Jamani mm napenda sana ushirikiano wa wanafunzi 🎉iwe kwa shida au kwa Raha 😂wao hushirikiana tuh🎉❤️hongera sana mwalimu mgeni kwa kuwafanya wanafunzi kuwa na kiasi hicho Cha hushirikiano 🎉🎉🎉🎉
Lazima tupambane na mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi!!! Mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi ni kinyume na taifa, utamaduni na kiraia!!! Na nguo za dico are against education.
Motooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥... ita wazima moto na dawa ya moto ni moto uuuiiii 🚒🚒🚒🚒🚒. Next episode ni Motooo 🔥🔥🔥😅... all the way from UAE likes zangu bana 😅😅😅😅 nawapenda sana wote. I can sleep now 🥱
Asante ndugu yetu na pia jirani yetu! Hata sisi Tanzania tunawapenda sa na nyiye ndugu zetu wananchi wa Burundi. Binafsi, mke mdogo wa baba yangu ni Mrundi, anaitwa Katarina Malila Kumelamakombe.
Oyah Leo umezingua kinoma inawezekanaje kuachia hii movie pasipo na taarifa yoyote Bhan 😢😢😢😢😢... afu sasa unatulaumu bure eti movie hapandi views 😢😢😢😢... ila wenzangu mumaofuata nyuma yangu basi nami nataka niwaombeni like hata tano basi ❤️❤️❤️ mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣
Japo nimechelewa Leo..ila nimefika.. napenda kila kijacho KATIKA kila Episode...keep up the good work @babajoan na team yako nzima🎉 NAFATILIA KUTOKA KENYA🇰🇪
Watanzania mna ubunifu sana katika sanaa ya uimbaji na uigizaji hii ni moja kati yapo mimi ni mkenya fwatilia chaneli yangu pia naipenda kazi yenu ndugu na dada zangu ❤254🇰🇪
Ninzuri ila kunawatu wanakuharibia wanatuambia umetoa mwenderezo kumbe wanaweka mambo yao ili watumalizie bando jijapendaa😊😊😊😊😊😊😊😊😊 nasubiria jamani😊😊😊😊😊
Joti ni mchekeshaji na ana pesa"ila hana views wengi youtube.)kagua youtube)joti,clam,stive)clam na stive wana views wengi kuanzia milion na kuendelea"lakini joti vichekesho vyake vyote"kichekesho kimoja hafikishi milion"utajiri wa joti ni matangazo
It looks nice but am from Malawi we don't understand that language, why can't you be putting subtitles so that everyone else can watch and not only target your country people
Kusema kweli kila mtu kwenye hii series kavaa uhusika wakw ipasavyo, kuanzia mwalimu mgeni, wanafunzi, mwalimu vicky, magega na walimu wengine, mkuu wa shule nae ameweza sana kwakweli
I can't wait for next epsod, nimemkubli mkuu wa shule very snich sijui anampenda magesa ,ila mwl mgeni pole unapitia magumu 😂😂😂 ,ni kazi nzuri keep it up
Jamani mm napenda sana ushirikiano wa wanafunzi 🎉iwe kwa shida au kwa Raha 😂wao hushirikiana tuh🎉❤️hongera sana mwalimu mgeni kwa kuwafanya wanafunzi kuwa na kiasi hicho Cha hushirikiano 🎉🎉🎉🎉
Ninzuri sana hakika inavutia sna
Kweli eee😂😂
Nonsense 😮 OOOps 😣
Kaka punguz munkali
Tanzania very organized country including even infrastructure. Keep up Tanzanians. Long live Tanzania & EAC 🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇸🇴🇰🇪🇨🇩🇷🇼🇸🇸🇧🇮🇪🇹🇹🇿🇹🇿
Mv
Gambishi 5:39 madilis ha
Watching from Kenya , Nairobi,watu wa nai leta likes wajue pia sisi tunawatch
Nime-like though nipo Dar
@@josephstephen2047ok
Iko sawa
😊uz@@mungaiwachaiyu1359
😊
❤❤❤❤❤ thic movie because ni nzuri sana na inafundisha kabisa🎉🎉🎉🎉🎉
Lazima tupambane na mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi!!! Mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi ni kinyume na taifa, utamaduni na kiraia!!! Na nguo za dico are against education.
