MFANYAKAZI KIWANDA MBIGIRI ADAIWA KUUAWA NA MLINZI, MASHUHUDA WAFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @HappyHummingBird-je7ip
    @HappyHummingBird-je7ip Рік тому +7

    Siyo haki ambao hatujasoma hatuna haki pole sana mungu abaliki familia yako

  • @simulizizakwelinamikasa
    @simulizizakwelinamikasa Рік тому +4

    Jamaaa analia kwauchungu sana poleni Sana nduguzangu

  • @MuhidiniNgamba
    @MuhidiniNgamba Рік тому +3

    Poleni wana familia. Na kwa Askari ambae amemuua raia sheria itafuata mkondo wake nasisi raia tunapaswa kufuata kanuni taratibu na sheria tunazowekewa makazini kwetu hili kuepusha malumbano yasiyo na faida Askari kashaambiwa aipaswi mfanyakazi yeyote wa kiwanda kuingia ndani bila kukamilika kimavazi baadhi wanatii wakitok wanatok na vifaa vyao baadh wanasema wanaacha ndani yann uache kifaa chako ikiwa unajua wazi bila icho kifaa utoweza kulusiwa kuingia? Ukikutana na m2 mweny busara atakuelewesha atakurusu uingie lakin kwasis wabongo yanakua ndo mazoea kila siku itakua muendelezo

  • @JumaSaidy-l5c
    @JumaSaidy-l5c 6 днів тому +1

    Siku zote kaulimbiu yaichi tanzania niichi yaamani ila kwaili lililotokea TANZANIA kwasasa niichi yamanyanyaso naisiokuwa naaki maana polisi kauwa Shelia nae auwawe iyo ndoaki pole sana maleemu mungu akulinde

  • @moosafii-rz8je
    @moosafii-rz8je Рік тому +3

    Umetisha sana mi ladiayo naomba saport

  • @mejalepeta7130
    @mejalepeta7130 Рік тому +24

    Poleni sana walio ufiwa hii ni unyenyesaji mbaya naomba sirikali yetu angalieni hii swala kwa makini kweli Kuna moja amesema walinzi wa nakunyua pombe na hii itakua ni kweli kwa sababu nini sababu ya kufitua risasi kwa raiya

    • @JoahNesi-m9q
      @JoahNesi-m9q 5 місяців тому

      Hakikasijapendeshwa nahili

    • @SiruMadu
      @SiruMadu 2 місяці тому

      ​@@JoahNesi-m9qj

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine9571 Рік тому +9

    Jamaa kaaga nyumbni,,naenda kupambana mke wangu narudi ,mke wake kamwambie kazi njema mme wangu,Familia yake inamkumbuka tangu atoke huko mkoani kwao hajarudi but to day inarudi maiti kwa maksudi tu 😢😢😢. . . Mungu tumuweke mbele sana hata ikitokea kama hivi Mungu atupokee kwa uziriv. .

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +1

    Mbona?? Askari mlinzi anatoa wapi mamlaka ya kutumia silaha kwa wafanyakazi??tena kumbe ni jeuri tu kuonyesha wana uwezo wa kuua😢😢😢😢watanzania tukiwa kwenye nafasi ya mamlaka tunajiona miungu watu,hili ndo tatizo.
    Hii ni ajabu sana au mimi ndo sielewi taratibu za ulinzi

  • @AvelineEzekiel
    @AvelineEzekiel Рік тому +6

    Daaaaahhh walinzi wamagetini nao shida, serikali jamani iwone raia wake wanavyoteseka

    • @MfalmeMedia
      @MfalmeMedia Місяць тому

      Kauli zao ndio zimemponza wanachukulia bunduki kama manati walichikitka wamekipata

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 10 днів тому

    Mungu wangu yaan siku ikifika Inauma sana.

