Bro mbona nimekuelewa sana ebu ongeza mara mbili ya hapo naamini utafika kimataifa zaid na utajulikana dunia nzima kikubwa mtangulize Mungu usidanganywe na njia zingine njia peke ni Mungu pekeake kipaji unacho uwezo unao salute
Kelvin wafanya kanzi nzuri tena kufaavyo 👏 usimwache Victoria 😢... Kipindi chenyewe nakifuatilia kina mafunzo mengi sana.... Waiting for the next episode. Much love from Mombasa Kenya ❤
Kiukweli tunajifunza mengine kama umujifunza gonga like
I'm waiting episode4. Wapenzi ❤❤❤❤ nawapenda yana love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Gabril
Kaka ongera sana kwamafundisho mazuri naomba pesabila furaha nibure tafadhali Amuwa kumuowa dada wakazi
Nakupenda sana kelvi🎉Kwa io acting yako Mungu akupeleke atua mbele kaka, nice Waka! Io ingine Sasa iwe moto
Please nipe likes zangu number one from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bro mbona nimekuelewa sana ebu ongeza mara mbili ya hapo naamini utafika kimataifa zaid na utajulikana dunia nzima kikubwa mtangulize Mungu usidanganywe na njia zingine njia peke ni Mungu pekeake kipaji unacho uwezo unao salute
Huyo Victoria sio mke wa kuoa
Dah😢 wazaz wetu sometimes wanatuumiza bila kutambua hii films nimeipenda sana Kaz nzur Boss🙋
Kelvin muoe tuuu dada wa Kaz huyo mke afai kabisa
Azin
Ip viz hii muv kapat mum anamchzea ila ndo tujifunze wanawk 😮
Duuuu inahuzunishaa..😢 nice drama
Hongereni filamu nzuri sana chukueni🥀🌹💐🌺 yenu
I love this movie from Kenya ... Someone like my comment please 😅
Karibu tuchanuke😂😂😂
From shakahola 😂😂
Ati from shakahola 😂😂shakahola wanakufa.wewe haujakufa😂😂❤😂
uko vizur sanaa hongera kelvn uximuach victoria mwana mk xahihi🌹🌹🥀🥀
Victoria unapatikana wapi wemwanmuke mjuli sijawahi wona kama wew
unajua sana mwanangu kelvin! GOD bless you
Muendeshe mke wangu vizuri...kwenye pikipiki. Kelvin wewe. Kenya watching
Kazi nzuri MUNGU awasaidie mfikembali ndugu zangu nawapenda nyote mnafanya vizuri sana ❤❤❤ from Kenya
Uyu mama anatetea nyoka
Part 4 twaisubiri kelvin 💕keep up the good work 👏
Añ
Kipindi kizuri, Kiswahili kitamu cha Tanzania 🎉mafunzo Tele nafuatilia kutoka Kenya 🤝
Jamani nzuri jitahidini kutoa kila siku
Congratulations 👏👏 Kelvin keep it up, much love ❣️❣️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kaz yetu nimeipenda sanaaaaa
9
Moving zuri sana ina mafudisho
@@charlesmutisya7523❤😂😢😮😊😊
A😢zyu😅
Kelvin Big up saaana kwa kazi njema type muendelezo mapema saaana
Jamaa hii move ulijipanga vzrvsana daaah nimeipebda mpaka kupinfukia daaah Mungu azidi kujupa maalifa zaid ndg yang❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni Mnafanya Kazi Poa 🎁
Asante sana my brother one Love ❤
Nawakubali
Nice
@@Dontatv255 namba 4 pls
Nice job
Wa kwanza leo kutoka zanzibar naombeni like zangu🥰
Like kutoka Nairobi Kenya 🎉
Kazi nzuri sana na inatoa fundisho zuri sana
Nmesiktka sana kelvin kwan umekubar Victoria aondoke jaman
Kazi nzuri San bro muendelezo bas
Hii iko pouwa niko nimekaa nasubiri muendelezo insha-allah
Aisee Bonge la movie hili🎉🎉🎉🎉
Kelvin usiwe naoga wakumuacha victoria iyo laana hitokufanya kituuu nawa❤❤❤ sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Anatosha kuwa na kevin❤❤❤❤❤
Dah wekaka unajua tenaunajua Tena,aisee nimeipenda Sana hii movie inafundisha Sana,nasubili mwendelezo kwaham Sana Sana💕💕💕💕
𝐕𝐩
🎉l love this movie,iko fit Sana , from kenya.part 4 tunangojea
I love this movie from Uganda
Kelvin please part 4 ikuje kwa haraka...much love from Kenya❤❤❤
Safi sana kaka mko vizur sana yan ❤❤❤niliisubir baraa yani
Hakika unakipaji Cha kipekee brother mungu akubaliki sana uelimishe jamii❤❤
Kazi nzuri sana mr kelvin na timu yako mnatuburidisha sana
Brother umetisha sana ...bac tunaomba episode inayofuata maana n tam kinoma
Hongera kwa kazi nzurii kelvin ❤ ❤ ❤.
