumishi Mungu akubariki saana Bwana amekumiminia mafuta mazuri ya utumishi naendelea kukuombea umenibariki saana pia namshukulu hata mama mchungaji kwa huduma hii
Father I give you all the glory Ameeen 🙏🙏🙏
Amen Ameni I love ❤️ baba
God bless you
Kweli hapa na barìkiwa mchungaji Georg azidi kubarikiwà
Amen amen nimebarikiwa Sana leo mungu akbarik mtumishi WA mungu
Amen baba nimebarikiwa na ibada ya leo
Amen 🙏 Mtumishi asante kwa mafundisho mazuri nimepata kitu nimebarikiwa
Nakufatilia kwa you tube Nabarikiwa na mafundisho yako
Mungu akunze na azidi kukutumia zaidi na zaid
Hakika paster leo nimefurah sana kuuzulia live..nimebarikia sanaaa
Nabarikiwa sana mahubir yako pastor
Naomba Mungu anipe kibali nifike Mwanza nimuone uso kwa uso.
Ninadai mguu wa kulungu katika jaina la YESU hallelujah 🙌 👏
Ameeeeren❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Barikiwa mtumishi WA MUNGU 🙏
Amen pastor barikiwa sana
Mungu akubariki sana Baba mtumishi maana nakufatiliya sana kwenye you tibu
Nimepokea ktk jina la yesuu asantee baba kwakunitoa nilipokua nakunipa nafas nyingine
Kweli neno lako inatengeneza maisha yangu nakuniweka karibu ya Mungu neema gani siku moja nikuonr
Ameeeeni
Following from kenya
Amen 🙏 😢sio kila pastor anaweza kufanya hivio Yani kufunja mipando yake amuokoe mtu mwingine na ndio maana wengi wanatedeka MUNGU awasaidie tu
Amen 🙏🙏🙏 forgiveness my sin's Lord delivery me
Mungu akutende mema Baba
AMEN. NAOMBA NEEMA YA KUOMBA
Amen Amen 🙏 God bless you
Nabarikiwa na wewe mtumishi wa mungu, mungu akubariki zaidi
Bwana Yesu nakushukuru Sana ,zidi kumpaka mafuta mtumish wako huyu .
AMEN AMEN 🙏
Asante ❤❤❤❤ Baba Mtakatifu❤❤❤❤❤
Amena baba nimebalikiwa San leo
Asante kwa ne no nzuri
Amen,mutumishi,tunabalikiwa
Sana.uku,burundi,kwaneema
Ulionayo,
Asante muchungaji kupitia wewe mungu ameni ponia Kwa mengi
Ameen pastor
Aminaa
Amen!!!!!
Kweli❤❤❤❤❤❤
Aminaaa sana
asante mutumishi wamungu
Amina
Amen 🙏
Kwani kanisa lipo wapi? Unaniimarisha sana ktk kumtumikia Mungu
❤❤❤❤❤❤❤
❤
Mungu akulinde baba asante kwaibada nzuri hii neno limenifungua sanaa
Ukweli
Am gacheri sijaokoka
Una watoto wengi usiache kutombea na ss tunachungwa na ww
Najifunza mengi kutoka kwa Pasta G
Toka nimeanza kuku sikiliza mtumish nafarijika mno halafu naelewa
Napataje namba za pastor tafadhali
MIMI MWENYEWE. NATAKWA. NIHAMIE KANISA. LAKE. NIKO GEITA. BWANGA. KILA JUMAPILI NITAVUKA. ZIWA KWE
NDA HUKO
Sasa pasta Sisi atusikii sauti ya mungu tutafanya Nini kwa ajili ya kujitoa?
😂 Amen
Mi huwa natamani watu wote wamsikilize huyu Mtumishi japo mara 3 tu
Amen More Grace pastor since nianze kukusikiza umenisaidia sana kukua kiroho na kumjua zaidi
Amina, Mungu azidi kuliinua neno lake
Amen Amen Amen
Amina pastor
❤❤❤❤
❤
Amen
Nabarikiwa saana na mafundisho ya mtumishi wa Munguu 🙌🙌🙌
hakika mungu ni mwema sana nabarikiwa sana na mafundisho Yako pastor
Amen 🙏🙏🙏
Amina
Amen