PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 38 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  Місяць тому +1237

    WIKI HII IMEKUA WIKI NGUMU SANA KWETU MISIBA YA WASANII WENZETU PIA MAAFA YALIYO TOKEA KARIAKOO MUNGU AWAPONYE WAANGA NA KUWAPA NGUVU WAFIWA 🙏🙏 #Pray4kariakoo

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 Місяць тому +327

    Tunaoangalia huku tukiwa Na majonzi 😢😢kwa mtihani wa ndugu zetu wa kariakooo 😢😢tujuani kwa alama 😢

    • @AminaSendekwa
      @AminaSendekwa Місяць тому

      😊😊😊

    • @HawaNsumyi
      @HawaNsumyi Місяць тому

      😊😊😊😊

    • @Mummyummymillions
      @Mummyummymillions Місяць тому +2

      😭😭😭😭😭 inaumiza kwa kweli Allah awafanyie wepes wapatikane wote wakiwa salama na walitangulia Allah awaeke mahali pema pepon

    • @rohdaphilip2470
      @rohdaphilip2470 Місяць тому

      😢😢😢

    • @WilleChidenga
      @WilleChidenga Місяць тому +1

      Daah' Ila hili tukio nyie achen2 inauma wanna😭😭😭

  • @Esther01-g1h
    @Esther01-g1h Місяць тому +267

    Tunaoamini Kwamba kwenye hii dunia ukitendwa mema utalipwa mema na ukifanya MABAYA utalipwa MABAYA pia,Mungu wetu ni mwaminifu wakati wote,,Nawapenda❤❤❤❤❤❤

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Місяць тому +171

    Jmn kama wamkubli loveness kwa kimsaidia kelvin nkupenda pahali popote ulipona n pia huu mchezo naukubli saaaana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦team strong hoyeeeeeeeeee

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t Місяць тому +539

    Mwenye atasoma comment ii Allah amfungulie njia zake zote❤❤❤❤

  • @N.Euphrem
    @N.Euphrem Місяць тому +129

    movie nzuli sana naomba likes to you my friend Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @IreneDavid-w2d
    @IreneDavid-w2d Місяць тому +289

    Mungu akubariki na akupe maisha marefu wewe utakayesoma hii comment

  • @TrizaMo-ou4xs
    @TrizaMo-ou4xs Місяць тому +130

    Wa kwanza kutoka Kenya currently in Saudi Arabia mnipe like ata mbili za team strong

  • @KidokoBrian
    @KidokoBrian Місяць тому +61

    Kila mtu ni wa kwanza okay mimi brain niko wa mwisho much love from 🇰🇪 kenya wana donta tv

  • @MbulaMary-qe3ux
    @MbulaMary-qe3ux Місяць тому +21

    Poleni sana tanzania na watanzania kwa ujumla kwa majanga yaliyowakumba Mungu awape faraja ya kweli🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki Місяць тому +62

    Yaani tupeane pole watanzania Kwa majanga yanayotuandama tuzidi kuwafariji wafiwa,tuwaombee majeruhi wapone pia ambao bado hawajaokolewa mungu afanye wepesi wapatikane hongera timu Kevin kazi nzuri pole kendi zingatia dozi kubali ukaishi na mamako na umweleze ukweli mshirikiane love kumtoa Kevin polisi

  • @mariamabdulla7868
    @mariamabdulla7868 Місяць тому +77

    Team lovenes na kelvin tujuane apa na tuwaombee❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 Місяць тому +129

    Leo nko top 10 msiniache ivo aki wapendwa😂🎉🇰🇪🇰🇪

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 Місяць тому +64

    Loveness uko na moyo wa upendo wa Kweli daa mauwa kwako

    • @scolas3134
      @scolas3134 Місяць тому

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve Місяць тому +37

    Ooooo mimi mtoto wabujumbura 🇧🇮 naombeni like nawapenda sana ndabakunda cane

  • @sharonmercy8379
    @sharonmercy8379 Місяць тому +83

    Team strong team majinoon gongeni like hapa ❤❤ tukisubiri kevin kumuoa loveness 😊

    • @Christine-ho5us
      @Christine-ho5us Місяць тому +1

      🎉🎉🎉❤❤❤🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sharonmercy8379
      @sharonmercy8379 Місяць тому

