Mko sawa sana...lakn mwatuboesha movie zengine mwatuachia njian mwakaa sana bila kutoa episode na vile nategea kila siku Plan B na sioni next episode naboeka mm
Hii ilishawahi nikuta mwaka 2008 Nkuhungu, Dodoma. Nilikuwa nina girlfriend wangu ambae alipata jamaa wakawa wanaishi pamoja. Basi akaniambia niende kumtembelea kwakuwa bwana wake huwa ni mtu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni. Siku hiyo akarudi mapema. Mrembo akazuga mimi ni kaka yake. Likapikwa pilau na bia za kutosha. Nilifanikiwa kutoka salama ila mapenzi hayajifichi, njiani tukaanza kubebishan na bahati mbaya majirani zake wakaona wakaenda kumtonya. Nilipigwa msako wa hatari plus mapanga. Ikabidi nikimbie mji na sikuwahi kurudi tena huko
Kama umeipenda subscribe..🎉
😂😂😂😂salim
Kp, Suraj Ako wapi lakini
Vp jaman kp suraji alipoteleaga wapi ????
😂😂😂😂😂umeyabananga kp
From mombasa KAZI safi sana hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kp leo kayakanyaga🤣🤣
Yaan mkiwa mnatunga uongo bila kupangana lazima kiumane tuu 😂😂
Atrouvasoli manyas'b🎉 courageux kepi❤
Very inspiring story n educatv,huyo baba Salim mpeni maua yngu,ndio mpango mzima ❤nko kenya
Good job Mungu awabariki 🙏❤
Napenda san mov zako🎉🎉🎉❤
😂😂😂Manshallah vipenzi 😂kp zebuu kisayi kudadeki kimeumana 😂😂❤❤
😂😂😂😂Jamani nimeenda sana hii filamu. Kazi nzuri kisai. Mubarikiwa🙏🙏
Kweli kweli 😂😂 nacheka sana na kp unasaabu aujameza dawa yako ya kusaabu 😂😂😂😂congo tuna penda 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Niwapenda mnooooo❤ mko vizuri
Ila likoma nyie anachekesha 😂😂😂😂
Leo hkn wa kwanza😂😂
Tamu sana,tunaomba clip fupi fupi ziendelee 😊
Movie zuri sana kweli na shukurusana kutuletea movie. Mungu akubariki sana
As
Mko sawa sana...lakn mwatuboesha movie zengine mwatuachia njian mwakaa sana bila kutoa episode na vile nategea kila siku Plan B na sioni next episode naboeka mm
Kweli inastahili kp na zebuu wakue wapenzi wa dhati nimeshudia movie zao zote hawa ni wapenziiii kabisaaaaa
ni mke na mume kihalali
🎉🎉🎉ni Mme na mkeee
Mke na bwana pia mtoto yupo wa kike
Mke na bwana
Kp leo umejichanganya vibaya
,😂mnanipa furaha jmn😂
Hahahahahahahaha tunga uongo unaoeleweka jaman dada zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂😂😂wanawake sio watu wazuri kabisa😂
Nimejua kucheka😂😂😂😂😅
😂😂😂 salimu kimemktuta kitu kizito haya watoto wa kubadilisha majina yetu ipo siku yetu salimu kashaenda jela kunyea debe😂😂😂😂
Nampenda sana Mzee Likoma 😂😂😂😂
Hii ilishawahi nikuta mwaka 2008 Nkuhungu, Dodoma. Nilikuwa nina girlfriend wangu ambae alipata jamaa wakawa wanaishi pamoja. Basi akaniambia niende kumtembelea kwakuwa bwana wake huwa ni mtu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni. Siku hiyo akarudi mapema. Mrembo akazuga mimi ni kaka yake. Likapikwa pilau na bia za kutosha. Nilifanikiwa kutoka salama ila mapenzi hayajifichi, njiani tukaanza kubebishan na bahati mbaya majirani zake wakaona wakaenda kumtonya. Nilipigwa msako wa hatari plus mapanga. Ikabidi nikimbie mji na sikuwahi kurudi tena huko
Duuuuuuh 😁😀😄🙌
Yaani leo nime😅😅😅😅 mbavu zangu😂😂
😂😂😂Salimu ndo unaenda jela hvoo
😅😅😅😅😅😅😅mwisho nayo Ni Tamu sana😂😂😂
Who is this guy 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ila kp umeisha sasa
😂😂mupeni kp chechi💰 chake cha youtube🎉🎉❤😂😂😅😢
Na hicho kibegi cha mzee wa giza😂😂😂😂
😅😅 walai
😂😂😂😂😂kimekuramba abraham😅😅😅
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Pole kp😅😅
Kp na zebuu leo mumeyakanyaga kabx
pol san kp
Bien vraiment 👏👏👏😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
mara abraham mata salimu kimemramba huyo😂😂😂
😂😂😂😂 ok kitoko makasi 👌👌👌👌 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩
Utafumwa😅😅😅😅😅
Mimi wakwanza kutoka congo nipe laki zangu
Jaman nawapenda nyie mpaka bax tu🎉🎉🎉🎉🎉
Yani zebuu amekataa sidechick wake live live😂😂😂
❤maajabu😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kp kapata wimbo gafla😂😂😂
Mko vizuri sana ❤❤❤❤
I like your movies
Kaka mnajua kuigiza sana muwe mnatoa sana maigizo
Bien maman zebuu vraiment cool
DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja
Great job 😊😊
❤❤nawapenda sana
😂😂😂😂😂😂yaani leo mmenichekesha
Napenda sana move zenu
Salimu umeyabananga
Jamani we mme wa zebuu na mimi nakupenda
Thanks for the movie😅😅😅😅
Salmu 🎉🎉🎉
Njoo UA-cam adika briton simba utaipata move zangu
Ilikuwa smart 🎉😂😂😂
Napenda movies zenu
😅😅😅😅😅😅baba analalamikaje ?
Nice kp
😂😂ee mmeyakanyanga
Movie nzuri sana🤣🤣🤣🤣
😅😅😅 kp umewapgaje apo
😂😂😂😂😂😂 kp nomasanaaaa
You dont love peace,you love problems eti?😂😂😂😂
😂😂😂😂 kp kimemramba😂😂
😂😂😂kayatimba salimu
Don kisai tz
Nawapend san jaman❤️❤️
Umeyatimbaaa😂😂😂😂
Maajabu😂😂😂
Love love from kenya
Kwakwel Kam mtu hujawah tung uong hat sik half ukajikut unautung h😂😅😅 hi hatar
Hongereni sana
Ila kp
Jamani hee zebuu na KP hahahaha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hahahahaaaaaa KP
😂😂😂😂😂 jamani..
Kp kimekuramba aswaaaaa
Naomba kuigiza nanyie
jamani uongo ni mbaya,ila nmeipenda
These guys know how to act.
Acha nicheke tu😁😁😁😁😁😁❤😁😁
Zauko Tanzania na Mimi ni Pinda
Zebu unajitahid shositi kuigiza na Mme wako!
So nice nawapenda mno❤❤❤
Mpo vizur sana
yaani leo nime 😅😅😅😅😅 mbavu zangu
Natokea Kenya Nahitaji Kuigiza Nanyi Tafadhalini
Noma b
Jaman nawapend sanah
mme wake na huyu dada mbona akiongea neno kidogo anasema aaaaah inaonekana director ajui kumdailekti mtu
Boda boda😅😅😅
Kisai una macho ingine ama Ni hyo
Kimeumana 😆😆😆😆
ila kp na zebuu ni mafundi sanaaaaa
We kp wa Aquino hii ni movie au