Jamani namwonea huruma Mwalimu mgeni Kwa kosa Ambala linawekelewa jamani.watching from Kenya Nairobi
Motooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥... ita wazima moto na dawa ya moto ni moto uuuiiii 🚒🚒🚒🚒🚒. Next episode ni Motooo 🔥🔥🔥😅... all the way from UAE likes zangu bana 😅😅😅😅 nawapenda sana wote. I can sleep now 🥱
Pôle Sana mwalimu mgeni,inauma Sana Sana Sana,hâta n'a mwenzio mimi yalinipitia hayo hayo
Je ingekuw we ndo mwalimu mgeni ungefaje
😂😂😂😂😂😂
Mwalimu mwalimu tuso,,,sijui nani anaupiga mwingi mwamba apewwe maua yakeee🔥🔥🔥
From Burundi.napenda kiswahili ca tanzania pia napenda mouvie zao pia napenda wana inchi wote wa Tanzania
Asante ndugu yetu na pia jirani yetu! Hata sisi Tanzania tunawapenda sa na nyiye ndugu zetu wananchi wa Burundi.
Binafsi, mke mdogo wa baba yangu ni Mrundi, anaitwa Katarina Malila Kumelamakombe.
Tunakupenda pia tunawapenda wote wanaotupenda❤❤
Tunakupenda pia
Uyu mwalimu mkuu mshenzi sana kumbe Allah awape laana walim km uyu 😢😢😢
So sad
@@ChristinaOnditi-el3xo anazinguaa
Tamuuu hii episode ziendeleee kutiririka ni tamuu walai❤❤
Much love from 🇧🇮 movie nzuri sana ongeleni ❤❤❤
Nimejikuta nimecheka na nguvu jamani mwalimu magesa kalivuruga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tap tap screen😅😅😅
Hahahaha 🤣🤣🤣 Mavazi hayo yakuvaa Usiku😅 tena usiku wa Manane 😅
😅😅😅ni matesoopp
ለሁሉም ነገር ቦታ አለው የቀን ልብስ ለመኝታ አይሆን የማታ ልብስ ቢጃማ አንሶላና ብርድ ልብስ አለ።
Baba joan n actor nzr sana umejuwa kucheza
Namimi naipenda sana iyi filamu,inafudisho mazuri kuwalimu
Vp ww
0:45 "Usiku tena usiku wa manane"
Nimefika on time, from Kenya tunafuatilia mpaka mwisho 🫶🫶🫶🫶, Namba moja to comment, nipe tu Ata kama likes tano 👉👉👉
ua-cam.com/video/Ugkhim5zNfs/v-deo.htmlsi=yYFM1ISWueCF5p-v
😂😂😂😂🎉
Umetumia bus gani😂
Ujinga usiku ,usiku wa manane
Nice Dada yangu
Hii movie nzuri sana yani wamecheza vzuri sanaaa❤❤
April niliagalia 😂 😊 ❤
Lakin haujaulizwa
Madam mbn utapenda TU.we kavae Madera 😂😂❤Diana hapaaaaaa from Kenya 🇰🇪
Weeeee
0:18 0:22 haise nimeipenda. Sana ❤❤❤ nawapenda sana
Mwalimu mwalimu kweny ubora wako❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jaman wap likes zangu nafatilia episode kutoka kenya county 001 likes kwa wingi bas
Oyah Leo umezingua kinoma inawezekanaje kuachia hii movie pasipo na taarifa yoyote Bhan 😢😢😢😢😢... afu sasa unatulaumu bure eti movie hapandi views 😢😢😢😢... ila wenzangu mumaofuata nyuma yangu basi nami nataka niwaombeni like hata tano basi ❤️❤️❤️ mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣
Like 10 kwa mwalimu mgeni kwa kazi nzuri jomon♥️♥️♥️💕
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
Kutoka Kenya 🇰🇪 😍 Kiswahili chenyu ni kizuri sana!