      @Christine-ho5us tupo ndani siz♥️

    • @GraceKenya-i4j
      @GraceKenya-i4j Місяць тому

      😂😂😂 hya ata love amataka kuondoka panandoa kweli 😅😅😅

    • @AMapuriMussa
      @AMapuriMussa Місяць тому

      ❤❤❤❤

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j Місяць тому +32

    At list leo nimewahi kiasi poleni kw misiba nduguzangu Mungu awape subra kw kipindi like tukisonga team strong hoyeeee 🎉🎉❤❤❤🇸🇦🇰🇪

  • @NdereyimanaAnnociatte
    @NdereyimanaAnnociatte Місяць тому +78

    Wangapi wanafatiriya hii movie kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tujuwane ❤❤

    • @FauziaAkeza
      @FauziaAkeza Місяць тому

      Tupo dada yangu

    • @Guyfleury17
      @Guyfleury17 Місяць тому

      Nikohapa tunayifwatilia kabisa lily kutoka Burundi 🇧🇮

    • @GalazxyShshhs
      @GalazxyShshhs Місяць тому

      Tupo udug❤❤❤

    • @OneEliado
      @OneEliado Місяць тому

      🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @ButoyiThierryve
      @ButoyiThierryve Місяць тому +1

      Mimi hapa kutoka Rumonge naipenda sana

  • @Mcsadjomovies
    @Mcsadjomovies Місяць тому +31

    Wa kwanza Dunia yote nipeni liké ata 10 kwa wa igizahi wote. From kongo drc goma

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r Місяць тому +75

    NAWAPA POLE WATANZANIA WOTE KWA MAAFA YALIYO WAKUTA POLENI SANA SISI WAKENYE TUKO PAMOJA NA NYIE 😢❤

  • @JASTINSEZA
    @JASTINSEZA Місяць тому +7

    Wanao sema kuwa mama Kelven anakulupuka bila kufanya uchunguzi tujuwane hapa, maana so kwa mama huyu duuuuh 🥲🥲🥲

  • @BravoEliashibu
    @BravoEliashibu Місяць тому +23

    Daah ni kweli ila movie ni Kali sana najifunza mengi kupitia hii tamthilia mungu awabaliki sana

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo Місяць тому +40

    Duu sijacelewa sana team syrong natowa pole sana kwa wanduguzetu mungu awafanyie wepesi🇧🇮🇧🇮🇴🇲

  • @Salama123-iw7hj
    @Salama123-iw7hj Місяць тому +15

    Polen sana mungu awatie nguvu wote waliopoteza maisha mungu awalaze mahali pema peponi tunawaombea sana sisi wakenya pia tunawapenda sana😢😢😢

  • @Princessmonica331
    @Princessmonica331 Місяць тому +59

    Wa kwanza ku watch Ebuh nipeni like zangu 😂❤❤

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt Місяць тому +25

    Pole sana na misiba .Mungu aendeleye kawfariji nakuwatiya nguvu

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly Місяць тому +568

    Ivi munajuwa kama mama Kelvin anakuwaka nakubali vitu araka bila kuchunguza wanao kubali tungonge like apo 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @EricaRoman-n2n
      @EricaRoman-n2n Місяць тому +4

      Ananikela sana Yan dah😊

    • @BrigitteMelly
      @BrigitteMelly Місяць тому +2

      @EricaRoman-n2n yani niatiri

    • @JacklinebosiboriMomanyi
      @JacklinebosiboriMomanyi Місяць тому +3

      😂😂ni mama wa ajabu sana

    • @GraceKenya-i4j
      @GraceKenya-i4j Місяць тому +1

      Kweli kabisa

    • @rizikisalim6630
      @rizikisalim6630 Місяць тому +4

      Wallah Tena kma mwenye maisha yetu ya uhalisia hatutakiwi kua kma mama yake kelvin juu yy huaga yuamin matu kuliko wanawe au uhalisia wenyewe kiukwel mm yunaudhi bra angekufa yy kuliko baba Kevin

  • @DuncanBaariu
    @DuncanBaariu Місяць тому +9

    Yaan Kelvin amenifunza vitu mingi,,kwa hii ya Movie ya dada wa kazi nimejifunza kuwa unafaa kuikubali hali yako iwe nzuri ama mbaya bro ,,hongera sana bro nakukubali kinyama yaani From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AzizaQueen-lr8oz
    @AzizaQueen-lr8oz Місяць тому +58

