PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2023
  • #dontatv #bongomovie #peteyaajabu #swahili #dadawakazi #housegirl #penziladadawakazi #penzilahousegirl #kelvinkhan

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  4 місяці тому +48

    TIZAMA SERIES YETU MPYA HAPA BONYEZA LINK HII ua-cam.com/video/V7IXrzvKkAM/v-deo.html

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu Місяць тому +15

    Hakuna kitu cha maana kinachomfurahisha mwanaume kutoka kwa mkewe kama heshima,kumbukeni heshima si utumwa,funzo nzuri sana hongera kwa wahusika,wakenya mpo❤❤❤

    • @samuelnthia8858
      @samuelnthia8858 2 дні тому

      Mwana dada wamahana sana huyo m
      Muhooe huyo
      Mimi kutoka Kena 16:58

  • @agnesdeusdedit5071
    @agnesdeusdedit5071 11 місяців тому +90

    Kupitia move zako nimejifunza kuwa mke Bora kwa mme wangu❤️

    • @user-vv7yi1ch9b
      @user-vv7yi1ch9b 11 місяців тому +2

      Ubarikiwe Kwa kujifunza Mimi pia yaani kelele ya kwanza Kwa wahehe wakeeeee

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 11 місяців тому +1

      😅😅😅father Bernard tukitembeagq na mabek3 ndoo mnalalamika ❤😂apo chapa ilaleee

    • @tumikiaelinnko3509
      @tumikiaelinnko3509 11 місяців тому +1

      Barikiwa sana kaka

    • @fddvxx
      @fddvxx 11 місяців тому +1

      Asante kaka

    • @bakuzawiston5401
      @bakuzawiston5401 6 місяців тому +1

      Mh bado huja SEMA 😂😂

  • @mouriceadura7195
    @mouriceadura7195 3 місяці тому +10

    Asante sana Mr Kevin acha sasa ningoje mke wangu aje kwa mawaidha yako naku watch kutoka Nairobi Kenya.

  • @user-go8cc4qm4b
    @user-go8cc4qm4b 10 місяців тому +17

    Wow love u so much movie jamn iringa ni kweli kabisa tuna heshima kelvin nice job ❤❤

  • @franciscahnzaphila-6900
    @franciscahnzaphila-6900 11 місяців тому +18

    Akh cjaoleka ila nimejifunza mengi kupitia hii movie asant sana kaka mungu akubariki nakupenda bure❤❤❤

  • @makanisaomard1131
    @makanisaomard1131 11 місяців тому +9

    Asante sana kelvin ni mafundisho mazuri sana na vijana wengefwatilia vipindi hivi vina msaada mkubwa sana

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  5 місяців тому +13

    ua-cam.com/video/2D7qNJwlenk/v-deo.htmlsi=8hg05b8azPzwuW_8
    LEO IMETOKA SERIES YETU MPYA YA MAPENZI INAITWA - VAMPIRE LOVE ❤ bonyeza link kuitizama

  • @RehemqMwanja
    @RehemqMwanja 4 місяці тому +5

    Woooow nimempenda victoria bure,ilaaa ctovunja heshima kwa mume wangu nitahakikishaa nafanya yote yanayohitajika katk ndoa.Mdada wa kazi kwangu hapana,maelezo tosha anayo victoria.Mwanandoa yeye hebu mfwatilie vick maelezo yake❤❤❤

  • @serahwambuamukuimukui6957
    @serahwambuamukuimukui6957 11 місяців тому +35

    Ilo ni funzo kwa Wana ndoa ,musimwachie mfanyikazi kazi za ndani zote,❤❤❤

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 11 місяців тому +53

    Ongera Kelvin kw kaz nzr na yenye mafunzo❤❤Mna sisi wanawake mda mwengne tunajisahau kiukwl 😢 Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰🥰

    • @stevensiasi
      @stevensiasi 2 місяці тому

      Ni kweli

    • @stevensiasi
      @stevensiasi 2 місяці тому

      Ni kweli

    • @user-ii7no2wg2v
      @user-ii7no2wg2v 2 місяці тому

      😢waoo ilo sisi wanawak mda mwingin tunavhukulian mabwan daahn

    • @husnatsuma755
      @husnatsuma755 23 дні тому

      Mm hata niwee ninafanya kazi office siwezi andikaa mufinyii wa kazi za ndani ila muko Vizuri much love from kenya 🇰🇪