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc Рік тому +12

    Mh kumbe tz nako kuko ivyo acha niendelee Kupambana huku huku South Africa jurbug maana sioni Utofauti😢😢😢

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 Рік тому +3

    Bro Malima leo umeniangusha, babaako hakuwa hivyo alikuwa na huruma sana. Kwanza ungekemea mauwaji ya raia. Duh pole sana leo umezingua sikutarajia

  • @bensonpeter4692
    @bensonpeter4692 Рік тому +62

    "Mama/ Viongozi wakija hapa, wanaingia tu na kuondoka, hawatusikilizi wafanyakazi kero na utendaji kazi wetu" We will never get such a President again dada.,Labda Mungu aweke huruma dhidi yetu tena..Inauma sana Raisi anaenda ziara za kufungua mashule huko Singida, Znz Nk. Mtu una tume, Ngazi baraza, Ngazi wizara, Ngazi Mikoa, Ngazi Wilaya, Ngazi Halmashauri.,unaenda kufanya ziara za ajabu uaacha kusimamia mambo ya msingi yanayowakabiri wananchi wakoImagine wenye madaraka hapa Tanzania sahivi hawaogopi kitu chchote kwenye maamuzi!! #InaumaSana

    • @margarethhovokela2412
      @margarethhovokela2412 Рік тому +3

      Kwani ziara ya Rais na hayo yanayofanyika ni Rais aje asimame mlangoni kuwalinda?Hiyo hoja haina mashiko.Hoja ni viongozi wenu wa Wafanyakazi hawajafikisha hoja zenu mahali panapohitajika.Tumia busara kuwasilisha hoja yako ya Msingi.

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Рік тому +2

      ​@@margarethhovokela2412acha kuongea pumba kama huelewi kitu kilichoandikwa na kuongelea funga domo lako buok

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому +2

      Ngorongoro, Ngorongoro..mdogo mdogo yanasogea town...tutawaelewa wamasai

    • @bensonmasanja9862
      @bensonmasanja9862 Рік тому +4

      ​@@margarethhovokela2412Funga domo lako wewe Mnafiki mkubwa,huoni hata maumivu ya watanzania..Wale wanaomba msaada hawachekeshi.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Рік тому +1

      Sssa Mamayetu Anahusika Nini Yeye Ndio Aliyemtuma Amuuwe Muwe Mnafikilia Kabla Yakusema.

  • @JanvierMunyaga-pd9es
    @JanvierMunyaga-pd9es Рік тому

    Pole sana kbs tulikuwa na waza ni ukukwetu tu njo tuna faaka mungomo

  • @NairahEmmanuely
    @NairahEmmanuely 10 місяців тому +3

    Munguatusa idie😢

  • @JohnMachiya
    @JohnMachiya 6 місяців тому +4

    Ukiwa mlinzi getin umakin unahitajika sanaaa
    Yaan umakin wanhali ya juu
    Mimi nalinda ila naish na raia vizuri sanaaaa na ukiish vizur na hao watu utafaid sanaaa

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 Рік тому +13

    Huyu kiongozi kaongea kana kwamba si roho ya binadamu imeondoka! God is watching.

  • @ShukuruAgustine
    @ShukuruAgustine 3 місяці тому +1

    Pole sanaa

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 Рік тому +12

    Jmn pole Kaka inaumwa jmn yaan ukiona mwanaume analia ujue kaumia Sana aise daah 😭😭😭 pole bro polen familia na jamaa marafiki mungu awatie nguvu mbele yke nyuma yetu amen🙏

  • @SirajiKagimbo
    @SirajiKagimbo 24 дні тому

    Polenisa mungu azilaze mili ya malehem mali pema peponi amina

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 Рік тому +4

    Wayahudi cha mtoto.polen sana

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому

      Wengine wanapanga maandamano kupinga vita vya Israel vs Palestine, wakati nchini kwetu na majirani kuna matukio ya kupinga..tuamke,tutoke kwenye utumwa

  • @CharityNdongole-o7m
    @CharityNdongole-o7m Рік тому +2

    Poreni jaman

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 Рік тому +5

    Mungu ni mwaminifu haya mateso na machozi ya watanzania wanao pambana kutafuta riziki zao na huku wanadulumia haki mpaka uhai wao Mungu atalipa sikumoja ile mjitu magu alisema itaishi kama mshetani sasa mtaelewa maana ya yale maneno yaani mafisadi, wanynyasaji na matapeli wote dhidi yawanyonge wa Taifa letu ndiyo hii, hapo kiongozi hata kwa uongo angesema tu haki yao ataishughulikiwa kisheri na marehemu atapata haki yake na familia itaangaliwa anao mamilioni ni bora kuliko uhai wa Mtanzania. Mfano angeqmbiwa mtoto wake ameuliwa chuoni au kazini halafu kiongozi wa hayo mzingira atamke hayo maneno angejiskiaje huyu baba jamani mpaka nimeogopa sana tunaishiwa wapi