    Kama nampenda levinnes jmn mwaga makopa ❤️❤️❤️ nawapenda team nzima

  • @kaburaogiste9144
    @kaburaogiste9144 Місяць тому +15

    Movi nizuri sana Tena sana simrizi yauhakika ,tunawakombona ,kabla Kandi hajaenda uraya mhasibu alimpa begin kendi amwekee ,Kandi akampa lavinesi

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 Місяць тому +35

    nauliza wakuchelewa kama mimi huwa wanapata like nimekuja 🏃‍♀️🏃‍♀️nipewe namm🙏

  • @Mani_Maher
    @Mani_Maher Місяць тому +9

    Loveness usimuache mama pekeyake. Family imethambaratika wewe ni mtu pekee unaongea na wote unaweza kuwaunganisha tena ikawa kama zamani. ❤❤❤

  • @JoyceRashidi-e7l
    @JoyceRashidi-e7l Місяць тому +83

    Wakwanza kutoka from 🇧🇮 naombn like Zang ata zikiwa200

  • @Promotertvplus
    @Promotertvplus Місяць тому +23

    Pamoja DONTA FAMILY 🎉🎉 yaan mko vizr na movie zenu kwakweli zimatufanya tu enjoy sanaa 🎉🎉🎉🎉🎉 kiasi kwamba tunasahau shida

  • @SabihaaliOmar
    @SabihaaliOmar Місяць тому +9

    Polen sana Allah atujalie subra kwa sote atujalie mwisho mwema na ss tulobakiy dunian Allah awasameh walotanguliya kher kwao makaz mema pepon

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Місяць тому +63

    Yoyote utakayesoma hii comment MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO 🤲💕🤲💕🤲💗🤲🇹🇿🤲🤲💕💕💗🤲💕🤲💗

  • @LugwaJames-g6f
    @LugwaJames-g6f Місяць тому +13

    Nawakubali sana napia poleni Kwa misiba hiyo mungu alaze loho za malehem mahali pema pepon

  • @NicholasMutethia-i3z
    @NicholasMutethia-i3z Місяць тому +30

    Wa kwanza kutoka Kenya🇸🇸🇰🇪🇰🇪

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly Місяць тому +32

    Wa Kwanza Léo from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like jamani

  • @ZenaRamadhan-sx4rb
    @ZenaRamadhan-sx4rb Місяць тому +8

    Watanzania pôle kwa mahafa yalio tukea na naomuomba Allah atupe moyo wasubira sote na tena na wakubaligi team Kelvin nzima me from

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt Місяць тому +10

    Mungu atujali uzimaa tumalize mwaka salamaa na tuvuke tuingie mwaka 2025 wotee tunaotazama hii movie asanteen🙏🙏🙏🙏

  • @alfanmmenge611
    @alfanmmenge611 Місяць тому +28

    Jaman wakwanza mm leo naomba like zangu

  • @EliasMunene-ct2dr
    @EliasMunene-ct2dr Місяць тому +12

    Donta family the character used in your movies really motivate me,,, thanks for your well done job🎉, hongera smith Julius with you your co- 🎉🎉🎉worker

  • @SarahBigera
    @SarahBigera Місяць тому +19

    Kazi nzuri sana, ila na ushauri kidogo naomba mtuchezee loveness ni mdada mtukutu, yani mdada wa mjini, awe amechangamka, kuchamba yeye😂, vigodoro yeye afu Kevin awe teja au jambaz yani wasiwe muda wote wanatia tia huruma.... mtuchangamshe kwa style mpya.... nawapenda❤

    • @SabihaaliOmar
      @SabihaaliOmar Місяць тому

      Hhhhh vitukooo😂love anaweza 😅kweli MN nikapole yaaan🎉

    • @Aisha-f5p
      @Aisha-f5p Місяць тому +1

      Ashaigiza hivo mbona mara nyingi sema hufatilii music zake zingine

    • @SarahBigera
      @SarahBigera Місяць тому

      @@SabihaaliOmar yani kapole mnooo, naham nione siku moja

    • @SarahBigera
      @SarahBigera Місяць тому +1

      @@Aisha-f5p move gan mbona me mfatiliaji more sana na sijaona

    • @doricemwakasengo1167
      @doricemwakasengo1167 Місяць тому

      Kesho yangu

  • @sarahqueen2494
    @sarahqueen2494 Місяць тому +65

    Jaman nimewahi Leo nipewe like from kenya 😅

  • @JaqlineExavery
    @JaqlineExavery Місяць тому +10

    Mungu awatiye nguvu wafiwa wote na walioko hospital awaponye yote Mungu anatukumbusha kuwa yupo tunapo elekea watu watamtafuta Mungu wenyewe🙏🙏😭