  • @user-ph1iu2mj1d
    @user-ph1iu2mj1d 10 місяців тому +11

    Napenda sana movie zako Kelvin zinafundisha kiukweli

  • @user-ji1su1ie5l
    @user-ji1su1ie5l 5 місяців тому +11

    Mafunzo mazuri daktari Kelvin keep it up.congratulation 👏👏👏👏👏👏👏

  • @geofreyngwando4852
    @geofreyngwando4852 11 місяців тому +13

    Umegusa maisha niliyopitia Kevin,dah, hakika nimejifunza kutoka kwako,,big up.

  • @christinangombe
    @christinangombe 11 місяців тому +25

    Umetisha Sana bro,wanawake walioko kwenye ndoa kuleni chuma hicho😍😍

  • @Zainabukahonzi
    @Zainabukahonzi Місяць тому +2

    Nimejifunza kitu maskini vle uaga naforce mapenzi bila mafanikio bora nikae lwa kutulia mume atakuja mwenyewe❤❤❤Asante kaka KELVIN KHAN❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉

  • @user-sm8cm3pw3j
    @user-sm8cm3pw3j 4 місяці тому +2

    Kupitia hii movie nimejifunza kumtii mme Wang kelvin hongera Kwa kazi nzur inatufundisha wanawake uwa watiifu Kwa waume zetu❤

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 11 місяців тому +19

    Ashante sana tumepata funzo. Much love from Kenya

  • @tyroneduplooy9903
    @tyroneduplooy9903 11 місяців тому +14

    Ujumbe umetufikia ❤ lv story I want part 2

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 4 місяці тому +3

    Safii sana Kelvin...Alikuletea mwenyewe mke sahihi...Mpuzi sana Wanawake wasiojua majukumu yao wanavunja wenyewe ndoa zao kwa mikono yao

  • @safiajacksonsafia7545
    @safiajacksonsafia7545 11 місяців тому +15

    Nimejifunza kitu kupitia hii movies kweli mbarikiwe wote ❤❤❤❤😊

  • @sophiaokello-sz9tp
    @sophiaokello-sz9tp 11 місяців тому +53

    Hongera Kevin kwa kazi zuri kutoka Kenya 🇰🇪

  • @celinesaimon1788
    @celinesaimon1788 11 місяців тому +12

    Hongera kwa nzur wanawake wengi wanajisahau sana wanapopata wadada wa kazi

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 11 місяців тому +6

    Nimejifunza mengi kupitia hii stry...Mungu awabariki sana nyote mulioshiriki❤❤❤

  • @lucybengwe959
    @lucybengwe959 11 місяців тому +5

    Kaz nzur Kaka ❤️❤️ mungu aenderee kukuweka nimejifunza kitu kptia muvi hii ❤️❤️

  • @user-fj1gm2ik6n
    @user-fj1gm2ik6n 11 місяців тому +48

    Nmeipenda kazi yako kelvin ❤.
    Wanawake tupate somo apa.
    Asante kwa uwepo wako.

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 11 місяців тому +11

    Woooow kazi nzuri mungu azidi kuwabariki

  • @Ann-Strong
    @Ann-Strong 9 місяців тому +45

    Very educated movie for marriages... congratulations Kevin

  • @antonysichula3600
    @antonysichula3600 9 місяців тому +27

    Daaah nimefurahi sana heshima ya huyo dada wa kazi ❤❤

  • @muambashi1119
    @muambashi1119 11 місяців тому +13

    Congratulations my dear kaka mungu akufikishe mbali kwa mafunzo yako

  • @jonathanbrayson6946
    @jonathanbrayson6946 11 місяців тому +15

    Yaan Kama ingekuwa tuzo Bora ya filamu hii ningeipa tuzo ni kazi nzur sanaaa

  • @ZipporahZippy-ng9rr
    @ZipporahZippy-ng9rr 10 місяців тому +32

    Kevin pongezi sana bro Kwa kazi nzuri much love from Kenya ❤️❤️❤️

  • @user-se4jl8zc7e
    @user-se4jl8zc7e 5 місяців тому +2

    Nakubarii kaka kwa kazi nzuri. Mungu azidi kukupa maono ya kufundisha zaidi.