Tz mko sawa❤
Wakenya mna-improve Kiswahili chenu. Ila msiseme tena (chenyu) ni (chenu)
Hongereni sana majirani
Upatanishi wa kisarufi kuzingatiwa
Tap tap screen 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wakenya mpo 😅
Tap tap guy's mpaka waishe 😂😂
Japo nimechelewa Leo..ila nimefika.. napenda kila kijacho KATIKA kila Episode...keep up the good work @babajoan na team yako nzima🎉
NAFATILIA KUTOKA KENYA🇰🇪
From 🇰🇪nafuatilia Hadi mwisho,,kazi nzuri
Kiukweli.nizamu.nijambo.lamsingi.tubadilike
Ok.pow
Kama mwalimu hapa Kenya, naafiki masaibu haya humu...khatari kweli
Uyo mwalimu mkuu mbn kama mhaya
Hebu nipeni Likes zangu niringe..nampenda Sana mwalimu mgeni.....Leo nimerauka.mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪
Wa mombasa pia
Wa mombasa pia
All the way From Tana River CG
Mwalimu ameshangiliwa mpaka nimelia😭😭😭
@@dhineronikohapa pia nafatilia Mimi 254mbs
Kumbe kenya tumewa inspire usiku wa manane
Kwasababu ya vijana wenu wa ovyo
Much love from kenya...naifatilia sana.
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
Kenya Mie Ni Wa kwanza hapa
Oyaa mbona watushusha wekenya wapo wengi katika ulingo huu
Hii episode ni funzo nzuri kwa jamii
More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
Hili darasa wanaume Wanakaa nyuma n poa Tu anyway amazing film
siku nikifa msiache kujaku Play baba john juu ya kaburi jamny❤❤❤❤❤💯💯💯💯💯
Kazi nzuri mwalimu tusubile
Watanzania mna ubunifu sana katika sanaa ya uimbaji na uigizaji hii ni moja kati yapo mimi ni mkenya fwatilia chaneli yangu pia naipenda kazi yenu ndugu na dada zangu ❤254🇰🇪
Ahsante sana Tanzania tunawapenda pia kenya❤
Namsikitikia sana mwalimu mgeni 😢😢😢😢
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
Tap,tap screen, tap,tap screen 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤jamani magesa unavituko isee
Hahahahha😂😂😂mamae zake
Jamni nawapenda kunmtu kaniboa nilikuta Sina amnii lkinii nilvo Anglia hii movie amnii imlidii nfraha nawapenda sana
Andika comment vizuri haujasoma nini?
Ndo naanza kuangalia ii move ila nimeipenda hatali ninzuri apewe mauwa yake mtunzi jamani nikalibishen mgeni kwa like ata 10
Like haziombwi
Nimeipenda sana mwalim mgen
Jaman leteni chap nyingine ❤❤
MWA NA FUMBU CHAWI
Hongera sana kwa kutuongezea dakika kutoka 9 hadi 20 safi sana
🎉2po pamoja mwalimu mgeni
Naomba part 11 ya Mwalimu Mgeni na part 6 ya Umalaya Shuleni naomba sana
M wapili naomba like zangu
Very good teacher tusuvile am so proud of you, umenifanya nijifunze mengi kutoka kwako
Leo nimekua wakwanza kabisaaa Kuangalia Naombeni like zangu zakutosha
Uko sawa
Xana ww
Wanawake ndio maana hawapewi sana nafasi ya kua viongozi Yani hajafanya hata utafiti wa kitu anafanyia kazi maneno ya kuambiwa
Naomba nisaidie kusubscribe kipenzi
Baba Joan unachelewesha kutuletea mambo mazuri
I just love how our Tanzania people speak... kiswahili kitamubhiki❤😂❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
t
😅
From Malawi ndaikonda ili bhoo😂
Tiuhoro 😂😂😂😂atí kitamubhiki 😂
Maskin mwalimu mgeni😢😢😢
Hatal,hizo nguo hazi staili mbele ya watoto wa shure
Head master hakika umeva uhusika mwenyewe
😢😮🎉😢😢😢😢
Head?