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij Місяць тому

      UWO NI USENGE SANA MUDAWITE MNATAJA TUKIO ILOILOTU KWAN TANZANIA NZIMA WALIO KUFANIHAO TU KILAMTU ATAKUFS BWANA MNAZINGUA SANA UNOYA HUU

  • @HabibuJabiry
    @HabibuJabiry Місяць тому +6

    Tunaangalia kwamachungu xn kwa msiba mzito wataifa wakuondokewa na ndugu zetu mwenyezimungu azilaze roho za marehemu pepon na panapostahili

  • @YusuphLyala
    @YusuphLyala Місяць тому +2

    Aixee mma kelvin ana loho mbaya anamxalit had mtoo wake ,anamuweka lavunes katika hali mawazo xana❤❤❤❤❤

  • @PendoHillary-tj7ul
    @PendoHillary-tj7ul Місяць тому +6

    Masikini kendi😥😥😥pole dada. Na wanao amini nifah huenda akawa mkombozi gonga like apo tusonge mbele

  • @EliasMunene-ct2dr
    @EliasMunene-ct2dr Місяць тому +18

    Amani iwazidi kuwa nanyi kila wakti watu wa kariakoo ,,,, Mimi kama mzaliwa Kenya nawaobea neema iwe nayi

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Місяць тому +6

    Kwa hiyo candy kutoroka kote kule,,,umerudi kuja kuishi hapo duuuu mbona sielewi na ulirudi lini na umerudi vipi,,,,uliyeondoka nae yuko wapi au alikuanja uwanja wa ndege?? Halafu wewe mama kelvin unaboa sana,,,,utaamini vipi vitu ambavyo huna uhakika navyo??

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 Місяць тому +3

    Mungu awapumzishe pema ndugu zetu walio tangulia mbele za haki😢😢 na awaponye walio hospital 👏

  • @StallaSaimon
    @StallaSaimon Місяць тому +8

    Jamani na Mimi Leo nimewqhi, Mungu awape maisha mwema wote mnao familia mtoto wa boss🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @AryanSifael
    @AryanSifael Місяць тому +14

    Dogo Smith, nkushauli kitu, mtu akikuamin ashakuamin, kazi Yako kama bora haiwez kuchuja ni bora tu, mara zote unatupatia kazi nzuri Sana, yaani ni nzuri zinazidi hata cover za uongo unazoweka, nataman uwe mfano weka cover ya kinachofuata japo kimoja sio hzi ambazo hatuoni kabisa .... Kwangu naona itakua bora zaidi, maana hizi unazotuwekea tushazoea hazirefrect tutachokutana nacho kwenye short... Ikifaa itumie isipofaa basiiii ni mtazamo tu lakon

    • @SarahBigera
      @SarahBigera Місяць тому

      @@AryanSifael namimi nimeliona hili, ushauri mzuri

  • @ElizabethJerryson
    @ElizabethJerryson Місяць тому +19

    Lovenes nae katudanganya anasema simu kauza half Tena mara ilizma kaweka chaji😅😅😅

    • @AdiaBantagula
      @AdiaBantagula Місяць тому

      Kauza kubwa siku Ile kwani hamjaona? Anatumia kiswaswadu😂

    • @PaulinaMasali
      @PaulinaMasali Місяць тому

      ​@@AdiaBantagula Kabisa aliuza kubwa sema haikuonekana ila ilinunua kiswaswadu Kwa dukani

    • @warda3458
      @warda3458 Місяць тому +1

      Aliuza kubwa akanunua ndogo na akabaki na ela kwan ile pati hukuona

    • @juliuskilawe1026
      @juliuskilawe1026 Місяць тому

      😅😅😅😅labda kauza smart kabaki na goroka🙌🙌🙌

    • @JudithSimiyu-ps7ee
      @JudithSimiyu-ps7ee Місяць тому

      Alinunua ile ndogo

  • @Fadhili-i1q
    @Fadhili-i1q Місяць тому +8

    Oya nyie love anajuwa mjuwe haa❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Місяць тому +11

