Mwadila/mwangaluka. Napenda sana mji wa Nzega na Kahama (Bulyankulu). Mimi nilizaliwa Burundi, niliishi Tanzania kama mkimbizi 1977-1982 na 1984/1985. Nilifanya kazi kwenye mradi wa utafiti wa dhahabu huko kwenye kijiji cha Bulangamilwa karibu na Chomachankola.
Nimeipenda hii nitaifanya kwa bint yangu na mimi penye uhai wa allah
Nimependa namna ulivyobadilibgia angani MC... Ni wachache wmeelewa style ya utambulisho mliipanga watatu bi harusi bwana n wewe,🎉
So nice by gyackie
Hello
😂😂😂 mzembe huyoo anaxhindwaj kumjua mume wake
Nimeipenda hii nitafanya Kwa bint yang na mimi penye uhai wa Allah
Vp mami
Amen
Nilipenda hiyo
Hongereni sanaa
Mbwaa wangu yule namjuwaa anavyo bweka😂😂😂
Mara ya kwanza mc ulikuwa umemchanganya,ukasahau kuwa ulimkalilisha namba tatu,sema ulishituka ukabadili mwelekeo
Mavazi tuliyo yavaa ni chukizo mbele za bwana.Nyakati za mwisho .YESU ANARUDI.
Nimeipenda hiyo
Wowooo nice bi harusi kimependeza
Watu wangu wana angamia kwa ,kukosa maarifa.
Hosea 4:6
Mungu anijalie nipate mume jaman ije iwe kama hii
Mungu akutangulie dada yangu na akupokelee maombi yako ixhaallah
Amen dada
Mambo
@@ARROWSTAR2024 poa
Nitumie namba yako
Nzuri jamn nimeioenda
Hongera
Duu Kaz yakuingia kwenye harusi ona hao vyo hangaika
MashaAllah tabaraka Allah
Po
Weooko
Wamependaza kuliko
Nilijua tu 🥰🥰
Mmmh hi kwel ngum kuliko
Fabiola😊
Kumeanza kuchangamka
Hongera sana mwaya kwa kumtambua mumeo
Magena youth
Umemchanganya jamani😢
Da nzuri hii natamani wifi yang afanyiwe hivyo
🎉🎉
So nice
Atar sana 😅
Ajali ya nzega
Mara ya kwanza alikisea huyo alikuwa namba 2
Huyu dada kabila gan
Nzega
Mwadila/mwangaluka. Napenda sana mji wa Nzega na Kahama (Bulyankulu). Mimi nilizaliwa Burundi, niliishi Tanzania kama mkimbizi 1977-1982 na 1984/1985. Nilifanya kazi kwenye mradi wa utafiti wa dhahabu huko kwenye kijiji cha Bulangamilwa karibu na Chomachankola.
Unashindwaje kumtambua mtu ambaye unampenda??
🥰
Bona wengi fifua viko uchi na mandiko yasema namwana muke avae nguo inasitiri mwili wake
D
They break the commandments of God hii haipaswi kuwa
Karibu igunga wifi angu
Bibi harusi kama malaika
Ulisha Wahi kumwona Malaika?
Amependeza Sanaa bi harus
Pasta dominick kiboko ya wachaw
Habr
Katisha
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dah. Imedamshi kweli Nan mme?????
Very enjoyable
Mamb mrembo
😅😅😅
Bi harusi kashindwa au alikarilishwa na mc
Aict katoro milima
😂😂😂😂
Vp mc
Ndio mc