Ila mke wako MUNGU amurehemu.
Mam mwenyewe hamuna lolote ndo anamjaza mke wako tuu.
Vp
Iko bomba sana bro vzr mbaya, sasa episode zisiwe nyingi sasa
Congratulations 👏 broo Good job kwa kweli napenda sana movie zako ni ndefu unaangalia adi part ya mwisho 🎉🎉🎉 comment 🇸🇸
Kalvin hongara
Kelvin nakubali sana kaka movie inanifundisha vingi
Kelvin barikiwa❤❤❤
Ulianza mahusiano linii????
Safi sana brother Khani uko vizuri ila vero asiondoke bhana
Kazi nzuri sana kelvin naomba sehem ya nne
Hongera Sana kelvin kwa kazi nzuri 🙏 ila huyo mama yako hatumwelewi kabisa kwanini anatetea maovo Kuna Nini kati yake na huyo mkeo😢 pole Sana Victoria
Hogera kelvin,,nasubiri part 4 kwa hamu
Hongera Sana Kelvin Kwa Kazi nzuri unayoifanya n Millie uyo 4rom Kenya
Kelvin wafanya kanzi nzuri tena kufaavyo 👏 usimwache Victoria 😢... Kipindi chenyewe nakifuatilia kina mafunzo mengi sana.... Waiting for the next episode. Much love from Mombasa Kenya ❤
When is it broadcasted?
Mjinga 😂😂
kweli yatufunza mengi vile nimeifuatilia
Nimeipenda sana naomba part 4 nawatakiya kazi nzuri
Nani kasema ladhi inatolewa Kama nyanya sokoni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndo nmefika sasa! Nipeeni likes zangu
Congratulation kelvin much love ❤️ 😍 💖 ❤❤❤❤❤❤
Ongera sana i love voyu❤❤❤❤
Kazi nzuri khelvin basi part 4 please ❤❤
Tunasubiri party 4 Kaka Kelvin much love and big up sana
Wow, nilisubir kwa hamu❤❤❤
Nimekuwa wa kwanza
Kaka uko vzr Sana twaisubiria part 4
❤❤❤waaa mko vizur part 4 twaingoja Kwa hamu
Kazi nzuri sana na iko na mafunzo naangalia kutoka kenya ❤❤❤❤
Wanaopenda Kevin amuoe Victoria Kwa hamu gongeni like
Broo upo vizur
Jameni Kevin anajuwa kucheza hi filamu jameni namupenda sana Kevin na Victoria ❤❤❤❤❤
Victoria ndo anambra kevin
Victoria ndo anamfa kevin
Bsr
Kelvin ongera San kwa utendaji wako wa Kaz nzuriiii,lkn tunasubil kwa hamu part 4❤❤❤❤❤
Hongereni wapendwa kwa kaz nzuri Mungu awalinde nyote
Congratulations 👏👏kelvin keep up waiting part 4
Nakubali sana brother khan nilikuw naisubiria hii move kwa hamu
Nmeipenda sana movie hii Kevin mungu akusaidie kwa kaluma hii ulipo nayo barikiwa sana
Isichelewee inayofuata wadau wengi
Lini tena mnaludia nyingine
Iko good sana
Kaka uko vzr sana sema unachelewesha kutoa part nyingne
Woooiii tamu hii hebu tubwagie prt 4 plz kazi nzuri broo
Nampenda sana vctorya wakiwa na kelvin ❤❤
Much love from kenya bro waiting next part plzz❤❤
Daaah jaman inauma
Nmejifuza kitu kimoja
Hakika kaz nzur 👏👏👏. God bless your talent
Kazi nzuri Sana Khan...mungu akupe nguvu na utashi wa kuelimisha jamii
Ila kelvin mama ako anatetea Nyoka next episode tunataka ajue huyo mwanamke anayemtetea ni waina gani plz
Kazi nzuri 👏👏👏.... from kenya
Umetisha sana mzeee baba hongeleni.