    Wakwanza kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nipe like leo za kuwai hila naunzuri kwa mapito wanayo yapitia family ya kina kevin unzuni kweli😢😢😢

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Місяць тому +8

    Mungu anaweza kukupitisha kwenye mitihani ila kupunguza watu wasio wazuri

  • @MariamJoseph-p4x
    @MariamJoseph-p4x Місяць тому +5

    Sikutegemea kama Candy atarudi kutoka ulaya hana chochote nilijua ye ndo atakuja kusiadia familia yake😅 ambao mlizani kama mimi mje kucoment😅

  • @RahmaHassan-fy2ct
    @RahmaHassan-fy2ct Місяць тому +2

    Mungu awaponye wagonjwa wote wa pale kariakoo nawaliotangulia allah awape kauli thabiti

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c Місяць тому +27

    Mbona mie sijaelewa kendi vp alirudi na alikuwa safarini na sipitwi na epsode ata 1au nisiwe na pupa😊

    • @FadhilaNdongolo
      @FadhilaNdongolo Місяць тому

      Alisharudi mda

    • @NuraishaIssa
      @NuraishaIssa Місяць тому +1

      Aaaaaaaaaa nimeliona ilo😂

    • @Deloveally-o8g
      @Deloveally-o8g Місяць тому +1

      Mm mwenyewe nilixhangaa kwel na atujui alirud lin na xaa ngap na atujui kafikia wap episode ya mwixho alixafir xa atujui karud Lin mpk ajue kama wamepokonywa mali mara kevn yupo kituon wakat tuliixhia baba kevn kaanguka Yan tafaran tumepigwa nduguzangun😂😂😂😂

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l Місяць тому

      Alirudi muda tu

    • @OdethaMudugu
      @OdethaMudugu Місяць тому

      Yaan hatujui km alipanda ndege au alikosa tiket😅😅😅

  • @BrianKapta
    @BrianKapta Місяць тому +3

    I am watching from Uganda Kampala nawapenda sana saidi best series I ever watched tiz year keep up

  • @AmonLunda-nc6py
    @AmonLunda-nc6py Місяць тому +3

    Sasaa Mbn loveness kasema ameuza simu halafu anasema Tena ipo chaji imekuwaje apo😢😢

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf Місяць тому +2

    Wuee 😢😢😢 this episodes ni za emotional wuee zimeshika i love it❤tumemiss vicky, Rashid na kunambi next time walete please

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Місяць тому +4

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @ThomasKajidu
    @ThomasKajidu Місяць тому +18

    Wakwanza from kenya nawaombeni like zenu ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elosygatwiri-r4l
    @elosygatwiri-r4l Місяць тому +5

    Poleni sana familia ya kelvin kwa mangumu munayoyapitia mungu hawasaindie

  • @BintiZondo-m9s
    @BintiZondo-m9s Місяць тому +4

    Leo nauliza swali ivi uyu Mr gamba achukua adi uniform za dada etu loveness jmn🥲🥲mbn Hana roho mbaya😂😂naomba like japo Moja 😢😢

    • @viviankemunto4435
      @viviankemunto4435 20 днів тому

      Tena kapanga mzee marwa afe ogopa marafiki 😅😅

  • @doreenorwaru5120
    @doreenorwaru5120 Місяць тому +12

    Hongera kelvin 🎉
    Nipe like hata moha😂❤

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo Місяць тому +8

    Mama Boni safi kumtandika mwanao mkofi asijishaue na Mwili wake

  • @راهيهراهيه
    @راهيهراهيه Місяць тому +2

    Mungu awafanyie wepes wote waliopatwa na shida 👏👏👏

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard Місяць тому +1

    Ubunifu wenu ni mkubwa, ila pasipo uwekezaji so kitu ko ongezeni uwekezaji ili movie zivuke mipaka zaidi❤❤❤❤❤❤ by Dernol tz

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 Місяць тому +20

    This is first love from Mozambique ❤🇲🇿

  • @CamiliusLeonard
    @CamiliusLeonard Місяць тому +1

    pole kaka nitajitaid kuwahi kaachi movies 🙏🙏

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 Місяць тому +5

    1 min leo nmewahi nliimiss sana
    Asante Kelvin 🥰😍

  • @FauziaAkeza
    @FauziaAkeza Місяць тому +17

    Naombeni Like wapenzi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮😢😢

  • @jeniferstaphord344
    @jeniferstaphord344 Місяць тому +8

    Jamani nimewahi leo naombeni like cjawahi Pata like ata cku moja😅

  • @FannyMugisha
    @FannyMugisha Місяць тому +1

    Mwenye kuakologa kendi Munguwangu 😢pore sana lakini kevin mungu Anakuona Vumilia kaka❤❤❤❤