  • @betinabrown8870
    @betinabrown8870 11 місяців тому +5

    Waoo kazi nzuri sana bro MUNGU aendee kukubariki na kipaji chako

  • @usterbae
    @usterbae 11 місяців тому +3

    Nimechelewa lakin sichoki kufuatilia donta tv siezi maliza siku bila kuona movie zenu nzuri ❤

    • @Dontatv255
      @Dontatv255  11 місяців тому +1

      Asante sana

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 7 місяців тому

      ​@@Dontatv255Kevin hongera sana kwa kazi nzuri ila ushauri tu jitahidi kuwa makini kwenye movie zako matamshi yanapishana na reactions za midomo pia ukiweka english subtitles utafika mbali zaidi

  • @AksantibiganikiroJoel
    @AksantibiganikiroJoel 7 днів тому

    Ongera sana kwani wanawake waliumbika kitofauti kunawale wanajuwa jukumu ya mwanamuke yawengine hawaja elewa bado ni asante Joël from congo

  • @MaggieWaway-wd1sq
    @MaggieWaway-wd1sq 3 місяці тому +4

    Woooow...thank you Kelvin for such a good lesson

    • @AmossBayyo
      @AmossBayyo 25 днів тому

      Asant San kelvn hitor zako nzur San ngoj nimesubir mke mzr

  • @user-ly5fb2te1g
    @user-ly5fb2te1g 11 місяців тому +5

    Pongezi qwa kazi nzuri Kelvin I am Elly watching from kenya

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu9934 11 місяців тому +4

    Wanawake tupate funzo hapo congratulations Mr Kevin keep up the good work

  • @user-qs7dh7bk4k
    @user-qs7dh7bk4k 6 місяців тому +9

    Watching from saudia arabia, thank you for your story kevo

    • @DhDb-ps9wr
      @DhDb-ps9wr 4 місяці тому

      Kevo ongeraa🎉🎉

  • @user-yg9ol8fg9p
    @user-yg9ol8fg9p 5 місяців тому +1

    Pongezi kwa kazi nzuri,, teaching this perishing generation good morals🎉

  • @jaliamdoe2187
    @jaliamdoe2187 11 місяців тому +5

    Chagua sanamu lako tukaliweke wap kelven 👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MauzooMauzoo-dq5ib
    @MauzooMauzoo-dq5ib 11 місяців тому +3

    Daaah ni hakika kabisa kaka, sema ningeweza kupata mawasiliano yako ingekuwa vizuri sana na ningefurahi mno

    • @GracePendo-nc1el
      @GracePendo-nc1el 8 місяців тому

      Ametufanya tuwe na adabu sisi tunaofanya hayo 😂😂😂😂😂

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 9 місяців тому +5

    Vicky Yuko na adabu za Hali ya juu nimempenda buure❤❤

  • @Veronique-et4br
    @Veronique-et4br 10 днів тому

    waoooooooooh wanaume Muko wapi munapendaga wa dada warembo sana munaona je iyi vidéo Sisi wabaya tunamiliki Vitu n'a penda iyo kitu

  • @naomimbiaji-ed3ue
    @naomimbiaji-ed3ue 11 місяців тому +18

    nimeielewaa sana hii broo kazi nzuri unayoifanya mungu azidikukukuinua 💖💖💖

  • @Diztv-rr3os
    @Diztv-rr3os 11 місяців тому +11

    Hongera Allaah akuongoze🤲

  • @user-bi9lm6dg3i
    @user-bi9lm6dg3i 11 місяців тому +7

    Hongera sana Kev kazi nzur Vic nimekupenda mhehe wangu❤

  • @IrenMushi
    @IrenMushi 5 місяців тому +3

    kelvin hongera sana upo vizur kwenye kaz yako ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ansigarhyera1997
    @ansigarhyera1997 11 місяців тому +15

    Hongera sana Mtunzi kwa kazi nzuri sana na fundisho kubwa sana kuhusu mahusiano 🎉

  • @user-eu6ru7fc6l
    @user-eu6ru7fc6l 11 місяців тому +10

    Ladies hope tumesoma kitu hapo let's take our responsibilities to avoid this Kelvin umetufunza mengi sana

  • @MulusaTimothy
    @MulusaTimothy 7 місяців тому +2

    Ee!funzo mhimu kwa wanawake wote big up kevin.

