#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 204

  • @laridistrict4710
    @laridistrict4710 Рік тому +2

    AM BLEESED ANY TIME I LISTEN TO THIS IT REMINDS ME OF MY TURNING POINT IN LIFE ....MUNGU AMENIONGOZA KATIKA SAFARI YA IMANI,,,,,,UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU

  • @esterester3628
    @esterester3628 6 місяців тому

    Nashukuru Mchungaji Kwa Akili ya mafundisho yako Kwa kweli nmejifunza mengi Sana na Mungu azidhi kukubariki uzidi kutuelimisha.Barikiwa Sana mchungaji nakufatilia kutoka Kenya🙏🙏🙏👏👏

  • @janviershaminya2485
    @janviershaminya2485 2 роки тому +2

    asante mushungaji kwa hiyo na mungu akupe maharifa saidi mimi na ishi DR Congo goma na penda tuwe tuki zungumuza zaidi mimi ni m sabato

  • @Joy-mm1ut
    @Joy-mm1ut 8 місяців тому +1

    Mchunganyi mahubiri yako yananibariki sana nikiwa kenya mungu Kubariki

  • @iddhassan443
    @iddhassan443 4 роки тому +12

    Am so blessed ,with this sermon Kwan tulikuwa tunajadili Leo tukasema na tukaona kumbe Mungu wetu siwa visassi

  • @RuthMomanyi-j1o
    @RuthMomanyi-j1o Рік тому +1

    Asante waja nikwazuke kweli maubiri yako yamekuwa dawa kubwa barikiwa sana,Nasikia kutoka saudia kikwazo kikanileta hapa lakini nasema asante nimepona🙏🙏

  • @gracekassara1432
    @gracekassara1432 8 місяців тому

    Amina . Nimebarikiwa Sana na smo hili. Mungu aendelee kukutumia kwa utukugu wa jina lake

  • @omaruwakitaa
    @omaruwakitaa 8 місяців тому +1

    sijawahi kuwaelewa wahubiri ila ww upekee sana
    hongera yako

  • @mbokambuja3000
    @mbokambuja3000 2 роки тому +2

    Nimebarikiwa sana kwa somo hili, Mungu akutie nguvu na kukufunulia zaidi hekima yake katika kufundisha watu wake

  • @EliyaKagula
    @EliyaKagula 6 місяців тому

    MUNGU akubariki ninaendelea kubarikiwa, kwa mafundisho mazuri❤

  • @TeddyPaul-h4k
    @TeddyPaul-h4k 6 місяців тому +1

    ❤any one 2024❤

  • @naomimunanga6363
    @naomimunanga6363 3 роки тому +1

    God bless you, pastor we love you her in Kenya, am blessed, ninajua somo hili ni la kitambo kidogo lakini, nimelipokea kama lilivyo na nimebarikiwa sana.

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 2 роки тому +1

    God bless you poster nimejifuza mengi kutoka kwako kw usaidizi wa roho wa mungu..nakufutilia kutoka saudi

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому +5

    Nilitafuta Kabisa la wasabato na kuanza kusali jumamosi kwa ajili yako,nimesikia maubili yako yametikisa moyo wangu sana,NampendaMungu wa wasabato ni miezi5 Sasa nimeonja ibada za wasabato ni Mafundisho matupu,niombee,

  • @AngelinamtibaNyahucho-tc1gx
    @AngelinamtibaNyahucho-tc1gx Рік тому +1

    Mchungaji MUNGU wa mbinguni akubariki Sana kwa masomo yako mazuri hakika nabarikiwa Sana na masomo yako!

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 Рік тому

    Ameen mtumishi wa MUNGU yaani hili soma lina ni husu mimi kabisa

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 4 роки тому +1

    Woooyi mimi nimewasameha wote walio nikosea ndi posa mungu Anisamehe mimi pia

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 роки тому +4

    Asanteni sana Mahubiri Tv angalau sasa tunawapata. Mchungaji kazi yako si bure. Injili ya kweli. Hili ni somo langu kabisaa. Nitalisikiliza mpaka niache hiyo tabia ya kutokusamehe na niweze kuombea wanaoniudhi na kunikwaza. Mungu anisaidie

  • @joycemsigwaministry2422
    @joycemsigwaministry2422 3 роки тому

    Yaani umetoa SoMo linalonihusu leo,nilikasirika haswa,Mungu akubariki Sana na akutumie

  • @valentinendiema6102
    @valentinendiema6102 4 роки тому +1

    Amen. Nasikiliza mahubiri yako kutoka🇰🇪. Barikiwa pastor

  • @spenciarutalemwa4667
    @spenciarutalemwa4667 3 роки тому

    Ubarikiwe Sana mchungaji, nabarikiwa Sana na najifunza Sana kwa mafundisho, Mungu azidi kukuzidishia hekima zaidi mchungaji.

