Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu umenitoa Kwa shimo umenifungua macho Ya Roho nimejua mahali niliangukiya ninaruti Kwa jia ile Ya kwaza barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu nimependa mafundisho Yako yamenitoa uchafu Kwa Roho Yaku
Madhabahu ya kalvary,mahusiano yako binafsi na Mungu wako, madhabahu ya familia, madhabahu ya pamoja kanisa, madhabahu ya kazi ya mikono yako, Market place altar
Madhabahu haya yana nguvu ,Arabic hawataki kuskia maombi ya wakristo hakika naishi kwa ajili ya mungu anaetumia mtumishi wa mungu katika mafindisho yake,hakika baba mumgu akipanue zaidi
🎉🎉Barikiwa mtumishi wa Mungu
Sijapata kuona Mtumishi wa Mungu kama huyu anajua neno anakufusha kusima Ubarikiwe sana Mtumishi Asante umenitoa mbali.
Ubarikiwe sana nazidi kufuatilia masomo yako maana yananijenga natamani nifike hapo Mwanza
Kiukwel pastor George amefanika baraka sana katika maisha yangu
Ooh,God have mercy on me🙏🙏truly hili neno limeniguza , madhabahu yangu yalichafuka
Ahsante Mungu kwa neema hii ya mafundisho kupitia mtumishi wako .
Amen mtumishi unanifungua sana. Naomba kujua jinsi ya kujenga madhabahu kati yangu na Mungu.
Laiti ningeyapata mafunzo haya mapema, nisingekua hapa nlipo leo,lakini naamini, kwa mafunzo haya nitapata neema tena. Asante mchungaji, mungu akupee neema zaidi. Amen 🙏
Asante Sana kwa neema hii nimepokea suluhisho la magumu yangu na maswali mengi ya huduma yangu.atukuzwe mungu aliye hai.
HATA MIMI HUJIFUNZA SANA KUPIKIA HUYU MTUMISHI WA MUNGU
Mungu atusaidie Sana tuweze kutafakari Aya maone ya mungu barikiwa Sana mutumizi wa mungu 🙏🙏🙏
Wiki tatu sasa naona mungu ndani yako barikiwa sana
Maisha yangu yamebadilika sana tangu nifuate haya Mahubiri,ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Mungu nataka madhabahu yako yanene juu ya maisha yangu 🙏🏻👏🏿🙌🔥❤
Amen
Since I started following pastor George 🙌 am blessed everyday 🙏 barikiwa
Neno hili limenifungua macho asante mtumishi wa Bwana barikiwa
Watu wa mwaza mnamtumishi mnaheri mungu abarikiwe abarikiwe namungu amwongeze niwatu chachesana wanamnayake amina
Sanaaaaa
Nabalikiwa saaaaana mchungaji
Natamani na kwa imani IPO siku nitafika mwanza nimuone pasta George kwa macho.
Jifunue Yesu tunakuitajj Yesu katika maishani mwetu Yesu katika jina la Yesu Kristo wanasareti ❤❤❤
AMEN
Natamani watu waliookoka wasikilize masomo ya huyu pastor yanainua sana
Kristo Yesu azidi kukutunza pastor George Mukabwa kwa Maarifa makubwa haya ya Neno la Mungu
Ubarikiwe sana mukabwa binafai nakuelewa sana nabarikiwa na mafundisho yako
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, ila mke huo hastahili mazabahuni, amejipaka vya majivuno
Kweli mtumishi Mungu akubariki sana sana kwa ajiri ya mafunzo mazuri
Ameeeeeeen! Thank you so much pastor George for the powerful message!
Mtumishi wa Mungu, umenielimisha . Nahisi kubarikiwa Sana. Mungu azidi kukutumia.
Asante sana papa kwa bafundisho umefanya nijidabuwe mbele za Mungu
Nashukuru sana kwa mafundisho ya leo yesu kristo akubariki Sana BABA
Naomba mwendelezo wa hili somo Pst. Please
Amina nimebarikiwa mno. Nasubiri somo lonalofuata Kwa shauku kubwa
8 months tangu nifuate huu madhabahu na maisha yangu imebadilika.