  • @RehemqMwanja
    @RehemqMwanja 4 місяці тому +1

    Kelvin nimekuelewaaa kwa uzuri sana pamoja na victoria'haya wanawake jamiii ya mke wa kelvin kaziiii mmeionaaa??? Jifunzenii hapa ❤❤❤❤❤❤

  • @gibsonlepilal2783
    @gibsonlepilal2783 11 місяців тому +57

    Such a kind of a man she deserve congratulations Kevin.

    • @arsenalamri8130
      @arsenalamri8130 10 місяців тому +1

      My name is John we are going to the job 😁

  • @MaureenMumo-rw2tw
    @MaureenMumo-rw2tw 11 місяців тому +22

    May God bless your talent 🙏🙏🙏

  • @jacksonmulwa166
    @jacksonmulwa166 9 місяців тому +21

    Wonderful story .educating one expecially to our young souls .nice job

  • @RajabuJamvi
    @RajabuJamvi 2 місяці тому +3

    Naomba kuwe na utaratibu mzuri wa kuachia kazi zenu,

  • @naomijaphet6860
    @naomijaphet6860 11 місяців тому +5

    Nzuri n inafunza sana hongera kwako mtunzi❤

  • @RoseShiuga-il2xg
    @RoseShiuga-il2xg 11 місяців тому +7

    🙆🙆🙆 tunajusahau sana mungu tusaidie

  • @zainabmsafiri752
    @zainabmsafiri752 10 місяців тому +1

    Good boss men good house girl bad women of your boss god bless you brother and house girl umefunzwa kwenu mama wee dada sio mke ni mshenz wa mtaa

  • @user-cc9lc5dq6x
    @user-cc9lc5dq6x 7 місяців тому +2

    Aky nimependa heshima ya mfanyikazi ❤ mashallah 💕 congratulations Kevin ❤😂.

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru 11 місяців тому +14

    Much love Kevin una mafunzo mazuri❤

  • @user-qr6ow5rk2p
    @user-qr6ow5rk2p 11 місяців тому +2

    Daaaah bonge la somo kwa wausika kaz nzur❤

  • @kevinonde-lc7gy
    @kevinonde-lc7gy 7 місяців тому +15

    Educative movie to the generation today... Congrats namesake

    • @user-eo6jx6nq3v
      @user-eo6jx6nq3v 7 місяців тому +2

      Duuuu jaman tuwe tunaangalia wanawake wakuowa check huy jamaaa anavyohangaika uzur wa mwanamke tabia bwan anawez kuwe mzur kwasula lakin tabia hamn kituuu

    • @emmanueljohn5868
      @emmanueljohn5868 7 місяців тому +1

      Mamb

  • @FebroniaYustin-dd6it
    @FebroniaYustin-dd6it 10 місяців тому +2

    Nimeipenda kazi yako Kelvin wanawake tupate somo

  • @tabithadeus7072
    @tabithadeus7072 11 місяців тому +4

    Imenigusa sana japo bado sijaolewa Mungu nipe moyo wa upendo kwa mume wangu wa badae ❤ i wiish nitamsamini sana

    • @ashakhamis9093
      @ashakhamis9093 11 місяців тому

      Wasema tu

    • @ashakhamis9093
      @ashakhamis9093 11 місяців тому +1

      Maisha ya ndoa ya wiki za mwanzo ni mazuri subir mfikie mwez tu ndo utaelewa mm ndoa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 місяців тому

      🤣🤣

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 11 місяців тому +5

    Married Womens It's my Sincere hope that You've learned a lot.Mke HATAFUTWI,MKE ANAJILETA TU NATURALLY Na Atakuwa Wife Material.