Hongereni sana movie ndzuri sana yenye mafundzo
Wa kwanza like zenu tujuane wapenz wa hii mchezo ❤❤
😂😂😂😂😂
Wow please uje kutupa next episode nawapenda sana
Next episode please
Nafuatilia toka Nairobi Kenya... Big up bro sehemu ya pili pls
Nyingin na iyo tunaiitaji jamani Khan 🙈🙈🙈🙈🙈🙈
Big up sana chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Really good Kevo! Kazi nzuri sana mnafanya ndugu kule TZ, 1st time i must subscribe bro, from Kenya!
Mbona mamb yqmonoga
bro move moto sana arakisha kutoa hiyo ingine ❤❤
Ustaarabu a busara zako kelvin, zinapaswa kuigwa na vijana wengine.
Kelvin ackudanganye m2 hakuna laana ya ivo kaka ucmuache Victoria aondoke kwa uyo mshenz wallah natamn ningal kuepo nipewe cni yakumzabua iyo mke wako😢😢
N huyo cyo mama yke mzazi laana inatoka wapy hii ndio shida ya kuishi karibu n mama mkwe cndi
Enda Victoria akuna laana
Huyo tina ni kaaba mkuu🙌
Jamn kaz nzur san ivi wapo wanawake kama victory nataka jibu like apo
Wapoo
Daaaaah huyo mwanamke changamoto kweliiii
Nakubal saaaan movie zenu Burundi tuko pamoja na nyie
Nawapenda sna ❤❤ from Burundi
Watch from Kenya keep up the good work
Kaz nzurii sanaaa kaka nasubir part4 ❤
Kama noma naiwe noma tu bora uwe mmbea kuliko kuficha siri huku unaumia sasa Victoria yamemkuta kwakujifanya anaheshima kupitiliza😂😂😂
Yaani hiki ki move ni kitamu sn kina mafunzo mengi mno barikiwa Kelvin 💯😍💕🔥🔥🔥
Kazi ya moto 🔥🔥🔥 sana mashallah asanteni Kwa mafuzo mazuri nawapenda kutoka omani 🇴🇲 ❤❤❤❤
Safi Kaz nzur bro nakuombea mwenyezi Mungu akujarie ufike mbal
Hakuna laana mbele yahaki....love move....
I love it❤❤❤❤❤❤
Nawapenda Sana jaman❤❤❤
Yani ni 🔥🔥from Oman, part 4 isichelewi
Congratulations Vicky and kelvin vipindi vyenyewe vina mafunzo mazuri❤❤❤
Nakubali sana kazi zenu
Niliisubiri ❤❤😊😊
Yahniii hii movie naipenda sanaaa
Ila wadada tubadilike sana tuuu I wish ila basii tuu
Amuowe Victoria bilashida kwasababu munguyeyepeke alimchaguliya.
Léo nafika mapema naombeni hâta liké tano you From burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda sans
Igizo zur by wity
Congratulations Kevin much love from Kenya, love your job
Jamani movie tamu Tena tamu Sana!
Kazi nzuri sana Nasubili mwendelezo