  • @RiuzaJoseph100
    @RiuzaJoseph100 5 місяців тому +1

    pole cna kaka

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Рік тому +3

    Tunakazi kubwa sana Tanzania Hii ndio amani inayohamasishwa kilasiku naviongozi wetu.Ila mabomu na risasi zitarindima kwenye mikutano isiyo nafujo. Watafungwa watu wasio namakosa .Mungu tuone tena watanzania

  • @AishaAbdillahshaban
    @AishaAbdillahshaban 13 днів тому

    Yaan mama yetu samia shugulika na hao askar magereza walevi wapate adhabu zao usiangalie na hao waliopoteza ndugu yao jaribu kuangalia familia mama najua ww mama asante ni unyama mbaya sana⁉️😭😭

  • @barakamsungu5260
    @barakamsungu5260 Рік тому +8

    Kwahiyo mkuu ndio umemaliza kuongea au imekatishwa maana sijasikia hatua kwa huyo aliyemuua raia kwa silaha ya moto huku mwenzie hana silaha wala si jambazi

  • @christopherbota9393
    @christopherbota9393 Рік тому

    Tunakoelekea ni kweusi ee mungu tupe mwanga zaidi tuone mbele.

  • @EdwardMbatilo-mk1ko
    @EdwardMbatilo-mk1ko Рік тому +4

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina

  • @AffectionateChess-ph3gp
    @AffectionateChess-ph3gp Рік тому

    Ongezeni juhudi za ku2juza new information ❤❤

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 Рік тому +23

    moyo wa kuu wa mkoa unaonekana hauna hata tone la huruma juu ya maisha ya mtu, na uhai wake, maana sijaona cha maana alichoongea, zaidi ya serikali na mabilioni ya mladi,

    • @mchumiajuani1993
      @mchumiajuani1993 Рік тому

      Bora angekaa kimya, nikama amehalalisha alichofanya huyo mlinzi

    • @hakiinakujaTanzania
      @hakiinakujaTanzania Рік тому +1

      viongozi kama hawa hawafai kuongoza watu , wasiojali utu wa watu, MUNGU atusaidie sana, HAYATI MAGUFULI ALISEMA TUTAMKUMBUKA SANA Kweli aliona mbali sana, alikuwa anawaacha watu wa .............

    • @HappinessMwangi-s5t
      @HappinessMwangi-s5t Рік тому

      Nothing

    • @kaliskaguzkalis4424
      @kaliskaguzkalis4424 Рік тому

      Maghufuli!

    • @aminagama510
      @aminagama510 Рік тому

      Mama aende huko wawekezaji wanawamaliza raia.kigoma mie simuelewagi hyu mkuu

  • @HidayaBellah-o2m
    @HidayaBellah-o2m 5 місяців тому

    Walinz kuwen makin sanaaaa mtafungwa muishe😢😢😢😢

  • @samwelombeni6850
    @samwelombeni6850 Рік тому +9

    Nimesikitishwa Sana kuona kiongozi anaongea Jambo lingine na mashuhuda wanazungumza kitu kingine; NAOMBA NIISHIE HAPA;😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ChachaIgobelo
    @ChachaIgobelo 6 місяців тому +2

    Existing...moving...zauchi

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 Рік тому +9

    Mungu akusamehe magufuli kule uliko kama kunasehemu ulikosea😭😭😭

  • @tommytouchtz
    @tommytouchtz Рік тому +1

    Mungu mrehemu JOHN JOSEPH MAGUFULI KAMA ALIKOSEA MAHALI MSAMEHE ILA ALIFANYA HAKI KWA WATU WAKO JAPO MAPUNGUFU YAPO ILA YULE HAKUWA RAISI ALIKUWA BABA KWA TAIFA ONA ASKARI WANAUA RAIA NA HAKUNA HAKI WANACHUKULIWA 😭😭😭😭😭

  • @LizenMaker
    @LizenMaker Рік тому +6

    Bora kuishi polini na wanyama kuliko binadamu

  • @IreneJoseph-t6w
    @IreneJoseph-t6w 4 місяці тому

    Duu mungu amuhifazi mahala peponi amen

  • @gracejohn5894
    @gracejohn5894 Рік тому +7

    Mmeua baba wa familia anaotegemewa na watu nyuma yake, Ee Mungu tuhurumie😭😭😭😭😭🙌

  • @IssaMalinda
    @IssaMalinda 3 місяці тому

    Da polenta sana

  • @uswegesuper
    @uswegesuper Рік тому +8

    Kiongozi anaongea simple mno km hajafa mtu Hv mhe; Malima huyo angekufa angekuwa mwanao si ungegeuka mbogo hapo 😢kazi nyie viongozi mnajijali tu ndo maana hata ss wananchi hatuwapendi nchi yote kuanzia Mkuu wa nchi, kwanza muwe muwe na utu mjiulize kwa mnayofanya hivi ingekuwa ni mimi ndo nafanyiwa; Eeh Mungu fundisha Viongoz wakujue ww ulivo wa upendo.Ameen😢😢😢