  • @JaribioLeo
    @JaribioLeo Місяць тому

    Daaah kaka wewe ni mwalimu bora sana umetoa funzo adhimu sana katika hii movie broo big up

  • @KaregiAgata
    @KaregiAgata 22 дні тому

    Funzo nzuri kwa wanawake kama hao,, victoria congrats

  • @mohamediurembo4714
    @mohamediurembo4714 11 місяців тому +3

    Mtanisamee jina nimekosea baada ya kumwita Kevin imejiandika kefi😂😂😂😂😂😂❤

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 11 місяців тому +5

    Ndoa nyingi zinavunjika kwa sbbu ya uzinifu. Watu wanazini ndio wanaoana. Na yyte anaezini hata km anazini na mmoja tu wkt hajamuoa huitwa mzinifu na mzinifu yyte haachi hata akioa/akiolewa. Na ndoa ya mzinifu yyte hua haina barka ndio mana haidumu na ikidumu hua na majuto mengi/inaoumulia gas.

    • @gildamashuda
      @gildamashuda 10 місяців тому

      Inamafunzo ndani yake, watu wanajisahau saña wadada wa siku hizi

  • @jcuxi1094
    @jcuxi1094 Годину тому

    Kazi nzuri sana, keep up. Tunahitaji watu kama nyie kwenye jamii

  • @user-ch1dz6pv6t
    @user-ch1dz6pv6t 10 місяців тому

    Oooo wao nimeipenda hiiii move naomba wanake wabadilike oy naomba sehemu ya 9 move ipo good lot

  • @erickymofficial
    @erickymofficial 11 місяців тому +3

    Waow Kelvin..kazi nzuri sana .. Nimeipenda 🔥🥰🤗🤗

  • @elizabetharady
    @elizabetharady 11 місяців тому +45

    Such a wonderful educating story,,,,congrats

  • @rashidommy3861
    @rashidommy3861 11 місяців тому +1

    Kazi nzuri nimejifinza mengi kupitia hii Story, kazi sana ✍️, Hongera muandishi

    • @edithapanga178
      @edithapanga178 11 місяців тому

      Okey kazi nzurii

    • @aliceasunda9703
      @aliceasunda9703 11 місяців тому

      Kasi mzuri wanawake wajufunze Mimi ni mu kenya. Nakupenda muno. Kwa mafnzo bora

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 Місяць тому

    Unasumbuka sana KBS ndodunia hiyo mzunguko ila hayo ni ushauri mzuri sana😊🎉

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr 11 місяців тому +5

    Yanayoigizwa yapo hii movie ina funzo kubwa sana kwa ss wanawake tuwen makin na ndoa ❤

  • @user-pf9tk4mp1q
    @user-pf9tk4mp1q 11 місяців тому +338

    Asilimia mia ya wakaka wanapenda kuoa wadada wazuri wenye makalio kwajili ya kujishow off. Akifika ndani ndani anapata karaa km hizi. Uzuri wa mwanamke ni tabia. Wapi like zangu😊

  • @user-fs5lv6sz5h
    @user-fs5lv6sz5h 7 місяців тому +1

    Thanks broo kelvin nimejifunza apa much love ❤️ from Kenya

  • @user-tq7ru4yh4c
    @user-tq7ru4yh4c 11 місяців тому +12

    Keep up broh Kevin much love from Kenya 🇰🇪

  • @vailethchaula1853
    @vailethchaula1853 11 місяців тому +23

    Wahehe wenzangu wote mnyoshee mikono juu jomoni❤❤😂😂

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 11 місяців тому +18

    MashaaAllah Funxo kibao ❤congratulations kervin na your crew

    • @ZAKIYUATHUMANI
      @ZAKIYUATHUMANI 11 місяців тому +1

      kiukweri iro ni darasa tosha,mungu akuongezee kipaji Kevin

    • @Aliceakale
      @Aliceakale 11 місяців тому

      Kweli nimeyashika nimafudisho bora❤edeleahivyokaka Kevin

  • @user-fs1dz6kd3s
    @user-fs1dz6kd3s 9 місяців тому

    Mke au mume mazuri hatafutwi hujileta so my time is always right lesson learned point taken incredible job bro