  • @enockmogaka8041
    @enockmogaka8041 4 роки тому +5

    Thanks pr. U have touched my heart. God bless

  • @elicesilayo4131
    @elicesilayo4131 2 роки тому

    Ubarikiwe mchungaji mahubiri yko yanatubariki sn. Nmebarikiwa mno.

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 роки тому +1

    Masomo.yako yamenibadilisha sana Pastor tangu nijue adui zangu wanaona nini ndani yangu ninawadharau tu ninasonga mbele.I

  • @kibecate2495
    @kibecate2495 3 роки тому +7

    A lesson full of knowledge and wisdom from above... The formula of forgiveness in a different style... I thank God through His Holy Spirit for guiding me to this platform where by i have learned so much. I can't regret being here God bless you and your family pastor

  • @mwambamaduhu7863
    @mwambamaduhu7863 4 роки тому

    Pr Bwana na akubariki sana ,najifunza kumfaham Mungu kupitia mafundisho yako, naona ananinitendea kabisa

  • @angelnziajose7655
    @angelnziajose7655 4 роки тому

    Asante Pr nabarikiwa sana na mafundisho Yako najifunza kila iitwayo leo ubarikiwe sana nakupenda sana

  • @NaomiSabuni
    @NaomiSabuni Рік тому

    Ubarikiwe sana Kwa Somo lako, mchungaji niombee ili niweze kushinda hiyo tabia

  • @vailethobedi4723
    @vailethobedi4723 4 роки тому +1

    Asante sana mchungaji kwa somo nzuri, kweli ukisamehe unakuwa na amani,

  • @emelyneingabire5887
    @emelyneingabire5887 3 роки тому

    Mungu akubariki sana muchungaji de umenisaidia kwakweli

  • @wadyanali900
    @wadyanali900 4 роки тому +1

    Amina. What amazing gospel God bless you pastor mimi kupitia mahubiri yako going far

  • @chongomnebi1455
    @chongomnebi1455 4 роки тому +1

    Mungu akusaidie daima na kukuongoza katika hekima yake pastor Mmbaga

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm Рік тому

    Thanks for word of encouragement b blessed much

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏 pastor Mungu akubariki

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 4 роки тому

    Kiukweli nabarikiwa mno pastor mbaga Mungu akubariki sana mtu wa Mungu

  • @freddyvyambwere7404
    @freddyvyambwere7404 2 роки тому

    Mchungaji Mungu akubariki, asante sana kwa mahubiri hii.

  • @joliea2956
    @joliea2956 4 роки тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu, mtu ambae anajua kosa lake,mtake kupatana nae nikwambie hajakosa,umsamehe na yeye zaidi sana kukupea stress ok uachane Naye ama vipi

  • @kasiansanga2496
    @kasiansanga2496 4 роки тому +1

    congratatin pr kwa mahubiri ya neno la mungu ndugu

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 11 місяців тому

    Am so grateful, thank so much man of God

  • @linetongeri653
    @linetongeri653 4 роки тому +3

    Am so blessed ....have learnt alot from your sermons...may God bless you pastor.

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb Рік тому

    Amen Hakika mungu ni mwema nimejifunza kitu kwenye hili somo nimebarikiwa sana juu Mimi hua Niko na hasira sana lakini kupitia hili Neno hasira imtoka Kwa jina la Jesus

    • @JuliethyManyama
      @JuliethyManyama 5 місяців тому

      Mchungaji niombee naumwa na kijana wangu jina josephy Paul

  • @jameskuria1664
    @jameskuria1664 3 роки тому +2

    Thank you very much, following n blessed. Much love from Kenya

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 4 роки тому +2

    Ningumu sn mwanadam kuachilia kunamtu anaeza kukufanyia kitu hadi akipatwa na jambo unasema asante mungu umenijibu na bado endelea kujidhihirisha tunasemaga ivyo mchungaji,

  • @nellymnzava5277
    @nellymnzava5277 4 роки тому +2

    Pastor Mungu akubariki na akutie nguvu uendelee kutufundisha.Tunakuombea.

  • @levinahasan6287
    @levinahasan6287 4 роки тому

    Barikiwa Sana Pastor maana Nmebarikiwa Sana yani Mungu AKUTUNZE kweli.