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola Рік тому

    Tuliipenda wenyewe😂😂😂 acha tu Tuishi nayo

  • @Jackylmariam-qy6qe
    @Jackylmariam-qy6qe Рік тому +20

    Jamani watoto wa kiume wanakula kwa tabu Mungu awasimamie

  • @KalyamtimaApolinary-es7qd
    @KalyamtimaApolinary-es7qd 2 місяці тому +1

    were is your redio programiz fhhek

  • @AdamIsmail-o1v
    @AdamIsmail-o1v Рік тому +9

    Hii ndio Tanzania binafsi nakijua icho kiwanda hao walinzi kiukweli uwa nishida sana kwawafanyakazi ebu fikilia kiongozi anafika eneo la tukio anaanza kutengeneza maneno yakupoteza haki zawafanyakazi Ila mungu ipo siku atatujibu watanzania

  • @JoyceRobi-o7s
    @JoyceRobi-o7s 10 днів тому

    Good bless you

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +19

    Acheni kuchukulia kila kitu kirahisi. Kumbukeni hayo ni maisha ya mtu yamepotea.

  • @Brianallan-p9d
    @Brianallan-p9d 4 місяці тому

    Poleni sana wafanyikazii wakampuni

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 Рік тому +20

    KIONGOZ KAZUNGUMZA LAKINI BINAFSI SIJASIKIA KAMA WATACHUKULIWA HATUA ,MPAKA ANAMALIZA KUONGEA..😢😢SO SAD 😭

    • @JanethiJeradii
      @JanethiJeradii Рік тому

      Jaman haki itenteke kwa wafanyakaz maaskari watatumariza mabadriko gan mbona sheria hafati mkondo

    • @allymanyika3502
      @allymanyika3502 Рік тому

      Hawawezi kuwachukulia hatua yoyote hao wauaji kwa sababu wote hao kabila moja nyani na ngedere,mwenyeenzi mungu amlaze mahali pema peponi kijana wetu

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 Рік тому +1

      Hivi jmn watanzania 😢wenzetu mbona mnakuwa makatili kias iki?? At Kenya Aiko hivii aisee ndo man wakenya uwa wako tayar kufaa kwa ajli,y haki.tena uwa askar uwa wanapigwa n wananch kwa mawe mm ningekuwa ndgu wa uyo marehemu nahakikisha uyo muuaj lazma nmtoe kafara at ya kunnua😢.uy mkuu wa mkoa anajielewa kwel ingekuwa n yye amefiwa je?

  • @RehemaMabula-b5p
    @RehemaMabula-b5p 2 місяці тому

    Jamzni mungu umlaze mahalipema Amen

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 Рік тому +11

    Mladi wa Billion 600 unathaman sana kuliko uhai wa mtu kweli thaman ya mtu ni utu wake mwenyewe nilitarajia kiongozi angekemea na kulaani kitendo hiki cha kinyama Lakin kiulain naona ameongelea maokoto ya mradi R.P Bro Msalimie Magufuri mwambie ndio sasa tunaanza kumuelewa so sad😢😢

    • @markokulanga5503
      @markokulanga5503 Рік тому

      Eee bwana yaani wewe mmoja tuu ndo nimeona umecoment mimi pia nimesikia thamani ya mradi tuu na sio thamani ya roho ya mtu inauma sana Mungu atuangalie wanyonge pia 🙏🙏🙏

    • @herielimtui3875
      @herielimtui3875 Рік тому +1

      Huyu kiongozi hafai kuwa kiongozi hata kidogo badala akemee anafurahia mtu kuuwawa na hawa wapuuzi?wewe kiongozi hufaiii hufaiii.