  • @gladysgerald4268
    @gladysgerald4268 5 місяців тому +2

    Victoria ana adabu kama waganda duuu thx for educative movie concerning how to respect our husbands and responsibilities to marriage women

  • @nadianindabira3544
    @nadianindabira3544 11 місяців тому +7

    Mafunzo mazuri,asante san🙏

  • @Marcos99750
    @Marcos99750 11 місяців тому +41

    Nipeeni Mke Mtanzania Nioe, Napenda sana kiswahili yenyu

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 8 місяців тому

    Broo Calvin Tisha sanaaaaaaa😄😄😄unaakili kama zangu well part plaid 🤟plus Vick 🔥🔥🔥

  • @user-oi2mg4wd9b
    @user-oi2mg4wd9b 9 місяців тому +1

    Kelvin mungu abariki kipawa chako ❤love so much😊

  • @samuelmwangiwaruguru7420
    @samuelmwangiwaruguru7420 11 місяців тому +11

    A good lesson to all ladies who got no time for their men

  • @user-yn7qb3hp2c
    @user-yn7qb3hp2c 8 місяців тому +4

    That's a good lesson for women I thank you so much and God bless t
    your talent

  • @suraiyaalii
    @suraiyaalii 11 місяців тому

    Asante kaka kelvnn unafundisha sana japo sisi ndio hao ambao tunafanya izo kazi na kuhudumiya waume zawatu wake wao niwakujilemba nakutoka ila naomba mjifunze sana kupitiya mafunzo ya kaka kervvynn

  • @JanetNaneu-zd2so
    @JanetNaneu-zd2so 23 дні тому

    Asante sana kaka nimejifunza mengi kupitia movie zako mungu akubariki🙏

  • @cellinamjeni7573
    @cellinamjeni7573 9 місяців тому +3

    Wow! Good advice, congratulations and keep it up, thank you so much brow from Kenya

  • @Under18B
    @Under18B 5 місяців тому +5

    Nimefurahi kweli kweli😂😂❤❤❤Wakenya wenzangu mpooo?

  • @DJPRINCE01-tg5qh
    @DJPRINCE01-tg5qh 11 місяців тому

    Mwanamke ambae hajajifunza kitu hapa.. Hawezi kujifunza sehem nyingine yyte ile.. Mm nasema.. Honger sana brother

  • @user-hc9bt9tp6g
    @user-hc9bt9tp6g 3 місяці тому

    Hongera saaan Kevin Kaz nzur MUNGU akubariki 🎉🎉🎉

  • @pantypanty3590
    @pantypanty3590 11 місяців тому +11

    Kelvin asante sana kwa movie zako wazidi kunichanua akili my ❤❤❤

    • @Dontatv255
      @Dontatv255  11 місяців тому +1

      Asante sana 🙌

    • @edithamikaya-hw3gl
      @edithamikaya-hw3gl 11 місяців тому

      @@Dontatv255 move nzuri kwakweli inamafunzo hongereni

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 11 місяців тому +14

    Nakupenda buree😂kakangu ni kweli wanawake tuwatunze wauwe wetu jamani

    • @ZulfahAbdillah-fd5gq
      @ZulfahAbdillah-fd5gq 11 місяців тому

      Weeee ni waume zetu sio wauwee😁😁😁😁😁

    • @cellcelll2151
      @cellcelll2151 11 місяців тому

      @@ZulfahAbdillah-fd5gq 😃😃 jamani binadamu hayuko kamili ndugu

    • @ZulfahAbdillah-fd5gq
      @ZulfahAbdillah-fd5gq 11 місяців тому

      @@cellcelll2151 usijaleeeee shogaleeee😄😄😄😄😄😄

    • @cellcelll2151
      @cellcelll2151 11 місяців тому

      @@ZulfahAbdillah-fd5gq wanikosoa mwenzio

    • @ZulfahAbdillah-fd5gq
      @ZulfahAbdillah-fd5gq 11 місяців тому

      @@cellcelll2151 usijal bhana ni utani too mamii please usikasirike bhana

  • @user-yk2ns6sk7v
    @user-yk2ns6sk7v 9 місяців тому +2

    Hongera sana kelvin kwa mafunzo mazur