  • @LeneyaAline-pp2mi
    @LeneyaAline-pp2mi Рік тому

    ❤❤❤❤❤amen god bless your heart and your family and friends and your loved he love us all god is good

  • @monicakissinga6382
    @monicakissinga6382 Рік тому

    Amen 🙏 barikiwa mbaga

  • @mahindiumakinisa4732
    @mahindiumakinisa4732 9 місяців тому

    Ubarikiwe Pasto

  • @sylviemuhinda3818
    @sylviemuhinda3818 3 роки тому

    Amina. Nime barikiwa sana. Mungu akubariki piya Mtumishi wa Mungu

  • @jackysally7349
    @jackysally7349 3 роки тому +1

    God protect you pastor you have teach more

  • @nondoedimo9586
    @nondoedimo9586 3 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi kwa neno

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 4 роки тому +3

    I'm blessed so much. May GOD bless you abundantly pastor.

  • @etridaelias853
    @etridaelias853 3 роки тому

    Barikiwa Sana Pr. Kwa kunibariki

  • @LeneyaAline-pp2mi
    @LeneyaAline-pp2mi Рік тому

    Amin god bless you pastor ❤❤😇😇🙏🙏

  • @markongatunga4520
    @markongatunga4520 3 роки тому +1

    Mungu akubariki pr

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 4 роки тому

    AMEN pst Mungu akubariki nimejifunza sana

  • @pricilamwakalebe1117
    @pricilamwakalebe1117 4 роки тому

    Mungu na azidi kukulinda mchungaji. Nabarikiwa mno nikikusikiliza. ILA NITAPONA VIZURI SIKU NIKIKUTANA NA WEWE JAPO MIMI SI MSABATO. Niko Dodoma. Endapo siku nikiipata angalau nafasi ya kuzungumza na wewe nitabarikiwa zaidi🤲👏

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 роки тому

    Amen truly pastor, everything I tried to do people fight me alot in my job every time I got favor, but shetani ana nipiga vita sana.. nime omba lakini Nashukuru Mungu kabisa.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 роки тому

      Mungu akubariki. Akupiganie

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 3 роки тому

      @@MahubiriPrMmbaga Amina🙏🙏 Nashukuru Mungu bado ana nipigani kweli kweli. Asante kwa mahubiri mazuri sana God favor me to listen you all time. I will never be the same.

  • @upendokayinga7540
    @upendokayinga7540 4 роки тому

    Nimebarikiwa sana Pr, Mungu azidi kukutumia

  • @rachelmanongi7064
    @rachelmanongi7064 4 роки тому

    Amen Mchungaji, Mungu akubariki sana somo zuri sana na Mungu anisaidie kulielewa zaidi

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 4 роки тому +21

    Mchungaji unapongia kwenye Maombi uniombee na mimi pia Niko na tabia ya kutokusamehe, kulipiza kisasi na kuombea wale walionikosea mabaya yawapate lkn kwanzia Leo ninachilia yote kwa Jina La Mungu

  • @walterondiek271
    @walterondiek271 4 роки тому +1

    Ahsante sana kwa kazi ambayo Mungu amekupa. Akuongeze nguvu na hekima

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 4 роки тому

    I am watching from Bahrain mimi ni m kenya mchungaji mahubiri yako yananijenga sanaaaaaaa in the name of Jesus Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯

  • @ridancekokola1126
    @ridancekokola1126 4 роки тому

    Nimekupata Pastor, Mungu akubariki sana.

  • @IshimweDavid-p5r
    @IshimweDavid-p5r 7 місяців тому

    Nakufwata nikiwa drc ubarikiwesana

  • @mghanajohn375
    @mghanajohn375 2 роки тому

    Amina ni kweli vita si vytu

  • @luiguyTV
    @luiguyTV 4 роки тому

    Powerful 🙏🏽. Mungu akubariki pastor.

  • @atupokilemachwa5789
    @atupokilemachwa5789 3 роки тому

    Barikiwa pastor

  • @winifridamushi1341
    @winifridamushi1341 4 роки тому

    Mchungaji Mungu wa mbinguni akubarikiii sanaa

  • @friendshiphaven6419
    @friendshiphaven6419 4 роки тому +4

    watching from here in the USA and really touching sermons by pastor. Ubarikiwe SANA.

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 2 роки тому

    Thankyou for this message pastor

  • @VickyMoses-m2b
    @VickyMoses-m2b Рік тому +1

    4:51 it's Nice

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 4 роки тому +1

    Thank you pastor kwa mafundisho mazuri. May GOD help me to remove the pain from my heart. Be blessed pastor.