Kunamuda inatakiwa mwalim awe na maadili bwana kwasababu ni mfano wa kuigwa na jamii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Like za mwalimu mgeni niapa jamani
Moja Kali sana nakubali kazi nzuri sana yaani
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️
One love from kenya
Mwanamke MTanzania ni mzuri tena anapendeza ajabu. Hasa WaMbulu (WaIraqi), WaRangi na WaNyaturu hoyiee 🎉
aisee nafuatilia sana hii gemu, tamu sana aisei
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
HB
Found well well done
Ninzuri ila kunawatu wanakuharibia wanatuambia umetoa mwenderezo kumbe wanaweka mambo yao ili watumalizie bando jijapendaa😊😊😊😊😊😊😊😊😊 nasubiria jamani😊😊😊😊😊
😮
From KENYA big up bro..nguo zinataka usiku wa manane. Msisahau OMOSH kenya
Huyu mkuu wa shule naye ndezi tu😅😅😅😅
Yaan ndez kbs yaan
😅😅😅
Mwalimu magesa ana roho chafu xana😢😢😊
Kweli
Yaani napata hasira vibaya
😂😂😂😂😂😂
Mumemuandam huy mwalim mgen kwa sabab kawazid kiakil kwashiorkor munamchochoe ili afukuzwe kax
❤❤❤ nawapenda sana nyingi watu ♥️♥️♥️
Pia
Wa kwanza kukoment naomba Like zangu jamn ❤❤❤
Thanks alot. We are patiently waiting for the next episode. Be blessed. It is so wonderful
Nakubar unyamaaaa ni mwingiiiiiiiiiiii yaniiiiii
Kenya tuko ndani
Mm wa kwanza leo wewewe nimeua❤❤❤❤❤
nakupend
Mwalimu mgeni ndiye baba Joan😂
Ila naomba tafadhali hii movie isiwai isha
Watching from Nairobi Kenya ❤tuko locked 🔒
❤nmeipend iyooo
@@JosephKushoka-j3n nn kwani
Watching from Kenya,,napenda video zenu
Uyu mwanafunz ana nikela sn kwann anasumbua mwalimu
Huy mwalim mkuu naye mseng tyu huy
Jamani muvi ndo imemfanya awe ivo
😂😂😂
Nampenda fetty 😂😂😂 mpaka raha
Joti ni mchekeshaji na ana pesa"ila hana views wengi youtube.)kagua youtube)joti,clam,stive)clam na stive wana views wengi kuanzia milion na kuendelea"lakini joti vichekesho vyake vyote"kichekesho kimoja hafikishi milion"utajiri wa joti ni matangazo
Mwalimu mkuu wwe ni wa hovyo
From Congo. Mina penda sana kiswahili ya tanzaniya pia nataka ni ishi hiyo inchi nielewe eleza kama wao. Mwalimu vaaga vizuri😂😂😂😂
Pamoja sanaaah wazee.....from tz iringa
Mnachelewesha mwendelezo
Mjitahidi kuwahisha
Mwalimu mgeni Mungu akupiganie ushinde hiii vita
It looks nice but am from Malawi we don't understand that language, why can't you be putting subtitles so that everyone else can watch and not only target your country people
Hello there? Malawi, Kenya we good!
Why don't you understand Swahili...African most spoken language..... And you neighbor of Tanzania. Come I teach you I have an online class everyday
Nafatalia hadi mwisho nzuri Sana hii
Proud of your vedios,,,,, from Kenya 🇰🇪
Mwalim magesa anaroho mbaya kama vile sura yake ilivyo
Mwalimu mkuu acha uongo bwana siufanye haki tu
Kusema kweli kila mtu kwenye hii series kavaa uhusika wakw ipasavyo, kuanzia mwalimu mgeni, wanafunzi, mwalimu vicky, magega na walimu wengine, mkuu wa shule nae ameweza sana kwakweli
Kazi nzuri
Wouuuuu nimefulayi kwajili yawa wanafunzi kwel wamenikumbusha shuleni
Watu humu mnakimbilia kucoment ❤❤
Naona hii nisafi Sana.
Kwani we umekimbilia kulike au
😂😂😂
I can't wait for next epsod, nimemkubli mkuu wa shule very snich sijui anampenda magesa ,ila mwl mgeni pole unapitia magumu 😂😂😂 ,ni kazi nzuri keep it up
Mwalimu mgeni part 11 nakuomba kesho Leta
Iko poa sana naifatilia kutoka kenya hongera mwalimu mugeni
Kunyangisi Leo 4 minutes sijafika mbali mauw yangu jamn 🙏🙏
ua-cam.com/users/shortsAH1-g_4lOqs?feature=share
Ni usiiikuuu, usiiikuuu tena usiku wa manane 😂😂😂😂😂
Da bigg up mwalim mgen nom xana
Safi sana! Nimeitafuta mnooo!
Afadhali mkuu wa elimu aende na team yake ndo ubaya utaibuka wa mwalimu magesa
Nmeipenda hiyo