  • @thomastarimo
    @thomastarimo Рік тому

    mimi nina cho shukuru tangia mzee kaka yetu alipo tutoka sijawahi kuombea nchi tena kamwe bora niombe taifa lingine siyo ccm au niombee jiwe siyo ccm na mungu anisaidie nisije kusubutu kufanya thambi hii ya kuombea ccm mungu nisaidie sina maombi ya ccm mimi siwezi akuna kiumbe atakaye weza kuni lazimisha kuombea kitu ambacho nimekilani

  • @JailosPhilbert-vd5is
    @JailosPhilbert-vd5is Рік тому +3

    Inatia huruma sana na wakae wakijua damu ya mtu uhai wa mtu hauendi bure na Mungu ameliona ilo .ata kama hawatamchukulia hatua uyo muuaji na wapambe wake ajue ya kwamba.damu ya uyo kijana italia malangoni mwa nyumba zao wakae wakijua ilo.Mungu hawezi kukaa kimya.😭😭😭

  • @MesesyfridaMbise
    @MesesyfridaMbise 3 місяці тому

    Pollen Sana kama an mungu awatie nguvu sanaaa

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +11

    R.I.P 💔😭😭Poleni sana, Tz bwana kiongozi sijamuelewa hata kidogo anatafuna maneno 😏😏uyo aliyemuua mwenzake Sheria ifuate mkondo wake

  • @Isacka-u1i
    @Isacka-u1i Рік тому

    Mungu ailaze loho ya malehemu mahali pema pema

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Рік тому +7

    Duh hatari sana😢.

  • @betinalupembe5820
    @betinalupembe5820 Рік тому

    Mama samia angalia hili na siyo hili tuuu hapa kunachangamoto kubwa kwenye hili taifa alafu hawa viongozi hawana nidham

  • @GracieTyno
    @GracieTyno Рік тому +5

    Mwanaume akilia jamani dah!!.😭💔

  • @ShanyIshaka
    @ShanyIshaka 2 місяці тому

    Lo sijapenda kumbe huyu ,mhhhh😢😢😢

  • @timopanga5286
    @timopanga5286 Рік тому +4

    Tangu jpm atutoke serekali hii sielewi kabisa mauaji yamekuwa Kama kawaida hakuna hatua yeyote inachukuliwa tumeshakuwa Kama wanyama tuna uliwa hovyo serekali ipo kimya Ila mungu yupo atajibu rip jpm😭😭😭

  • @AsmaLikwawa
    @AsmaLikwawa 4 місяці тому

    Poleni Sana kwa msiba

  • @esthermande8976
    @esthermande8976 Рік тому +12

    Rip my president Magufuli we will mic u😭

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 Рік тому +2

      We nawe..utafikiri nchi ilikua kama peponi.hata ndugu zako walokufa huna uchungu nao kama hivyo.poor brain.

    • @JOSHINHOMUSHY
      @JOSHINHOMUSHY Рік тому +1

      ​@@hijazhija316 we ndo poor brain kila mtu anahaki ya kuongeaa😢

    • @MpekaThomas
      @MpekaThomas Рік тому

      ​@@hijazhija316mjinga miubwa😢😢wee ndo kama wale hamas wa palestina

  • @saamiaabdallah2160
    @saamiaabdallah2160 Рік тому

    Innalillah wainna ilayhi rajiiun
    Allah akupe kauli thabit shemeji yangu

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +6

    Hii nchi za ovyo sana na WaTanzania ni wapumbavu sana mngechoma moto hicho kiwanda hili watie akili hawawezi kuua mtu au muwavizie huyo muuwaji na huyo mwanamke na nyie mumuuwe mlipe kisasi maana hamna viongozi wa kuwatetea si rais hamna mtu Tanzania ya mavi kunuka

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 Рік тому

      Nyie warundi mbona mwauwana kila siku na vita haishi,mwaangamizana wenyewe kwa wenyewe.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      @@kdloon2030 ona ulivyo na akili Za mavi kunuka mtu akiwakosoa unyama wenu amekuwa mrundi Kwa hiyo huo unyama na unyanyasaji wa hao wananchi ni sawa kwao ??? Mpuuzi wewe Mbwa na umewakuta huko WaTz ni wajinga ungewafanyia watu wa Arusha au Geita na ungeona wangefanya nini kama hao askari magereza wasingeuwawa na kiwanda kuchomwa

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc Рік тому

      Kweli kabisa😢😢😢

    • @shamzone388
      @shamzone388 Рік тому

      Shika huyo polise tia ndani na auliwe kama alivyouwa

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 Рік тому +1

      Upole usio na tija..!! Hayo ni matokeo ya kutotii amri halali !! Kuna ujinga mahali fulani. Hawa wakihojiwa na tume watainga chaka.