  • @abrahamkafila8498
    @abrahamkafila8498 4 роки тому +1

    Mungu akubariki mchungaj yani masomo yanatungusa , kwani upendo wawatu umepoa mungu atusaidie

    • @maryobino7097
      @maryobino7097 3 роки тому

      Hasante muchungaji nimejifunza kusamehe.

  • @janenyangwencha6041
    @janenyangwencha6041 2 роки тому

    Nimebarikiwa much ungainly mungo abariki

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 4 роки тому

    nimebarikiwa sana mchungaji,nawe barikiwa pia🙏

  • @faithmakena2381
    @faithmakena2381 4 роки тому

    Mafundisho mazuri sana. Nimeyapenda sana

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 4 роки тому

    Nakusoma Sana pastor umenibariki sana

  • @JeackAmisi
    @JeackAmisi 4 місяці тому

    Très joli vraiment

  • @dominikmaisero6484
    @dominikmaisero6484 4 роки тому

    ubarikiwe pastor

  • @cristinariziki-li4ri
    @cristinariziki-li4ri Рік тому

    Barikiwa sana

  • @doricapeter545
    @doricapeter545 Рік тому

    Somo zuri sana nimeachilia

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 4 роки тому +3

    Ameeeeen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓😍

  • @cecliavicent115
    @cecliavicent115 2 роки тому

    Mch. David shalom! Mimi c msabato bali nalikubali neno la Mungu kupitia mahubiri yako, kiukweli unanibariki mno tena zaidi ya mno! Mungu akubariki mno. Sipitwi na mahubiri yako yanayotoka UA-cam. Naomba Kama hutojali unijuze Unachunga kondoo ktk ushiriki wa mtaa upi kanisa lako unalochungia kondoo za bwana Ni lipo wapi? Nahitaji kukuona ana kwa ana Mtumishi wa Mungu

  • @JuliethyManyama
    @JuliethyManyama 5 місяців тому

    Mchungaji niombee naumwa na kijana wangu josephy paul

  • @seesee8114
    @seesee8114 4 роки тому +2

    Esther Nyabuto Pastor niombee niwenaimani ndani yangu

    • @leticiakajula3601
      @leticiakajula3601 4 роки тому

      Pastor Asante nina mtu Sijawahi msamehe kila nikijaribu nashindwa nahisi kwa Somo hili nitajaribu tena .Roho mtakatifu aniongoze.

    • @nsajigwakipembe2763
      @nsajigwakipembe2763 4 роки тому

      Asante xna pastor kwa somo zuri

  • @DoricaNoni
    @DoricaNoni 8 місяців тому

    Mch ume nena kweli ubarikiwe kwa kuufunua ukweli huu

  • @safinabarungura3774
    @safinabarungura3774 4 роки тому +4

    A coward of the country. 🤗
    Bless you

  • @سادهمحمد-ب1ض
    @سادهمحمد-ب1ض 4 роки тому

    Ni kweli baba MUNGU anisaidie juu ya watu wanaonipiga vita niwapende na kuwaombea baraka

  • @lucyrono8052
    @lucyrono8052 4 роки тому

    Pastor God bless you.

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому

    Amen 🇰🇪 I have learned alot

  • @johnpantaleo9732
    @johnpantaleo9732 4 роки тому +1

    Good message wise man of God

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 3 роки тому +1

    Am so blessed and I have learned a lot from ur sermon pastor ,I have added my faith God 🙏 bless you abundantly

    • @jacksonkapongo6193
      @jacksonkapongo6193 2 роки тому

      Mchungaji Bwana akubariki kuachilia like alichokupatia wewe kwa watu wa Mungu.

  • @chance0709
    @chance0709 3 роки тому +1

    i keep understanding

  • @selahmateso7632
    @selahmateso7632 4 роки тому

    Jambo mjungaji mungu hakubariki

  • @jamesonzere5255
    @jamesonzere5255 2 роки тому

    Injili iende mbele,

  • @bjchamba6452
    @bjchamba6452 4 роки тому +1

    Pastor hayo Mambo ni magumu jamani basitu Mungu atusaidie na nilivyo na hasira

  • @jezzymuthomi3232
    @jezzymuthomi3232 2 роки тому

    God bless you 🙏 ❤

  • @ErishamaPetro-nf4lo
    @ErishamaPetro-nf4lo Рік тому

    Mimi ninasamehe rakini nikikutana naarienikosea huwa naumia.

  • @producernetoh0073
    @producernetoh0073 2 роки тому

    Amen pastor...