Me too ,,,just 2mnths God is good🙏🙏🙏🙏
Nice
Amina
Amina
Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu umenitoa Kwa shimo umenifungua macho Ya Roho nimejua mahali niliangukiya ninaruti Kwa jia ile Ya kwaza barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu nimependa mafundisho Yako yamenitoa uchafu Kwa Roho Yaku
Pasta najengaje madhabau yangu
Wee pastor nakupenda hata kama we sio wa dhehebu yangu,,,uko na maneno ya uzima
Kwa MUNGU lugha moja dhehebu moja AMEN🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇸🙏🙏🇰🇪🇰🇪Tunaunganishwa na YESU AMEEEN
Thank u so much pasta god bless u
Thank you for your teachings they inspire me a lot and they have made me change spiritually
Amina Mungu akubariki kwa somo nzuri sana
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God
Tumuombee huyu mchungaji mungu amuwekeee
Asante sana postor kwa mafundisho yako ya wokovu.Mungu akujaze Roho Mtakatifu akuongoze ili uzidi kutufundisha mambo ya Mungu
AMEN 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼
Ameen ubarikiwe sana Pastor hakika Mungu anakutumiaa
God bless you man of God, your messages have been inspiring me..
Ubarikiwe mtumishi 🙏
Asante Yesu kwa somo hili la uzima
Shalom Shalom 🙏 Nabarikiwa Sana na Mtumishi huyu jamani. Ni Miezi mitatu Sasa tangu nimfahamu na kuanza kumfuatilia. Mungu wa Mbinguni azidi kumuinua
Powerfull ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Madhabau ya mangu yakanene mema juu ya maisha yangu pamoja na familia yangu🙏🙏🙏🙏🙏
Ninabarikiwa sana kupitia pastor,mungu akubariki.
Amina amina
Amen,nahisi kubarikiwa Mungu azidishe hekima yake ndani yako
Mungu naomba madhabau yako yanene you yangu
Amen baba...umenifunua macho
Amen amen ubarikiwe sana mtumishi WA MUNGU Kwa ujumbe my MUNGU amekupa 🙏🙏🙏🙏
Uwa nabarikiwa sana nikisikiliza haya mafunzo ubarikiwe sana baba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤Anen Amen Halleluja ❤❤❤❤❤❤❤❤....asante Great Man of God Pastor George Mkabwa
amina,jina la Bwana libarikiwe
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ahsante sana
Mch Asante kwa masomo yako mazuri sana
Madhabahu ya kalvary,mahusiano yako binafsi na Mungu wako, madhabahu ya familia, madhabahu ya pamoja kanisa, madhabahu ya kazi ya mikono yako, Market place altar
Alelluyah alelluyah blessed Glory be to God bless
Nafunguliwa sana na huyu mtumish mwezenu
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
Mungu akutunze
Amen Amen 🙏
Asante Mungu naendelea kujifunza
Mungu akubariki
Nimebarikiwa sana mtumishi. MUNGU azidi kukubariki.
Nabarikiwa mnoooooo!!!! Mungu niongoze vyema kwenye kumiliki nakutawala
Amen Ubarikiwe sana
Asante sana Yesu mwokonzi wetu
Mungu akubarik sn
Amen from 🇰🇪
Amina Pst,nimebarikiwa sana
Nimebarikiwa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeen Hallelujah Ameeen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thanks Paster
So powerful... Amen 🙏🙏
Asante Pastor George. Be bless with plenty.
Amen 🙏 Amen 🙏🙏 jina ra bwana ribarikiwe
Ameeeen
Haleluyaaa
❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki sana pastor
Amina mtumishi
Amen mbarikiwe
Amen
Ameni mung u mwema
Bwana nitete kupitia haya madhabao
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mjungaji Mungu aendelee kukupa neema nmebarikiwa asubuhi y leo amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Z
Glory be God almighty,
Amen 🙏
Amen 🙌🙌🙌
Amen and amen thank
Powerful word
MUNGU akutie nguvu mtumish
🙏☀️ 1:32:50
Mungu tenda mema kwangu
Madhabahu haya yana nguvu ,Arabic hawataki kuskia maombi ya wakristo hakika naishi kwa ajili ya mungu anaetumia mtumishi wa mungu katika mafindisho yake,hakika baba mumgu akipanue zaidi