  • @ChakoriChakori-z1x
    @ChakoriChakori-z1x Рік тому

    Aya maviongoz ya ovyo yenyewe yanakula kwa uraisi alaf wanaona watu wanaopoteza maisha kwa uzembe wao waona ni kawaida mungu yupo

  • @roseignas1881
    @roseignas1881 Рік тому +8

    Kweli utu kwa watu wa wanyonge ulishazikwa. Huwezi kutoa kauli hiyo juu ya kifo cha binadamu. Tena hakuwa na silaha yeyote.

  • @HasaniShabani-u2z
    @HasaniShabani-u2z 10 днів тому

    Matokeo form

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому +17

    Yani sio bahati mbaya amefanya makusudi, kwa sababu kama walinzi wana siraha na wamefunzwa namna yakutumia siraha iweje wauwe,tatizo hamkagui hao walinzi wenu kama ivo wanavyokuwa wanakuja kwenye malindo usiku wamelewa apao kunakazi viongozi wa sehemu husika muwe makini sana sio tu mnakalia viti basi nyie mnajua kupokea mishahara wananchi wanateseka sihaki iyo. Wafanyakazi haswa wasio ajiliwa vibarua huwa wananyanyasika sana, kama yule alieng'atwa na mbwa kwa wachina amezungushwa mpaka basi kijana wawatu kabaki kilema kisa muwekezaji mchina selikali yetu muwe mnalia hili kwa wananchi wa hali ya chini wanateseka sana hawana bakuongelea tz yetu wote inabidi tupendane jamani.

    • @SilasStanwell
      @SilasStanwell Рік тому +2

      Serikali kuweni makini fanyeni kazi nchi kama Brazil leo ingekuwa maandamano nchi yote kuuwawa kwa mtu mmoja kizembe hivo nimambo yahovyo sana wahuska mnazurula2 na vitambi vyenu .

    • @senikomanya7223
      @senikomanya7223 Рік тому +2

      Mnamtetea mama bule lkn mkumbuke mama ndiy mkuu wa nchi hatakam anawasaidiz lkn lkn lzm ajue utendaj kaz wa watu wake unaendaje, mfano ww mke au mume ulikua kwenyendoa bahat mbaya mke au mume akafaliki na tayal mkua na familia, baad ya kufalik mwenzako ukaoa au kuolewa mjue huyo uliemlet mal ya pili hawez kytunz familia yako ww Kama mzaz wa kwanza lazm Hilo mlitambue, Sasa ww ukitoka kazini tu unakul na kulal unasema watot wangu wako vizur kumbe hawali na wanapigika hasa kwahiy lzm upat mud wa kuzungumz na familia yako sio kusema msaidiz anatosha

    • @Atuganile-z5n
      @Atuganile-z5n Рік тому

      Du hawo walix majambazi

    • @petrogisni8379
      @petrogisni8379 Рік тому

      Video laifu

  • @BeatriceVian
    @BeatriceVian Рік тому

    Pole saan apumzike kwa amn

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Рік тому +5

    Innalillah wainna ilayh rajiun😢

  • @kaayakitomary1233
    @kaayakitomary1233 Рік тому

    Angekuwepo mzee magu kaz hawana wote

  • @NestoryMapunda-gq3kb
    @NestoryMapunda-gq3kb 4 місяці тому

    Aya ndiyo anae imbaga ney wa mitego nchi hi bas2 kama.mtu kauwa ana baki kufany nini si akamatwe jela au nae anyongw2 😮 apo ndo una mkumbuka magufuli kwa kesi kama iyo mbona jamaa asinge pewa ata maji😭😭