  • @SabihaaliOmar
    @SabihaaliOmar Місяць тому +3

    Yote ni mitihn Allah katuumbiy ili turud kwake kwakumnyenyekeya Allah atujalie kwahili

  • @sakinabudi
    @sakinabudi Місяць тому +1

    Move tupo episode ya 38 ila ipo juu kama ndio inaanza yani move ipo moto🔥🔥 ,,,,,,,,,hongeleni washiliki wote❤❤

  • @harrietwale
    @harrietwale Місяць тому +5

    Poleni kwa maafa mwenyezi mungu awape wepesi

  • @eglarurio2073
    @eglarurio2073 Місяць тому +1

    Ila mnaigiza uhalisia kuna wamama mpaka afunguke familia inateseka kweli.🎉🎉

  • @LilianOdinga-u8r
    @LilianOdinga-u8r Місяць тому +6

    Yaani mnataka kuniambia kwamba hamjaona kendy akimlinga loveness na kajiwe

  • @Raskapapa-254
    @Raskapapa-254 Місяць тому +1

    Hongera sana kaka kelvin,kazi njema unatuletea,,,unastahili hongera kikweli,,,good job bro keep it up your series is so enjoyable

  • @FrancisYohana-ij1th
    @FrancisYohana-ij1th Місяць тому +7

    Kaz nzr xemaa mnachelew Xanax KAK kev

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 Місяць тому +1

    Pole sana caddy ulienda majuu ukaridi na maradhi pole 😂😂😂 usilie❤❤❤❤ Kenya

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z Місяць тому +4

    Wakwanza kutoka saudia jamani nashukulusana loveness kwagisi anapendasana hiyofamilia naomba like

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Місяць тому +1

    Kaka Malesa Huo Wimbo tuna uomba Wa
    ❤❤ sura Yako Ndio Dawa Kwako Mgonjwaa Vibaya ❤❤❤

  • @catherinemwende5560
    @catherinemwende5560 Місяць тому +8

    Leo nimewahi ❤nipeeni like jamani

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo Місяць тому +1

    Kazi nzuri congratulations Kelvin 🎉❤

  • @MaikodanieriZakaria
    @MaikodanieriZakaria Місяць тому +5

    Kaz mzur mungu awasimamie kwa kila jambo nawakubali san

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 Місяць тому +1

    Utamu na majonzi imekita mpaka ..bt very interesting story keep up team Donta

  • @Antony_2420
    @Antony_2420 Місяць тому +11

    Naombeni like mimi wakwanza kutoka msumbiji wamsumbiji tujuane apa

  • @DenGospels
    @DenGospels Місяць тому +1

    Kwa kweli tumepitia MENGI magumu kama taifa,lakini MUNGU mwema.Kama unaamini wakina kelvi,loveness,Dennis,Tina,Mama Dennis na Baba Dennis wapo ndani tya jamii Au ikiwa umeshawahinkusalitiwa.
    Tujuane jamani😢

  • @wemagoodness
    @wemagoodness Місяць тому +5

    Safari njema wakuu from kenya❤❤🎉🎉😮😮

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je Місяць тому +1

    Hayo twajuwa pia Na Wala pole Kwa misiba mungu awatie nguvu wapendwa.Hamjakosea mahali mmetia jitihada SN pongezi Kwa mafundisho mazuri mungu awapingalie

  • @mesco_18
    @mesco_18 Місяць тому +8

    Watu wa chuga like zetu apa

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 Місяць тому +1

    Move bora 2023/2024
    1.Penzi la mtoto wa boss
    2.Dunia
    3.Siri ya huba
    4.Samahan Asante mpya hizi ndio bongo movie bora sana kwangu director hongereni sana🎉🎉🎉

  • @BlessAnaniasPhilipo
    @BlessAnaniasPhilipo Місяць тому +9

    Thank you nam leoo wakwanza like zenuuuuu❤❤❤❤

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg Місяць тому +2

    Waooo move nzurii huyu mama kelvin anavituko maskini candy pole