  • @AnnaMathayo-p8x
    @AnnaMathayo-p8x 2 місяці тому

    Mungu atusaidie

  • @JoshuaLeba-v1u
    @JoshuaLeba-v1u 18 днів тому

    Poleniii. Sanaaaa

  • @Mafunyanz-o2z
    @Mafunyanz-o2z 6 місяців тому +2

    Poleni sanaaaaaaa

  • @edinamshomi1536
    @edinamshomi1536 Рік тому

    Mmmh poleni jman

  • @RichadiKaaya
    @RichadiKaaya 5 місяців тому +2

    Poleni.sana

  • @annajohn3377
    @annajohn3377 Рік тому +2

    Mim nimefanya San Kaz za viwandani zile Kaz nizautumwa kwa hiyo inabidi kwavile unashida ukubaliane na Sheria zao Mara nying wafanyakaz hawafuati Sheria hizo mfano Kama huyo anajua kbis hairuhusiw kupita getin bila vitendea kz lkn mtu anaenda anatak aingie kwa nguvu nawakat tangaz pia mmeshawekewa mvutano unaanz Sasa hapo wafanyakaz wengine wanaingilia pale kunakua kuanavurugu kubwa ndima zile kz inatakiwa ufany kwamalengo ukishapat kimtaji Bora ujiajili

    • @AshirafuMajid
      @AshirafuMajid 8 місяців тому

      we nimlinz , unakili za usiku

  • @FatumaAlidi
    @FatumaAlidi 5 місяців тому +2

    Baraka

  • @OmbenYotham
    @OmbenYotham 5 місяців тому

    😢Ais inaumiz sana huo amesababish kif kw msamah Zaid akatw mkon w kulia had avuw na nguo y selikar kw maan him n kuchafua inch yetu

  • @Mtaelewa2
    @Mtaelewa2 10 місяців тому

    Poleni sana ndugu zangu

  • @SMART_VISSE_TZ
    @SMART_VISSE_TZ 8 місяців тому

    Mungu ailaze roho ya marehemu

  • @PriscaMwangama
    @PriscaMwangama 3 місяці тому

    Bwana yesu tutetee eti tutangalia

  • @PetronilaMushi
    @PetronilaMushi 4 місяці тому

    Mungu wangu🎉🎉🎉

  • @AgnesKibuga-d3j
    @AgnesKibuga-d3j Рік тому +1

    Kiukwer askar weng wanatumia uzoefu wakz sio uadirifu wao km askal ni walinz ktk jamii alafu akatumia silaha yake bila shelia achukuliwe hatua kwakua km askal yupo kwaajil ya nch alafu anaua je laia wafanye nikuleta uadui akafungwe na afie jela huyo

  • @MESHACKMKINYONGA
    @MESHACKMKINYONGA Рік тому

    Mamaa kwa hil tuone kama kazi waweza kwan n uvunjifu wa aman

  • @ReinaRanju
    @ReinaRanju 6 місяців тому

    Duh Atari sana kwa Wana inchi wenzetu ila atushangai Ali ya ichi kujaribika sisi ni wakurea watot tokarini tukaweza kuendesha tanzania

  • @SalmaMbaga
    @SalmaMbaga 2 місяці тому

    Du! Inasononesha Sana izisheria mkononi jaman zichukuliwe na atua mlisifumbiwe macho I we zahili kabisa kwakuamuliwa ipatikane Aki

  • @sidesamtz8694
    @sidesamtz8694 Рік тому

    Bado mpambane kukabiliana na majambazi ninyi mnatuulia wachapa kaz why😢😢😢😢

  • @LeahJohn-o6y
    @LeahJohn-o6y 4 місяці тому

    Daaah walinz wanatumia vby silaha zao

  • @JamesMhoja-tv6sz
    @JamesMhoja-tv6sz 7 місяців тому

    Katorik kwaya Asante yesu

  • @RamaHusen-h8t
    @RamaHusen-h8t Рік тому

    Kweli askari anamuuwa raiya hadharani ni kitendo kibaya sana uchunguzi ifanyike ijulikane nan imwenyehaki

  • @MwemeziSadock
    @MwemeziSadock Рік тому +1

    Mungu ailaze roho ya marehemu peponi

  • @AndrewMathenge-w1k
    @AndrewMathenge-w1k Місяць тому

    Pole kwa waliofiwa😢😢

  • @dortheafaibe5985
    @dortheafaibe5985 11 місяців тому

    Goood❣️

  • @HalimaMuya-z2y
    @HalimaMuya-z2y Місяць тому

    Inaumaa jmn,inallilaah wainallaah warajuuun

  • @sd-lesavoirdedeli2709
    @sd-lesavoirdedeli2709 Рік тому

    Poleni sana ndugu wafiwa

  • @EliasiMkuwa
    @EliasiMkuwa 8 місяців тому +1

    Inauma sana poleni kwa hillo

  • @BaisaKiller
    @BaisaKiller 3 місяці тому

    😢😢😢😢Jaman mbona mtukio ayaish tanzania